×

Habari

RC HAPI AWAJIBU WAANDISHI: “WEWE NANI UNANIPA SIKU 7” – VIDEO

RC wa Iringa Ally Hapi akizunguzmia sakata la Chama cha Wanahabari wa Mkoa wa Iringa kumpa siku 7 aombe radhi...

READ MORE

Wanafunzi Watatu Wafariki Ziwa Victoria, Wawili Walazwa Chato – Video

WANAFUNZI watatu wa kidato cha nne katika Shule ya Sekondari Makurugusi, wilayani Chato Mkoa wa Geita wamepoteza maisha baada ya...

READ MORE

Wanne Wapandishwa Kizimbani kwa Kuchapisha Maudhui YouTube

Serikali imewafikisha mahakamani watu wanne kujibu shtaka la kuchapisha maudhui katika mtandao wa YouTube bila kibali kutoka Mamlaka ya Mawasiliano...

READ MORE

BETIKA NA IDD EL FITRI NDANI YA GOBA , MAKONGO JUU

IKIWA leo Jumatano Waislamu duniani wakisherehekea Sikukuu ya Eid El Fitri, kama kawaida Gazeti la Betika halikuwa nyuma katika kuwafikia...

READ MORE

Waziri Mkuu: Waislamu Tendeni Mema Siku Kuu ya Eid el Fitr

WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa amewataka Waislamu wote nchini watumie siku kuu ya Eid el Fitr kwa kutenda matendo mema pamoja...

READ MORE

Kilimanjaro Challenge Yazinduliwa; GGM, Tacaids Zapata Bil 1.5 Kudhibiti Ukimwi

NAIBU Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Faustine Ndugulile jana 4, Juni 2019, amezindua zoezi...

READ MORE

UTALIA: MTOTO Atembea kwa Tumbo, Utamuonea Huruma! – Video

Mtoto Warda Saleh mkazi wa Tandale jijini Dar es Salaam ameteseka kwa muda mrefu kutokana na hali yake ya ulemavu...

READ MORE

INATISHA! KADA CHADEMA AUAWA NA MKEWE NA BINTIYE! – VIDEO

  TUKIO ambalo ni gumzo katika Mji wa Morogoro maeneo ya Chamwino ni la mauaji ya kada wa Chama cha...

READ MORE

Rais Magufuli Azungumza na Makatibu Tawala, Makatibu Tarafa Ikulu

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Makatibu Tawala wa Wilaya zote pamoja...

READ MORE

Timbwili Kortini: Mmiliki wa Shule ya Scolastica na Baba wa Marehemu – Video

SHUGHULI ilikuwa pevu wakati mmiliki wa Shule ya Scolastica, Edward Shayo akipelekwa gerezani jana, ilikuwa ni tafrani kwenye viwanja vya...

READ MORE

ARUSHA: Mwalimu Akamatwa na Bunduki ya Kivita – Video

Jeshi la polisi Arusha limemkata Solomon Letato (30) ambaye ni mwalimu wa Shule ya Msingi Naan iliyopo Loliondo kwa tuhuma...

READ MORE

HESLB Yafungua Maombaji ya Mikopo ya Wanafunzi Vyuo Vikuu 2019/2020

Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) imetangaza mwongozo wa utoaji mikopo kwa mwaka wa masomo 2019/2020...

READ MORE

DSTV WAIPA TANO ZA KUTOSHA GLOBAL GROUP

Ofisa Masoko wa Multchoice Tanzania, Shumbana Walwa  akisani kitabu cha wageni katika ofisi ya Global Group leo Sinza Mori jijini...

READ MORE

Rwanda, Uganda Washerehekea Eid al-Fitr Leo

WAISLAM nchini Rwanda na Uganda hii leo (Jumanne Juni 4, 2019) wanasherehekea sikukuu ya Eid al-Fitr na kuadhimisha kukamilika kwa...

READ MORE

Ishu ya Kapombe Kuumia, Mwenyewe Aanika Ukweli

BAADA ya taarifa iliyotolewa na Ofisa Habari wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Cliford Ndimbo, kuhusu hali ya beki wa...

READ MORE

MANARA: Mwaka Huu Nilitaka Kuachana na Usemaji wa Simba – Video

MSEMAJI wa klabu ya Simba ambao ni mabingwa wa soka Tanzania Bara, Haji Manara, amesema ilibaki kidogo tu mwaka huu...

READ MORE

Mlinzi wa Shule Aliyemuua Mwanafunzi Ahukumiwa Kifo – Video

MAHAKAMA Kuu Kanda ya Moshi imemhukumu kunyongwa hadi kufa mlinzi wa Shule ya Sekondari ya Scolastica, Hamis Chacha (30), baada...

READ MORE

HASHIM RUNGWE Alivyoripoti Polisi, Adai Watapata Shida – Video

MWENYEKITI wa Chama cha Umma (CHAUMA), Hashim Rungwe,  amehojiwa na Kamanda wa Polisi Kinondoni katika Kituo cha Polisi, Oyster Bay...

READ MORE

MAKONDA AKIWAKABIDHI MAMILIONI WACHEZAJI WA SIMBA – VIDEO

MKUU wa Mkoa wa Dar, Paul Makonda ametekeleza ahadi ya kutoa zawadi kwa wachezaji ambao walishinda Tuzo za Mo Simba...

