×

Habari

LIVE: Mamilioni Kushuhudia Ndoa ya Kifahari ya Prince Harry na Meghan

BOFYA HAPA KUSHUHUDIA LIVE NDOA YA Prince Harry na Meghan MAMILIONI ya watu duniani leo wanatarajiwa kushuhudia ndoa ya kifahari ya...

READ MORE

Lowassa, Gambo Uso kwa Uso Mazishi ya DC Molloimet – Picha

MKUU wa Mkoa wa Arusha, Mrisho Gambo,  amekutana uso kwa uso na aliyewahi kuwa Waziri Mkuu na mgombea urais wa...

READ MORE

Bashe: Ukisema Ukweli Unaambiwa Unamchukia Magufuli – Video

Mbunge wa Nzega Mjini, Hussen Bashe (CCM), amesema kwamba Bungeni kumekuwa na siasa mbaya za kuamini kila anayesema ukweli anamchukua...

READ MORE

NEVATUSI MANGO NA VERONICA MKASA WAFUNGA PINGU ZA MAISHA

     Jumapili ya Mei 13, 2018 ni siku ya kipekee kwa wapendanao wawili, Nevatusi Mango na Veronica Mkasa ambao...

READ MORE

MAMA KIKWETE AMBANA SWALI WAZIRI – VIDEO

Mbunge wa Kuteuliwa, Mama Salma Kikwete leo Mei 18, 2018 amembana swali Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhandisi Stella...

READ MORE

MTANZANIA MWINGINE AUAWA KWA KUCHOMWA VISU UINGEREZA

KIJANA wa Kitanzania kutoka Zanzibar mwenye umri wa miaka 24 (jina bado halijafahamikia) aliyekuwa nchini Uingereza, anadaiwa kuuawa kwa kuchomwa...

READ MORE

HALOTELI YAZINDUA DUKA JIPYA MIKOCHENI SHOPPERS PLAZA

  Kampuni ya mawasiliano ya simu ya Halotel, imezindua duka eneo la Mikocheni Shoppers Plaza jijini Dar es Salaam ambapo...

READ MORE

MAKONDA AYAKANA MAKONTENA 20 YALIYOSHIKILIWA BANDARINI

MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda, amesema hajui chochote kile kuhusu kudaiwa au makontena 20 yanayoshikiliwa na...

READ MORE

SHAHIDI AKWAMISHA KESI YA TIDO KISUSTU

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam itaendelea kusikiliza ushahidi wa mashahidi wa upande wa mashtaka katika kesi...

READ MORE

Kanyasu: Waziri Taja Wabunge Waliokamatwa Wakivua Samaki – Video

Mbunge wa Jimbo la Geita Mjini Constatine Kanyasu amemtaka Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Luhaga Mpina kutaja majina ya wabunge wambao wameshakamatwa wakifanya uvuvi...

READ MORE

Miguna Miguna Apewa Shavu la Uongozi Kenya

  Gavana wa Mji Mkuu wa Kenya Nairobi Mike Mbuvi Sonko amependekeza mwanasaisa wa upinzani anayekumbwa na utata Miguna Miguna...

READ MORE

KALANGA: Serikali Inatafuta Ugomvi, Inatufilisi Tumewakosea Nini – VIDEO

MSIKIE Mbunge wa jimbo la Monduli kwa kupitia tiketi ya Chadema, Julias Kalanga, akichangia hoja katika bajeti ya wizara ya...

READ MORE

TGNP Mtandao yaanzisha kijiwe cha hedhi kuwasaidia wasichana

TGNP Mtandao imeanzisha kijiwe maalum cha hedhi kwa wanawake ili kuwawezesha watoto wa kike shuleni kujadili juu ya mwenendo wa...

READ MORE

MAKONDA AVAMIA MABONDENI KIBURUGWA, AWATAKA WAHAME MARA MOJA

MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda leo amevamia mabondeni Kiburugwa, Kilungule na maeneo mengine kwa ajili ya...

READ MORE

Polisi Waibua Balaa Ishu ya Wanawake Wenye Makalio Makubwa!

  DAR ES SALAAM: Huu mchezo wa baadhi ya wanaume kuona wanawake wenye makalio makubwa na kujifanya kurukwa na akili...

READ MORE

SUZAN MAKENE: Wengine Wamekufa kwa Presha, Huu ni Uonevu – Video

MSIKIE Mbunge wa Viti Maalum (Chadema), Suzan Makene, akichangia hoja katika bajeti ya wizara ya Mifugo na Uvuvi, iliyowasilishwa Bungeni...

READ MORE

MAKONDA: DAR NDILO JIJI LA RAHA TANZANIA – VIDEO

MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda amemhakikishia Rais John Magufuli kuwa mkoa huo upo shwari wala hakuna...

READ MORE

JPM: HII NI DHARAU, AAGIZA MSAKO WANAODAIWA BIL. 38 ZA JWTZ – VIDEO

RAIS John Magufuli ametoa muda wa mwezi mmoja kwa taasisi, mashirika, makampuni na watu wote wanaodaiwa jumla ya Tsh. Bilioni...

