×

Habari

Magufuli: Mliojenga Mabondeni Msilie Mafuriko – Video

RAIS John  Magufuli amewataka wananchi wote wote wanaojenga kwenye mabonde waache na waondoke wenyewe, wayaachie maji yapite na mabonde yatumike...

READ MORE

Wakenya Kunywa Soda, Maziwa na Vitafunio Mazishi ya Moi

WAOMBOLEZAJI katika mazishi ya rais wa zamani wa Kenya, Daniel arap Moi, wamehimizwa kuwahi mapema kwenye mazishi ili wapate maziwa...

READ MORE

Aliyenaswa wizi wa watoto atoa kioja kortini

BAADA ya mwishoni mwa mwaka jana kunaswa kwa wizi wa watoto wawili jijini Mbeya, Hawa Ally Mkalipa (40), mkazi wa...

READ MORE

Mashabiki 30,000 wamvaa Mondi!

DAR: Zaidi ya mashabiki 30,000 wa staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, wamemvaa jamaa huyo wakimtaka aachie wimbo...

READ MORE

MAMBO 12 USIYOYAJUA Kuhusu Moi

Stori: GABRIEL MUSHI NA AMINA SAID, Ijumaa WAKATI Wakenya na dunia kwa jumla wakiomboleza kifo cha aliyekuwa Rais wa Pili...

READ MORE

RC Mghwira Athibitisha Nzige Kuonekana Kilimanjaro – Video

Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Anna Mghwira, amesema kundi la nzige limeonekana jana Jumapili Februari 09, 2020 Wilaya ya Moshi...

READ MORE

Moi Alivyoitawala Kenya Miaka 24 kwa Mkono wa Chuma

MAPEMA wiki iliyopita rais wa pili wa Kenya, Daniel Arap Moi, ameaga dunia. Kifo chake kilitangazwa na Rais Uhuru Kenyatta,...

READ MORE

Umempa Sababu ya Kuwa na wWewe?

UKITAKA mpenzi wako akuchoke au umchoke, wewe ndiye mwamuzi, lakini pia ukitaka mpenzi asikuchoke au usimchoke wewe ndiye mwenye uamuzi...

READ MORE

Dembele nje msimu mzima

BARCELONA, Hispania | OUSMANE Dembele anatarajiwa kuwa nje ya uwanja msimu mzima baada ya kuumia tena mazoezini. Katika mazoezi ya...

READ MORE

Makamba, Kinana Wafika Kwenye Kamati ya Maadili Kuhojiwa

Makatibu wakuu wastaafu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Yusuf Makamba na Abdulrahman Kinana wamefika katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu...

READ MORE

Rais Magufuli Kuzindua Wilaya ya Kigamboni Kesho – Video

Rais Dkt. John Pombe Magufuli kesho February 11 kuanzia Saa Mbili Asubuhi anatarajiwa Kuzindua Rasmi Wilaya Mpya ya Kigamboni ambapo...

READ MORE

Aliyeiba Watoto Asema “Nilipewa na Kunguru” – Video

Baada ya mwishoni mwa mwaka jana kunaswa kwa wizi wa watoto wawili Jijini Mbeya. Hawa Ally (40) Mkazi wa Tegeta...

READ MORE

Tanzia: Nizar Khafan Afiwa na Mkewe

Mchezaji wa Rhino Rangers ya Tabora Nizar Khalfan amefiwa na mke wake (Pichani) jana Jumapili, Februari 9, 2020, mchana jijini...

READ MORE

Breaking: Hatimaye Sumaye Arejea CCM

WAZIRI Mkuu Mstaafu, Frederick Sumaye,  leo Februari. 10, 2020, ametangaza kurudi katika Chama Cha Mapinduzi (CCM). Desemba 4, 2019, Sumaye...

READ MORE

Tanzania Yalia na Mzigo wa Wakimbizi

TANZANIA imetaka Umoja wa Afrika na Jumuiya za Kimataifa kuongeza jitihada na nguvu katika kuleta amani katika maeneo yenye migogoro...

READ MORE

Serikali Yatoa Tamko Nzige Kuvamia Nchini

WAZIRI wa Kilimo, Japhet N. Hasunga (Mb) jana Jumapili anawafahamisha wakulima na wananchi kwa ujumla kuwa taarifa zinazoenea kwenye baadhi...

READ MORE

Wanajeshi Wavamia Bunge Wakishinikiza Kuidhinishiwa Mkopo

    WANAJESHI na maofisa wa polisi wenye silaha nchini El Salvador wamevamia bunge, wakitaka kuidhinishwa kwa mkopo wa dola...

READ MORE

Chuo Kikuu cha Colorado Kuanza Kutoa Digrii ya Bangi

    Chuo Kikuu cha Jimbo la Colorado eneo la Pueblo nchini Marekani kitaanza kutoa digrii katika masuala ya bangi...

