×

Habari

KISUTU, DAR: DEREVA TAKSI KIZIMBANI KWA TUHUMA ZA KUMTEKA MO DEWJI

Dereva teksi, Mousa Twaleb (46) amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu leo Jumanne Mei 28, 2019 akikabiliwa na mashtaka...

READ MORE

BREAKING: NYALANDU, WENZAKE WAACHIWA KWA DHAMANA

  ALIYEKUWA Mbunge wa Singida Kaskazini na kada wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Lazaro Nyalandu na wenzake wawili...

READ MORE

MAGUFULI AWEKA MAUA MAKABURI YA MASHUJAA NAMIBIA

Rais Magufuli akiwa ameongoza na Rais wa Namibia, Hage Geingob wa Namibia, amembelea na kuweka shada la maua katika eneo...

READ MORE

Breaking: Dereva wa Waliomteka Mo Dewji Afikishwa Kortini – Video

DEREVA teksi, Mousa Twaleb (46),  amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu leo Jumanne Mei 28, 2019, akikabiliwa na mashtaka...

READ MORE

Mambosasa: Ole Wake Atakayekutwa na Mfuko wa Plastiki DAR! – Video

KAMANDA wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Lazaro Mambosasa amesema ifikapo Juni Mosi, mwaka huu oparesheni kali itaanza...

READ MORE

Polisi Dar Walivyoua Majambazi Watatu Akiwemo Mwanamke! – Video

JESHI la Polisi Kanda Maalum Dar es Salaam kupitia kikosi kazi cha kupambana na uhalifu, limefanikiwa kuwaua majambazi watatu akiwemo...

READ MORE

Breaking News: Lazaro Nyalandu Akamatwa na Polisi ‘Takukuru Watajwa’

ALIYEKUA Mbunge wa Singida Kaskazini (CCM) na Waziri wa Zamani wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu kabla ya kuhamia Chadema,...

READ MORE

JPM Atua Namibia, Apokelewa na Rais Hage – Pichaz

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,  John Magufuli amewasili nchini Namibia leo Jumatatu, Mei 27, 2019, na kupokewa na...

READ MORE

KESI YA MADAWA YA SHAMIM, MUMEWE ILIPOFIKIA KISUTU

KESI inayomkabiliwa blogger, Shamim Mwasha na mumewe, Abdul Nsembo,  imeahirishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kutokana na upelelezi kutokamilika....

READ MORE

POLISI WAVAMIA MAPANGO YA AMBONI KUSAKA WAHALIFU – PICHAZ

KAMISHNA wa Operesheni na Mafunzo ya Jeshi la Polisi CP Liberatus Sabas, ameongoza Vikosi Maalum ya Kupambana na Uhalifu katika...

READ MORE

Askari Anaswa kwa Utapeli, Anatumia Jina la CCM – Video

POLISI jijini Mwanza imemkamata askari wa Magereza, Kibemba Warioba (27), mwenye namba za usajili B.9205 WDR, akiwa na simu tano...

READ MORE

Mtanzania Atunukiwa na Umoja wa Mataifa kwa Kutengeneza Chujio

MHANDISI mmoja nchini Tanzania, Dkt. Askwar Hilonga, ametambuliwa na Shirika la Afya Duniani (WHO) kwa uvumbuzi wake wa kifaa cha...

READ MORE

Mchimbaji Shinyanga Apata Almasi ya Bil. 3, Awa Bilionea!

BAHATI ya utajiri imemdondokea mchimbaji mdogo wa madini, Joseph Temba, baada ya hivi karibuni kuuza almasi yake yenye karati 512...

READ MORE

Baada 167 Kufa Maji DRC, Wengine 30 Wafariki

USAFIRI wa majini umeendelea kuwa jinamizi kwa wasafiri nchini nchini Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo (DRC) baada ya ajali ya...

READ MORE

Waziri Mkuu Aifagilia NMB kwa kutoa Huduma Bora

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ameitaja benki ya NMB kuwa ni taasisi inayopaswa kuigwa kwa ubora wa huduma akisifia namna walivyoweka...

READ MORE

Rais Magufuli Afanya Mazungumzo Na Rais Wa Afrika Kusini Ikulu Ya Pretoria

RAIS Magufuli  leo amekutana na kuzungumza na Mhe. Rais Ramaphosa siku moja baada ya Rais Ramaphosa kuapishwa kuwa Rais wa...

READ MORE

Mafuriko Yatokea Bukoba Mjini, Nyumba Zafunikwa

Mafuriko yameikumba Bukoba mjini leo kuanzia majira ya saa mbili asubui kutokana na mvua kubwa zinazoendelea kunyesha kwa kufunika  na...

READ MORE

Mateso ya Mtoto Huyu… Mungu Tenda Muujiza!

MUNGU tenda muujiza juu ya mtoto huyu! Ndiyo maneno pekee yanayoweza kukutoka baada ya kusoma mateso anayopitia mtoto huyu huku...

READ MORE

VIDEO: Kumekucha, MNYIKA wa CHADEMA Aanika ‘Bajeti ya Nishati’

Naibu Katibu Mkuu wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ambaye ni mbunge wa Kibamba Mhe. John Mnyika, leo akiongea...

