×

Habari

Serikali Kuanzisha Mkoa Mpya wa Kipolisi Rufiji

Serikali inatarajia kuanzisha mkoa mpya wa kipolisi rufiji mkoani Pwani ili kusogeza huduma ya kipolisi karibu zaidi na wananchi na...

READ MORE

Rais Magufuli Atoa Ambulance 3 kwa Wabunge

IKULU: Rais Magufuli ametoa magari matatu ya kubebea wagonjwa (Ambulance) kwa Wabunge wa majimbo ya Nkasi, Shinyanga na Tabora. Mbunge...

READ MORE

ARUSHA: Watano Wafariki Dunia Baada ya Nyumba Kuangukiwa na Mti

ARUSHA: Watu watano wa familia moja wamefariki dunia baada ya nyumba yao kuangukiwa na mti katika eno la Sokoni Two,...

READ MORE

AJALI: Basi la Allys na Coaster Yagongana Shinyanga, 60 Wanusurika Vifo

SHINYANGA: Watu zaidi ya 60 wamenusurika kifo, huku 26 kati yao wakijeruhiwa vibaya baada ya basi mali ya Kampuni ya...

READ MORE

PICHA: Bi Samia Awatembelea Wanafunzi Walionusurika Ajali ya Karatu

   Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akimjulia hali  Sadia Isamel Awadhi mwenye...

READ MORE

Lema, Msigwa Wakinukisha Bungeni leo, Kisa Salamu za Rambirambi

Wabunge wawili wa Chadema, Peter Msigwa wa Iringa Mjini na Godbless Lema wa Arusha Mjini wameomba mwongozo wa Spika kuhusu...

READ MORE

LIVE: Uzinduzi wa SportPesa Tanzania

Unaweza kusema asiye na mwana aeleke  jiwe, au ukatumia ule msemo wa leo ndiyo leo. Maana kampuni mpya ya michezo...

READ MORE

PICHAZ: Watoto Wawili Ajali ya Karatu Wazikwa, Mmoja Asafirishwa Tanga

WATOTO wawili kati ya 32 waliofariki kwa ajali ya gari Jumamosi iliyopita wilayani Karatu walizikwa jana huku mmoja akisafirishwa na...

READ MORE

Kabila la Wala Watu-17

Mchungaji Johannes Veldhuizen, Mdachi aliyepania… ELVAN STAMBULI NA MTANDAO | UWAZI MWONGOZA watalii, Kornelius Kembaren aliyekuwa anawaongoza waandishi Paul Ruffael...

READ MORE

Fuatilia LIVE Yanayojiri Bungeni Dodoma Leo Mei 9

BUNGE la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, linaendelea na vikao vyake vya Bunge mjini Dodoma asubuhi hii kujadili bajeti za...

READ MORE

Matukio Yanayotokea Nchini Yananifanya Nimkumbuke Nyerere

NA ELVAN STAMBULI | GAZETI LA UWAZI | NIONAVYO MIMI NILIKUWA sikupanga kuandika makala haya lakini nimeamua kuandika baada ya...

READ MORE

Ulaji Wa Maboga Unavyoimarisha Mwili

MABOGA hutokana na tunda liitwalo boga. Tunda hilo asili yake haijafahamika vizuri ingawaje baadhi ya tafiti zinasema asili yake ni...

READ MORE

Mbunge Godbless Lema Alaani Ubaguzi Aliofanyiwa Msibani Arusha

Mbunge wa Jimbo la Arusha Mjini kwa tiketi ya CHADEMA Mhe. Godbless Lema ametoa masikitiko yake na kuonyesha kuumizwa na...

READ MORE

Habari Zilizopo Katika Magazeti ya Leo Jumanne ya Mei 9, 2017

Hapa tumekuanikia kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo, Mei 9, 2017. Ni yale ya...

READ MORE

Aina 3 za Sickle Cell Unazopaswa Kuzijua

Tabibu wa Uwazi | Afya KUNA aina tatu za upungufu wa damu mwilini kitaalam huitwa sickle cell na kila mtu...

READ MORE

Wanafunzi Wote Hawa Wamekwenda? Inauma, R.I.P

Stori: Joseph Ngilisho | Ijumaa WIKIENDA ARUSHA: Rest In Peace (R.I.P)! Ndivyo walivyosikika baadhi ya wananchi wa viunga mbalimbali jijini...

READ MORE

Makatibu Wakuu wa Tanzania, Afrika Kusini Kujadili Fursa za Kiuchumi

MAKATIBU wakuu wa wizara mbalimbali Tanzania na wa nchi ya Afrika Kusini leo wamekutana na kujadili mambo mbalimbali yanayohusu masuala...

READ MORE

Aingia Gesti na Mwanaume… Afariki Dunia!

    Stori: Mwandishi Wetu | IJUMAA WIKIENDA DAR ES SALAAM: Tutakukumbuka daima! Ndivyo waombolezaji wengi walivyosikika wakisema kwa masikitiko kufuatia...

