×

Habari

Historia Fupi ya Marehemu Vaileth Bukumbi, Dada wa Shigongo

  MWILI wa dada wa Mkurugenzi Mtendaji wa Makampuni ya Global Group, Eric Shigongo, marehemu Vaileth James Bukumbi, unaagwa leo...

READ MORE

Ibada Kumuaga Dada wa Shigongo Yafanyika Bupandwamhela (Pichaz)

IBADA ya kuuaga mwili wa dada wa Mkurugenzi Mtendaji wa Makampuni ya Global Group, Eric Shigongo, marehemu Vaileth James Bukumbi,...

READ MORE

Tigo na DStv wazindua kifurushi cha kuangalia michuano ya AFCON

  Wateja wa Tigo na DStv sasa wataweza kufurahia mechi za Kombe la Mataifa ya Afrika mubashara wakiwa sehemu yeyote...

READ MORE

TID Yamkuta Mazito, Apata Kichapo – Full Video

MSANII wa Bongo Fleva, Khalid Mohamed ‘TID’, jana aliposti picha kwenye ukarasa wake wa Instagram ikimuonyesha akiwa na uvimbe na...

READ MORE

VILIO! Mwili wa Dada wa Shigongo Wawasili Bupandwamhela – (Pichaz + Video)

MWILI wa dada wa Mkurugenzi Mtendaji wa Makampuni ya Global Group, Eric Shigongo, marehemu Vaileth James Bukumbi, umewasili leo Alhamisi,...

READ MORE

MAKONDA ATOA HEKARI 15 KWA TAIFA STARS, AONYA ‘WANAOHOJIHOJI’ – VIDEO

MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda, ameahidi kutoa eneo la hekari 15 kwa shirikisho la soka nchini...

READ MORE

Washindi wengine waibuka kwenye droo ya pili ya M-Pawa

CBA/Vodacom wamefanya droo yao ya pili ya promosheni yao ya Kukopa na kuwekeza na M-Pawa inayoendelea katika kusherehekea miaka 5...

READ MORE

IGP Sirro Awatoa Hofu Wananchi Tishio la Ugaidi Tanzania

  JESHI la Polisi nchini  limewatoa hofu wananchi juu ya tishio la ugaidi katika maeneo ya Masaki jijini Dar es...

READ MORE

MWILI WA DADA WA SHIGONGO WATOLEWA MOCHWARI MWANZA

MWILI wa dada wa Mkurugenzi Mtendaji wa makampuni ya Global Group, Eric Shigongo, marehemu Vaileth James Bukumbi, leo umetolewa katika...

READ MORE

HII NI AIBU NZITO KIGOGO MATATANI KWA MKE WA MTU

DAR ES SALAAM: Ukiambiwa mke wa mtu sumu na ukaendelea kubisha yatakufika mazito kama ambavyo kigogo wa Wizara ya Maliasili...

READ MORE

DENTI CHUO KIKUU ALIYEUAWA KWA VISU UTATA MZITO

KIFO cha mwanafunzi wa Kampala International University (KIU), Anifa Mgaya aliyeuawa kwa kuchomwa kisu Jumapili iliyopita kimeibua utata kufuatia muuaji...

READ MORE

VIDEO: ALIYEUA MWANAFUNZI WA KIU AKAMATWA NA POLISI

JESHI  la Polisi Kanda ya Dar es Salaam limefanikiwa kumkamata Ernest Joseph (19) kwa tuhuma za mauaji ya mwanafunzi wa...

READ MORE

BETIKA HALINA MPINZANI MTAANI

WASOMAJI wa Gazeti la Betika mitaa ya Mwanyamala na Kinondoni Mkwajuni, wamesema kuwa gazeti hilo limeendelea kuwa msaada mkubwa kwao...

READ MORE

MPINA AZITAKA TAASISI ZA UTAFITI KUONGEZA JUHUDI

WAZIRI wa Mifugo na Uvuvi, Luhaga Mpina, amezitaka taasisi za utafiti wa mifugo nchini kuhakikisha zinafanya tafiti zaidi nchini  kwa...

READ MORE

Idadi ya Watu Duniani Sasa Bilioni 7.7, Tanzania Mil 60

KWA mujibu wa takwimu zilizotolewa juzi na Shirika la Umoja wa Mataifa katika kitengo cha takwimu za ongezeko la watu...

READ MORE

Trump Azindua Kampeni Zake za Uchaguzi Mkuu 2020

RAIS wa Marekani, Donald Trump,  amezindua kampeni zake kwa ajili ya uchaguzi mkuu wa mwaka 2020 ambapo ameuthibitishia umma wa...

READ MORE

NAPE Awatetea Akina DIAMOND, ALIKIBA Bungeni “Sheria Ibadilishwe” – Video

IKIWA ni siku chache tangu kuwasilishwa kwa Bajeti kuu ya serikali kwa mwaka wa fedha 2019 /20, wabunge wameendelea kutoa...

READ MORE

Wanasayansi wagundua chumvi Mwezini

BAHARI kubwa inayopatikana katika mwezi wa sayari ya Jupiter ina chumvi kama ile inayotumika katika sayari hii (duniani).   Kulingana...

READ MORE

Wakutwa Mlimani Wakitaka Kumtoa Kafara Mtoto

JESHI  la Polisi Mkoani Ruvuma linawashikilia watuhumiwa wanane wakiwemo wanne wa kutoka mkoani Njombe wakitaka kumtoa mtoto mdogo kafara katika...

READ MORE

Rais Morsi Azikwa Saa Chache Baada ya Kufariki Dunia

RAIS  wa zamani wa Misri, Mohamed Morsi, amezikwa saa chache baada ya kufariki dunia akiwa mahakamani siku ya Jumatatu. Wakili...

