×

Habari

Rais Magufuli Akutana Na Mkurugenzi Mstaafu Wa Usalama Wa Taifa

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli leo amekutana na Bw. Apson Mwang’onda Mkurugenzi Mkuu...

READ MORE

Mahakama Yafuta Mashtaka Yote Dhidi Diane Rwigara na Mama Yake

  Jaji Xavier Ndahayo wa Mahakama Kuu ya Rwanda amewafutia mashtaka yote yaliyokuwa yakiwakabili mwanasiasa Diane Rwigara na mama yake...

READ MORE

TEMEKE: WANAFUNZI WAWILI WAFARIKI KWA KUANGUKIWA NA UKUTA

WANAFUNZI wawili wa Shule za Msingi Kijichi na Shule ya Msingi Bwawani zilizopo Mtoni Kijichi wilayani Temeke jijini Dar es...

READ MORE

Dereva Ahukumiwa Jela kwa Kumpa Rushwa Trafiki

Hakimu Mfawidhi wa Mahakama ya Wilaya ya Kilombero mkoani Morogoro, Luzango Khamsin amemhukumu kwenda jela mwaka mmoja au kulipa faini...

READ MORE

Halotel kuwazawadia wateja na Chrismas BANG BANG

  Katika kuelekea msimu huu wa sikukuu Kampuni ya simu ya Halotel imetoa punguzo la zaidi ya asilimia sitini (60%)...

READ MORE

Mwanamke abakwa na kuchomwa moto

  Mwanamke mmoja kaskazini mwa India yupo katika wadi ya wagonjwa mahututi hali mbaya baada ya kuchomwa moto na wanaume...

READ MORE

WACHUNGAJI MATAJIRI BONGO HAWA HAPA

WATUMishi wa Mungu wakiwemo maaskofu, manabii, wachungaji na walimu wa neno la Mungu wapo vizuri na lile neno wanalolihubiri kwamba,...

READ MORE

MBOWE Afikishwa Mahakamani, Arudishwa GEREZANI! – Video

MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendelea (CHADEMA), Freeman Mbowe, amefikishwa Mahakamani tena Desemba 06, 2018, kusikiliza shauri lake la...

READ MORE

Kesi ya Chadema Yaahirishwa tena, Mbowe arudishwa Rumande

    MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu imeridhia mbunge wa Kawe (Chadema) Halima Mdee kuendelea na majukumu yake ya ubunge...

READ MORE

Mfanyabiashara Arusha Ahukumiwa Kwenda Jela Miaka 2

MFANYABIASHARA wa jijini Arusha, Kamaljit Hanspaul (58),  ametiwa hatiani na Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha na kuhukumiwa kifungo cha miaka...

READ MORE

WAZIRI MKUU AKIZINDUA UWANJA WA BASEBALL – VIDEO

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amefungua kiwanja kipya cha Taifa cha mchezo wa Baseball na kuzindua mashindano ya Taifa ya Baseball...

READ MORE

Wafanyakazi Waigomea Serikali Kikokotoo Kipya cha Mafao ya Wastaafu – Video

SHIRIKISHO la Vyama vya Wafanyakazi (Tucta) limepinga kanuni mpya ya kukokotoa mafao ya wastaafu iliyotolewa hivi karibuni likisema inakandamiza wafanyakazi...

READ MORE

SHEHE MKUU AMFUNGUKIA IRENE UWOYA

DAR ES SALAAM: Sheikh Mkuu wa Mkoa, Alhad Mussa amemfungukia Msanii wa Filamu za Kibongo, Irene Uwoya baada ya kutangaza...

READ MORE

MALI ZA YUSUF MANJI HATARINI KUFILISIWA

MALI za mfanyabiashara Yusuf Manji zipo hatarini kufilisiwa kutokana na madeni makubwa anayodaiwa na Benki ya Biashara na Maendeleo Afrika...

READ MORE

AIBU YA MWAKA! Mchungaji Afumaniwa Kanisani! – Video

MCHUNGAJI wa Kanisa la Gospel Revival Assemblies of God lililopo Mlandizi, Julius Andrew mkazi wa Mlandizi, amekumbwa na aibu nzito...

READ MORE

MAMA AMFANYIA UNYAMA MWANAWE!

KUWEKA nia ya kuchemsha maji ya moto kwa kiwango cha nyuzi joto 100 ili uyatumie kumwagia mtoto wako unayemtuhumu kuiba...

READ MORE

Rais Magufuli Amjulia Hali Mzee Mwinyi Aliyelazwa – Video

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli, leo Desemba 5, 2018, amemtembelea na kumjulia hali Rais...

READ MORE

SERIKALI IMETOA KIPAUMBELE MATUMIZI YA TEHAMA NCHINI-MAJALIWA

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Serikali ya Awamu ya Tano inayoongozwa na Rais Dkt. John Magufuli imetoa kipaumbele kwenye matumizi...

READ MORE

SERIKALI CHINA YAPIGA MARUFUKU HARUSI ZA KIFAHARI

SERIKALI ya China ipo mbioni kudhibiti ongezeko la harusi za kifahari ambazo zimekuwa zikishamiri katika miaka ya karibuni.    Kwa...