READ MORE

Kiongozi wa Washia Aomboleza Vifo vya Wanafunzi Arusha

Kiongozi mkuu wa Waislam wa madhehebu la Washia nchini, Sheikh Hemed Jalala, ametoa pole kwa wafiwa wote wa ajali iliyotokea...

READ MORE

Rais Zuma wa Afrika Kusini Kuzuru Tanzania Aprili 10

RAIS wa Afrika Kusini, Jacob  Zuma, anatarajiwa kufanya ziara ya kitaifa ya siku tatu hapa nchini kuanzia Aprili 10 hadi...

READ MORE

Majeneza 35 Yamuumiza Rais Magufuli

Rais Dkt Magufuli ameshindwa kujizuia na kusema kuwa amekumbwa na majonzi makubwa baada ya kuona majeneza 35 ya wanafunzi wa...

READ MORE

Mfumuko wa Bei Waongezeka kwa Asilimia 0.5

Mfumuko wa bei wa mwezi kwa Aprili mwaka huu, unaopimwa kwa kila mwezi, umeongezeka kwa asilimia 0.5 ikilinganishwa na ongezeko...

READ MORE

Wabunge Wametoa Posho Yao ya Leo Rambirambi kwa Wafiwa Karatu

DODOMA: Wabunge wote wamekubali kutoa posho yao yote ya leo kwa ajili ya rambirambi kwa familia za wanafunzi 32 waliopoteza...

READ MORE

PICHAZ +VIDEO: Mashujaa Watoto wa Karatu Walivyoagwa Arusha

Arusha Ilivyozizima Miili ya Wanafunzi Waliokufa kwa Ajali Ikiagwa ARUSHA: Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Bi....

READ MORE

Flora, Ha-Baba Warudiana

Stori: Stori: Gladness Mallya | IJUMAA WIKIENDA DAR ES SALAAM: Mastaa wawili Bongo ambao walikuwa wanandoa kisha wakatengana kwa muda,...

READ MORE

Waarabu Wamuita Msuva

Said Ally na Omary Mdose | CHAMPIONI| DAR ES SALAAM UHAKIKA wa kiungo wa Yanga, Simon Msuva kubakia ndani ya...

READ MORE

Vilio vya Mastaa kwa Wanafunzi Waliokufa Arusha

Arusha Ilivyozizima Miili ya Wanafunzi Waliokufa kwa Ajali Ikiagwa MAJONZI yamegubika nchi nzima kufuatia tukio la kihistoria la ajali ya...

READ MORE

VIDEO +PICHAZ: Zoezi Kuaga Miili ya Wanafunzi Waliofariki kwa Ajali Karatu

Arusha Ilivyozizima Miili ya Wanafunzi Waliokufa kwa Ajali Ikiagwa Makamu wa Rais wa Tanzania,  Samia Suluhu Hassan (kushoto),  akipokewa na...

READ MORE

Wasanii na Swaga za Kiswanglish Kwenye ‘Interview’

Na Ally Katalambula|IJUMAA WEKIENDA|GPL April 17 mwaka huu Msanii wa Bongo Fleva anayechipukia kwa kasi kwenye sayari ya muziki wa...

READ MORE

Linah, Kijijini Kwenu Mitandao Ipo?

NA MWANDISHI WETU: IJUMAA WIKIENDA | POVU LA WIKI Kuna vitu vingine inakuwa vigumu kuviacha vipite bila kuvizungumzia, hasa vinapofanywa...

READ MORE

Nay, Shilole Kuipeleka Wapo Dar Live

NA MWANDISHI WETU: GAZETI LA IJUMAA WIKIENDA STAA wa Bongo Fleva, Emmanuel Elibariki ‘Nay wa Mitego’ anatarajiwa kuungana na msanii...

READ MORE

Fuatilia Live Yanayojiri Bungeni Dodoma – Jumatatu Mei 8

Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wamesimama kwa dakika moja ikiwa ni kuwakumbuka watu 36 wakiwemo wanafunzi...

READ MORE

RAY C Afungukia Kutoka na Mbunge

Stori: Ally Katalambula, IJUMAA WIKIENDA DAR ES SALAAM: Sexy lady mkongwe wa Bongo Fleva, Rehema Chalamila ‘Ray C’ amefunguka kuwa...

READ MORE

Ajali Mbaya ya Coaster na Lori Yaua Muheza, Tanga

TANGA: Ajali mbaya imetokea usiku wa kuamkia leo katika Kijiji cha Lusanga wilayani Muheza ambapo basi aina ya Coaster likitokea...

READ MORE

Habari Zilizopo Katika Magazeti ya Leo Jumatatu ya Mei 8, 2017

Hapa tumekuanikia kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo, Mei 8, 2017. Ni yale ya...

READ MORE