×

Habari

BREAKING NEWS: SALAMBA ASAINI SIMBA SC

ALIYEKUWA mshambuliaji wa Lipuli FC ya Iringa, Adam Salamba amesaini mkataba wa miaka miwili wa kuitumikia Klabu ya Simba kwa...

READ MORE

TFF YAMFUNGULIA ADHABU YONDANI, ARUHUSIWA KUIVAA AZAM

WAKATI kikosi cha Yanga kikitarajia kushuka uwanjani leo usiku kupambana na Azam FC, Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) limeiruhusu klabu...

READ MORE

MHAMIAJI ALIYEOKOA MTOTO GHOROFANI, AKUTANA NA RAIS, APEWA URAIA, AAJIRIWA

MHAMIAJI kutoka nchi ya Mali ametunukiwa uraia wa Ufaransa baada ya kufanya tendo la kishujaa kwa kumuokoa mtoto mdogo aliyekuwa...

READ MORE

Keisha Ateuliwa Mjumbe Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM

  MSANII wa Bongo Fleva, Khadija Shabani Taya maarufu kwa jina la ‘Keisha’ ameteuliwa kuwa Mjumbe wa Kamati Kuu ya...

READ MORE

BREAKING NEWS: KINANA ANG’ATUKA UKATIBU MKUU CCM

KATIBU Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Abdulrahman Kinana ameng’atuka katika nafasi yake hiyo ndani ya CCM huku Halmashauri...

READ MORE

Mbowe Afunguka Kauli ya Mwisho ya Bilago Kabla ya Kifo – VIDEO

  MWENYEKITI wa Chadema Taifa, Freeman Mbowe amesema maneno ya mwisho aliyoambiwa na aliyekuwa Mbunge wa Buyungu mkoani Kigoma, marehemu...

READ MORE

Ramos Kumuumiza Salah, Klopp Asema Alidhamiria – Video

STAA wa Liverpool na Timu ya Taifa ya Misri, Mohamed Salah amesema ana uhakika wa kuwepo kwenye michuano ya kombe...

READ MORE

BUNGE LAAHIRISHWA KUOMBOLEZA KIFO CHA BILAGO – VIDEO

Naibu Spika, Dkt. Tulia Ackson ameahirisha shughuli za Bunge  leo Jumatatu mpaka kesho, saa 3 asubuhi kupisha maombolezo ya msiba...

READ MORE

Mkutano Mkuu wa CCM Mambo Moto

MASIKIO ya wengi yameelekezwa kwenye mkutano wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) unaofanyika leo (Jumatatu) na kesho jijini Dar es Salaam,...

READ MORE

MWILI WA BILAGO WATOLEWA MUHIMBILI NA KUPELEKWA KARIMJEE

MWILI wa aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Buyungu Kigoma (CHADEMA), Kasuku Bilago umetolea katika Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) na...

READ MORE

BUNGE LAOMBOLEZA KIFO CHA KASUKU BILAGO – VIDEO

SPIKA wa Bunge, Job Ndugai ametoa taarifa rasmi bungeni kuhusu kifo cha MBUNGE wa Jimbo la Buyungu, wilayani Kakonko Mkoani...

READ MORE

TAJIRI AKAMATWA NA DAWA ZA KULEVYA, BASTOLA – DAR

  MAMLAKA ya Kuzuia na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA) imewatia mbaroni watuhumiwa wa biashara ya madawa ya kulevya,...

READ MORE

Kim Jong-un: Nipo Tayari Kukutana na Trump

KIONGOZI wa Korea Kaskazini, Kim Jong-un amesema nia yake ya kukutana na Rais wa Marekani Donald Trump ili kuzungumza na...

READ MORE

RUBY ACHIA DUDE JIPYA, ‘NIWAZE’

MWANADADA kutoka kiwanda cha muziki wa Bongo Fleva, Hellen George ‘Ruby’ baada ya kukaa kimya kwa muda amekuja na video yake mpya iitwayo...

READ MORE

KARIUS AOMBA MSAMAHA LIVERPOOL

KIPA wa Liv­erpool, Loris Karius, ame­waomba wenzake msamaha baada ya kufanya makosa k w e n y e mchez o...

READ MORE

Denti Chuo Kikuu Ajinyonga Baada ya Liverpol Kufungwa

MWANAFUNZI wa mwaka wa pili katika Chuo Kikuu cha Mt. Augustine, Kampasi ya Mbeya, Moses Mashaka amejinyonga hadi kufa baada...

READ MORE

MKUU WA SHULE MWENYEHERI ANUARITE ATEMBELEA OFISI ZA GLOBAL PUBLISHERS

MKUU  wa Shule ya Sekondari ya Mwenyeheri Anuarite iliyopo Kimara jijini Dar es Salaam, Carlos Mgumba hivi karibuni alitembelea ofisi...

READ MORE

RAIS MAGUFULI AKUTANA NA KATIBU MKUU WA CCM NDG. KINANA IKULU JIJINI DAR

  RAIS Magufuli na Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), John Pombe Magufuli leo amekutana na kufanya mazungumzo na katibu...

READ MORE

MTANZANIA AIBUKA KIDEDEA MASHINDANO YA KUHIFADHI QURAN AFRIKA

    KIJANA wa Kitanzania, Shujaa Suleiman Shujaa ameibuka kidedea na kitita cha sh. milioni 15 katika mashindano ya 19...

READ MORE

Bunge Latoa Utaratibu wa Mazishi ya Marehemu Bilago

Kikao cha pamoja baina ya Tume ya Utumishi wa Bunge na Kamati ya Uongozi ya Bunge kimefanyika leo na kukubaliana...

