×

Habari

NEC Yataka Wasimamizi Uchaguzi 2020 Kutozima Simu

WASIMAMIZI wa uchaguzi wa mikoa na wasimamizi wa uchaguzi mkuu ngazi ya wilaya na majimbo, wameagizwa kuhakikisha simu zao zinakuwa...

READ MORE

Baba Aua Binti Yake kwa Kipigo, Anaswa Akimzika kwa Siri!

BWANA mmoja aliyetambulika kwa jina la Maurice Owino Owaga (48) mkazi wa Muhoroni, Kisumu nchini Kenya, anashikiliwa na polisi kwa...

READ MORE

Mfalme Atoweka Nchini, Apotelea Kusikojulikana

MFALME wa zamani wa Uhispania, Juan Carlos, ameamuwa kuihama nchi yake katika uamuzi wa aina yake unaolenga kuunusuru ufalme baada...

READ MORE

Aliyemtusi Rais JPM Ahukumiwa Jela

KIJANA aliyemtukana Rais wa Jamhuri ya Tanzania Dkt John Magufuli katika mtandao wa Facebook amehukumiwa kulipa faini ya shillingi millioni...

READ MORE

Kigogo wa Unga Anaswa na Jeshi

JESHI la Mexico limemkamata kigogo mwenye mtandao mkubwa wa madawa ya kulevya nchini humo, Jose Antonio Yepez, aliyesaidia kuchochea vurugu...

READ MORE

Chadema Yampitisha Lissu Kuwania Urais

KAMATA Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) imewapitisha Tundu Antipas Lissu, Lazaro Nyalandu na Dr Mayrose Majinge, kusaka...

READ MORE

Waziri Kairuki Atembelea Banda La TTCL Maonesho Ya Nanenane Simiyu

WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Waziri M Kuu anayeshughulikia Uwekezaji, Mhe. Angellah Kairuki amelitaka Shirika la Mawasiliani Tanzania TTCL, kuongeza nguvu...

READ MORE

Manara Atembelea Shule Aliyosoma, Aibua Hili

MSEMAJI wa Klabu ya Simba, Haji Manara ametembelea Shule ya Sekondari Chimala iliyopo Mkoa wa Mbeya ambayo alisoma miaka kadhaa...

READ MORE

Makonda: Walibweka Kama Mbwa Mwitu, JPM Akaziba Masikio – Video

ALIYEKUWA Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda, leo Jumatatu, Agosti 3, 2020, amekabidhi ofisi kwa Mkuu wa...

READ MORE

Makonda Aanika Akavyoishi Mtaani Baada ya Kuwa RC – Video

ALIYEKUWA Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda amekabidhi rasmi ofisi hiyo kwa Mkuu wa Mkoa Mpya wa...

READ MORE

Aliyepona Ukimwi Bongo Aibuka na Mpya!

ARUSHA: MWANAMKE Rose Lyimu, mkazi wa Arusha aliyeibuka hivi karibuni na kudai kuwa amepona ugonjwa wa Ukimwi (VVU), alioishi nao...

READ MORE

GGML Yazindua Program Kuwajengea Uwezo Watanzania Kupata Zabuni

  Kampuni ya Uchimbaji wa Madini ya Geita (GGML) kwa kushirikiana na Baraza la Kitaifa la Uchumi na Uwezeshaji  Wananchi...

READ MORE

Ndege ya kwanza ya Rwanda Yatua Tanzania

Ndege ya kwanza ya shirika la ndege la Rwanda imeanza safari zake nchini Tanzania kwa kutua kwenye uwanja wa ndege...

READ MORE

COVID-19: Wagonjwa Corona Sauz Laki 5, Yawa ya 5 Duniani

WAZIRI wa Afya wa Afrika Kusini, Zwelini Mkhize,  amesema maambukizi ya COVID-19 nchini humo yamefikia watu 503,290 baada ya visa...

READ MORE

Laizer Asimulia Alivyookota Jiwe la Tatu la Tanzanite Kwenye Miamba – Video

Wizara ya Madini, kwa mara nyingine tena, leo Jumatatu, Agosti 3, 2020, imepokea jiwe kubwa la Tanzanite lenye uzito wa...

READ MORE

Papa Benedict wa 16 Aripotiwa Mahututi

KIONGOZIMkuu wa zamani wa Kanisa Katoliki, Papa Benedict XVI, anaripotiwa kuwa mgonjwa mahututi baada ya kumtembelea kaka yake aliyekuwa mgonjwa...

READ MORE

Mmarekani: Tanzania ni Nchi Imara, Tulivu, Yenye Demokrasia

  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli tarehe 02 Agosti, 2020 amepokea Hati za Utambulisho...

READ MORE

ACT- Wazalendo Yajifungia, Mgombea Urais Kujulikana Jumatano

CHAMA cha ACT-Wazalendo, kinatarajia kuwatangaza wagombea wake wa urais wa Muungano na Zanzibar keshokutwa Jumatano, Agosti 5, 2020.   Akizungumza...

READ MORE

Video: JPM Apokea Hati za Utambulisho Kutoka Kwa Balozi wa Marekani

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli leo 02 Agosti, 2020 anapokea Hati za...

