×

Habari

Atakayetafuna Fedha Za Vijana Ajiandae- Waziri Jafo

WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais TAMISEMI Seleman Jafo amesema kuwa wametoa maelekezo maalum ya Fedha ambazo zinaishia katika halmashauri...

READ MORE

TAZAMA Ubunifu wa Kushangaza wa Denti Huyu – Video

Mwanafunzi wa Shule ya Sekondari Mwenyeheri Anuarite ya jijini Dar es Salaam, Prosper Nyambe ametinga ndani ya studio za Global...

READ MORE

Wanaodaiwa Kumteka Mwandishi Waanikwa, Wahenyeshwa

NYUMA ya tukio la utekaji na udhalilishwaji wa mwandishi wa habari wa kujitegemea jijini hapa, Lucas Myovera, kuna kesi mbaya...

READ MORE

Zitto: Serikali Ieneze Umeme Lakini Itunze Mazingira – Video

Mbunge wa Kigoma Mjini amesema hakuna mtu anayepinga Serikali kuongeza uwezo wa kuzalisha umeme lakini taratibu za kisheria na utunzwaji...

READ MORE

Heche: Mipaka ya Hifadhi Isifike Maeneo ya Makazi – Video

Mbunge wa Tarime Vijijini (CHADEMA), John Heche,  ameilalamikia Wizara ya Maliasili na Utalii kupitia Mamlaka ya Hifhadhi za Taifa (TANAPA)...

READ MORE

Nape Ataka Ufyekaji Miti Selous Ukomeshwe – Video

MBUNGE wa Mtama na Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii, Nape Nnauye, amesema kitendo cha Serikali...

READ MORE

SHIDA YA UMEME KUSINI IMEKWISHA – MAJALIWA

  WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema shida ya umeme iliyokuwa inaikabili mikoa ya Lindi na Mtwara hivi sasa imekwisha.  ...

READ MORE

IGP Simon Sirro Akutana na Rais wa TLS

MKUU wa Jeshi la Polisi (IGP) Simon Sirro leo amekutana na kufanya mazungumzo na Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika...

READ MORE

Kimenuka: Viongozi Wawili Chadema Wavuliwa Uanachama

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kimewavua uanachama viongozi wake wawili ambao ni aliyekua Naibu Katibu Mkuu Bara, Getrude Ndibalema...

READ MORE

BREAKING NEWS: Maofisa Watatu TIC Wafariki Ajalini

MAOFISA watatu wa Kituo cha Uwekezaji cha nchini  (Tanzania Investment Center (TIC) wamefariki dunia katika  ajali ya gari usiku wa...

READ MORE

MALINZI, WAMBURA WAPAMBANA KORTINI KISUTU

  OFISA Mtendaji Mkuu wa Bodi ya Ligi ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Boniface Wambura ameieleza Mahakama...

READ MORE

JACK PEMBA ATUA DAR, ATAMBA KIBABE, AMFAGILIA JPM – Video

MFANTABIASHARA maarufu Afrika Mashariki, Jack Pemba ametua jijini Dar es Saalaa na kutamba kibabe akisema Tanzania ni nyumbani alipozaliwa na...

READ MORE

Ripoti ya Mali za CCM Yatua Mikononi mwa JPM, Atoa Kauli – Video

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. John Magufuli leo Mei 21,...

READ MORE

Waziri Mkuu Azindua Umeme wa Gridi ya Taifa Lindi na Mtwara

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewataka Wakurugenzi wa Halmashauri za Wilaya kote nchini wahakikishe wanafikisha umeme kwenye vituo vya kutolea huduma...

READ MORE

Luundo Dunia aachia wimbo wa lugha 4

  BAADA ya kusumbua na Wimbo wa Mbegu za Amani akiwa amemshirikisha msanii wa Bongo Fleva, Ruta Bushoke, msanii wa...

READ MORE

Undani wa Dogo Aliyenusurika Kufa Ndani ya Kontena

ZANZIBAR: Taharuki kubwa imetokea Kisiwani Unguja, Zanzibar juzi katika Bandari ya Malindi ambapo mtu mmoja aliokolewa kutoka ndani ya kontena,...

READ MORE

MOI Kulipa Fidia ya Tsh. Mil. 100 kwa Kupasua Kichwa Badala ya Mguu

MAHAKAMA Kuu Kanda ya Dar es Salaam imeamuru Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Mishipa ya Fahamu Muhimbili (Moi), kumlipa...

READ MORE

‘HUMANITY AUCTION FOR CHILDREN FOUNDATION’ YAGAWA MSAADA KWA WALEMAVU

TAASISI isiyo ya kiserikali ya Humanity Auction For Children Foundation ambalo lengo lake ni kuwasaidia walemavu wa aina mbalimbali ikiwemo...

READ MORE

NASHA: Serikali Haitahusika Kupanga Ada kwa Shule Binafsi – Video

SERIKALI kupitia Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia imesema haitajihusisha na upangaji wa ada kwa shule binafsi hapa nchini badala...

