×

Habari

Ni Mnyama Gani Aliyesambaza Virusi vya Corona?

TAFITI za Kisayansi zimethibitisha kuwa kuna mnyama ambaye alimbaza virusi vya corona kutoka kwa popo hadi kwa binadamu. Shirika la...

READ MORE

WHO Yaikazia Madagascar Dawa ya Corona

SHIRIKA la Afya Duniani limesihi watu kutoweka imani zao kwa dawa za mitishamba zinazotengenezwa na wenyeji kwa misingi ya kudai...

READ MORE

Waandishi Watakiwa Kuandika Taarifa Sahihi Kuhusu Corona

Waandishi wa Habari nchi wametakiwa kuandika habari sahihi kuhusu virusi vinavyosababisha ugonjwa wa Corona (COVID-19) ili wananchi wapate taarifa ambazo...

READ MORE

Kenya Kuanza Majaribio ya Chanjo ya Corona kwa Binadamu

WANASAYANSI nchini Kenya wameungana na wenzao wa Kimataifa katika juhudi za kutafuta chanjo ya ugonjwa wa Covid-19, kwa kufanyia majaribio...

READ MORE

Jacob Ameshavuliwa Umeya, Aende Mahakamani – Waitara

NAIBU Waziri wa TAMISEMI, Mwita Waitara amesema kwa mujibu wa Barua iliyodaiwa kuwa ni ya Chadema iliyoandikwa kwa Mkurugenzi wa...

READ MORE

Corona Yamkimbiza Nonga, Ajichimbia Mbeya

PAUL Nonga, nahodha wa Klabu ya Lipuli, amesema kuwa kwa sasa amesepa ndani ya mkoa wa Iringa na kujichimbia Mbeya...

READ MORE

Nchi 13 Ambazo Hazijapata Maambukizi ya Corona

MPAKA kufikia Desemba mwaka 2019 homa ya kirusi cha corona ilikuwa nchini China tu. Lakini majuma machache baadaye ikaanza kusambaa...

READ MORE

Straika Orlando Akubali Dili la Simba

Straika STRAIKA wa kimataifa wa Zambia, Justin Shonga, amekubali kujiunga na Simba huku akitoa masharti kwa uongozi wa timu hiyo...

READ MORE

Museveni: Wanafunzi ‘Kuleni Bata’, Sifungui Shule

WIZARA  ya Afya imetangaza visa vipya vinane vya #COVID-19 nchini humo na idadi ya maambukizi imefikia 97. Sita kati ya...

READ MORE

Ukweli Maiti ya Corona Kuambukiza Corona

JANGA la mlipuko wa maambukizi ya Virusi vya Corona vinavyosababisha Ugonjwa wa COVID-19, limemfanya binadamu kushuhudia mambo ya kutisha mno....

READ MORE

Ndege ya Vifaa vya Kupambana na #Covid19 Yaua Watu 6

WAZIRI wa Usafirishaji, Mohamed Salad amesema ndege iliyokuwa imebeba vifaa vya misaada kwa ajili ya kukabaliana na janga la #CoronaVirus,...

READ MORE

Mama Mbaroni kwa Kutelekeza Watoto Shambani

POLISI mkoani Mwanza imemkamata Happiness Mafuru (23) kwa tuhuma ya kuwatelekeza watoto wake wawili katika majaluba ya mpunga majira ya...

READ MORE

Mabilioni Yachangwa Kutafuta Chanjo ya Corona

VIONGOZI wa dunia wameahidi kuchangisha Euro Bilioni 7.4 kwa ajili ya kufanya utafiti na kutengeneza chanjo dhidi ya virusi vya...

READ MORE

Gavana Kenya Apiga Marufuku Uuzaji Ng’ombe wa Tanzania

GAVANA wa Kajiado, Joseph Lenku, amefunga kabisa uuzaji wa ng’ombe katika kaunti hiyo kutoka Tanzania kutokana na visa vya maambukizi...

READ MORE

Mtoto wa Miezi 6 Akutwa na Virusi vya Corona

WIZARA ya Afya nchini Kenya imetangaza ongezeko la visa 25 vya #COVID19 baada ya sampuli 1,012 kufanyiwa vipimo na kufanya...

READ MORE

Tanzia: Dkt. Lamwai Afariki Dunia

MWANASIASA na mwanasheria mkongwe, Dkt. Masumbuko Lamwai amefariki dunia usiku wa kuamkia leo Mei 5, 2020.   Dkt. Lamwai aliwahi...

READ MORE

Mbunge Aliyetangazwa Kuwa na #Coronavirus Anaendelea Vizuri

Spika wa Bunge, Job Ndugai amesema Mbunge aliyetangazwa kuwa na maambukizi ya #CoronaVirus mwezi uliopita anaendelea vizuri na anasubiri vipimo...

READ MORE

RC Makonda: Kuhakiki Taarifa za Mpiga Kura Dar Mwisho Leo

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam,  Paul Makonda leo Mei 3, 2020 amewataka wakazi wa Dar es Salaam ambao...

READ MORE

Bifu Kwisha! Kusaga Aagiza Nyimbo za Diamond Zipigwe Clouds

MKURUGENZI Mtendaji wa Clouds Media Group, Joseph Kusaga amemaliza bifu lililokuwepo kati ya chombo hicho cha habari pamoja na msanii...