READ MORE

MALAWI: MAHAKAMA KUU YAAMURU KURA KUHESABIWA UPYA

Mahakama Kuu imeiamuru Bodi ya Uchaguzi kutotangaza matokeo ya Urais hadi kura kutoka kwenye theluthi ya Majimbo zirudiwe kuhesabiwa.  ...

READ MORE

Waziri Mkuu wa Papua New Guinea Ajiuzulu

Waziri Mkuu wa Papua New Guinea, Peter O’Neill amejiuzulu baada ya wiki kadhaa za kutofautiana na chama tawala. Katika mkutano...

READ MORE

Makaburini Ndipo Walipolala Wenye Utajiri Mkubwa!

KUZALIWA na kuishi duniani ni kutimiza kusudio la Mungu. Lipo kusudi ambalo Mungu analitaka ulitimize katika dunia hii nzuri yenye...

READ MORE

RAMAPHOSA AAPISHWA KUWA RAIS WA SAUZI (PICHAZ + VIDEO)

CYRIL RAMAPHOSA ameapishwa leo kuwa Rais wa Afrika Kusini kwa kipindi cha miaka mitano ijayo akiwa anakabiliwa na jukumu la...

READ MORE

Maelfu ya Wasauzi Wamshangilia JPM Akiwasili Uwanjani – Video

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt John Magufuli na Rais Mstaafu wa awamu ya Nne, Dkt Jakaya Kikwete,...

READ MORE

NEMC yawaondoa hofu wadau viwanja vya ndege

  BARAZA la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC),  limewaondolea hofu wadau wanaoendesha huduma mbalimbali kwenye Viwanja vya...

READ MORE

MTOTO AFANYIWA OPERERSHENI MARA SABA, AWA NA UPOFU – VIDEO

AMA kweli hujafa hujaumbika!, Masikini Mtoto Daniela Wilfred Kalanjo(9), mkazi wa Tabata Kinyerezi jijini Dar es salaam amejikuta akiteseka baada...

READ MORE

UMAFIA! WATEKA MTOTO WAPATELI FEDHA WAOANE

DAR ES SALAAM: Watu wawili waliotajwa kuwa ni wachumba waliofahamika kwa majina ya James na Happy wakazi wa Kivule jijini...

READ MORE

Lugola Awasimamisha Kazi OCD, OCS na OC CID, Kisa Mahabusu 15 Kutoroka

  Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola, amewasimamisha kazi Mkuu wa Polisi Wilaya ya Geita (OCD), Mkuu...

READ MORE

Halotel Yazindua Huduma Mpya ya ‘Mpango Mzima’

Kampuni ya Halotel Tanzania imekuja na huduma mpya ya mawasiliano iitwayo ‘MPANGO MZIMA’ ambayo pamoja na faida zake nyingine inamuwezesha...

READ MORE

Benki ya NMB Kuendelea Kutoa Elimu ya Fedha

    SPIKA wa Bunge la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Job Ndugai, ameiomba Benki ya NMB kutoa elimu kwa...

READ MORE

BREAKING NEWS: WAZIRI MKUU WA UINGEREZA AJIUZULU – Video

WAZIRI Mkuu wa Uingereza, Theresa May,  ametangaza kujiuzulu wadhifa huo leo, Ijumaa, Mei 24, 2019, kutokana na shinikizo la chama...

READ MORE

JPM, JK WAPAA SAUZI KWENYE SHEREHE – (PICHA + VIDEO)

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,  John  Magufuli,  leo Ijumaa, Mei 24, 2019 amkwenda Afrika Kusini ambapo kesho atahudhuria...

READ MORE

Walichokifanya Airtel, Hakijawahi Kutokea, Unapiga Mitandao Yote? – Video

  Kampuni ya simu za mkononi ya Airtel Tanzania imeendelea kuwapa wateja wake huduma kabambe na za kipekee ikiwa ni...

READ MORE

Breaking News: Mabweni ya Sekondari Ashira Yateketea Kwa Moto – Video

MABWENI ya Shule ya Sekondari Wasichana Ashira, iliyopo Marangu mkoani Kilimanjaro, yanaungua kwa moto. Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Bi....

READ MORE

BREAKING NEWS: SPIKA ASEMA ‘TUMPUUZE, TUMSAMEHE MASELE’

KAMATI ya Haki, Maadili na Madaraka ya Bunge iliyomtia hatiani kwa makosa manne Mbunge wa Shinyanga Mjini (CCM) ambaye pia...

READ MORE

TIMBWILI ZITO NJEMBA, DEMU WAZICHAPA BAADA YA KUTOKA GEST

MSICHANA na mvulana ambao majina yao hayakuweza kupatikana mara moja, mwishoni mwa wiki iliyopita walizua timbwili na kufunga mtaa kwa...

READ MORE

MADAI MAZITO ASKARI WAUA RAIA KWA MAPANGA

ASKARI wa Maliasili eneo la Kola, Kisarawe Mkoani Pwani, wameangushiwa madai mazito ya kumuua raia mmoja aliyefahamika kwa jina la...

READ MORE