READ MORE

Mchungaji Auza Mafuta ya Kuzuia Corona

Kiongozi wa Kanisa la International God’s Way la Ghana, Askofu Daniel Obinim ametangazia wafuasi wake kuwa anauza mafuta yanayoweza kuwakinga...

READ MORE

Waliofariki kwa Virusi vya Corona China Wafikia 811

IDADI ya waliokufa kutokana na maambukizi ya virusi vya Corona nchini China imeongezeka kwa vifo 89 na kufikia watu 811....

READ MORE

Mwamposa Asitisha Mafuta ya Upako

KIONGOZI wa Kanisa la Inuka Uangaze, Nabii na Mtume Boniface Mwamposa amesema kwa sasa amesitisha makongamano yote kutokana na tukio...

READ MORE

Isdory Ashinda Milioni 10 Kwa Kucheza emPawa17 na betPawa

Jinsi Isdory alivyoshinda kiasi kikubwa kwa kucheza emPawa17 na betPawa Isdory Mtayoba aligundua nguvu ya emPawa17 alivyoshinda TSh10,000,000 na tiketi...

READ MORE

NMB Yaahidi Kushirikiana na Serikali za Mitaa Kuleta Maendeleo

    Benki ya NMB inayoongoza kwa faida kubwa nchini, imeahidi kutumia bidhaa na huduma zake kuzisaidia serikali za mitaa...

READ MORE

Samatta Ataka Mabao 14 Aston Villa

MSHAMBULIAJI mpya wa aston Villa, Mtanzania, Mbwana Samatta amepanga kufunga katika kila mchezo wa Ligi Kuu England ‘Premier League’ kwa...

READ MORE

Thailand: Mwanajeshi Awaua Watu 20, Mwenyewe Auawa

Watu 27 wamefariki baada ya kupigwa risasi kiholela na mwanajeshi mmoja wa Thai katika mji wa Nakhon Ratchasima, maafisa wa...

READ MORE

SHEHE KISHKI AWATULIZA  WAISLAM

Mjumbe wa Kamati ya Amani Mkoa wa Dar es Salaam, na Mhadhiri wa Dini ya Kiislamu, Shehe Kishki leo amewatuliza...

READ MORE

Kili Canvas Yazinduliwa Rasmi Dar

Dar es Salaam Februari 7, 2020: Kampuni ya Bia Tanzania (TBL) kupitia Bia yake ya Kilimanjaro Premium Lager,  imezindua Kili...

READ MORE

NBC Yssaidia Waathirika Wa Mafuriko Lindi

  BENKI ya Taifa ya Biashara (NBC) imetoa misaada mbalimbali kwa waathirika wa mafuriko ya yaliyotokea mkoani Lindi Januari 27...

READ MORE

NABII Aliyemtabiria JPM Urais Atabiri Rais Mpya Burundi – Video

Kiongozi wa Kanisa la Ufunuo lililopo Kimara Bonyokwa Jijini Dar, Askofu Paul Bendera amezidi kuendeleza kazi yake ya utume na...

READ MORE

Mkurugenzi Mtendaji TPSF Atangaza Kujiuzulu

Mkurugenzi mtendaji wa Taasisi ya Sekta Binafsi Tanzania (TPSF), Godfrey Simbeye ametangaza kujiuzulu kuanzia Machi 31, 2020 baada ya kuitumikia...

READ MORE

Mr. Championi Awarudishia Wasomaji Pesa Zao Dar

Ikiwa sasa ni Takribani wiki ya tatu tangu Gazeti namba moja Tanzania la Michezo la Championi kuingia na kutoa fursa...

READ MORE

Rais JPM Atunuku Kamisheni Kwa Maafisa Wanafunzi 128 wa JWTZ

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, Dkt. John Pombe Magufuli akitunuku Kamisheni kwa Maafisa Wanafunzi...

READ MORE

Rais JPM Amwapisha Kanali Ibuge Kuwa Katibu Mkuu Mambo ya Nje

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimuapisha Balozi Kanali Wilbert Augustine Ibuge kuwa Katibu Mkuu...

READ MORE

Kenyatta na Mkewe Waaga Mwili wa Rais Moi

  Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta amewaongoza wananchi wa Kenya, kuuaga mwili wa aliyekuwa Rais wa nchi hiyo Daniel arap...

READ MORE

Malkia Karen Apiga Shoo ya Nguvu Sherehe ya Global Radio

WASANII wa muziki na Bongo Muvi  na wafanyakazi wa Global Group, kusiku wa  Februari 7, 2020, wamejumuika kusherehekea mwaka mmoja...

READ MORE

Shamra za Mwaka Mmoja wa +255 Global Radio Usipime (Picha +Video)

WADAU na wafanyakazi wa Global Group jana walijumuika kusherehekea mwaka mmoja wa redio ya kidijitali ya +255 Global Radio ambapo...

READ MORE