READ MORE

JPM AZINDUA KIWANDA CHA JWTZ, AMPA MAKONDA MAJI ANYWE PAPO HAPO – VIDEO

RAIS John Magufuli leo amezindua Kituo cha Uwekezaji cha Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ) kupitia SUMA-JKT kilichopo eneo la Mgulani...

READ MORE

Tanzania Yawa ya Pili Kombe la Dunia Watoto wa Mitaani Urusi (Picha + Video)

Mashindano ya Kombe la Dunia la Watoto wa Mitaani chini ya shirika la Street Child United na udhamini wa makampuni, ...

READ MORE

Mbunge Amwaga Machozi Bungeni “Watu Wanataka Kujinyonga” – Video

Mbunge wa Viti Maalum (CCM) Rukwa, jana alijikuta akimwaga machozi wakati akichangia hoja katika bajeti ya Wizara ya Kilimo iliyowasilishwa...

READ MORE

Burundi Wapiga Kura Kumruhusu Nkurunziza Kuwa Rais Hadi 2034

WANANCHI wa Burundi, leo Alhamisi Mei 17, 2018 wanapiga kura ya maoni kwa kufanya marekebisho ya katika ya nchi hiyo...

READ MORE

Kenyatta Atia saini sheria ya makosa ya mtandaoni

Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta ametia saini mswada wa Sheria ya Uhalifu wa Kompyuta na Mtandaoni ya mwaka 2018 kuwa...

READ MORE

KAMPENI YA  UJENZI OFISI ZA WALIMU DAR  YAFIKIA PAZURI

    KAMPENI ya Ujenzi wa ofisi 402 za walimu wa Mkoa wa Dar es salaam imezidi kupamba moto ambapo...

READ MORE

WAKANDARASI DAR WAMUUNGA MKONO MAKONDA KUJENGA MITARO

ZAIDI ya Kampuni 70 za ukandarasi zimejitolea kujenga mitaro ya barabara mbalimbali za jijini Dar es Salaam bure kama sehemu...

READ MORE

Mwakyembe Noma, Afukua Utajiri wa Kanumba

SIFA anazomwagiwa Waziri wa Habari, Utamaduni Sanaa na Michezo, Dk Harrison George Mwakyembe mitaani, zinatosha kusema kuwa waziri huyo ni...

READ MORE

Kibatala Aiomba Mahakama Ifute Mashtaka Kesi ya Mbowe na Wenzake

Upande wa utetezi katika kesi ya uchochezi inayowakabili viongozi tisa wa Chadema akiwemo Mwenyekiti wa chama hicho Freeman Mbowe, umeomba...

READ MORE

BASHE Aliamsha Bungeni: Ushirika Huu Hauna Mtaji – Video

Mbunge wa jimbo la Nzega Mjini, Hussein Bashe, akichangia hoja katika bajeti ya Wizara ya Kilimo, amewataka wabunge kutoipitisha bajeti...

READ MORE

NAPE: Huu ni Mtihani Mkubwa kwa Serikali ya Awamu ya Tano – Video

MBUNGE wa Jimbo la Mtama, Nape Nnauye, akichangia hoja katika bajeti ya Wizara ya Kilimo amesema bajeti hiyo haitoshi ikilinganishwa...

READ MORE

Lulu Aanza Kufanya Kazi za Jamii Jijini Dar

  BAADA ya kifungo chake jela kubadilishwa na kuwa kifungo cha nje, msanii Elizabeth Michael ‘Lulu’ amekuwa akifanya kazi ya...

READ MORE

55 Scholarships at Al-Azhar University – Egypt for Academic Year 2018/2019

MINISTRY OF EDUCATION, SCIENCE AND TECHNOLOGY  SCHOLARSHIPS TENABLE IN EGYPT FOR THE ACADEMIC YEAR 2018/2019  The Embassy of the Arab...

READ MORE

ALIYEGANDWA KICHWANI MAHINDI YA WIZI AACHIWA (Video)

KIJANA Frank Joseph Mkazi wa Mbezi jijini Dar aliyekuwa akishikiliwa katika Gereza la Mkuza Mkoani Pwani kwa kosa la kuiba...

READ MORE

BREAKING: Mwandishi Aliyetekwa Apatikana, Aeleza Mazito! – Video

MWANDISHI wa habari wa kujitegemea jijini Arusha, Lucas Muyovera amenusurika kuuawa kwa kipigo baada ya kutekwa na watu wasiojulikana usiku...

READ MORE

Baba Mbaroni kwa Ubakaji wa Binti Yake wa Miaka 6

DAR ES SALAAM: Aibu, aibu nzito ambayo si rahisi kuielezea kwa mtu mzima mwenye ufahamu wake kutiwa mbaroni na Jeshi...

READ MORE

BALAA LA MVUA Maiti 3 Zaopolewa, Bado 9

MARA: Balaa la mvua! Baada ya watu 12 kusomwa na maji wakiwa kwenye mtumbwi katika Mto Mara uliopo mpakani wa...

READ MORE

Swali la Kwanza Dkt Tulia Tangu Aingie Bungeni – Video

Naibu Spika wa Bunge, Dkt Tulia Ackson, kwa mara ya kwanza tangu aingie Bungeni ameuliza swali kwa kuhusiana na tamko...

READ MORE