×

Habari

Mahakama Yatengua Hukumu ya Kifungo cha Sugu

WAKILI Peter Kibatala leo Oktoba Ijumaa, Oktoba 11, 2019  amesema Mahakama Kuu Kanda ya Mbeya imetengua hukumu ya kifungo cha...

READ MORE

Basata Yamuita Msanii Menina -Video

Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) imemtaka Msanii Menina kufika kwenye ofisi zake za BASATA zilizopo Ilala Shariff Shamba Leo...

READ MORE

Ofisi ya Kikwete Yafafanua Hotuba Yake

OFISI ya Rais Mstaafu, Jakaya Kikwete, imeeleza masikitiko yake kuhusu upotoshaji unaofanywa na baadhi ya watu kuhusu hotuba aliyoitoa kwenye...

READ MORE

VIDEO: RAIS MAGUFULI AZUNGUMZA MKOANI KATAVI

 Rais Dkt John Magufuli leo Oktoba 11, ameweka jiwe la msingi katika mradi wa umeme wa kuunganisha mkoa wa...

READ MORE

Taarifa Muhimu Kwa Wana CCM Kuhusu Uchaguzi Wa Serikali Za Mitaa Na Vijiji 2019

Chama Cha Mapinduzi (CCM) kinapenda kuujulisha umma wa wanachama wa CCM kuwa mchakato wa kupata wana CCM watakao simama katika...

READ MORE

NMB YAKABIDHI VIFAA VYA MICHEZO TIMU ZA JWTZ

    BENKI ya NMB imekabidhi vifaa vya michezo kwa timu ya Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ) ikiwa ni udhamini...

READ MORE

Magazeti ya Tanzania Leo Ijumaa, Oktoba 11, 2019

Hapa tumekuanikia kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo Oktoba 10, 2019. Ni yale ya...

READ MORE

Mahakama Yaendelea Kusikiliza Mashauri kwa ‘Video Conference’

Naibu Msajili wa Mahakama ya Rufaa, Mhe. Amir Msumi (katikati) akifuatilia kesi kwa njia ya mtandao ‘Video Conference’ katika ukumbi...

READ MORE

Straika Yanga SC: Hatushindani na Simba

LICHA ya Yanga kupitwa pointi nane na watani zao Simba kwenye msimamo wa Ligi Kuu Bara, straika wa Yanga, Mzambia...

READ MORE

Makamu wa Rais Ashtukiza Hospitali ya Mkoa Dodoma

MAKAMU wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan,amemuagiza Meneja Msaidizi wa Usimamizi wa Rasilimali za...

READ MORE

Taarifa ya HESLB Kuhusu Wanafunzi Waliokosea Kuomba Mikopo

Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu-HESLB  imetoa taarifa mpya kwa wanafunzi waliokosea wakati wa kufanya maombi ya Mikopo yao...

READ MORE

Mkurugenzi Tigo Akutana na Wateja Wiki ya Huduma

Karikari akimwongoza mteja katika duka la Tigo Mlimani City kukata keki ya kusherehekea wiki ya Huduma Kwa Wateja pamoja na...

READ MORE

JPM: Ningetaka Utajiri Ningekuwa Bilionea – Video

Rais Dkt John Magufuli, leo Oktoba 10, 2019 anaendelea na ziara yake mkoani Katavi ambapo ameweka jiwe la msingi katika...

READ MORE

Maajabu ya Mwanamke Aliyezaliwa na Miguu Minne

JOSEPHINE MYRTLE CORBIN,  mrembo kutoka Jimbo la Texas, Marekani, alizaliwa siku ya Mei 12, 1868 akiwa na miguu minne. Pamoja...

READ MORE

PM Majaliwa Ahitimisha Mbio za Mwenge Ruangwa

MWENGE wa Uhuru uliokuwa unakimbizwa wilayani Ruangwa, mkoani Lindi umemaliza mbio zake na kukabidhiwa wilayani Nachingwea.   Kiongozi wa mbio...

READ MORE

Mwalimu Mtuhumiwa Kumpa Mimba Denti Aachiwa Tena

MAHAKAMA ya Hakimu Kazi Mkoa wa Kigoma, imemwachilia huru kwa mara nyingine Mwalimu Mkuu wa Shule ya Msingi Nyantore, katika...

READ MORE

Rugemalira, Singasinga Watubu kwa DPP, Huenda Wakaachiwa

WAFANYABIASHARA James Rugemalira na Habinder Sethi ‘Singasinga’ ambao pia ni wamiliki wa kampuni ya kufua Umeme ya IPTL, wamedaiwa kuandika...

READ MORE

Ombaomba Afariki, Aacha Sarafu Zinazohesabiwa Kwa Saa 8

OMBAOMBA mmoja nchini India amefariki na kuacha sarafu zilizohesabiwa kwa saa nane. Polisi wametumia muda huo kuhesabu sarafu hizo zilizoachwa...

READ MORE

Lissu Amaliza Matibabu, Asitisha Kurejea Tanzania – Video

ALIYEKUWA Mbunge wa Singida Mashariki (CHADEMA) na Mnadhimu wa Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni, Tundu Lissu, ambaye alinusurika kuuawa miaka...

READ MORE

Rwanda Yaanza Kuunda Smartphone Zake

KAMPUNI ya Mara nchini Rwanda imezindua simu mbili za kisasa, (smartphones) ikiwa ni nchi ya kwanza ‘kutengeza aina hiyo ya...