READ MORE

SUGU: Sistahili Kupewa Msamaha – Video

Mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi ‘Sugu’  amesema kuwa hakupata taarifa kama amepewa msamaha na Rais Magufuli kutokana na kuambiwa...

READ MORE

Tangazo la Kupotelewa na Vyeti, Paul Alfredy Mpiluka

NDUGU Paul Alfredy Mpiluka mzaliwa wa Iringa vijini jimbo la Kalenga anatangaza kupotelewa na vyeti vyake vya taaluma kuanzia shule ya sekondari...

READ MORE

Diamond, Kipozeo Wazindua ‘Nyumba ya Imani’ Wasafi TV

MKALI wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’,  na Shekhe maarufu jijini Dar, Shekhe Kipozeo, usiku wa kuamkia leo walishirikiana...

READ MORE

DINI YA BEYONCE YATIKISA DUNIA, YEYE NDO ‘MUNGU’, ASUJUDIWA

SUPER STAA wa muziki Duniani kutoka nchini Marekani, Beyonce amenunua jengo la Kanisa Kongwe mjini New Orleans nchini Marekani ikiwa...

READ MORE

SUGU APOKELEWA KWA SHANGWE NA WABUNGE WENZAKE

MBUNGE wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi ‘Sugu’ leo alishangiliwa kwa kishindo na kupigiwa makofi na wabunge wenzake baada ya kutinga...

READ MORE

Askofu Mndolwa Akutana na Rais magufuli – Video

Askofu wa Mkuu wa Kanisa la Anglikana Tanzania, Maimbo Mndolwa jana alikutana na kufanya mazungumzo ya faragha na Rais wa...

READ MORE

Kumbukumbu ya Kuzama kwa Meli ya MV Bukoba Mei 21, 1996

Meli ya MV Bukoba ikiwa Ziwa Victoria wakati ilipokuwa ikitoa huduma ya usafirishaji kabla ya kuzama. KIUKWELI tarehe kama ya...

READ MORE

MLEMAVU AANDIKA HISTORIA YA KUUPANDA MLIMA KILIMANJARO – PICHA

MTALII kutoka nchi ya Canada, Jimmy Pelleilier ambaye ni ulemavu wa miguu, ametimiza ndoto yake ya miaka mingi baada ya...

READ MORE

WAZIRI MKUU MAJALIWA KUTIKISA LINDI LEO

WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa anatarajia kuwasili mkoani Lindi leo Mei 21, 2018 ambapo atazindua mradi wa kuunganisha mkoa...

READ MORE

Tatizo la Kutokwa na Damu Puani

DAMU hutoka puani baada ya kupasuka kwa mirija mdogomidogo ya damu iliyopo ndani ya pua. Zipo sababu nyingi zinazoweza kusababisha...

READ MORE

CHUO CHA UDSM ,CHAANZA RASMI KUTOA MAFUNZO YA KISWAHILI KWA RAIA WA CHINA

 Chuo Kikuu cha Dar es Salaam(UDSM), Kimeanza kutoa mafunzo rasmi kwa raia 65 wa China ,ambao wamejisajiri rasmi chuoni hapo...

READ MORE

Eric Shigongo Kuwapa Mbinu Mpya Wajasiriamali Leo

Mkurugenzi Mtendaji wa makampuni ya Global Group na mhamasishaji maarufu Afrika Mashariki na Kati, Eric Shigongo,  leo atakuwepo kwenye  Semina...

READ MORE

SAKATA LA KICHAPO CHA MOBETO, FAMILIA YA DIAMOND VITA NZITO!

  Kama ni nyumba kushika moto, basi huu moto wa Madale ni wa gesi maana unaunguza hatari na mpaka sasa...

READ MORE

NIC BENKI WAPANDA MITI 500 SHULE YA MSINGI MAJANI YA CHAI DAR

  BENKI ya NIC, leo Mei 19 kupitia wafanyakazi wake wa benki hiyo wamepanda miti ya matunda na isiyokuwa ya...

READ MORE

UVCCM Mkoa wa Dar Watakiwa Kusimamia Misingi ya Chama

Katibu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM)  Mkoa wa Dar es Salaam, Alhaj Said Rusilawe amewataka vijana wa jumuiya ya vijana...

READ MORE

JUMA KASEJA AWATIBUA SIMBA TAIFA

KIPA wa zamani wa Simba na Timu ya Taifa ya Tanzania, Juma Kaseja ‘Tanzania One’ leo Jumamosi amewatibua Simba baada...

READ MORE

Taarifa ya BOT Kuhusu Kuongezeka Kwa Deni la Taifa

Benki Kuu ya Tanzania (BOT) imesema kuwa imeshtushwa na taarifa zilizoandikwa na Gazeti la Mwananchi tarehe 17 Mei taarifa hizo...

READ MORE

SHUHUDIA LIVE PRINCE HARRY NA MEGHAN WAKIFUNGA NDOA

BOFYA HAPA KUSHUHUDIA LIVE NDOA YA Prince Harry na Meghan   HATIMAYE shughuli ya ndoa ya kifahari ya mjukuu wa Malkia...

READ MORE