×

Habari

Uchumi wa Tanzania Kukua kwa Asilimia 5.5 Mwaka 2020 – Video

WAZIRI  wa Fedha Dk Philip Mpango, amesema kasi ya ukuaji wa uchumi wa Tanzania inatarajiwa kupungua kidogo hadi asilimia 5.5...

READ MORE

Kila Mtanzania Alimiliki Tsh. mil 2.5 Mwaka 2019 – Video

SERIKALI imesema, mwaka jana (2019) pato la taifa kwa mtu mmoja mmoja lilikuwa Sh. 2,577,967 kutoka Sh. 2,452,406 mwaka 2018,...

READ MORE

HOTUBA ya JPM Akizindua Ujenzi wa Barabara Mtumba – Video

Rais wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli, leo Alhamisi, Juni 11, 2020 ameweka jiwe la msingi katika ujenzi wa barabara...

READ MORE

Video: Rais Magufuli Aweka Jiwe La Msingi Ujenzi Wa Barabara

 RAIS Dkt John Magufuli, leo Juni 11, ameweka jiwe la msingi la ujenzi kwa kiwango cha cha lami wa...

READ MORE

Bajeti Kuu ya Serikali Kusomwa Leo Bungeni

MACHO na masikio yanatarajiwa kuelekezwa bungeni jijini Dodoma leo wakati serikali itakapowasilisha makadirio ya bajeti yake kwa mwaka ujao wa...

READ MORE

Mwenyekiti Wa CCM Rais Magufuli Aongoza Kikao Cha Kamati Kuu

  Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Rais Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli ameendesha Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri...

READ MORE

Rais Magufuli Akutana Na Rais Dkt Shein Dodoma -Video

RAIS Dkt John Magufuli ambaye pia ni mwenyekiti wa CCM, Juni 10, 2020 amekutana na kufanya mazungumzo na makamu mwenyekiti...

READ MORE

Wabunge 69 wa Mbowe Kuhojiwa TAKUKURU

Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) nchini Tanzania, inatarajia kuwahoji wabunge 69 wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo...

READ MORE

JPM Apiga Simu Mbeya, Awarudishia Wananchi Ardhi – Video

  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania John Magufuli amewataka Wakala wa Barabara Tanzania (TANROAD) mkoani Mbeya kuwalipa wananchi...

READ MORE

David Silinde Atangaza Kujiunga CCM – Video

Mbunge wa Jimbo la Momba, Mkoani Songwe David Ernest Silinde ametangaza kujiunga na Chama cha Mapinduzi (CCM). Mbunge huyo pamoja...

READ MORE

Ubaguzi: Waandamanaji Wang’oa Sanamu la Mfalme

WAANDAMANAJI wanaopinga ubaguzi wa rangi wameliondoa sanamu la Mfalme Leopold II lililokuwa mjini Antwerp ambalo limekuwa likilalamikiwa na wanaharakati kwa...

READ MORE

Mbowe Apokelewa Dar, Apelekwa Aga Khan – Video

Mwenyekiti wa Chama Taifa na Kiongozi wa Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni (KUB), Mhe. Freeman Mbowe (Mb), amepokelewa muda mfupi...

READ MORE

Breaking: Rais Nkurunziza Afariki Dunia

ALIYEKUWA Rais wa Burundi, Pierre Nkurunziza (55) amefariki Dunia kwa kile kinachodaiwa kuwa ni shambulio la moyo leo Juni 9,...

READ MORE

Lijualikali: Mbowe Hajavamiwa, Alilewa Akaanguka – Video

MBUNGE wa Kilombero (Chadema), Peter Lijualikali amelieleza Bunge, Mwenyekiti wa chama hicho, Freeman Mbowe hakushambuliwa na watu wasiojulikana bali alidondoka...

READ MORE

Kesi ya Idris Yakwama Kortini

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam imeahirisha kesi inayomkabili Idriss Sultani, Msanii wa Vichekesho na mwenzake Innocent...

READ MORE

Majaliwa Amjulia Hali Mbowe Dodoma

WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa amemtembelea na kumjulia hali Kiongozi wa Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni, Freeman Mbowe ambaye...

READ MORE

Chadema Wamtaja Mch. Mashimo Shambulizi la Mbowe

  DAR ES SALAAM: Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimesema kinahitaji uchunguzi wa uhuru katika tukio la kuvamiwa kwa...

READ MORE

Wakili: Mtuhumiwa Mauaji ya George Floyd Hana Hatia

  WAKILI Early Gray anayemtetea  Thomas Lane, mmoja wa maofisa wanne wa polisi wanaohusika katika kifo cha Mmarekani mweusi, George...

READ MORE

Hali ya Mbowe, Chadema Kumhamishia Dar – Video

  JESHI la Polisi Mkoani Dodoma limethibitisha kushambuliwa na kujeruhiwa Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema usiku wa...

READ MORE

RPC Muroto: Mbowe Ameshambulia kwa Mateke – Video

KAMANDA wa Polisi Mkoa wa Dodoma, Gilles Muroto, amesema kuwa Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Freeman Mbowe,...