READ MORE

Wabrazil Simba wamhenyesha Wawa

BEKI wa Simba Muivory Coastal, Pascal Serge Wawa amesema changamoto kubwa anayokutana nayo ni mawasiliano kati yake na Wabrazil, Tairone...

READ MORE

JPM Ashuhudia Viboko Hifadhi ya Katavi – Video

RAIS  John Magufuli ameonyesha kwa vitendo maana ya utalii wa ndani kwa kutembelea Hifadhi ya Taifa ya Katavi. Amtembelea hifadhi...

READ MORE

Coca-Cola Kwanza Yadhamini Matembezi Ya Hisani

Kampuni ya vinywaji baridi ya Coca-Cola Kwanza inadhamini kwa mara ya nne mfululizo matembezi ya kilomita 5 yenye lengo la...

READ MORE

Mhadhiri Alivyonaswa Akidaiwa Kuomba Rushwa ya Ngono

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu, imeelezwa kuwa maafisa wa Takukuru walimkuta Mhadhiri Msaidizi wa Chuo cha Taifa cha Usafirishaji (NIT),...

READ MORE

‘Mpemba wa Magufuli’ Aandika Barua Kukiri kwa DPP

MFANYABIASHARA Yusufu Ally, maarufu kwa jina la Mpemba wa Magufuli na wenzake,wanaokabiliwa na mashitaka ya uhujumu uchumi ikiwemo kujihusisha na...

READ MORE

Makonda Azindua Mfumo wa Kutoa Kero Kidigitali – Video

MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda,  jana Oktoba 9, 2019 alizindua mfumo wa kuwawezesha wananchi wa mkoa...

READ MORE

NMB Yawahakikishia Wateja Wake Wakubwa Huduma Bora

      BENKI ya NMB imewahakikishia wateja wakubwa nchini huduma bora na timilifu kulingana na mahitaji yao ya kifedha,...

READ MORE

Bi. Samia Ajiandikisha Kupiga Kura Dodoma – Pichaz

MAKAMU wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan,amewataka wananchi kujitokeza kwa wingi kujiandikisha kwenye daftari...

READ MORE

Wachina Waliokiri Kusafirisha Kucha za Simba Waachiwa Huru – Video

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu imewahukumu Raia wawili wa China, Li Ling na Chen Guo kulipa faini ya Tsh.Mil 70...

READ MORE

Wasomaji Buguruni Chama Waeleza Furaha Yao Kuhusu Betika

MAPEMA leo Jumatano, timu ya maofisa masoko ya Global Publishers imetembelea maeneo ya Buguruni Chama na maeneo ya Kariakoo Dar...

READ MORE

Uturuki: Maandalizi ya Kuishambulia Syria Yamekamilika

Baada ya Marekani kuamuru vikosi vyake vya Kijeshi vilivyokuwa Syria mpakani mwa Uturuki viondoke, Uturuki imesema imekamilisha maandalizi ya mashambuli...

READ MORE

Katavi: Aliyjenga Kituo cha Afya Avunja Madirisha ‘Sijalipwa’

MKANDARASI aliyefahamika kwa Borniface Exavery, aliyetengeneza madirisha ya Aluminium na kuyapachika katika Kituo cha Afya cha Katumba, amevunja madirisha hayo...

READ MORE

Amnyoa Kipara Mkewe Alipokuta Nywele Kwenye Chakula

BABLU MONDAL mwenye umri wa miaka 35 mkazi wa Joypurhat, nchini India, amemnyoa mkewe upara baada ya kukuta nywele kwenye...

READ MORE

Mhubiri Afurumushwa kwa Kuwaita Wanawake ‘Ibilisi’

SERIKALI ya Rwanda imesema Mhubiri na Mmiliki wa Kituo cha Redio cha Amazing Grace, raia wa Marekani, Gregg Schoof, aliyekamatwa...

READ MORE

Bobi Wine Awatoroka Polisi Kwa Bodaboda – Video

MWANAMUZIKI ambaye ni mwanasiasa pia, Robert Kyagulanyi, maarufu Bobi Wine, amefanikiwa kutoroka ulinzi mkali wa polisi uliokuwa ukizingira nyumba yake...

READ MORE

Polisi apigwa mawe hadi kufa

MAOFISA wa polisi nchini Malawi wamemtaja ofisa aliyeuawa siku ya Jumanne wakati wa ghasia za maandamano dhidi ya serikali huko...

READ MORE

Airtel Yaungana na Serikali Maandalizi Maandhimisho ya Miaka 20 Kumbukumbu ya Baba wa Taifa

  KAMPUNI ya simu za mkononi ya Airtel imeungana na Serikali kupitia ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Lindi kwenye...

READ MORE

Meja Jenerali Kingu Asisitiza Uwajibikaji Wizarani

  KATIBU Mkuu Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Meja Jenerali Jacob Kingu, ametoa wito kwa wakuu wa idara...

READ MORE

DAWA ZA KULEVYA ZILIVYOTEKETEZWA LAIVU!

MAMLAKA ya kudhibiti na kupambana na dawa za kulevya nchini (DCEA) jana Oktoba 8, 2019,  kwa kushirikiana na Ofisi ya...

READ MORE