READ MORE

Mtoto azaliwa kutoka mji wa mimba uliopandikizwa kutoka kwa mfu

KWA mara ya kwanza mtoto amezaliwa kutoka katika mji wa uzazi  (uterus) ambao mama yake alikuwa amepandikizwa mji huo kutoka...

READ MORE

Cuba Kuanza Kupata Internet Kwenye Simu Zao

WANANCHI wa Cuba wataweza kupata mawasiliano ya Internet kwenye simu zao kuanzia kesho (Alhamisi), kwa mujibu wa shirika la simu...

READ MORE

‘WANAOPANGA MIKAKATATI YA URAIS 2020’, CCM YAFUNGUKA

Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimfafanua kuhusu matumizi ya mitandao ya kijamii ambapo hivi karibuni yameonekana kuzua taharuki baina ya wanachama...

READ MORE

MSALA! MAMA MBARONI KWA KUUA KICHANGA CHAKE

MWANAMKE mmoja aliyefahamika kwa jina la Amina Keneth (26), mkazi wa mtaa wa Mwasanga, Kata ya Itiji jijini Mbeya, ametiwa...

READ MORE

Wafanyabiashara Wajazwa Mamilioni kwa Kufanya Miamala 

Kampuni ya Selcom kwa kushirikiana na Mastercard imetoa zawadi ya Sh milioni tatu kwa wafanyabiashara wanaotumia huduma ya Masterpass QR...

READ MORE

Fastjet yasherehekea miaka sita ya kutoa huduma zake hapa Nchini

KATIKA kusherehekea mika sita ya Shirika  la ndege la Fastjet hapa nchini pia  linadhamini usafiri wa ndege  kwa Chama cha...

READ MORE

NAIBU WAZIRI TAMISEMI AFUNGUA KONGAMANO LA 10 LA WADAU WA ELIMU

    NAIBU wa Waziri Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na serikali za Mitaa(TAMISEMI), Mh. Josephat Kandege leo amefungua kongamano...

READ MORE

Dkt. Bashiru: Sijamjibu Membe Mitandaoni

KATIBU Mkuu wa CCM,  Dkt. Bashiru Ally amelikana andiko  linalosambaa mtandaoni likionyesha kuwa amemjibu aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Nje...

READ MORE

Mtanzania Mbaroni Kwa kuiibia Serikali ya Marekani Bilioni 8!

MTANZANIA JOHN NDUNGURU, anayemiliki kampuni ya Mercy Services of Heath inayojishughulisha na kazi ya  kuhudumia wagonjwa majumbani (Home Health Care) nchini Marekani,...

READ MORE

JPM Afanya Uteuzi Shirika la Nyumbu

Rais Magufuli amefanya Uteuzi wa Mwenyekiti wa Shirika la Nyumbu na Kamishna wa Fedha na Utawala wa Zimamoto. BREAKING: RAIS...

READ MORE

NBC Kufadhili Wanafunzi 60 Kusomea Digrii (Picha+Video)

    BENKI ya NBC imetoa ofa ya kuwafadhili wanafunzi wa Kitanzania kusomea shahada ya kwanza katika vyuo vya CBE,...

READ MORE

JPM AWATEUA JAJI BWANA NA OLE NJOOLAY

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzana Dkt. John Pombe Magufuli amemteua Jaji Msataafu Steven Bwana kuwa Mwenyekiti wa Tume...

READ MORE

BULAYA Acharuka Kikokotoo Kipya cha Mafao, Awavaa CCM – Video

Mbunge wa Jimbo la Bunda, Ester Bulaya, ambaye pia ni Waziri Kivuli wa Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge, Kazi,...

READ MORE

BIKO na Halotel ni Shida, Tazama Wanachokifanya Hapa – Video

  Kampuni ya mawasiliano ya simu za mkononi ya Halotel Tanzania, imeingia katika makubaliano rasmi na kampuni ya michezo ya...

READ MORE

Mchungaji Achezea Kipigo cha Waumini Wake

MCHUNGAJI wa Kanisa la Sauti ya Uzima anayefahamika kwa jina la Nabi Elia mwenye umri wa miaka 36 amejikuta akinusurika...

READ MORE

IGP SIRRO AFANYA MABADILIKO JESHI LA POLISI – VIDEO

MKUU wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Simon Sirro amembadilisha aliyekuwa Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza kabla ya kuhamishiwa...

READ MORE

Wafanyakazi wapigwa faini kwa kutotembea hatua 180,000 kwa mwezi China

  Kampuni moja nchini China imeshutumiwa vikali kwa kuwapiga faini wafanyakazi wanaokosa kutembea takriban hatua 180,000 kwa mwezi.   Kulingana...

READ MORE

Wateja wa Tigo Kanda ya Ziwa kufanya malipo kwa  Mfumo wa Kielekroniki Serikalini (GePG)

    WATEJA wa Kampuni ya Tigo  wa mikoa ya Kanda Ziwa sasa wanaweza kufanya malipo kutumia mfumo wa Kielektroniki...

READ MORE