×

Habari

Roma, Mr Blue na Darassa Kuliamsha Dude Idd Mosi Dar Live

  Roma akiwa darasani anafundisha somo la hisabati. BAADA ya kufanya miujiza katika bonge la shoo la Nichane Nikuchane lililofanyika...

READ MORE

Breaking News: Polisi Dar Yatumia Mabomu ya Mchozi Kutawanya Maandamano ya Walemavu

DAR ES SALAAM: Polisi wamelazimika kutumia mabomu ya machozi ili kuwatawanya walemavu waliofunga barabara wakipinga kuzuiwa kuingia katikati ya mji...

READ MORE

Serikali Yalifungia Gazeti la Mawio Kwa Miaka Miwili

Dar es Salaam. Serikali kupitia Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dk Harrison Mwakyembe imelifungia gazeti la Mawio kuchapishwa...

READ MORE

#Sportpesa: Makamu wa Rais Bi. Samia Mgeni rasmi mchezo wa Everton vs Gor Mahia

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Samia Suluhu Hassan amekubali ombi la kuwa mgeni rasmi katika...

READ MORE

William Ngeleja: Kutuhumiwa Siyo Kukutwa na Hatia……Maisha Yanaendelea (VideO)

Mbunge wa jimbo la Sengerema, William Ngeleja, amesema kutuhumiwa siyo kukutwa na hatia na maisha yanaendelea. Ngeleja ambaye ni mmoja...

READ MORE

TWAWEZA: Rais JPM Ameshuka Umaarufu Kutoka 96% hadi 71, CCM Yazidi Kupaa

Asilimia 71 ya wananchi wanaukubali utendaji wa Rais Magufuli tangu alipoingia madarakani. Kiwango hiki kimeshuka kutoka asilimia 96 mwezi Juni...

READ MORE

VIDEO: R.o.m.a Awa Mwalimu wa Hisabati, Mcheki Akikata Namba Darasani

Rapa namba moja kwa mwenye hits song zenye kudumu miaka dahali, Ibrahimu Musa ‘Roma Mkatoriki’, June 15 mwaka huu alirudi...

READ MORE

VIDEO: Wapinzani ni Sawa na ‘POPO’, Walijigeuza Mawakili wa Wezi -Abdallah Ulega

Mbunge wa Mkuranga kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Abdallah Ulega amewafananisha wabunge wa upinzani na popo kuwa hawaeleweki...

READ MORE

BreakingNews: CCM Yaapa Kuwashughulikia Kikamilifu Makada Waliotajwa Ripoti ya Mchanga wa Madini (+VIDEO)

Chama cha Mapinduzi (CCM), kupitia kwa Katibu wa Itikadi na Uenezi, Humphrey Polepole, kimesema kinasubiri majibu ya uchunguzi wa tuhuma...

READ MORE

Shinda Nyumba Droo ya 4: Washindi wa Ving’amuzi vya Ting Kwatu!

DAR ES SALAAM: Baada ya washindi wa watatu wa droo ndogo ya nne ya Bahati Nasibu ya Shinda Nyumba Awamu...

READ MORE

Baada ya Kifo cha Mumewe… Zari Akwaa Aibu 5

  KAMPALA: Katikati ya majonzi, yapata siku 15 tu tangu mumewe, Ivan Ssemwaga ‘Ivan Don’ azikwe huko Nakalilo nchini Uganda...

READ MORE

Juma Nyosso Asaini Kagera Miaka Miwili

HATIMAYE beki mahiri wa zamani wa Ashanti, Simba na Mbeya City, Juma Said Nyosso amesaini mkataba wa miaka miwili wa...

READ MORE

LondonUpdates: Moto Wa Ghorofa La Grenfell Tower London Waua Watu 12 (Pichaz + Video)

WATU 12 wamethibitishwa kufa katika moto uliolitekeleza jengo la ghorofa 27 la Grenfell Tower jijini London, Uingereza, ambao ulilikumba tangu...

READ MORE

VIDEO: Mbunge Ahoji Uwanja wa Ndege Kujengwa Chato, Ataka Ufafanuzi wa Ununuzi wa Bombardier

DODOMA: Mbunge wa Viti Maalum Shinyanga Mjini kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Mhe. Salome Makamba amehoji bungeni sababu...

READ MORE

Ripoti Mpya Mauaji Kibiti!

PWANI: Gazeti la UWAZI ambalo limekuwa likifuatilia matukio mbalimbali ya mauaji katika Wilaya za Kibiti, Mkuranga na Ikwiriri limeibuka na...

READ MORE

Baby Madaha Achomoa Ndoa ya Mwarabu

DAR ES SALAAM: Staa wa Bongo Fleva na Sinema za Kibongo, Baby Joseph Madaha amechomoa ishu ya kuolewa na pedeshee...

READ MORE

Pedeshee Ndama Alipa Milioni 200 na Kuachiwa Huru kwa Dhamana

Baada ya kufanikiwa kulipa faini ya milioni 200 hatimae jana  mfanyabiashara , Ndama Shabani Hussein, maarufu kama Pedeshee Ndama mtoto...