READ MORE

Moto Mkubwa Waunguza Nyumba Kinondoni (Picha + Video)

MOTO mkubwa umezuka maeneo Kinondoni-Mwananyamala kwa Msisiri jijini Dar es Salaam na kuunguza banda la mashine za kuchongea mbao na...

READ MORE

Mhadhiri UDOM Aliyeuawa Kwa Kuchomwa Kisu na Mumewe Aagwa (Video + Picha)

Mwili wa Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) Rose Mndenye ( 31) anayedaiwa kuuawa na mume wake kwa kile...

READ MORE

Zari Awatupia Dongo Wanaodanga, Amkumbuka Mumewe

  MPENZI wa zamani wa mwanamuziki Diamond Platnumz, Zarinah Hassan ‘Zari The Boss Lady’ jana ameandika ujumbe wa kumkumbuka aliyekuwa...

READ MORE

Mchungaji Mkanyaga Watu Yamkuta Dar

DAR ES SALAAM: Yawezekana wewe ni kati ya wale waliowahi kuona picha za mchungaji ambaye anaonekana akiwa amewakanyaga waumini wake...

READ MORE

MBWA WA AJABU WAFUNGA MITAA, USHIRIKINA WATAJWA!

DODOMA: MBWA wa ajabu watatu wametikisa jijini Dodoma baada ya kumshambulia mtoto mmoja anayefahamika kwa jina la Akisa Wilson Moyo,...

READ MORE

Dk. Shika Achimba Mkwara Mzito

DAR ES SALAAM: Mniache! Ndivyo alivyosema aliyewahi kutikisa na msemo wa 900 Itapendeza, Dk. Luis Shika baada ya kusikia warembo...

READ MORE

GLOBAL TV: Chaneli namba 1 mtandaoni Kuwa na taarifa ya habari

SI jambo dogo hata kidogo! Ilianza kwa kurusha ‘live’ matukio mbalimbali na kuwa chaneli namba moja ya mtandaoni (online) kurusha...

READ MORE

JKT waonyesha ubabe   Kombe la Meya

  JESHI la Kujenga Taifa (JKT) wameendeleza ubabe baada ya kufanikiwa kutetea ubingwa wao katika mashindano ya Kombe la  Mstahiki...

READ MORE

RAIS MAGUFULI AFANYA MAZUNGUMZO NA RAIS SHEIN IKULU DAR

Mwenyekiti Wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Rais Magufuli akutana na kufanya mazungumzo na Makamu Mwenyekiti Wa CCM-Zanzibar- Rais Wa Zanzibar...

READ MORE

Mtalii Mwenye Ulemavu Atumia Baiskeli Kupanda Mlima Kilimanjaro

Mtalii kutoka Nchini Canada, Jimmy Pelleilier mwenye ulemavu wa kutembea anayetumia baiskeli ya magurudumu matatu leo Mei 20, 2018 ametimiza...

READ MORE

TANZIA: MBUNGE KASUKU BILAGO WA CHADEMA AFARIKI DUNIA

  MBUNGE wa Jimbo la Buyungu, wilayani Kakonko Mkoani Kigoma kwa tiketi ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Kasuku...

READ MORE

Diamond Apewa Ndinga Mpya na Uongozi wake wa WCB

Msanii wa Bongo Fleva Nassib Abdul maarufu kama Diamond Platnumz amekabidhiwa ndinga mpya ya kifahari na uongozi wake wa WCB....

READ MORE

UN, VIJANA WAJADILI KUHUSU FURSA

VIJANA Mbalimbali hapa nchini leo wamekusanyika katika kongamano la kujadili  malengo 17 ya Dunia, yanayozungumzia fursa za maendeleo ya milenia,...

READ MORE

Mhadhiri UDOM Auawa Kwa Kuchomwa Kisu na Mumewe (Picha + Video)

MHADHIRI wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) Rose Mndenye ( 31) inadaiwa ameuawa na mume wake kwa kile kinachodaiwa ni...

READ MORE

MAJENGO YANAYOVUTIA KWA UBUNIFU BORA ZAIDI DUNIANI

  PAMOJA na kwamba makazi au nyumba msingi wake mkubwa ni kumwezesha binadamu kupata mahali pa kuishi, bado ujenzi hubeba...

READ MORE

SILINDE: Trilioni 1.1 Lazima Zirudi, Hatukubali – Video

Mbunge wa Momba (Chadema), David Silinde, akizungumza bungeni alipokuwa akichangia mjadala wa bajeti ya Wizara ya Nishati na Madini iliyowasilishwa...

READ MORE

MLINGA: Msituchanganye, Kama Wanawahonga, Sisi Hawawezi – VIDEO

Mbunge wa Jimbo la Ulanga, Goodluck Mlinga, akizungumza bungeni alipokuwa akichangia mjadala wa bajeti ya Wizara ya Nishati na Madini...

READ MORE

LUSINDE: Wakiambiwa Wanajibu Acheni Siasa, Waziri Utusaidie – VIDEO

MSIKIE Mbunge wa Mtera Livingstone Lusinde, , akizungumza bungeni alipokuwa akichangia mjadala wa bajeti ya Wizara ya Nishati na Madini...

READ MORE

NAPE KALIPUKA: Sipendi Kusifia Watu Mkifanya Vibaya Tutasema – Video

MSIKIE Mbunge wa Jimbo la Mtama (CCM) Nape Nnauye, akizungumza bungeni alipokuwa akichangia mjadala wa bajeti ya Wizara ya Nishati...

READ MORE

Dakika 2 za Prof. Jay Bungeni Leo – Video

MSIKIE Mbunge wa jimbo la Mikumi kwa tiketi ya Chadema, Joseph Haule ‘Profesa Jay’ akizungumza bungeni alipokuwa akichangia mjadala wa...

READ MORE