Mwanamama mjasiriamali, Zarinah Hassan ‘Zari The Boss Lady’ ambaye ni mzazi mwenza wa staa wa muziki barani afrika, Nasibu abdul...
READ MOREJESHI la Polisi nchini leo, Septemba 12, 2020, limesema linawashikilia watu saba ambao ni raia wa nchi za kigeni kutokana...
READ MOREDAKTARI Hussein Ali Mwinyi, Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) ametaja mambo atakayotekeleza endapo atafanikiwa kuchaguliwa katika...
READ MOREKOCHA Mkuu wa Simba, Mbelgiji, Sven Vandenbroeck, ameuangalia Uwanja wa Jamhuri wa mkoani Morogoro na fasta akachukua maamuzi ya kubadili...
READ MORETume ya Taifa Uchaguzi imepitia, kuzichambua na kuzifanyia uamuzi rufaa za wagombea Ubunge na Udiwani zilizowasilishwa na wagombea kupitia kwa...
READ MOREMwanamama mkali kunano Bongo Movies, Aunt Ezekiel Grayson Jujuman ‘Mama Cookie’, ameapa kuzaa mpaka baasi, huku akitanabaisha kuwa, kikubwa anachoangalia...
READ MOREMbio kuelekea Uchaguzi Mkuu, unaotarajiwa kufanyika oktoba 28, mwaka huu, zinazidi kushika kasi, huku mgombea urais kupitia Chama cha Chadema,...
READ MOREBenki ya NMB imetangaza kudhamini Michuano ya Gofu – Kombe la Mkuu wa Majeshi ‘CDF Trophy Cup 2020’, inayotarajia...
READ MOREMgombea Ubunge wa Jimbo la Kawe kupitia CCM, Askofu Josepaht Gwajima anatarajia kuzindua kampeni zake keshokutwa Jumapili kwenye viwanja vya...
READ MORETUME ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC), imemteua Maalim Seif Sharif Hamad kuwa mgombea urais wa Zanzibar kupitia ACT-Wazalendo katika Uchaguzi Mkuu...
READ MOREMAMLAKA ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imetangaza kusitisha utoaji huduma za utangazaji kwa Wasafi FM kwa muda wa siku saba baada...
READ MOREMGOMBEA mwenza wa kiti cha urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Samia...
READ MOREHABARI nyingi kupita kiasi, husumbua ubongo wa mwanadamu.Lakini kwa kutazama mambo kwa uangalifu, ni bora zaidi kuwa na habari nyingi...
READ MOREKujiua (Suicide) ni mojawapo ya vyanzo vya kifo kwa watu wenye matatizo ya kisaikolojia au matatizo ya akili. Jaribio la...
READ MOREKATIBU wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Humphrey Polepole, amedai kuwa mmoja wa wagombea urais wa Jamhuri...
READ MOREKATIBU wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Ndg. Humphrey Polepole amesema kwa namna ambavyo mgombea wa nafasi...
READ MOREKATIBU wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Humphrey Polepole amesema kwa tafiti walizofanya kutokana na kampeni za...
READ MOREJaji Mstaafu Mark Bomani ambaye alikuwa Mwanasheria Mkuu wa kwanza wa Tanzania amefariki dunia usiku wa kuamkia leo Septemba 11,...
READ MORETUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) katika kikao chake cha Septemba 9, 2020 imezipitia, kuchazimbua na kuzifanyia uamuzi jumla ya...
READ MORETUME ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) imeshindwa kumteua Maalim Seif Sharif Hamad kugombea urais wa Zanzibar kupitia chama cha ACT-Wazalendo baada...
READ MORECHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) jana kilitoa taarifa jana Septemba 10, 2020 kwamba ratiba ya mikutano mitano ya kampeni...
READ MOREStaa wa sinema za Kibongo, Aunt Ezekiel amesema kuwa msanii mwenzake Shamsa Ford hajitambui ndio maana anaongea mambo ya familia...
READ MORETume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imekubali rufaa 13 na imewarejesha katika orodha ya wagombea Ubunge wagombea 13 baada ya...
READ MOREKatika njia nyingine ya kuthibitisha kuwa mapenzi ni upofu, Mchekeshaji maarufu nchini Uganda, Godfrey Baguma almaarufu kama ‘Ssebabi’, ambaye hutambulika...
READ MOREBASI la abiria lenye namba ya usajili T.629 CQC Scania lililokuwa likitokea Mbeya kwenda Mwanza limeacha njia na kupinduka kisha...
READ MOREMamlaka ya Mawasiliano Nchini (TCRA) imesema, Vituo vya Utangazaji ambavyo vitarusha matangazo mubashara vinaelekezwa kufuata mwongozo ili kuwa na ufanisi...
READ MOREWATU wanane, kati yao watatu wanaokadiriwa kuwa na umri wa miaka 25 mpaka 40, na watoto watano wanaokadiriwa kuwa na...
READ MOREKAMPUNI za vifaa vya kielektroniki za Samsung na LG zimesitisha rasmi mkataba wa kuiuzia kampuni ya Huawei vioo au ‘screen...
READ MOREHujafa hujaumbika! Ndivyo unavyoweza kusema baada ya mtoto Rehema Baraka, mwenye umri wa miezi (11) mkazi wa Kibaha mkoani Pwani,...
READ MOREFAMILIA ya mtayarishaji wa muziki wa Bongo Fleva, Paul Matthysse ‘P Funk Majani’, ambao wamempoteza mama yao, Aunt Sheilah, juzi...
READ MORESIRAPHOP MASUKARAT (18), raia wa Thailand, majuzi aling’atwa na nyoka sehemu za siri wakati akijisaidia chooni. Amesema nyoka huyo alitokea...
READ MOREFRANK Galimoshi (30), mkazi wa kata ya Chala wilayani Nkasi mkoani Rukwa, amefariki dunia usiku wa kuamkia Septemba 3 mwaka...
READ MOREMkazi wa mji mdogo wa Ngaramtoni, wilayani Arumeru mkoani Arusha, Anna Maliaki (30) anashikiliwa na Jeshi la Polisi kwa tuhuma...
READ MOREPRODYUZA/mtayarishaji wa muziki, Paul Matthysse ‘P Funk Majani’, amefiwa na mama yake mzazi Aunt Sheilah) kilichotokea Septemba 8, 2020, nje...
READ MOREASKOFU Msaidizi wa Kanisa Katoliki Jimbo la Bukoba, Methodius Kilaini amesema kuwa, milango iko wazi ya kurudi kundini kwa Padri...
READ MORETUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) nchini Tanzania imechambua rufaa zingine 34 za ubunge kati ya hizo, 13 imewarejesha kugombea...
READ MORETUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) nchini Tanzani, imeweka wazi rufaa 55 zilizowasilishwa na wagombea ubunge katika uchaguzi mkuu utakaofanyika ...
READ MOREKampuni ya Ndege Tanzania (ATCL) imerudisha safari za kawaida kati ya Dar es salaam (Tanzania) na Hahaya (Comoro) kuanzia 8/9/2020....
READ MOREFADJI MAINA amekuwa mwanasayansi wa kwanza kutoka nchini Niger kufanya kazi na Shirika la Anga za Juu la Marekani...
READ MORE