×

Habari

EWURA Yatangaza Bei Mpya za Mafuta ya Petroli na Dizeli Novemba

Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) imetangaza bei kikomo za bidhaa za mafuta ya petroli hapa...

READ MORE

Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar (ZEC) yatangaza wajumbe wa viti maalum vya wanawake

Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar (ZEC) imetangaza majina ya wajumbe wa viti maalum vya wanawake watakaokuwemo katika Baraza la Wawakilishi,...

READ MORE

Rais Samia Amuapisha Hamza Said Johari Kuwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali

Dodoma, Novemba 5, 2025 — Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, amemuapisha BHamza Said Johari...

READ MORE

Ajali ya Ndege ya UPS: Wafanyakazi 11 Wajeruhiwa, Watu 7 Wafariki

Watu 7 wamefariki dunia na 11 kujeruhiwa baada ya ndege ya UPS kuangukia karibu na Uwanja wa Ndege wa Louisville...

READ MORE

Dick Cheney, Makamu wa Rais wa Marekani Mwenye Nguvu Afariki

Aliyewahi kuwa Makamu wa Rais wa Marekani, Dick Cheney, ambaye alihudumu chini ya Rais George W. Bush na alikuwa miongoni...

READ MORE

Wakili wa Zamani wa Jeshi la Israel Akamatwa baada ya kuvuja kwa Video ya Unyanyasaji

Tel Aviv, Israel — Wakili wa zamani wa kijeshi wa Jeshi la Ulinzi la Israel (IDF), Meja Jenerali Yifat Tomer-Yerushalmi,...

READ MORE

Athari za Vita vya Sudan Zasambaa Mashariki mwa Chad: Mgogoro wa Kibinadamu Wazidi Kutikisa

Athari za vita vya Sudan, vilivyoanza katikati ya Aprili 2023, hazijaishia tu kwa raia wa nchi hiyo; moto wa mzozo...

READ MORE

New Foundation Targets Education Infrastructure to Fuel Transformation in Tanzania

Dodoma, Tanzania — Mr. Sanjeev Mansotra, Chairman, Planet One Group today announced the launch of the Sanjeev Mansotra Foundation (SMF)...

READ MORE

Makamu wa Rais Dkt. Nchimbi Amshukuru Dkt. Mpango kwa Mchango Mkubwa Katika Awamu ya Sita

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi amempongeza na kumshukuru Makamu wa Rais Mstaafu ...

READ MORE

CCM Yatoa Fomu za Uteuzi wa Spika na Naibu Spika wa Bunge 2025

Chama Cha Mapinduzi (CCM), kimetangaza kwa Wanachama ambao ni Wabunge wateule na Wanachama wenye sifa za kuwa Mbunge, kuwa fomu...

READ MORE

Chadema Yatoa Taarifa Kuhusu Makamu Mwenyekiti Wao, John Heche

Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimetoa taarifa kwa umma kuwa leo, Alhamisi tarehe 28 Oktoba 2025, Makamu Mwenyekiti wa...

READ MORE

Rais Samia Apokelewa Kwa Shangwe Ikulu ya Chamwino Baada ya Kuapishwa

Dodoma, Tanzania – Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, amepokelewa kwa shangwe na watumishi wa...

READ MORE

Rais Dkt.Samia amteua Hamza Said Johari kuwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amemteua Hamza Said Johari kuwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali....

READ MORE

Rais Dkt. Samia Aapishwa Kuendelea Kuongoza Tanzania

  Dodoma, Tanzania – Dkt. Samia Suluhu Hassan ameapishwa rasmi kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika hafla...

READ MORE

China Yazindua Roboti za Mbwa Vita na Gari la Kijeshi la AI

Kampuni ya Norinco ya China, kwa msaada wa jeshi la nchi hiyo, imetengeneza roboti za mbwa vita zinazoweza kushiriki moja...

READ MORE

Mahakama Kuu Kutowa Hukumu Kesi ya Viongozi wa CHADEMA – Video

Dar es Salaam, Tanzania – Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala Ndogo ya Dar es Salaam, inatarajia kutoa hukumu Novemba 04,...

READ MORE

RC Chalamila “JIitokezeni Kupiga Kura Dar ni Salama Sana

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe Albert Chalamila amewataka wananchi wakazi wa Mkoa huo kupuuza taarifa za uzushi...

READ MORE

Ajali Mbaya ya Ndege Ndogo Kwale Yaua Watu 12 – Video

Ndege ndogo iliyokuwa imebeba watu 12 imeanguka katika eneo la kaunti ya Kwale, pwani ya Kenya, na kusababisha vifo vya...

READ MORE

Rais na Mgombea wa CCM Dkt. Samia Afunga Kampeni za CCM Uwanja wa Kirumba

Mgombea wa nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa Ndugu...

READ MORE

Dkt. Nchimbi: Watanzania Wameridhika na Utendaji Kazi wa Dkt. Samia

Mwanza, Oktoba 28, 2025 — Mgombea Mwenza wa Urais wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Emmanuel John Nchimbi,...

READ MORE

Wazanzibari Wapiga Kura ya Mapema Leo, Uchaguzi Mkuu Kufanyika Kesho

Wapiga kura visiwani Zanzibar leo, Jumanne Oktoba 28, 2025, wameanza zoezi la kupiga kura katika kile kinachofahamika kama kura ya...

