×

Habari

Kauli ya Vicky Kamata Baada ya Mumewe Kufariki

ALIYEKUWA kuwa mbunge wa Viti Maalum, Vicky Kamata, ameandika kuwa alidhani yeye ni jasiri, baada ya kumpoteza mume wake Dkt.Servacius...

READ MORE

Fiston Arejea Kuivaa Mtibwa sugar

UONGOZI wa Yanga umewaondoa hofu mashabiki wa timu hiyo kwa kuwaambia kuwa mshambuliaji wao Mrundi, Fiston Abdoul Razack leo atakuwepo...

READ MORE

Video: “Magufuli Tusaidie” – Wananchi Waangua Vilio Nyumba Zao Kubomolewa

 Wakazi wa vitongoji vya Muheza na Mitamba vilivyopo Mtaa wa Lumumba Kata ya Pangani Kibaha mkoani Pwani wametoa wameelezea...

READ MORE

Ugonjwa Uliomuua Balozi Kijazi Watajwa – Video

  Serikali imeweka wazi chanzo cha kifo cha aliyekuwa Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi, na kusema kuwa amefariki kutokana...

READ MORE

Breaking News: Mume Wa Vicky Kamata, Dk Likwelile Afariki Dunia

MUME wa aliyekuwa Mbunge wa Viti Maalum wa Chama cha Mapinduzi CCM, Vicky Kamata, Dk. Servacius Likwelile amefariki dunia leo,...

READ MORE

Ahukumiwa Kifungo kwa Kumpiga Mkewe na Mwiko

  Mahakama ya Mwanzo ya Buguruni imemhukumu kifungo cha nje cha miezi minne mkazi wa Tabata Segerea, Baraka Athuman (33)...

READ MORE

Wanafunzi Walazimisha Kula Mayai, Shule Yafungwa

WANAFUNZI wa shule ya wasichana ya Moi nchini Kenya, watalazimika kubaki nyumbani kwa muda usiojulikana baada ya shule hiyo kufungwa...

READ MORE

Maalim Seif: Jabali la Siasa Aliyetemwa CCM, Akafungwa Miaka 3

GLOBAL Publishers tumekuandalia makala ya maisha na enzi ya Hayati Maalim Seif Sharif toka alipozaliwa, maisha ya kisiasa mpaka alipokutwa...

READ MORE

Shule ya Sekondari Jambiani Yapatiwa Msaada wa Mabati

  Benki ya NMB imekabidhi mabati 200 na vifaa vingine vya ujenzi kwa ajili ya ukarabati wa vyumba vya madarasa...

READ MORE

Kortini Wakidaiwa Kuitia Hasara Sh Bil 1 Stamigold

TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) mkoani Kagera imewafikisha mahakamani watumishi wanne wa kampuni ya uchimbaji madini ya...

READ MORE

Marekani: Chombo cha Nasa Chatua ‘Mars’

Shirika la Marekani la Utafiti wa Anga (NASA) limefanikiwa kukifikisha chombo chake katika Sayari ya Mirihi (Mars) na kimefanikiwa kutuma...

READ MORE

Makamu Mkuu wa Sekomu Kuzikwa Kesho

Prof. Vincent Kihiyo, Makamu Mkuu wa Chuo cha Kumbukumbu ya Sebastian Kolowa (SEKOMU) aliyefariki dunia Februari 18 atazikwa kesho, Februari...

READ MORE

Rais Magufuli: Maalim Seif Alikuwa Kiongozi wa Tofauti

  Rais wa Tanzania, John Magufuli amesema baada ya kufanya mazungumzo na aliyekuwa Makamu wa Kwanza wa Rais Zanzibar, Maalim...

READ MORE

Chemsha Bongo ya Gazeti la Ijumaa Yashika Kasi Kitaa

IKIWA ni wiki moja baada ya kuzinduliwa kwa Chemshabongo na Gazeti la Ijumaa ambap msomaji wa gazeti hilo hujibu maswali...

READ MORE

Rais JPM Atangaza Maombi Siku 3 “Tusitishane” – Video

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Pombe Magufuli amewataka Watanzania kuendelea kumuomba Mwenyezi Mungu kuliepusha Taifa la...

READ MORE

JPM Akanusha Kifo cha Dkt. Mpango “Anaendelea Vizuri”

  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Pombe Magufuli amekanusha taarifa za uzushi zilizosambazwa mtandaoni kuwa Waziri...

READ MORE

Simanzi: Rais JPM Aongoza Waombolezaji Kumuaji Kijazi – Video

  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Magufuli amewaongoza waombolezaji na Watanzania wote kuaga mwili wa aliyekuwa...

READ MORE

JPM Aeleza Alivyomuibua Kijazi – Video

RAIS John Magufuli amesema alikosa mtu wa kumteua kuwa katibu mkuu kiongozi baada ya aliyekuwa akishika nafasi hiyo, Balozi John...

READ MORE

Ajiua kwa Kukata Nyeti Zake kwa Chupa

Kamanda wa polisi katika jimbo la Kano Kaskazini mwa Nigeria amethibitisha kifo cha Mustapha Muhammad, mkazi wa kijiji cha Malam...

READ MORE

Chuma cha Ajabu Kilichoonekana DRC Chateketezwa kwa Moto

Chuma cha ajabu kilichoonekana katika eneo la makutano ya barabara jijini Kinshasa nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo kimeteketezwa na...

