×

Habari

Video: Baba Wa Martha – “Kuhusu Mtoto Alinificha, Ila Nimemlea Vyema”

 Ni Huzuni kubwa na simanzi imetanda kwa familia ya Mchekeshaji, Martha, aliyefariki dunia jana Septemba 11, kutokana na ugonjwa...

READ MORE

Tigo yazindua Huduma ya ‘Office Internet’ kwa wafanyabiashara

Ni huduma ya intaneti yenye kasi inayokwenda sambamba na mfumo wa kisasa wa kibiashara kutoka Microsoft Kampuni ya simu ya...

READ MORE

Boxer Abadili Mfumo Yanga

KUTOKANA na kuumia kwa beki Paul Godfrey ‘Boxer’ kumemlazimisha Kocha Mkuu wa Yanga, Mwinyi Zahera kubadili mfumo wa 4-4-2 na...

READ MORE

Rufaa Ya Yanga Yakwama TFF

ILE rufaa ya Yanga waliomkatia kocha wake, Mwinyi Zahera, kupinga faini aliyopigwa ya kutoa shilingi laki tano na kusimamishwa mechi...

READ MORE

KCB BANK YAENDELEA KUSIMAMA NA WAFANYABIASHARA WADOGO NA WA KATI (SME)

  Benki ya KCB Tanzania yaendelea kusimama na wafanyabiashara wadogo na wa kati kwa kuandaa kongamano la pili la KCB...

READ MORE

Wanawake 4, Njemba Mmoja Jela Miezi 6 kwa Ukahaba – Video

WANAWAKE 4 na Mwanaume mmoja anaedaiwa kuwa ni mteja wao wamehukumiwa kifungo cha miezi 6 na Mahakama ya Mwanzo Makole,...

READ MORE

AZIMIA AKIMUOMBA PENZI MUME WA MTU!

NANI kasema wanawake hawawezi kuwatongoza wanaume? Mjini Morogoro mwanamke mmoja (jina halikupatikana) amejikuta akizimia wakati akimuomba penzi mume wa mtu. ...

READ MORE

MAITI YACHUNWA NGOZI MOCHWARI

SISI hatuhusiki waulizeni wale! Ndivyo Jeshi la Polisi mkoani Singida na uongozi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wanavyotupiana mpira...

READ MORE

JPM Apokea Magari 40 Yaliyoletwa na Jeshi la China kwa JWT – Video

Rais wa Tanzania, Dkt John Pombe Magufuli leo Alhamisi, Septemba 12, 2019 ameshuhudia makabidhiano ya Magari 40 kwa JWTZ kutoka...

READ MORE

LIVE: Mwili wa Rais Mugabe Ukiagwa Zimbabwe

MWILI wa aliyekuwa Rais wa Zimbabwe na muasisi wa taifa hilo, Robert Gabriel Mugabe, umeagwa leo Alhamisi, Septemba 12, 2019...

READ MORE

Makamu Wa Rais Asaini Kitabu Cha Maombolezo Ubalozi Wa Zimbabwe

(Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)

READ MORE

BREAKING: JPM Amteua Diwani Kuwa Mkurugenzi Mkuu Usalama

RAIS  wa Tanzania, John Magufuli, amemteua na kumuapisha Diwani Athuman kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Usalama wa Taifa kuchukua...

READ MORE

Mauaji ya Akwilina… Mbowe, Wenzake Wana Kesi ya Kujibu – Video

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu imewakuta na kesi ya kujibu viongozi tisa wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) akiwemo...

READ MORE

Majeruhi Ajali ya Moto Moro, Watoka Muhimbili – Video

HOSPITALI ya Taifa Muhimbili (MNH) imethibitisha kuwa, majeruhi watatu kati ya 11 wa ajali ya moto Morogoro waliokuwa wamelazwa hospitalini...

READ MORE

Kabendera Apooza, Mahakama Yatoa Maelekezo – Video

KESI inayomkabili mwanahabari Erick Kabendera imeahirishwa hadi Septemba 18, mwaka huu, ambapo Hakimu wa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Augustine...

READ MORE

Benki ya NBC yasaidia ujenzi wa kituo cha polisi Lindi

Mkuu wa Wilaya ya Lindi, Shaibu Ndemanga, akishikana mikono na Meneja wa Tawi la NBC Mkoa wa Lindi, Iovin (kulia) wakati...

READ MORE

Wahitimu wa Akademi ya MultiChoice Watinga Bungeni

Wanafunzi wanne waliohitimu hivi karibuni mafunzo maalum ya uzalishaji filamu chini ya programu ya MultiChoice Talent Factory wamehudhuria kikao cha...

READ MORE

Tigo Tanzania Yaendelea Kuunganisha Maeneo ya Vijijini

 Mkurugenzi Mtendaji wa TIGO, Bw. Simon Karikari, akisaini mkataba utakaowezesha kusambaza Mawasiliano kwa wote hususani vijijini, kushoto ni Afisa Mtendaji Mkuu (CEO),...

READ MORE

Mwili wa Mugabe Wawasili Zimbabwe

MWILI wa aliyekuwa kiongozi wa Zimbabwe, Robert Mugabe, umewasili katika uwanja mkuu wa ndege nchini humo ambapo siku ya mazishi...

READ MORE

Hakimu Dar Kortini kwa Tuhuma za Rushwa – Video

TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) Mkoa wa Kinondoni, jana Jumatano, Septemba 11, 2019, iliwafikisha mahakamani watuhumiwa watatu...

READ MORE

UTAJIRI ALIOUACHA MUGABE USIPIMEE!