READ MORE

Video: Magufuli Apiga Simu Tamasha la Nguvu ya Mwanamke

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amesema Tamasha la Nguvu ya Mwanamke (Girl Power), linatakiwa...

READ MORE

Ayoub Lyanga Atua Azam FC, Afuzu Vipimo Vya Afya

Aliyekuwa kiungo mshambuliaji wa Coastal Union, Ayoub Lyanga, amefuzu vipimo vya afya  leo Agosti 2, 2020  tayari kabisa kumaliza taratibu...

READ MORE

Prof. Kabudi Aipongeza Kinondoni Maonesho ya Nanenane

Waziri wa mambo ya nje na Ushirikiano wa Kimataifa Profesa Paramagamba Kabudi ametembelea Banda la Kinondoni katika  maonesho ya wakulima...

READ MORE

WHO Yasema Janga La Maambukizi Ya Corona Kuwa La Muda Mrefu

Shirika la afya duniani WHO limeonya kwamba janga la maambukizi ya corona linaelekea kuwa la muda mrefu baada ya kufanya...

READ MORE

Video: Mwenyekiti Tume Ya Uchaguzi Azungumza Kuelekea Uchaguzi Mkuu

 Tume ya Taifa ya Uchaguzi(NEC), imesema uchaguzi mkuu wa mwaka huu utafanyika kwa kuzingatia katiba ya nchi, kanuni na...

READ MORE

Waziri Atimuliwa Kwa Kufanya Ngono Kwenye Video

RAIS  wa Zambia, Edgar Lungu, amemfukuza kazi Waziri wa Elimu nchini humo, David Mabumba, baada ya kuvuja kwa video ya...

READ MORE

Mgombea Urais CHADEMA Kupatikana Ndani ya Saa 72

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kinaingia siku tatu ngumu za mchakato wa kupata mgombea urais wa Tanzania na Zanzibar...

READ MORE

Samia Azindua Nanenane Simiyu — (Picha +Video)

MAKAMU wa Rais, Samia Suluhu Hassan, leo Agosti 1, ameshiriki katika maadhimisho ya sherehe za maonyesho ya wakulima, wafugaji na...

READ MORE

Mama Samia Aalivyotua Kwenye Banda la NBC Nanenane – Simiyu

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muunganowa Tanzania, Mhe. Mama Samia Suluhu Hassan ametembelea Banda la Benki ya NBC kwenye...

READ MORE

Hausigeli Mbaroni Kwa Mauaji ya Mtoto Wa Bosi Wake

MFANYAKAZI za ndani ‘Hausigeli’ aliyefahamika kwa jina la Zaina Ismail, ametiwa mbaroni na jeshi la polisi, wilayani Temeke jijini Dar...

READ MORE

Zoezi Makonda Kukabidhi Ofisi Laahirishwa

ZOEZI lililopangwa kufanyika leo Agosti 1, 2020, la aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar, Paul Makonda,  kukabidhi rasmi ofisi kwa ...

READ MORE

Marekani Yasema Tanzania Ni Salama Kutembelea

IDARA ya Ushauri wa Afya ya Marekani imeitaja nchi ya Tanzania kuwa ni miongoni mwa nchi salama ambazo wananchi wake...

READ MORE

VIDEO: Mama Alia Mbele ya Jafo, Kisa Hiki Hapa!

 MWANAMAMA mkazi wa Mkuranga Mkoa wa Pwani amemwangukia Waziri wa Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Selemani...

READ MORE

Video: DC Mpya Rufiji Afungukia Mikakati ya Kazi

MKUU  wa Wilaya ya Rufiji mkoani Pwani, Luteni Kanali Patrick Kenani Sawala, amelezea mikakati na majukumu yake mapya katika kituo...

READ MORE

Marekani Yatishia Kuifungia TikTok Kisa Ofa ya Microsoft

RAIS wa Marekani, Donald Trump,  amesema kuwa atazuia mtandao wa TikTok usitumike nchini humo kufuatia kampuni ya China inayomiliki mtandao...

READ MORE

Zanzibar: Uchaguzi Urais, Wawakilishi Kufanyika Siku 2

TUME ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC), imetangaza Uchaguzi Mkuu wa Zanzibar wa urais na uwakilishi utafanyika Jumatano tarehe 28 Oktoba 2020....

READ MORE

Orodha ya Wachezaji Wanaowania Tuzo ya Mchezaji Bora

Orodha ya wachezaji 30 wanaowania Tuzo ya Mchezaji Bora wa VPL msimu wa 2019/2020 itakayotolewa Agosti 7, 2020.    ...

READ MORE

TCAA Yafuta Kibali Ndege za Kenya Kutua Tanzania

Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA) imefuta kibali kilichokuwa kikiruhusu ndege za Shirika la Ndege la Kenya (KQ) kutua...

READ MORE

Dkt. Shein Aaga Rasmi Zanzibar

  RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Ali Mohamed Shein, ametumia Baraza la Eid, lililofanyika Bumbwini,...

READ MORE