×

Habari

Mmiliki Mabasi Ya HBS, Sabena Aliyejiua Kwa Risasi Azikwa

MMILIKI  wa kampuni mbili za mabasi za HBS Express na Sabena, Sultan Ahmed maarufu kama Chapa, aliyejiua kwa kujipiga risasi...

READ MORE

Mahawe: Serikali Inapiga Kazi Bana, Juhudi Hizi si za Kubezwa – Video

MBUNGE wa Mkoa wa Manyara (CCM), Ester Alexeander Mahawe, ameipongeza wizara ya Tamisemi iliyopo chini ya Waziri Jaffo kwa kazi...

READ MORE

Shabiby: Nondo Ana Umaarufu Gani, Mnachafua Serikali tu! – VIDEO

Mbunge wa Gairo (CCM), Ahmed Shabiby, amesema hakuna umuhimu mamlaka za serikali kutumia vyombo vya abari kuwaita baadhi ya watu...

READ MORE

Zuckerberg Akiri Kosa Lake Na Kuomba Radhi

Mkurugenzi Mtendaji wa Facebook Mark Zuckerberg ametoa maelezo katika Bunge la Marekani- Congress kwa mara ya kwanza Jumanne, akijibu wasiwasi...

READ MORE

BWANA HARUSI AFARIKI AKIENDA KUTOA MAHARI

MAISHA ya mwanadamu ni siri ya Mola wake na akiamua kuyakatisha, basi hakuna mwanadamu wa kubisha!   NDOTO ZAYEYUKA Ndivyo...

READ MORE

Mwandishi, Wahariri Waitwa Bungeni kwa Madai ya Kudhalilisha Bunge

SPIKA wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Job Ndugai, amemtaka mwandishi wa gazeti la Raia Mwema, Paschal Mayala na...

READ MORE

RAIS MAGUFULI AFUNGUKA ANAVYOIKUMBUKA SIKU YA MWISHO YA SOKOINE

  IKIWA leo ni Kumbukumbu ya Kifo cha aliyewahi kuwa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Edward Moringe...

READ MORE

ATCL Yaondolewa International Air Transport Association kwa Madeni

  SHIRIKA la Ndege Tanzania (ATCL) limeondolewa katika Mfumo wa Malipo wa Shirika la Kimataifa la Usafiri wa Anga (International...

READ MORE

MSIGWA: Prof. Kitila Kakazana Kujibu Maaskofu, Kasahau Kazi Yake! – Video

Mbunge wa Iringa Mjini (Chadema), Mchungaji Peter Msigwa, amesema ili kujenga taifa lenye nguvu ni lazima kuwepo na hoja zinazokinzana...

READ MORE

Bobali: Mwenyekiti, Mfikishie Rais, Tatizo Analo Waziri Mpango – Video

Mbunge wa Mchinga kupitia CUF,  Hamidu Bobali, amedai kuwa Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Philip Mpango, hapeleki fedha za...

READ MORE

KAKOBE: NIKO TAYARI KUFA!

DAR ES SALAAM: Askofu Mkuu wa Kanisa la Full Gospel Bible Fellowship, Zachary Kakobe amesema licha ya kuhojiwa na Idara...

READ MORE

RAIS MAGUFULI: MZEE KIKWETE WATANZANIA ‘TUNAKUMISI’

  RAIS Dk. John Magufuli amesema kwa kazi kubwa ambayo imefanywa na Rais mstaafu Jakaya Kikwete kwenye uongozi wake kuna...

READ MORE

MMILIKI WA MABASI YA HBS NA SABENA AJIUA KWA KUJIPIGA RISASI

Mfanyabiashara Sultan Ahmed au maarufu Chapa ambaye ni mmiliki wa Kampuni ya mabasi ya HBS na Sabena anadaiwa kujiua kwa...

READ MORE

Serikali: Marufuku Kuoa, Kuolewa Bila Kutoa Taarifa

SERIKALI ya Kata ya Nsalala, Tarafa ya Itwangi, mkoani Shinyanga vijijini imetunga sheria ndogo ya kutokomeza mimba na ndoa za...

READ MORE

JPM Ateua M/Kiti Bodi ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesbau- NBAA

Rais Magufuli atweua Mwenyekitu wa Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesbau- NBAA

READ MORE

Uingereza: Mwili wa Leyla Kukaa Mochwari Zaidi ya Mwezi – Video

IKIWA leo ni siku ya 13 tangu mtanzania aliyeuawa na mumewe, Kema Salum, nchini Uingereza, Taarifa  zilizotufikia zinasema kuwa bado...

READ MORE

VIGOGO WALIOTELEKEZA WATOTO WAFIKIA 107, MSAKO KUANZA KESHO

      Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda amesema kuwa kuanzia kesho Alhamis wanaume wote ambao...

READ MORE

Rais Kenyatta Asaini Sheria ya Pedi Bure kwa Wanafunzi

RAIS wa Kenya, Uhuru Kenyatta amesaini muswada wa sheria mpya ambayo sasa itakuwa sheria kamili, inayoitaka serikali kugawa pedi bure...

READ MORE

SPIKA NDUGAI: Makonda Amenitikisa – Video

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Job Ndugai amesema zoezi linaloendelea katika Mkoa wa Dar es Salaam...

READ MORE

Makamu wa Rais Azindua Chanjo ya Saratani ya Mlango wa Kizazi – Video

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, jana Jumanne, Aprili 10, amezindua chanjo ya...