READ MORE

NEC Yafanya Uteuzi Diwani Viti Maalum



READ MORE

Mwigulu: Wanaozusha Vifo Wakamatwe

  Waziri wa Katiba na Sheria, Dkt. Mwigulu Nchemba ameagiza Vyombo vya Ulinzi na Usalama kuwachukulia hatua Watu wanaosambaza taarifa...

READ MORE

Bodi ya Usajili Majenzi Yaasa Wanafunzi kupenda Masomo ya Sayansi

BODI ya Usajili wa Wabunifu na Wakadiriaji Majenzi (AQRB) leo imefanya ziara katika baadhi ya shule za Sekondari jijini Dar es...

READ MORE

Anayedaiwa Kumuua Baba Yake Nick Minaj Atiwa Mbaroni

Mshukiwa wa mauaji ya Baba mzazi wa Nicki Minaj, ametiwa mbaroni mara baada ya kujisalimisha mwenyewe katika kituo cha polisi...

READ MORE

NMB Yaongeza Faraja Kwa Wajawazito Kishapu

  Benki ya NMB kupitia tawi lake la Kishapu imetoa msaada wa vitanda saba vikiwemo vitatu vya kujifungulia na mashuka...

READ MORE

Video: Mwili wa Balozi Kijazi Wawasili Dar

Mwili wa Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi umesafirishwa leo Februari 18, kutoka Dodoma kwenda Dar es Salaam ambapo umepelekwa...

READ MORE

Jaji Mkuu Awaapisha Mahakimu Wakazi Wapya 71

Jaji Mkuu wa Tanzania, Mhe. Prof. Ibrahim Hamis Juma amewaapisha Mahakimu Wakazi wapya 71 huku akimshukuru Rais wa Jamhuri ya...

READ MORE

Mtangazaji Aporwa Simu kwa Bastola Hadharani

MTANGAZAJI wa televisheni wa kampuni ya DIRECTTV, Diego Ordinhola, nchini Ecuador, alijikuta akikingiwa bastola na mtu nje ya Uwanja wa...

READ MORE

Silinde Ampa Siku Tatu Mkuu wa Shule

Naibu waziri wa ofisi ya Rais TAMISEMI David Silinde amewaagiza kuandika maelezo ndani ya siku tatu mkuu wa shule ya...

READ MORE

Meya Ilala Ashiriki Kumswalia Maalim Seif

MSTAHIKI Meya Manispaa ya Ilala Mhe Omary Kumbilamoto akiwa katika Masjid Almul tayari kuupokea mwili wa Makamu wa kwanza wa...

READ MORE

Mazishi ya Maalim Seif Zanzibar Yafanyika Muda Huu

MWILI wa aliyekuwa makamu wa kwanza wa Rais Zanzibar, Maalim Seif Sharif, tayari umewasili Pemba kwa ajili ya mazishi.

READ MORE

Bastola ya Nape Yakamatwa na Polisi

POLISI Kanda Maalum ya Dar es Salaam kwa kushirikiana na jeshi la polisi mkoa wa Mbeya, imefanikisha kuipata bastola ya...

READ MORE

Mwili wa Maalim Seif Waagwa Z’bar kwa Simanzi

VIONGOZI  mbalimbali nchini Tanzania wakiwemo wastaafu wamejitokeza katika uwanja wa Mnazi Mmoja mjini Unguja kumswalia aliyekuwa Makamu wa Kwanza wa...

READ MORE

TMA Yatoa Utabiri Mvua za Masika

MKURUNGENZI wa Huduma za Utabiri wa Mamlaka ya Utabiri wa Hali ya Hewa nchini (TMA), Dk Hamza Karelia, amesema mvua...

READ MORE

Mwili wa Maalim Seif Wawasili Zanzibar – Video

MWILI  wa Makamu wa Kwanza wa Rais Maalim Seif Sharrif Hamad ukiwasili Zanzibar kisha kupelekwa katika viwanja vya Mnazi Mmoja...

READ MORE

Mwili wa Balozi Kijazi Waagwa UDOM – Video

MWILI wa aliyekuwa Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Eng. John Kijazi, aliyefariki dunia jana Jumatano saa 3:10 usiku katika Hospitali ya...

READ MORE

Televisheni Yafungiwa kwa Kukiuka Maombolezo ya Maalim Seif

TUME ya Utangazaji Zanzibar imekifungia kituo cha televisheni cha Tifu kwa muda wa siku saba baada ya kudaiwa kurusha vipindi...

READ MORE

Waziri Ummy Atoa Rai Kwa Wachimbaji wa Mchanga Bagamoyo

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Ummy Mwalimu amesema iko haja ya kuweka tozo...

READ MORE

Maalim Seif Kuzikwa Leo Pemba

Mwili wa Makamu wa Kwanza wa Rais Zanzibar, Maalim Seif Sharif Hamad utazikwa leo Alhamisi Februari 18, 2021 mjini Pemba,...

READ MORE

#Live: Hii Ndiyo Safari ya Mwisho ya Maalim Seif

  MWILI waaliyekuwa Makamu wa Kwanza wa Rais wa Serikali ya Mpindunzi Zanzibar, Maalim Seif Sharif Hammad, leo Februari 18,...

READ MORE