×

Habari

MAHABUSU KUNYIMWA DHAMANA WEEKEND, LUGOLA AWASHA MOTO POLISI

WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola amepiga marufuku tabia ya baadhi ya askari Polisi kutoza fedha kwaajili...

READ MORE

Shigongo Apandikiza Mbegu ya Ushindi kwa Madereva Bajaj – Video

MKURUGEZNI Mtendaji wa Makampuni ya Global Group, Eric Shigongo,  amepandikiza mbegu ya ushindi kwa madereva wa Bajaj wa kituo cha...

READ MORE

IGP MSTAAFU AZIKWA DAR – PICHAZ

       

READ MORE

MAGAZETI YA TANZANIA LEO JUMATATU, OKTOBA 1, 2018

Hapa tumekuanikia kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo Oktoba1, 2018. Ni yale ya Hardnews,...

READ MORE

TIGO FIESTA 2018- VIBE KAMA LOTE YAACHA GUMZO MOROGORO

      Msimu wa Tigo Fiesta 2018- Vibe Kama Lote, umeanza kwa kishindo katika viwanja vya Jamhuri mjini Morogoro...

READ MORE

BENKI YA DTB YAKABIDHI VYOO KWA SHULE YA MSINGI UKONGA

  Benki ya Diamond Trust Bank (DTB) imekabidhi  rasmi jengo la vyoo  Shule ya msingi ya Ukonga lililojengwa kwa hisani...

READ MORE

MASHABIKI WA SIMBA,YANGA WACHANGAMKIA GAZETI LA SPOTI XTRA

Mmoja wa wasomaji wa Gazeti la Spoti Xtra (kushoto) akijaza kuponi ya shindano la kujishindia jezi orijino au zawadi nyingine...

READ MORE

TAA KUIFUNGULIA TANZANIA MILANGO ZAIDI KIUTALII ULIMWENGUNI

  MAMLAKA ya Viwanja vya Ndege Tanzania (TAA), imejipanga, kupitia kaulimbiu yake, kuifungua Tanzania kwa ulimwengu kupitia sekta ya utalii...

READ MORE

MV Nyerere: Gari, Pikipiki Vikiopolewa Majini – Video

ZOPEZI la uokoaji na uopoaji wa Kivuko cha MV Nyerere limehitimishwa leo katika Kisiwa cha Ukara, wilayanai Ukerewe mkoani Mwanza...

READ MORE

Rais Autaka Umoja wa Mataifa Kutekeleza Maazimio Yake

GHANA imeutaka Umoja wa Mataifa kutekeleza maazimio ya kuanzishwa kwa taasisi hiyo ili kuufanya uendane na maslahi ya nchi zote...

READ MORE

BREAKING: Baada ya Kuhamia CCM, Msaidizi wa Mbowe Aanika Mazito – Video

ALIYEKUWA Msaidizi wa Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Freeman Mbowe ambaye ni Diwani wa Kata ya Temeke,...

READ MORE

CCM Yawaonya Wanaofanya Kampeni za Urais Kimyakimya

Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimewaonya wanachama wake wanaoendesha kampeni za wazi na za kificho za urais wa Zanzbar, na kusema kuwa...

READ MORE

MV Nyerere: Mtaalam wa Kuhifadhi Maiti, “Waliniita Mchawi” – Video

MTAALAM wa kuhifadhi maiti katika chumba cha kuhifadhia maiti katika Hospitali ya Mkoa wa Mwanza, Sekou Toure, David Maliganya, ameelezea...

READ MORE

JPM Atolea Maamuzi Fedha za Michango ya MV NYERERE – VIDEO

MWENYEKITI wa kamati ya Maafa ya Kuzama kwa Kivuko cha MV Nyerere ambaye pia ni Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na...

READ MORE

Zaidi ya 400 Wafariki Indonesia kwa Kimbunga cha Tsunami

WATU wasiopungua 384 wamefariki dunia baada ya tetemeko la ardhi na kimbunga cha tsunami kuikumba Indonesia. Habari kutoka jiji la...

READ MORE

JPM: BALOZI ANAKUNYWA WINE TU, UKITUMBULIWA USILAUMU – VIDEO

RAIS  John Magufuli amewatahadharisha mabalozi wa Tanzania walio nchi za nje kwamba watapoteza nafasi zao ikiwa hawatazitumia  kuleta tija kwa...

READ MORE

APOTELEA BAHARINI SIKU 49, APATIKANA AKIWA HAI

HIVI karibuni kijana mmoja wa Indonesia aliokolewa baharini baada ya kupotea huko kwa muda wa siku 49 akiwa katika mtumbwi...

READ MORE

Kwa Teknolojia Hii, Hawa Jamaa ni Tishio Bongo – Video

CHUO cha Power Computers Training Centre kinachomilikiwa na PCTL kilichopo katikati ya Jiji la Dar es Salaam makutano ya Barabara...

READ MORE

MAMA Asimulia Sakata la Mwanae Kupotea ‘Kichawi’ – PART 1

MAMA wa Mtoto Beauty ambaye alipotea na baadae kuonekana amesimulia kisa cha Mtoto wake huyo alivyopotea mpaka kupatikana katika mazingira...