READ MORE

Rais Magufuli Akutana na Gwajima Ikulu – Video

RAIS John Magufuli amekutana na kuzungumza na Askofu Mkuu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima Dkt. Josephat Gwajima leo Juni...

READ MORE

Wizara ya Fedha Yaomba Bajeti ya Tsh Trilioni 11.94

UTANGULIZI  Mheshimiwa Spika, kutokana na    taarifa iliyowasilishwa ndani ya Bunge lako Tukufu na Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Bajeti,...

READ MORE

Aliyekimbiwa na Mumewe Kwa Kujifungua Mapacha Wanne, Apewa Mil 32 Bungeni

MAMA aliyejifungua watoto mapacha wanne Radhia Solomon (24) mkazi wa Chemchemi Magomeni jijini Dar es Salaam na kutelekezwa na mmewe...

READ MORE

UBAKAJI WANAWAKE USIKU… TELEZA WA KIGOMA NI ZAIDI YA POPOBAWA!

ACHANA na habari za propaganda za popobawa kuwaingilia watu usiku na kuwanyanyasa kingono zilizokuwa zikivuma miaka ya nyuma, sasa kuna...

READ MORE

GGM, TACAIDS Kuzindua Kilimanjaro Challenge Ili Kutokomeza Ukimwi

Mgodi wa Dhahabu wa Geita (GGM) kwa kushirikiana na Tume ya kuthibiti UKIMWI Tanzania (TACAIDS) inatarajia kuzindua zoezi la upandaji...

READ MORE

Taarifa ya Seriali Kuhusu Mjamzito Aliyepasua Tumbo Lake na Kutoa Mtoto

Kuanzia Mei 30, 2019 kuna taarifa zilizosambaa na kutolewa na baadhi ya vyombo vya habari na mitandao ya kijamii kuhusu...

READ MORE

Wazir TAMISEMI azitaka Halmashauri kununua hisa za DCB 

  WITO umetolewa kwa halmashauri zote nchini kununua hisa za Benki ya Biashara ya DCB kwani licha ya kupata faida...

READ MORE

ALIYEFANYA KAZI NA MAITI MIAKA 32 AFUNGUKA MAZITO

BASIL ENATU (57) ambaye ni mhudumu wa chumba cha kuhifadhia maiti katika hospitali ya Soroti chini Uganda, amesema kuwa anafurahi...

READ MORE

Ray Vanny anogesha ubingwa wa Liverpool Dar

      WAKATI mashabiki wa Liverpool wakishangilia kwa msisimko baada ya timu yao kutwaa Kombe la Klabu Bingwa Ulaya...

READ MORE

Taasisi za fedha zatakiwa kuchangamkia viwanda vya usindikaji maziwa

Katibu Mkuu wa Wizara ya Mifugo, Prof. Elisante Ole Gabriel amezitaka taasisi za fedha nchini kuchangamkia fursa ya soko la...

READ MORE

NMB YATOA NAFASI KWA WATU WATANO WENYE ULEMAVU

Mtaalamu Mwandamizi wa Vipaji, Mafunzo na uendelezaji wa benki ya NMB, Edith Mwiyombela, kizungumza wakati wa ziara ya mafunzo iliyoandaliwa...

READ MORE

UGANDA WAFANYA MISA KUMUOMBEA NYERERE AWE MTAKATIFU

Kila Juni Mosi ya kila mwaka, ni siku ya kumuombea Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere kuwa Mwenyeheri na...

READ MORE

Hizi Playoff za leo Patachimbika

LIGI Kuu Bara imemalizika lakini kuna mechi mbili ngumu za mtoano wa kuwania nafasi ya kucheza michuano hiyo msimu ujao...

READ MORE

SEMINA YA UELEWA KUHUSU UALBINO KWA WAHARIRI

Wahariri wa vyombo mbalimbali vya habari nchini wiki hii walishiriki Semina ya Uelewa Kuhusu Ualbino iliyofanyika mjini Morogoro.   Semina...

READ MORE

GLOBAL GROUP YAFUTURISHA WATOTO YATIMA

Kampuni ya Global Group yenye makao makuu yake Sinza Mori jijini Dar es Salaam, leo imeandaa futari iliyowahusisha wafanyakazi wa...

READ MORE

Kenya Yazindua Noti Mpya, Buku Yaondolewa Kwenye Mzunguko

Serikali ya Kenya imezindua noti mpya za fedha ambazo zina picha za wanyama na vielelezo vingine vinavyoliwakilisha taifa hilo.  ...

READ MORE

MEYA WA MANISPAA YA UBUNGO ALIVYOFUTURISHA

MEYA wa Manispaa ya Ubungo, Boniface Jacob, jana waliwafuturisha wakazi wa manispaa hiyo kwenye ofisi ya Kata ya Ofisa Mtendaji...

READ MORE

12 Wauawa Kwa Shambulio la Risasi Marekani

WATU 12 wameuawa na wengine sita kujeruhiwa katika mashambulio ya kurushiana risasi katika jumba la serikali jimboni la Virginia nchini...

READ MORE