×

Habari

Lori la Mafuta Lateketea Kahama, Utingo Afariki, Dreva Mahututi!

Lori lenye shehena ya mafuta la kampuni ya Mount Meru Company  limeanguka na kuwaka moto   wilayani kahama mkoani Shinyanga  na kusababisha kifo...

READ MORE

Marais 11 Kati ya 16 Wahudhuria Mkutano wa SADC Tanzania – Video

MARAIS wa nchi 11 wamehudhuria mkutano wa kilele wa nchi za Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (Sadc) unaofanyika jijini...

READ MORE

JPM Akabidhiwa Uenyekiti SADC, Ahutubia – Video

MKUTANO wa siku mbili wa wakuu wa nchi za Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) umeendelea jijini Dar es...

READ MORE

Dkt. Slaa Awaponda Watanzania Wanaoikosoa Serikali

BALOZI wa Tanzania nchini Sweden, Dkt. Wilbroad Slaa, amekemea tabia ya baadhi ya Watanzania kubeza miradi ya maendeleo inayotekelezwa na...

READ MORE

Mkutano wa SADC; Dar Yawa Moto

MKUTANO wa 39 wa wakuu na Serikali katika Nchi 16 za Jumuiya ya Maendeleo ya Kusini mwa Afrika (SADC) umeanza...

READ MORE

Kampuni ya Chakula, Simu Kumwaga Fedha Yanga

BAADA ya msoto wa muda mrefu wa kutawaliwa na hali ngumu ya kifedha hasa msimu uliopita, mambo mazuri yanaendelea kutokea...

READ MORE

SADC: Magufuli Ataka Zimbabwe Iondolewe Vikwazo – Video

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli ameziambia nchi za Magharibi waondoe vikwako vya uchumi kwa...

READ MORE

Baba: Hakuna Straika wa Kumpita Yondani

BABA mzazi wa beki wa Yanga, Kelvin Yondani, mzee Patrick Yondani amefunguka kuwa kuelekea msimu mpya hana hofu na kiwango...

READ MORE

Magazeti ya Tanzania Leo Jumamosi, Agosti 17, 2019

Hapa tumekuanikia kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo Agosti 17, 2019. Ni yale ya...

READ MORE

Feisal Toto akubali yaishe Yanga

  KIUNGO wa Yanga, Feisal Salum Toto amefunguka kuwa kuongezeka kwa wachezaji katika idara ya kiungo kutamfanya azidishe juhudi ili...

READ MORE

Jokate kufungua Tawi la Yanga Kisarawe

MKUU wa Wilaya ya Kisarawe, Jokate Mwegelo, kesho Jumamosi anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika uzinduzi wa Tawi la Yanga Mlipo...

READ MORE

Rais Ramaphosa Atembelea Makaburi ya Wapigania Uhuru wa Sauz

Rais wa Afrika Kusini, Cyril Ramaphosa leo Ijumaa Agosti 16, 2019 ametembelea makaburi ya wapigania uhuru wa nchi hiyo yaliyopo...

READ MORE

Mama wa Mbalamwezi Asimulia Kifo cha Mwanae – Video

KUFUATIA mmoja wa wasanii wa Bongo Fleva wanaounda Kundi la The Mafik, aitwaye ‘Mbalamwezi‘ kufariki dunia usiku wa kuamkia leo,...

READ MORE

Akutwa na meno ya bandia kwenye koo

MGONJWA mmoja nchini Uingereza amejikuta katika maumivu makali baada ya meno yake ya bandia kunasa kooni kwa wiki moja. Mgonjwa...

READ MORE

Aussems Afichua Siri Nzito Simba

LICHA ya wengi kuamini kwamba Simba itafanya vizuri msimu huu kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika, lakini kocha mkuu wa timu...

READ MORE

‘KATAMBUGA’ YAWAKA RASMI GLOBAL RADIO (PICHA +VIDEO)

JANA Agosti 16, 2019, kulifanyika uzinduzi rasmi wa Kipindi cha Uswahilini cha Katambuga (Kijiwe Dobo) kinachoruka kila siku za Jumatatu...

READ MORE

Bodi ya Mikopo (HESLB) Yaongeza Muda wa Kuomba Mkopo

Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) imetangaza kuongeza muda wa kuomba mkopo kwa njia ya mtandao...

READ MORE

Polisi Yavamia Mkutano wa Zitto, Yamkamata Msemaji ACT

BREAKING: Jeshi la Polisi limevamia makao makuu ya chama cha ACT Wazalendo yaliyopo Kijitonyama jijini Dar es Salaam na kuzuia...

READ MORE

Video: Ziara ya Rais Ramaphosa wa Sauz Mjini Morogoro

 Rais wa Jamhuri ya Afrika Kusini Mhe. Cyril Ramaphosa yupo nchini kwa siku 2 kabla ya kuanza Mkutano wa...

READ MORE

Tigo Yatoa Kompyuta 20 Chuo Kikuu cha Sayansi Mbeya

KATIKA juhudi za kuchangia malengo ya serikali ya kuboresha na kuinua viwango vya elimu katika taasisi za elimu ya juu,...

