Mkurugenzi wa kampuni ya Mr. kuku farmer ltd, Tariq Machibya (29), maarufu kama Mr Kuku, aliyekuwa akikabiliwa na kesi ya...
READ MORESerikali ya awamu ya tano inayoongozwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Dkt. John Pombe Magufuli...
READ MOREMfanyabiashra mkazi wa Kinondoni Bwawani jijini Dar es Salaam, Benedict Kimbusu, amefikishwa katika mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu akikabiliwa na...
READ MORE Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, John Mongela, leo Desemba 16, 2020 amewaongoza mamia ya waombolezaji katika ibada maalum ya...
READ MOREWASHTAKIWA wote wanne katika shauri namba tisa la mauaji ya kukusudia ya Alphonce Mawazo aliyekuwa mwenyekiti wa Chama cha Demokrais ...
READ MOREWAZIRI wa Fedha na Mipango, Dk Philip Mpango ameagiza watumishi 22 wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) kusimamishwa kazi kupisha...
READ MOREMkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Aboubakar Kunenge ameitaka Manispaa ya Kinondoni na mkandarasi kutoka JKT kuhakikisha Ujenzi...
READ MOREMtendaji Mkuu wa Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS), Mhandisi Patrick Mfugale, leo Desemba 16, 2020 amelibadilisha jina Daraja la Busisi...
READ MOREMAZIKO ya aliyekuwa Mwenyekiti Mtendaji wa Makampuni ya Motisun Group ambaye anatajwa kuwa miongoni mwa mabilionea, wafanyabiashara wachache nchini, Subhash...
READ MOREMWILI wa muigizaji nguli nchini Tanzania, Mohamed Fungafunga, maarufu kama Jengua unaswaliwa leo Desemba 16, 2020 nyumbani kwa mwanaye...
READ MOREINATAJWA kuwa ugonjwa wa kupooza mwili ambao ulikuwa ukimsumbua muigizaji nguli nchini Tanzania, Mohamed Fungafunga, maarufu kama Jengua ndiyo sababu...
READ MOREBAADA ya kukithiri kwa madai ya wananchi na kuongezeka kwa mijadala kwenye mitandao ya kijamii, kufuatia kilio cha wananchi...
READ MOREWAZIRI wa Usalama wa Ndani ya Nchi wa Malawi, Richard Banda, amesaini nyaraka kwa ajili ya mchungaji tajiri na maarufu...
READ MOREMKUU wa Mkoa wa Mbeya, Albert Chalamila, amesimamia zoezi la kubomoa nyumba ya AtHony Lyuba mkazi wa Kata ya Inyala,...
READ MOREMBUNGE wa Buchosa, Eric Shigongo amemtembelea mtoto Rashid ambaye Desemba 11, 2020 akiwa njiani kuelekea jimboni Buchosa eneo la...
READ MOREKAMPUNI ya simu za mkononi ya Infinix imezindua rasmi Kampeni ya Christmas na Mwaka mpya inayofahamika kama HIT THE JACPOT...
READ MOREKampuni ya SGA Security imeibuka mshindi wa jumla kama kampuni yenye rasilimali za kutosha na ya kuaminika (Most Equipped and Reliable...
READ MOREMTU mmoja aliyefahamika kwa jina la Katarina Zebedayo (38), mkazi wa Kijiji cha Kabanga Kata ya Ilangu, Wilaya ya Tanganyika...
READ MORERais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli amezungumza kwa njia ya Simu na Rais wa China...
READ MOREKATIKA majina ya mawaziri waliounda Baraza la Mawaziri lililoteuliwa na Rais Dk John Pombe Magufuli ‘JPM’, wiki iliyopita, jina la...
READ MOREDAR: Staa wa Bongo Fleva ambaye pia ni mmiliki wa lebo ya muziki Bongo ya Konde Gang Music Worldwide...
READ MORESOMALIA imetangaza kusitisha uhusiano wake na Kenya ikidai kwamba serikali ya Kenya inaingilia kati masuala yake ya ndani. ...
READ MOREKATIKA harakati za kupambana na ugonjwa wa Covid-19, #Kenya imeagiza dozi milioni 24 za Chanjo ya #CoronaVirus zitakazotosha 20% ya...
READ MOREGEITA: Jeshi la Polisi Mkoa wa Geita, linamsaka baba mmoja aliyejulikana kwa jina la Nyamasula Sangesange (43), mkazi wa Songambele...
READ MOREMSANII mkongwe wa michezo ya runingani na filamu za Kibongo, Mohamed Fungafunga almaarufu Mzee Jengua, amefariki leo, Desemba 15,...
READ MOREJOPO la wajumbe maalumu lenye nguvu ya kumchagua rais wa Marekani, maarufu kama Electoral College limemthibitisha Joe Biden kuwa rais...
READ MORERAIS Yoweri Museveni wa Uganda ambaye kwa sasa anawania muhula wa sita madarakani, amesema hajaona mtu mwenye uwezo wa...
READ MORERAIS wa Uganda, Yoweri Museveni, ambaye anawania muhula wa sita madarakani, amesema hajaona mtu mwenye uwezo wa kuongoza Uganda...
READ MOREMWENYEKITI Mtendaji wa Makampuni ya Motisun Group ambaye anatajwa kuwa miongoni mwa mabilionea wachache nchini Tanzania na mfanyabiashara, Subhash Patel...
READ MOREHUDUMA za mtandao wa Google ghafla leo (Jumatatu) zilitoweka na kuleta athari kwa watumiaj iduniani. Miongoni mwa watumiaji hao...
READ MORERais wa Zanzibar, Hussein Mwinyi leo Jumatatu, Desemba 14, 2020 ametengua uteuzi wa Katibu wa rais, Suleiman Ahmed Saleh na...
READ MOREKATIKA hotuba yake mbele ya wanaseta na wanabunge, Rais wa DRC, Felix Tshikedi ametangaza tena nia yake ya kuunda serkali...
READ MOREWALIOKUWA atumishi 13 Benki Kuu ya Tanzania (BOT) wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu wakikabiliwa na mashitaka sita likuwemo...
READ MORERais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, John Magufuli, ametuma salamu za rambirambi kwa familia za Watu 14 waliofariki kwenye...
READ MOREMahakama Kuu Divisheni ya Makosa ya Rushwa na Uhujumu Uchumi maarufu Mahakama ya Mafisadi, imeahirisha kutoa hukumu katika kesi ya...
READ MOREMWANAMME aliyemuua binti yake karibu miaka 20 iliyopita amekuwa mfungwa wa pili Marekani kuuawa. Kifo cha Alfred Bourgeois kwa sindano...
READ MOREWAKATI naanzisha wazo la kutoa huduma ya vyakula vya vya asili watu wengi walinidhihaki kwa kupika vyakula vya kienyeji na...
READ MOREMahakama moja nchini Misri imewahukumu kifungo cha miaka mitatu maafisa tisa wa polisi kwa kosa la kumtesa na kupelekea kifo...
READ MOREWAZIRI wa Madini, Dotto Biteko amemvua madaraka Mwenyekiti wa Soko la Madini Chunya na kuwasimamisha kazi watumishi watatu, kufuta leseni...
READ MORERAPA Lil Wayne amekutwa na hatia ya kubeba bunduki iliyokuwa imekokiwa mwaka 2019 akipanda Ndege binafsi huko Miami. Alikutwa...
READ MORE