READ MORE

Msigwa: Mbowe Aliondolewa Walinzi – Video

MUDA mfupi baada ya Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Freeman Mbowe kushambuliwa na watu wasiojulikana jijini Dodoma...

READ MORE

Dr. Mayrose Akemea Mbowe Kushambuliwa

DAR ES SALAAM: KADA wa Chadema ambaye ametangaza nia ya kugombea urais, Mayrose Majinge ameonesha masikitiko yake kufuatia taarifa za...

READ MORE

Dkt. Tulia Amjulia Hali Mbowe Aliyevunjwa Mguu – Video

NAIBU  Spika, Dkt. Tulia Ackson amewasili katika Hospitali ya DCMC Ntyuka – Dodoma kumjulia hali Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia...

READ MORE

Maelfu Wafurika Kuaga Mwili wa George Floyd

GEORGE FLOYD, Mmarekani mweusi mwenye umri wa miaka 46 ambaye mauaji yake na polisi mweupe yamembadilisha kuwa picha ya ulimwengu...

READ MORE

Meli, Chelezo vya Bil, 153 Mwanza Ukingoni Kukamilika

KATIBU Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo ambaye pia ni Msemaji Mkuu wa Serikali leo ametembelea kuona...

READ MORE

RPC Dodoma Aelezea Mbowe Kuvamiwa, Kuvunjwa Mguu

KAMANDA  wa Polisi Mkoa wa Dodoma, Gilles Muroto, amesema kuwa Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe,...

READ MORE

Breaking: Mbowe Ashambuliwa, Ajeruhiwa na Wasiojulikana

MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Taifa na Kiongozi wa Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni (KUB), Freeman Mbowe,...

READ MORE

Lissu Atangaza Nia ya Kuwania Urais 2020

Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Tundu Lissu leo amezungumza kwa Mubashara kupitia ukurasa wake wa Facebook...

READ MORE

Gari Yagonga Gari, Bajaji na Kuua

Mnamo tarehe 08.06.2020 majira ya saa 10:00 Asubuhi huko eneo la Nzovwe, Kata ya Itende, Tarafa ya Iyunga, Jijini Mbeya...

READ MORE

Maandamano Yazuka London, Polisi Wajeruhiwa Vibaya

MOTO wa maandamano yaliyopewa jina la Black Lives Matter unazidi kuwaka na sasa hali siyo shwari jijini London, Uingereza, ambako...

READ MORE

Brazil Yasitisha Kutangaza Waliofariki kwa Corona

Serikali ya Brazil imetangaza kuanzia sasa haitakuwa ikitangaza idadi ya watu waliofariki kwa corona, baada ya kubaini kuwa hatua hiyo...

READ MORE

Polisi Yavunjwa Marekani Kisa Kifo Cha Floyd

IDARA ya polisi mjini Minneapolis katika jimbo la Minnesota nchini Marekani itafanyiwa mabadiliko makubwa kutokana na kifo cha Mmarekani mweusi,...

READ MORE

Dkt. Mollel Aung’oa Uongozi Hospitali ya Mount Meru

NAIBU  Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dkt. Godwin Mollel, ameagiza kuondolewa kwa safu ya uongozi...

READ MORE

Rais Zuma Ammwaga Mchumba wa Miaka 25

ALIYEKUWA Rais wa Afrika Kusini, Jacob Zuma, anadaiwa kuwa ameachana na mchumba wake mwenye miaka 25, Nonkanyiso Conco. Taarifa kutoka...

READ MORE

‘Mpemba wa Magufuli’ na Wenzake Watakiwa Kupelekwa Mahakamani

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imewataka washtakiwa katika kesi ya Uhujumu Uchumi inayomkabili mfanyabiashara, Yusufu Ali maarufu ‘Mpemba wa Magufuli’...

READ MORE

Serikali Yaanza Rasmi Kuuza Mafuta

WAZIRI wa Nishati, Dkt. Medard Kalemani, amezindua rasmi biashara ya kuuza na kusambaza mafuta nchini kwa kufungua kituo cha kwanza...

READ MORE

Spika Pelosi Amlima Barua Nzito Trump

SPIKA wa Bunge la Marekani maarufu kama ‘Congress’, Nancy Pelosi amemlima barua nzito Rais Donald Trump kwa kutaka atoe maelezo...

READ MORE

‘Tanzania Mmevunja Rekodi ya Kunawa Mikono’ – Video

UGONJWA wa Covid 19 unaosababishwa na virusi vya Corona umeanza kupungua mashambulizi yake nchini Ukraine na watu wameanza kuruhusiwa kutovaa ...

READ MORE

Benki ya NMB Kulipa Gawio la Sh. Bil 48 Mwaka 2019 

  Mkutano Mkuu wa 20 wa Wanahisa wa Benki ya NMB (AGM) umepitisha azimio la kulipa gawio la shilingi Bilioni...

READ MORE