×

Habari

Kikwete: Viwanda, Uchumi wa Kati Dira ya Mkapa – Video

RAIS mstaafu wa awamu ya nne, Jakaya Kikwete amesema sera ya kukuza uchumi na kujenga viwanda ilikuwa ni dira  aliyoitengeneza...

READ MORE

Askofu Nyaisonga: Mkapa Kukiri Aliyokosea ni Unyenyekevu

RAIS wa Baraza la Maaskofu Tanzania (TEC), Mhashamu Askofu Gervas Nyaisonga, amesema kitendo Hayati Benjamin Mkapa kukiri mambo aliyowahi kukosea...

READ MORE

Trump Akomalia Hydroxychloroquine Kutibu COVID-19

RAIS wa Marekani, Donald Trump kwa mara nyingine ametetea matumizi ya hydroxychloroquine kupambana na virusi vya corona,  jambo ambalo limewachanganya...

READ MORE

Daktari Mbaroni Tuhuma za Kumpa Mimba Mwanaye

MWANAFUNZI wa Chuo cha Udaktari wilaya ya Masasi Mkoani Mtwara na mkazi wa Mburahati jijini Dar es Salaam na Itunduma...

READ MORE

China Yasimamisha Ushirikiano wa Hong Kong na Canada, Australia & Uingereza

CHINA imetangaza kuwa inasimamisha mkataba wa kubadilisha wahalifu kati ya kisiwa chake cha Hong Kong na mataifa ya Canada, Australia...

READ MORE

Serikali Yafafanua Ndege ya Kenya Kushindwa Kutua Tanzania

UBALOZI wa Tanzania nchini Kenya umekanusha taarifa kuwa ujumbe rasmi uliomwakilisha Rais Uhuru Kenyatta katika msiba wa Rais Mstaafu Benjamin...

READ MORE

Iran Yafanya Mazoezi ya Kuzilenga Meli za Kivita

WANAJESHI wa kikosi cha kulinda mapinduzi cha Iran wamefyatua makombora kukilenga chombo cha mfano wa meli zenye uwezo wa kubeba...

READ MORE

Benki ya NMB Yatoa Milioni 42.5 Maonyesho ya Nanenane Simiyu.

  Benki ya NMB imetoa Shilingi Milioni 42,500,000 kwa ajili ya kudhamini maonyesho ya Nanenane ya yatakayofanyika kitaifa Kanda ya...

READ MORE

Kutoka Lupaso: Ratiba Kamili ya Mazishi ya Rais Mkapa

Ratiba ya Mazishi ya Hayati Benjamin William Mkapa,Rais Mstaafu wa Awamu ya Tatu leo Siku ya Jumatano Tarehe 29 Julai...

READ MORE

Mama Samia Apokea Salam za Rambirambi

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan kwa niaba ya Rais wa Jamhuri ya...

READ MORE

Rais JPM Awasili Masasi Kumzika Mkapa – Video

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwasili katika uwanja wa ndege wa Mtwara mkoani...

READ MORE

Corona Kenya: Vifo, Wagonjwa Waongezeka

IDADI ya watu waliofariki kutokana na ugonjwa wa Covid-19 nchini Kenya inakaribia 300 kulingana na takwimu zilizotolewa na serikali Jumanne....

READ MORE

Waziri Mkuu Jela Miaka 12 kwa Ufisadi

WAZIRI Mkuu wa zamani wa Malaysia, Najib Razak, amekutwa na hatia katika mashtaka saba ya ufisadi yaliyokuwa yakimkabili na kuhukumiwa...

READ MORE

Idris Sultan Asomewa Upya Mashtaka

MSANII wa Vichekesho, Idriss Sultan (27) na wenzake wawili wamesomewa upya mashitaka ya kuchapisha maudhui bila leseni ya Mamlaka ya...

READ MORE

Rais JPM Aongoza Viongozi Wakuu Kuaga Mwili wa Mkapa – Pichaz

Rais Magufuli ameongoza hafla ya kumuaga Hayati Benjamin William Mkapa, Rais wa awamu ya Tatu wa Tanzania. Katika hafla hiyo...

READ MORE

Mwalimu Aacha Kazi, Awa Hausigeli

MACRINE OTIENO, aliyekuwa mwalimu katika shule ya msingi binafsi ya Chrives Royal jijini Nairobi, sasa amelazimika kufanya kazi ya ujakazi...

READ MORE

Bilionea Laizer Apata Jiwe Jingine la Tanzanite

BILIONEA mpya wa madini aliyejizolea umaarufu nchini Tanzania, ambaye hivi karibuni aligeuka kuwa bilionea baada ya kupata mawe ya madini...

READ MORE

Saa 10 za DC Mtaka na Hayati Benjamin Mkapa

Ifuatayo ni taarifa aliyoitoa Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Anthony Mtaka akielezea mazungumzo yake na Rais wa Awamu ya Tatu,...

READ MORE

JPM Amwaga Machozi Akimwelezea Mkapa – Video

RAIS  John Magufuli, amejikuta akitokwa machozi hadharani baada ya kushindwa kujizuia wakati akielezea mazungumzo yake ya mwisho na rais mstaafu...

READ MORE

Rais Kenyatta: Kenya Tusijilinganishe na Wanayoficha Taarifa za COVID-19

Rais Uhuru Kenyatta amesema Wakenya hawatakiwi kujilinganisha na mataifa yasiyo uhuru wa habari na ambayo yamekuwa hayatangazi taarifa za CoronaVirus....