WAKATI Zimbwabwe na Afrika nzima ikiendelea kuomboleza msiba wa kiongozi wake shupavu, Rais wa pili wa nchi hiyo, Robert Gabriel...

READ MORE

Miss Tanzania 2019 Aahidi Kutumia Kiswahili Miss World

WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa amemtaka Miss Tanzania 2019, Sylivia Bebwa (19) ahakikishe anakuwa balozi mzuri wa kutangaza vivutio vya utalii...

READ MORE

Mwili wa Shabiki wa Stars Aliyefariki Uwanjani – Video

SHABIKI Christopher Rupia aliyefariki uwanjani wakati Taifa Stars ikicheza dhidi ya Burundi Septemba 8, mwaka huu amezikwa leo Ukonga Jijini...

READ MORE

TANZIA: Waziri wa Kikwete Afariki Dunia

ALIYEWAHI kuwa Waziri wa Uchukuzi katika Serikali ya awamu ya nne ya Rais Jakaya Kikwete, na Mwenyekiti wa Bodi ya...

READ MORE

JPM Ateua Mkuu Mpya wa JWTZ

RAIS Magufuli amemteua Brigedia Jenerali Charles Mbuge kuwa Mkuu wa JKT. Mbuge anachukua nafasi Meja Jenerali Martin Busungu ambaye ameteuliwa...

READ MORE

Chatu Aliyeonekana Chato Achukuliwa – Video

NYOKA mkubwa aina ya chatu ambaye hivi karibuni alizua gumzo baada ya kuonekana Kitongoji cha Iseni, Kijiji cha Kijiji cha...

READ MORE

Straika Zesco Avujisha Siri Yanga

BENCHI la Ufundi la Yanga lililo chini ya Kocha Mkuu Mkongomani, Mwinyi Zahera, limepanga kumtumia straika wa zamani wa Zesco,...

READ MORE

Tanzia: Mchekeshaji Boss Martha Kutoka ‘Cheka Tu’ Afariki Dunia

MCHEKESHAJI (Stand Up Comedian) aliyepata umaarufu kupitia kipindi cha Cheka Tu kinachoongozwa na Coy Mzungu, Boss Martha, amefariki dunia mapema...

READ MORE

Msanii Prezzo Ateuliwa Kugombea Ubunge – Pichaz

MSANII wa muziki wa Hip Hop nchini Kenya, Jackson Makini, almaarufu kwa jina la Prezzo, ametangaza rasmi kuingia kwenye siasa...

READ MORE

BUNGE LA RIDHIA ITIFAKI YA ZIADA YA NAGOYA – KUALA LUMPUR

Bunge la Tanzania hii leo limeridhia Itifaki ya ziada ya Nagoya – Kuala Lumpur juu ya uwajibikaji wa kisheria na...

READ MORE

Sabaya Awatia Ndani Wahasibu ‘Waliopiga’ Ada za Wanachuo – Video

SAKATA la wanachuo wa Chuo cha Ualimu Moshi limechukua taswira mpya baada ya Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole...

READ MORE

Jafo Atangaza Watumishi Watakaosimamia Uchaguzi wa Serikali za Mitaa

WATUMISHI wa Umma 184 watasimamia Uchaguzi wa Serikali za Mitaa unaotarajiwa kufanyika Novemba mwaka huu kutoka kada mbalimbali wakiwamo Wakuu...

READ MORE

JPM Aagiza Askari Mwanamke Apandishwe Cheo

RAIS John Magufuli ameagiza polisi wa kike, WP 4160 Beatrice Kayuni Mlanzi, kupandishwa cheo kutoka Koplo na kuwa Sajenti baada...

READ MORE

NMB YAKABIDHI MSAADA VIFAA TIBA KITUO CHA AFYA CHA JKT MPWAPWA

      Benki ya NMB imeendelea kuwa mkombozi kwenye Jamii maeneo mbalimbali hapa Nchini kutokana na kutoa misaada sehemu...

READ MORE

Bilionea Jack Ma Aachia Ngazi Kampuni za Alibaba

SHANGHAI (Reuters) — Mwenyekiti na mwaznilishi wa Makampuni ya China yaa Alibaba Group, Jack Ma, ameachia ngazi katika kampuni hilo...

READ MORE

JPM Amjulia Hali Askofu Ruwa’ichi Aliyelazwa MOI – Video

  RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli amjulia hali Askofu Mkuu wa Jimbo Katoliki...

READ MORE

Aliyemchoma Mkewe na Magunia ya Mkaa, Upelelezi Wakamilika – Video

KESI ya aliyemuua mkewe kwa kumchoma na magunia mawili ya mkaa, Said Luwongo iko mbioni kuelekea mwisho baada ya wakili...

READ MORE

NECTA Yatoa Onyo Mtihani wa Darasa la Saba Kesho – Video

Katika kuelekea mtihihani wa Kuhitimu Elimu ya Msingi,Walimu wa shule za Msingi Nchini, wameshauriwa kuwa Waaminifu na Watulivu katika kipindi...

READ MORE

BUNGE LA RIDHIA MKATABA WA MINAMATA KUHUSU ZEBAKI

    Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. George Simbachawene amesema inakadiriwa kuwa asilimia...

READ MORE

VODACOM WASAIDIA WAJASIRIAMALI CHIPUKIZI

Kampuni ya huduma za simu za mkononi ya Vodacom ikishirikiana na Smart Lab wameamua kurudisha kwa jamii kwa kuwasaidia wajasiriamali...

READ MORE