READ MORE

CCM Yafunga Kampeni Kwa Kishindo Uwanja wa Kirumba, Mwanza

Mwanza, Oktoba 28, 2025 — Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimefanya mkutano mkubwa wa kufunga kampeni zake kitaifa katika uwanja wa...

READ MORE

Kesi ya Jinai Dhidi ya Vigogo wa CHADEMA Kuendelea Mahakama Kuu Leo

Kesi ya jinai namba 48250 ya mwaka 2025 iliyofunguliwa na aliyewahi kuwa Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Zanzibar, Said Issa Mohamed,...

READ MORE

Ijumaa Ina Ladha Mpya, Ni Lucky Friday Ya Meridianbet

Katika ulimwengu wa promosheni na ofa nyingi, ni nadra kukutana na kitu kinachobadilisha kabisa namna unavyoona michezo ya kasino. Sasa...

READ MORE

Polisi Yataja Sababu ya Kumkamata Niffer – Video

Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limethibitisha kumkamata mfanyabiashara wa mtandaoni Jenifer Bilikwiza Jovin, maarufu kama Niffer,...

READ MORE

Doreen Peter Noni: Watanzania tumchague Rais Samia, Nchimbi, Wabunge, Madiwani kwa maendeleo ya nchi

Doreen Peter Noni: Watanzania tumchague Rais Samia, Nchimbi, Wabunge, Madiwani kwa maendeleo ya nchi Dar es Salaam. Mmoja wa kada...

READ MORE

Mgeja: Samia Anatosha Urais Haujaribiwi

Kada wa chama cha Mapinduzi na Mwanasiasa mkongwe nchini Ndugu Khamisi Mgeja amewatahadhalisha watanzania wasifanye makosa kufanya majaribio ya kuchagua...

READ MORE

Polisi watoa onyo kwa wanaotumia mitandao kuvuruga amani Shinyanga

Jeshi la Polisi Mkoa wa Shinyanga limewataka waumini wa Kanisa la Deliver Hope for All Nations lililopo Kata ya Kizumbi,...

READ MORE

Dkt. Samia aandika historia mpya soka la Tanzania, Simba, Yanga, Azam na Singida zafuzu

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameweka rekodi ya kipekee katika historia ya michezo nchini...

READ MORE

Mama Malema, atuma salamu za kheri kwa Rais Samia na Dkt. Nchimbi kuelekea Uchaguzi Mkuu

MWANACHAMA na kada wa muda mrefu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mama Jacqueline Malema Daniel, ametuma salamu za kheri na...

READ MORE

Ubalozi wa Uganda waadhimisha miaka 63 ya Uhuru, watilia mkazo ushirikiano na Tanzania

Ubalozi wa Jamhuri ya Uganda nchini Tanzania uliadhimisha miaka 63 ya Uhuru kwa hafla iliyofanyika jijini Dar es Salaam, ikisisitiza...

READ MORE

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Oktoba 27, 2025

Nafasi za kazi kila siku Tanzania, Serikalini, Makampuni na Taasisi mbalimbali tembelea website yetu ya Global Publishers muda wote bonyeza hapa Publishers...

READ MORE

Uchaguzi Mkuu 2025: Polisi Watoa Onyo Kali ‘Atakayethubutu Kuvunja Sheria Asitulaumu’

Jeshi la Polisi nchini limetoa tamko rasmi kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ambapo wananchi wamehakikishiwa usalama na kwamba hakuna tishio lolote...

READ MORE

Dkt. Mwinyi: Nitaendelea Kuimarisha Udhamini Na Miundombinu Ya Michezo

Mgombea wa nafasi ya Rais wa Zanzibar kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), ambaye pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti...

READ MORE

Mwanachama wa CHADEMA, Lulu Mapunda, Aitaka Jamii Kuheshimu Taratibu za Uchaguzi – Video

Mwigizaji wa filamu, mwanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) na mwanaharakati, Lulu Mapunda, ambaye awali alikuwa akihamasisha maandamano...

READ MORE

Mgombea wa Urais Zanzibar, Othman Masoud, Afunga Kampeni Pemba

  Kampeni za mgombea wa Urais wa Zanzibar, Ndugu Othman Masoud, Kisiwani Pemba zimefungwa zikihudhuriwa na wafuasi wengi na viongozi...

READ MORE

Dkt. Samia Azungumza na Ujumbe wa Uangalizi wa Uchaguzi wa AU

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, amekutana na kufanya mazungumzo na Ujumbe wa Misheni ya...

READ MORE

Rais Samia Apokea Ujumbe Maalum Kutoka kwa Rais wa DRC

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, amepokea Ujumbe Maalum kutoka kwa Rais wa Jamhuri ya...

READ MORE

Polisi Manyara: Mchungaji Mtaita hakutekwa tunamshikilia kwa Uchochezi – Video

Jeshi la Polisi mkoani Manyara linamshikilia Mchungaji Eleth Mtaita wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Usharika wa Boay,...

READ MORE

Kamanda SACP Richard Apinga Maandamano Atoa Wito Wa Kulinda Amani Wakati Wa Uchaguzi

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tabora, Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP) Richard Abwao ametoa wito kwa wananchi wote wa...

READ MORE