READ MORE

Watumishi 7 NIDA Wanaswa na Vitambulisho 15,000, BVR na Vifaa Kibao

WATUMISHI saba wa Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA), wanashikiliwa na jeshi la Polisi Mkoa wa Pwani, kwa tuhuma za...

READ MORE

Lori Lagonga Treni Dodoma, 29 Wajeruhiwa

Watu 29 wamejeruhiwa baada ya lori kugonga treni jijini Dodoma. Mkuu wa Wilaya ya Dodoma, Protas Katambi, amesema leo asubuhi...

READ MORE

RAIS WA ZAMANI UEFA, MICHEL PLATINI AKAMATWA NA POLISI

RAIS wa zamani wa shirikisho la soka Ulaya (Uefa),  Michel Platini,  amekamatwa ikiwa ni sehemu ya uchunguzi unaoendelea dhidi ya...

READ MORE

Inasikitisha! Mtoto Miaka 16 Alivyobobea Kwenye Ukahaba – Video

Ni kisa cha kusisimua cha Binti (Jina linahifadhiwa) mwenye umri wa miaka 16, ambaye amemaliza darasa la saba na kushindwa...

READ MORE

BREAKING NEWS: SHIGONGO AFIWA NA DADA YAKE MWANZA

MKURUGENZI Mtendaji wa Global Group, Eric Shigongo,  amefiwa na dada yake, Vaileth James Bukumbi, usiku wa kuamkia leo, Juni 18,...

READ MORE

WAPENZI WAKUTANA BAADA YA KUPOTEANA TANGU VITA YA PILI YA DUNIA -VIDEO

Mwanajeshi mstaafu wa jeshi la Marekani KT Robbins, (97) ambaye alishiriki katika vita ya pili ya dunia amekutana na  mpenzi wake...

READ MORE

Mwanafunzi Chuo Kikuu Afariki Dunia Kwa Kuchomwa Visu

MWANAFUNZI wa Stashahada ya Maabara katika Chuo Kikuu cha Kampala, Tawi la Tanzania (KIU), Anifa Mgaya, amefariki dunia juzi Jumapili...

READ MORE

Mtandao wa 5G Waanza Kupatikana Marekani

HATIMAYE mtandao wa 5G umeanza kupatikana katika baadhi ya majiji nchini Marekani. Kampuni ya Verizon imefunga miundombinu ya 5G katika...

READ MORE

JPM Amtumbua Mwenyekiti REA, Ateua Mwingine

Rais John Magufuli amemteua Wakili Julius Kalolo kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Wakala wa Umeme Vijijini (REA), akichukua...

READ MORE

Mtoto Miaka 15 Aliyehukumiwa Kuuawa

AKIWA na umri wa miaka 15, Magai Matiop Ngong hakuwa na msaada wowote wa kisheria wakati wa mashtaka yake kabla...

READ MORE

BREAKING NEWS: RAIS MORSI AFARIKI DUNIA GHAFLA MAHAKAMANI

ALIYEKUWA rais wa Misri, Mohammed Morsi, akatimuliwa madarakani na jeshi mnamo 2013, ameaga dunia ghafla akiwa mahakamani, televisheni ya taifa...

READ MORE

#BREAKING! MTANDAO wa Madawa ya Kulevya WANASWA – Video

JESHI  la polisi nchini,  kupitia kitengo cha kuzuia na kupambana na dawa za kulevya,  linawashikilia watu saba ambao wanadaiwa wapo...

READ MORE

CHUO CHA KILIMANJARO CHAENDELEA KUPOKEA WANAFUNZI

Chuo cha Kilimanjaro Institute of Technology and Management (KITM) kilichopo katika jengo la Mama Ngoma, Mwenge na Afrikasana, Sinza jijini...

READ MORE

Wafanyabiashara wahakikishiwa usalama katika Biashara zao

    MKUU wa Jeshi la Polisi mkoani Mwanza Jumanne Murilo amewahakikisha usalama wa pesa na mali zao.Akizungumza na wafanyabiashara...

READ MORE

Wema Sepetu Aswekwa Ndani Hadi Juni 24

MAHAKAMA  ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam, imemwamuru msanii wa filamu nchini na Miss Tanzania wa mwaka 2006,...

READ MORE

WAZIRI MKUU MAHAKAMANI KWA TUHUMA ZA RUSHWA

WAZIRI mkuu wa zamani wa Algeria,  Ahmed Ouyahia,  alifikishwa mahakamani  jana (Jumapili) kuhusu tuhuma za ufisadi unaohusu shirika moja la...

READ MORE

Trafiki Kuwachapa Bakora Madereva Bodaboda, Waziri Abanwa – Video

Mbunge wa Ndanda (Chadema), Cecil Mwambe amesema kuwa bado kuna baadhi ya askari wa barabarani wamekuwa wakiwakimbiza waendesha boda boda...

READ MORE

Kenya: Mwamamke Ashukiwa Kuwa na Ebola, Awekwa Chumba Maalum

Taarifa kutoka Ofisi ya Gavana Jimbo la Kericho nchini Kenya imesema imemweka mwanamke mmoja aliyeonesha dalili za ugonjwa wa ugonjwa...

READ MORE

Kigwangalla: Fedha za Mlima Kilimanjaro Kutokomeza UKIMWI

WAZIRI wa Maliasili na Utalii Dk. Khamis Kigwangala amesema anatarajia kuandaa utaratibu wa makundi ya watu mbalimbali wakiwamo viongozi mashuhuri...

READ MORE

GLOBAL EDUCATION LINK YAWATANGAZIA OFA WAHITIMU KIDATO CHA NNE NA SITA

Wewe ni mhitimu wa kidato cha nne au cha sita na una ndoto za kwenda kusoma nje ya nchi? Basi...

READ MORE