READ MORE

Haji Manara Awaombea Sapoti Yanga – Video

MSEMAJI wa Klabu ya Simba, Haji Manara amewataka mashabiki wa klabu hiyo kuungana na wapinzani wao Yanga katika mechi za...

READ MORE

Ajali Tena Morogoro, Wanne Wafariki Dunia

  Watu 4 wamefariki dunia na wengine 26,  wamejeruhiwa kufuatia ajali iliyohusha basi la abiria na Lori  kugongana uso kwa uso...

READ MORE

Global FC kuichakaza DSJ leo

MATAJIRI wa Sinza, timu ya Global FC, leo Ijumaa wanatarajiwa kushuka dimbani kumenyana na timu ya Chuo cha Uandishi wa...

READ MORE

Tanzia: Msanii Bongo Fleva Afariki Dunia

TANZIA: Taarifa zilizotufikia ni kwamba mmoja wa wasanii wa Bongo Fleva wanaounda Kundi la The Mafik, aitwaye ‘Mbalamwezi‘ (pichani katikati)...

READ MORE

Watoto Watoweka, Wakutwa Wamekufa

TUKIO la hivi karibuni lililoibua hofu kubwa ni la watoto wawili wa familia mbili wa Kijiji cha Nyamhela, Kata ya...

READ MORE

Waliokufa ajali ya moto Moro… UTATA WAIBUKA!

  WAKATI tume iliyoundwa na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa ikisubiriwa kutoa majibu ya kuwepo au kutokuwepo kwa uzembe kwa mamlaka...

READ MORE

 Mtoto Ajinyonga Akisonga Ugali

MTOTO aliyejulikana kwa jina la Maria Saidi Mtengwa (16) mkazi wa Salasala jijini Dar amekatisha uhai wake kwa kujinyonga kikatili...

READ MORE

Mahakamani Kisutu: Wakili wa Malinzi Asema ‘Nimechoka’ – Video

KESI Ya utakatishaji fedha  na kujipatia fedha kwa njia ya udanganyifu inayomkabili aliyekuwa rais wa shirikisho la soka nchini (TFF)...

READ MORE

Mtoto Aliyepotea kwa Siku 6 Dar, Apatikana Arusha

MTOTO ambaye ni mwanafunzi wa darasa la saba katika shule ya msingi na awali ya Tuwapende, Daniel Evans (12) aliyepotea...

READ MORE

Mama Magufuli Amzawadia Mke wa Rais Ramaphosa

MAMA Janeth Magufuli akiwa katika mazungumzo na mke wa Rais wa Afrika Kusini, Dkt. Tshepo Motsepe-Ramaphosa, baada ya kuwasili Ikulu...

READ MORE

Lissu, Ndugai Watifuana Kortini – Video

  MAHAKAMA Kuu Kanda ya Dar, leo Agosti 15, 2019, imeamuru maombi ya zuio la muda la kuapishwa kwa mbunge...

READ MORE

BREAKING: NDEGE YA URUSI YAANGUKA SHAMBANI – VIDEO

NDEGE ya abiria ya Urusi  leo, Agosti 15, 2019, imeanguka baada ya ndege (mnyama) kuingia ndani ya injini na kusababisha...

READ MORE

JPM, Ramaphosa Wafanya Mazungumzo

Rais  John Magufuli akimpokea mgeni wake,  Rais wa Afrika Kusini, Cyril Ramaphosa, mara baada ya kuwasili katika viwanja vya Ikulu...

READ MORE

Kardinali Pengo Ang’atuka Rasmi, Papa Francis Aridhia

ASKOFU Mkuu wa Kanisa Katoliki, Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Muadhama Polycarp  Kardinali Pengo, ameng’atuka wadhifa huo na nafasi...

READ MORE

Kipindi ‘Katambuga’ cha Global Radio Chazinduliwa Rasmi

MOJA ya vipindi bora kabisa vya redioni hapa Tanzania, kipindi cha KATAMBUGA kinachoruka hewani kupitia Radio ya mtandaoni nambari moja...

READ MORE

Mahakama Kuu Yasikiliza Kesi Lissu Kuvuliwa Ubunge

MVUTANO mkali kati ya pande mbili – upande unaowakilishwa na Tundu Lissu na ule wa Jamhuri – katika kesi ya...

READ MORE

Ajali ya Lori Morogoro: Wengine 7 Wafariki Muhimbili – Video

MAJERUHI wengine saba wa ajali ya moto waliokuwa wakitibiwa katika Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), wamefariki dunia usiku wa kuamkia...

READ MORE

DC Aagiza Watumishi Wanunue Ultra Sound ya Mil 30 Iliyoibwa

BAADA ya mashine ya Ultra Sound kuibiwa katika Hospitali ya Wilaya Bariadi mkoani Simiyu, Mkuu wa Wilaya hiyo, Festo Kiswaga,...

READ MORE

Rais Ramaphosa wa Sauz Awasili Nchini – Video

RAIS wa Afrika Kusini, Cyril Ramaphosa na mkewe, Dkt. Tshepo Motsepe,  wamewasili nchini Tanzania usiku wa kuamkia leo na kupokelewa...

READ MORE