READ MORE

MCHENGERWA: Waziri Mkuu Atueleze, Migogoro ya Kisiasa Inasababishwa na Nini?

Kikao cha Sita cha Mkutano wa 11 Bunge la 11 la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kilichofanyika jana Aprili 10,...

READ MORE

Tundu Lissu Apasuliwa Tena Mguu, Atoa Kauli

MBUNGE wa Singida Mashariki (Chadema), Tundu Lissu amesema kwa amara nyingine tena, leo Aprili 11, 2018 ataingia kwenye chumba cha...

READ MORE

TUNACHOJIFUNZA MAUAJI YA KIMBARI RWANDA-4

ILIPISHIA WIKI ILIYOPITA… Watanzania wengi hawajui nini kilisababisha mauaji ya kimbari ya nchini Rwanda yaliyosababisha maelfu ya watu kuuawa kikatili....

READ MORE

TECNO CAMON X NA X PRO ZATAMBULISHWA RASMI

TECNO, kampuni ya simu za mkononi inayofanya vizuri barani Afrika inaendelea kutanua soko lake baada ya kuzindua simu mpya TECNO...

READ MORE

NDONYA KWA WAMAKONDE ILIKUWA SILAHA YA KUJILINDA

WAMAKONDE na Wameto wa Msumbiji wanaishi katika Mkoa wa Cabo Delgado Kaskazini-Mashariki mwa nchi hiyo na Wamakonde wa Tanzania wanaishi...

READ MORE

Tunachojifunza Mauaji ya Kimbari Rwanda-3

Watanzania wengi hawajui nini kilisababisha mauaji ya kimbari ya nchini Rwanda yaliyosababisha mamia ya watu kuuawa kikatili sana. Naamini kama...

READ MORE

Mama, Bintiye Wauawa, Watumbukizwa Chooni – Video

AKATI tukio la Mwandishi na Mhariri wa Gazeti la Kingereza la The Guardian, Finnigan Simbeye kuokotwa akiwa hajitambui huko Bunju...

READ MORE

Mume Amuua Mkewe kwa Jembe

HALI ya sintofahamu imewakumba wananchi wa Kitongoji cha Magharibi na wananchi wa Kijiji cha Mwibagi katika Kata ya Kyanyari, wilayani...

READ MORE

MJANE TANGA ALIYEMLILIA JPM MAPYA TENA

MAPYA tena yameibuka kwa yule mwanamke aliyejitokeza mbele ya Rais Dk. John Magufuli kudai amethulumiwa mali na baadaye kufungwa miezi...

READ MORE

WAWILI WAONDOKA NA BODABODA SHIKA NDINGA YA EFM

WAKAZI  wawili wa Dar es salaam, Ashura Ramadhan na Abbas Awadhi waliibuka kidedea baada ya kuwa  washindi katika shindano la shika...

READ MORE

Wanaume Dar Waliotelekezewa Watoto Wajitokeza Kwa Makonda – Video

  Baadhi ya wanaume wa Mkoa wa Dar es Salaam leo wamejitokeza kwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam,...

READ MORE

SYLVIA MULINGE WA SAFARICOM AWA BOSI WA VODACOM TANZANIA

  MKURUGENZI wa Kitengo cha Biashara cha Wateja wa Safaricom, Sylvia Mulinge, ameteuliwa kuwa mkuu wa kampuni ya Vodacom nchini...

READ MORE

TRA Yakusanya Trilioni 11.78 Ndani ya Miezi 9 (Video)

Mamlaka ya Mapato Tanzania imekusanya Tsh Tril 11.78 katika kipindi cha miezi tisa ya mwaka wa fedha 2017/18 kuanzia Julai...

READ MORE

Basi la Kampuni ya Maqadir Lapata Ajali Tanga

Basi la Kampuni ya Maqadir lililokuwa linatoka jijini Tanga kwenda Kijiji cha Mtae, Wilaya ya Lushoto mkoani humo, limeanguka asubuhi ...

READ MORE

USIPITWE NA SPORTS BREAKING NEWS POPOTE ULIPO

  Tuma SPORTS kwenda 15599 utapata habari za kitaifa na kimataifa na matukio mengine ya papo kwa papo kupitia kiganjani...

READ MORE

Wanawake Waliotekelezwa Wadai Kuzaa na Viongozi Mbalimbali

WANAWAKE 480 waliotelekezwa na watoto ambao jana waliitikia wito wa kwenda kusaidiwa na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam,...

READ MORE

Winnie Mandela alikuwa shujaa au muasi?

    MKE wa zamani wa Nelson Mandela, Winnie Mandela ambaye alipigana dhidi ya utawala wa ubaguzi wa rangi nchini...

READ MORE

Wabunge Walivyovaana Bungeni Ishu ya Bombadier – VIDEO

MBUNGE wa Viti Maalum, Mkoa wa Morogoro, Devota Minja (CHADEMA), amefunguka bungeni na kusema kwamba wanachopinga wapinzani sio Serikali kuwa...

READ MORE

BREAKING: MOTO WAZUA TAHARUKI BUNGENI

Mwenyekiti wa bunge, Mussa Azzan ‘Zungu’ ameahirisha shughuli za bunge ikiwa ni dakika 12 kabla ya muda uliotakiwa baada ya...

READ MORE