READ MORE

BREAKING: Zoezi la Kuinasua MV Nyerere Lakamilika, JPM Aagiza – Video

ZOEZI la kukinasua Kivuko cha MV Nyerere kilichopinduka Septemba 20 mwaka huu lakamilika baada ya kuvutwa hadi katika ufukwe wa kijiji...

READ MORE

TIGO FIESTA 2018-VIBE KAMA LOTE KURINDIMA MOROGORO

  Huku nchi nzima ikisubiri kwa hamu kuanza kwa msimu wa Tigo Fiesta 2018- Vibe Kama Lote, mdhamini mkuu Tigo...

READ MORE

ZIJUE Ajali Mbaya 10 Za Meli Zilizotikisa Dunia – Video

Licha ya Titanic kuwa mbo cha majini kilichopata ajali na kuuwa watu wengi zaidi katia Historia kuna Meli zingine zilipata...

READ MORE

MTALII AUAWA KWA KUKANYAGWA NA TEMBO

Mtalii wa Ujerumani amefariki baada kukanyagwa na tembo alipokuwa akijaribu kumpiga picha nchini Zimbabwe. Mamlaka nchini humo imethibitisha kuwa mkasa...

READ MORE

BREAKING: NDEGE YAANGUKA BAHARINI NA WATU 47

ABIRIA 35 na wahudumu 12 wamenusurika kifo mapema leo Ijumaa baada ya ndege waliokuwa wakisafiria kukosea njia na kuanguka katikati...

READ MORE

BREAKING: MV Nyerere Yakaribia Nchi Kavu – Video

Hatimaye zoezi la kukikwamua kivuko cha MV Nyerere kilichozama katika Kisiwa cha Ukara na kuua mamia ya watu limekaribia kukamilika...

READ MORE

NMB sasa kusaidia kilimo cha michikichi kigoma

… Filbert Mponzi (kulia) akitoa maelezo ya huduma za kifedha zinazotolewa na benki ya NMB kwa Waziri Mkuu Kassim Majaliwa...

READ MORE

WALIOFARIKI AJALI YA MV NYERERE WASIMULIA AJALI ILIVYOTOKEA!

NI usiku mnene. Nipo juu ya kilele cha mlima. Nasikia kelele za wanyama, nasikia baridi kali sana. Nikaanza kushuka chini...

READ MORE

SAA TISA USIKU KITANDANI MWANGU

Hii ni kolamu ya Gazeti la Amani la Global Publishers ambalo linatoka kila Alhamisi. Lengo la kolamu huu ni kufikisha...

READ MORE

Diwani Mwingine CHADEMA Atimkia CCM

Diwani wa Kata ya Nkoanekoli katika Halmashauri ya Meru wilayani Arumeru kwa tiketi ya Chadema, Wilson Nanyaro ameandika barua ya...

READ MORE

PIGO JINGINE CHADEMA, MBUNGE SERENGETI ATIMKIA KWA MAGUFULI – VIDEO

Chama Cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA kimepata pigo jingine baada ya Mbunge waake wa Serengeti mkoa wa Mara, Marwa Chacha Ryoba kujiuzulu...

READ MORE

BREAKING: SOKO LA MLANGO MMOJA LATEKETEA MWANZA

SOKO la wafanyabiashara wa mitumba lililopo eneo la Mlango Mmoja maarufu linajulikana kwa jina la Langolango jijini Mwanza limeteketea kwa...

READ MORE

WAKAZI AWAPA SOMO WASANII KUHUSU KIKI

MSANII wa HipHop Bongo, Webiro Wassira ‘Wakazi’ ameibuka na kuwapa somo wasanii ambao wanapenda kufanya kiki kabla ya kutoa nyimbo...

READ MORE

SKENDO YA UMBEYA MKE WA MTU AFUNGA MTAA

MKE wa mtu aliyefahamika kwa jina la Mama Glory hivi karibuni alifunga mtaa baada ya kumzulia timbwili la aina yake...

READ MORE

Airtel Money Branch yafunguliwa na kusajili laini

KAMPUNI ya simu za Mkononi ya Airtel, inaendelea na mpango wake wa kuboresha huduma zake, ambapo kwa sasa imekuja na...

READ MORE

JPM AKUTANA NA PRINCE WILLIAM WA UINGEREZA

      (Picha na Ikulu, Dar es Salaam) Rais  John Magufuli leo amekutana na mjukuu wa Malkia wa Uingereza,...

READ MORE

MV NYERERE YANYANYUKA, MNYORORO WAKATIKA

ZOEZI LA kukinasua Kivuko cha Mv.Nyerere imesimama kwa muda baada ya mnyororo uliokuwa ukitumika kukivuta kukatika, ambapo juhudi za kuunganisha...

READ MORE

Shigongo Aingia Mtaani Kuuza Gazeti la Spoti Extra Mwenge

MKURUGENZI wa Kampuni ya Global Group, Eric Shigongo (kulia) leo asubuhi ameingia barabarani jijini Dar es Salaam akiwa na wafanyakazi...

READ MORE

Waziri Mkuu New Zealand Aenda UN na Mwanaye Mchanga

AKIWA amefuatana na mwanaye mchanga na mpenzi wake katika ukumbi wa mkutano, Waziri Mkuu wa New Zealand, Jacinda Ardern,  ametoa...

READ MORE