READ MORE

IMF Yaipa A. Kusini Dola Bil. 4.3 Kupambana na Corona

SHIRIKA la Fedha Duniani (IMF) limeidhinisha mkopo wa Dola za Marekani Bilioni 4.3 kwa Afrika Kusini ili kuiwezesha nchi hiyo...

READ MORE

Rais Magufuli Ayaanika Maajabu ya Mkapa – Video

  RAIS John Magufuli ameanika mambo makubwa aliyoyafanya Rais Mstaafu wa Awamu ya Tatu, hayati Benjamin William Mkapa wakati wa...

READ MORE

Kim: Silaha za Nyuklia Nitazuia Vita Nyingine

KIONGOZI wa Korea Kaskazini, Kim Jong Un amesema hakutakuwa tena na vita kwa sababu silaha zake za nyuklia zitahakikisha ulinzi...

READ MORE

Mkapa Alichomwambia Magufuli Kabla ya Kifo – Video

  RAIS  John Magufuli amesema saa chache kabla ya Rais Mstaafu wa Awamu ya Tatu, Benjamin  Mkapa,  kuaga dunia, alizungumza...

READ MORE

Benki Ya CRDB Yatoa Bilioni 500 kwa Akinamama

  BENKI ya CRDB imetoa mafunzo ya kuwajengea uwezo wanawake wajasiriamali wa Manispaa ya Ubungo jijini Dar es Salaam kupitia...

READ MORE

Multichoice Yaongeza ESPN Ndani Ya DStv

Miezi michache tu baada ya kurejea kwa michezo mbalimbali mubashara ndani ya DStv, Kampuni ya MultiChoice na The Walt Disney...

READ MORE

JPM Aubadili Uwanja wa Taifa Kuwa Mkapa Stadium – Video

RAIS  John Magufuli amesema kutokana na maombi ya Watanzania  wengi, ametangaza rasmi kuubadili jina Uwanja wa Taifa na kuwa Uwanja...

READ MORE

Wasifu: Prof. Kabudi Awataja Watoto Alioacha Mkapa – Video

WAZIRI wa Mambo ya Nje wa Tanzania, Profesa Palamagamba Kabudi, akisoma wasifu wa hayati rais mstaafu awamu ya tatu, Benjamin...

READ MORE

Diary ya Shigongo: Nenda Mkapa, Nenda Shujaa!

TAIFA linazizima! Mbuyu umeanguka katikati ya msitu mkubwa, miti mingine yote inatetemeka! Binafsi ninayo huzuni kubwa ndani ya moyo wangu...

READ MORE

Video: JPM Aongoza Maelfu Kumuaga Hayati Mkapa Uwanja Wa Uhuru

Mwili wa Marehemu Benjamin Mkapa umeshafikishwa katika uwanja wa Uhuru Dar kwa ajili ya kuagwa. Rais Magufuli ataongoza viongozi wa...

READ MORE

Viongozi wa Nje Waanza Kuwasili Kuhudhuria Mazishi ya Mkapa

VIONGOZI mbalimbali kutoka nje ya Tanzania wameanza kuwasili nchini kuhudhuria maziko ya kitaifa ya Rais wa awamu ya tatu wa...

READ MORE

Dkt. Abbas: WaTZ Mfike Uhuru Stadium Saa 12 – Video

MSEMAJI Mkuu wa Serikali, Dkt Hassan Abbas, amewataka Watanzania kujitokeza mapema katika Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam, kesho...

READ MORE

Majaliwa Aelekeza Kumuaga Mkapa Kesho – Video

WAZIRI Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa, ametoa melekezo ya shughuli ya kitaifa ya kuaga mwili wa...

READ MORE

Ndugai Ampa Pole Mama Anna Mkapa Nyumbani

SPIKA wa Bunge,  Job Ndugai, akisaini kitabu cha maombolezo alipofika nyumbani kwa Rais wa Awamu ya Tatu, Hayati Benjamin William...

READ MORE

Tundu Lissu Arejea Tanzania Baada ya Kupona

MAKAMU Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) – Bara, Tundu Lissu, amewasili nchini baada ya kuwa ughaibuni kwa...

READ MORE

Ratiba Kupokea Mwili wa Mkapa Yabadilika

MWILI wa Rais Mstaafu, Benjamin Mkapa, utawasili moja kwa moja kijijini Lupaso, mkoani Mtwara kesho jioni kutoka jijini Dar es...

READ MORE

Bunge la Somalia lamtimua Waziri Mkuu

  BUNGE la Somalia limepiga kura jana Jumamosi ya kumwondoa kwenye wadhifa wake Waziri Mkuu, Hassan Ali Khayre, ambaye ameendelea...

READ MORE

Mgombea Aangusha Kibuyu Akiomba Kura

KATIKA hali isiyokuwa ya kawaida, mmoja wa wagombea wa udiwani Kata ya Sungwizi, Katambi Sospeter,  alijikuta kwenye wakati mgumu baada...

READ MORE

Prof. Mahalu Aanika Mkapa Alivyomnusuru Kifungo

MAKAMU Mkuu wa Chuo Kikuu cha Mtakatifu Augustino, Profesa Costa Mahalu, amesema kifo cha Rais Mstaafu wa Awamu ya Tatu,...

READ MORE

Msemaji wa Serikali Akutwa na Virusi vya Corona

Msemaji wa Serikali ya Kenya, Cyrus Oguna amethibitisha kuwa na virusi vya Corona baada ya kufanya vipimo na kupatikana na...

READ MORE