READ MORE

Wabunge Chadema Wakaidi Agizo la Mbowe, Watinga Bungeni

WABUNGE watatu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) wapo bungeni leo wakiendelea na kazi ya kuwakilisha wananchi wao bungeni...

READ MORE

RC Makonda Atangaza Vita na Wanaopandisha Bei ya Sukari – Video

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Mhe. Paul Makonda leo ametangaza vita na wafanyabiashara wanaouza sukari kwa bei ghali...

READ MORE

Ummy Amsimamisha Kazi Mkurugenzi Maabara ya Taifa

KUFUATIA hotuba ya Rais  John Magufuli aliyoitoa jana Mei 03, 2020, Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu amemwagiza Katibu Mkuu wa...

READ MORE

Maambukizi Corona Yafikia Mil. 3.5 Duniani

MAAMBUKIZI ya virusi vya Corona duniani yamefikia watu milioni 3.5 leo Jumatatu, Mei 4, 2020, wakati idadi ya vifo vinavyosababishwa...

READ MORE

Wenye Virusi vya Corona Uganda Wafika 89

WIZARA ya Afya nchini Uganda imesema kuna ongezeko la mgonjwa mmoja wa corona na kufanya jumla ya maambukizi kufikia 89...

READ MORE

INFINIX NOTE 7 SIMU YENYE TEKNOLOJIA KALI KUZIDI ZOTE KWA MWAKA 2020.

Dar es Salaam, Tanzania-5/5/2020: Kupitia kurasa zao pendwa za mitandao ya kijamii @infinixmobiletz kampuni ya simu ya Infinix imezindua rasmi...

READ MORE

Aua Watoto Wake 2 Baada ya Kugombana na Mama Yake Mzazi

POLISI katika Kaunti ya Nairobi wanachunguza kisa ambapo mama mmoja mwenye umri wa miaka 24 aliwadunga kisu na kuwaua wanawe...

READ MORE

Corona: Hispania Yalegeza Masharti, Watu Waanza Kutoka Nje

WANANCHI nchini Hispania, wameruhusiwa kuanza kutoka nje baada ya kukaa ndani kwa siku 48 kufuatia mlipuko wa virusi ya Corona...

READ MORE

Korea Kaskazini na Korea Kusini Zashambuliana kwa Risasi

SERIKALI ya Korea Kusini imesema jana wanajeshi wake wamefyatuliana risasi na wanajeshi wa Korea Kaskazini katika eneo lisilo na shughuli...

READ MORE

Jamii Yashauriwa Kuwatumia Wasaidizi wa Kisheria

Jamii nchini imeshauriwa kutumia fursa ya wasaidizi wa kisheria ambao wapo nchi nzima ili kupata msaada na ushauri wa kisheria...

READ MORE

Wagonjwa wa Corona Kenya Wafikia 465

WIZARA ya afya nchini Kenya imethibitisha maambukizi mapya 30 ya virusi vya corona baada ya sampuli 883 kufanyiwa vipimo katika...

READ MORE

Mbunge Koka Akabidhi Baiskelii 95 Jimboni Kwake, Azungumza..

MBUNGE wa Jimbo la Kibaha Mjini, Slyvestry Koka, amekabidhi Baiskeli 95 zenye thamani ya Shilingi Milioni 25 kwa Viongozi wa...

READ MORE

Breaking: Mchungaji Peter Mitimingi Afariki Dunia

Mchungaji Dkt. Peter Mitimingi amefariki usiku wa kuamkia leo Mei 4, 2020  jijini Aruaha alikuwa ni kiongozi wa Kanisa la...

READ MORE

Teknolojia Inavyotuwezesha Kuendesha Maisha na Biashara

Hali inaonesha kwamba, nchi nyingi duniani zimeathirika na homa ya kirusi cha korona na athari hizi huenda zikabaki katika maisha...

READ MORE

Serikali Yatoa Tamko Mazishi Usiku

  Wizara ya Afya, Maendeleo Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto imesema hakuna haja ya maiti iliyofariki kwa Ugonjwa wowote ule...

READ MORE

JPM Amteua Brigedia Jen. Mhidize Kuwa Mkuu wa MSD

Rais Magufuli amemteua Brig.Jen Dkt.Gabriel Sauli Mhidize kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Bohari ya Dawa (MSD) kuanzia leo Mai 03l 2020...

READ MORE

Niokoeni Nakufa Najiona

DAR: NI mateso na maumivu makali anayopitia Amina Mohamedi Mwiru (32) mkazi wa Mbagala Kiburugwa ambaye amepatwa na tatizo la...

READ MORE

Rais Magufuli Amuapisha Mwigulu Kuwa Waziri Wa Katiba Na Sheria (Picha +Video)

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli leo Mei 3, 2020 amuapisha Dkt. Mwigulu Lameck...

READ MORE

Video: Rais Magufuli “Fenesi, Mbuzi Nao Wana Corona”

 Rais Dk John Magufuli haamini usahihi wa majibu ya vipimo katika Maabara Kuu ya Serikali kuhusu ugonjwa wa corona....

READ MORE

Video: Rais Magufuli Aagiza Dawa ya Corona Madagascar

 Rais Dkt. John Magufuli leo Mei 3, 2020 amesema amefanya mawasiliano na nchi ya Madagascar ambayo imegundua dawa ya...

READ MORE