READ MORE

Tunda Asanukia Ishu ya Kitumbo

DAR ES SALAAM: Muuza nyago machachari Bongo, mwenye kupenda kujiselfisha akiwa kwenye maakuli, Tunda Sebastian amesanukia ishu iliyoenea kwamba, ana...

READ MORE

Wolper: Saida Karoli Apewe Heshima Yake

  DAR ES SALAAM: Kinara wa sinema za Kibongo, Jacqueline Wolper Massawe ameweka wazi ya moyoni kuwa, mkali wa Muziki...

READ MORE

R.O.M.A Mkatoliki Kufundisha Somo la Hisabati Mbagala jijini Dar leo

  MKALI wa Muziki wa Hip Hop Bongo, Ibrahim Musa ‘R.O.M.A Mkatoliki’ anatarajiwa kuwa mwalimu wa muda wa somo la...

READ MORE

VIDEO: Azimio la Wabunge Kuwaadhibu Wahusika Wote wa Mikataba Mibovu ya Madini

Bunge limeitaka Serikali kuchukua hatua kali dhidi ya wote watakaothibitika kuhusika kuliingizia Taifa hasara na kuwakosesha Watanzania fursa ya kufaidika...

READ MORE

VIDEO: Povu la Hussein Bashe Bungeni Kuhusu Sakata la Madini, Msikie Hapa

Hussein Bashe, Mbunge wa Nzega kwa tiketi ya CCM, amewataka Watanzania kuacha kumkatisha tamaa mheshimiwa rais, John Pombe Magufuli katika...

READ MORE

VIDEO: Meneja Aliyewataja Wasanii Ushirikina Akumbwa na Mazito, Ahaha Kumsaka Gwajima

Zimepita siku kadhaa tangu Meneja Maneno aliyekuwa meneja wa wasanii wakubwa maarufu Afrika kwa sasa wakiwemo Diamond Platnumz na Rich...

READ MORE

VIDEO: Enock Bella wa Yamoto Band Afunguka Kuhusu Kukosa Menejimenti

Moja kati ya msanii ambae alikuwa akiunda kundi la Yamoto Band lililokuwa na wasanii wanne Enock Bella, Aslay, Beka na...

READ MORE

Shamba la Mbowe Lilivyong’olewa Mitambo, Mwenyewe Afunguka ya Moyoni

Mwenyekiti wa CHADEMA, Mbowe amethibitisha shamba lake kuvamiwa na viongozi wa serikali ya Wilaya na kuharibiwa miundombinu ya shamba hilo...

READ MORE

Orodha ya Majina Mapya Kidato cha Sita Waliochaguliwa Kujiunga na JKT

Jeshi la Kujenga Taifa (JKT), linapenda kuutaarifu umma kuwa limeongeza majina ya vijana waliohitimu elimu ya kidato cha sita mwezi...

READ MORE

Kiongozi wa Bunge Marekani Apigwa Risasi

Kiongozi wa walio wengi katika Bunge la Congress nchini Marekani, Steve Scalise, amepigwa risasi na kujeruhiwa alipokuwa akihudhuria mazoezi ya...

READ MORE

VIDEO: Mchungaji Msigwa Awatolea Uvivu Wabunge wa CCM Mikataba Mibovu ya Madini

DODOMA: Mbunge wa Iringa Mjini (Chadema), Mchungaji Peter Msigwa, amewashukia wabunge wa CCM kuhusu mikataba mibovu ya madini kwa madai...

READ MORE

ExclusiveNews: Mmiliki wa Acacia Akutana na Rais Magufuli (+VIDEO)

IKULU: Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli amekutana na Mwenyekiti wa Kampuni ya Barrick Gold...

READ MORE

Spika Ndugai Aanika Taratibu Zitakazotumika Kumvua Chenge Uenyekiti wa Bunge

Katika ripoti ya pili ya Kamati ya kutathmini mchanga wa madini Mbunge wa Bariadi, Andrew Chenge ametajwa na Mwenyekiti wa...

READ MORE

Umeipata Hii Mpya Kutoka Tigo?

Tigo Kitabu App

READ MORE

Global TV Online: Usikose Kutazama Kipindi cha Wanyama Live saa 11:30 Jioni leo

Usikose kutazama kipindi cha mbuga za wanyama leo kikirushwa LIVE kupitia Global TV Online leo saa 11:30 jioni. Kutazama kipindi...

READ MORE

VIDEO: Wema Sepetu na Gabo Walivyozindua Filamu Yao Mpya – KISOGO

Wasanii wa filamu, Gabo Zigamba na Wema Sepetu, wamezindua filamu mpya ya kisasa iitwayo Kisogo, itakayoweza kuonekana na mtu yeyote...

READ MORE

LIVE Breaking News: Watu Wafariki, Wanasa Kwenye Jengo Linalowaka Moto London (Pichaz + Video)

  WATU kadhaa wamethibitika kufariki baada ya moto mkubwa kutokea usiku wa manane katika jengo moja magharibi mwa Jiji la ...

READ MORE

Veta Na Airtel Watangaza Kozi 5 Mpya Za Ufundi Stadi Kupitia Simu Ya Mkononi

Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa VETA, Dk. Bwire Ndazi akizungumza na waandishi wa habari wakati wa uzinduzi wa kozi tano mpya...

READ MORE