×

Habari

Waziri Mkuu Majaliwa mgeni rasmi Mkutano wa Tasnia ya Korosho

WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika Mkutano Mkuu wa Wadau wa Tasnia ya Korosho utakaofanyika kwa siku...

READ MORE

Mvua Zabomoa Daraja, Barabara Bukoba

Kutokana na mvua kubwa zinazoendelea kunyesha mkoani Kagera, Daraja la Kemondo lililoko Barabara Kuu ya Bukoba – Mwanza, Bukoba –...

READ MORE

LIVE: Serengeti Breweries Waidhamini Taifa Stars

SHIRIKISHO la Soka Tanzania, TFF limesaini Mkataba na Kampuni ya Vinywaji ya Serengeti Breweries ambapo Kampuni hiyo itaidhamini Timu ya...

READ MORE

Mmiliki wa Shule ya Lucky Vincent Afikishwa Kortini, Aachiwa kwa Dhamana

ARUSHA: Mmiliki wa shule ya Lucky Vincent iliyopo Kwa Morombo ambaye anatambulika kwa majina ya Innocent Mushi na Makamu Mkuu...

READ MORE

Watoto Walionusurika Ajali Karatu, Kuagwa Jumapili Kwenda Marekani

ARUSHA: Mbunge wa Singida Kaskazini, Lazaro Nyalandu amesema kuwa, tayari ndege aina ya DC 8 imepatikana ambayo itawasafirisha watoto watatu...

READ MORE

Ofisi Ya Rais Yakanusha Taarifa Hizi za Utoaji Ajira

Ofisi ya Rais yakanusha taarifa inayosambazwa mitandaoni kuhusu vigezo vya utoaji ajira

READ MORE

Sababu Tatu Ngoma Ya Darasa Kubuma

ALLY KATALAMBULA | IJUMAA | HABARI UNAPOZUNGUMZIA ngoma kali zilizowahi kufanya vizuri katika historia ya Muziki wa Kizazi Kipya nchini...

READ MORE

TANZIA: Sozigwa na Mwambungu Wafariki Dunia Muhimbili

#TANZIA: Tanzania imepata misiba miwili baada ya kuondokewa na watu wawili ambao waliwahi kushika nyadhifa za juu kwenye uongozi wa...

READ MORE

Benki Nyingine Yafutiwa Leseni na Kufungwa

Benki Kuu ya Tanzania imeifungia Mbinga Community Bank PLC, kusitisha shughuli zake zote za kibenki na kufuta leseni yake ya...

READ MORE

Young Dee: Paka Rapa Anayeishi Bongo Bahati Mbaya

 NA ANDREW CARLOS | IJUMAA | HABARI KUNA kipindi katika maisha kuna kuteleza, unaanguka kisha unainuka na kujifuta. David Genz...

READ MORE

VIDEO: Eneo la Ajali Mazito Yaibuka Karatu, Viongozi wa Kijiji, Madereva Wanena

IMENDIKWA NA HILALI DAUDI, GABRIEL NG’OSHA NA GLADNESS MALLYA |AMANI ARUSHA: Siku nne baada ya kutokea kwa ajali iliyosababisha vifo...

READ MORE

Rekodi ya Yanga Usiku… Simba kicheko

Sweetbert Lukonge | CHAMPIONI|  Dar es Salaam TIMU ya Yanga, kesho Jumamosi itashuka uwanjani kupambana na Mbeya City katika mchezo...

READ MORE

Wolper Aongoza Mastaa Kwa Kuhongwa!

STORI: ALLY KATALAMBULA NA BONIPHACE NGUMIJE | IJUMAA | HABARI CONFESSION! Staa mwenye umbo na muonekano wa ‘kokoro’, Jacqueline Wolper...

READ MORE

Man United Yatinga Fainali Europa Kibabe

   Manchester, Uingereza HATIMAYE sasa fainali  ya Kombe la Europa ni  Manchester United dhidi  ya Ajax mjini Stockholm kwenye  Uwanja...

READ MORE

Siri 5 za Wema Akiwa Chadema

NA MUSA MATEJA | IJUMAA | MAKALA HAKIKA kila jambo lina wenyeji wake katika utekelezaji au namna ya kulihimili kiasi...

READ MORE

Lucy Komba Amburuza Kortini Mdogo wa Mbasha

NA MAYASA MARIWATA |  IJUMAA | HABARI MWIGIZAJI wa Bongo Muvi, Lucy Komba amemburuza kortini mzazi mwenziye, Patrick Zulig Mbasha...

READ MORE

Fuatilia LIVE Yanayojiri Bungeni Dodoma Leo Ijumaa, Mei 12

BUNGE la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, linaendelea na vikao vyake vya Bunge mjini Dodoma asubuhi hii kujadili na kupitisha...

READ MORE

Unachezea Bahati Wenzako Wanaitamani

  NA HASHIM AZIZ | IJUMAA | LETS TALK ABOUT LOVE HAKUNA siku ambayo huwa nafurahi ndani ya moyo wangu...

READ MORE

Matatizo Katika Uzalishaji wa Mbegu za Kiume

Na DK. CHALE | IJUMAA | AFYA TATIZO hili kitaalamu huitwa Sperm Disorders na kiasi kikubwa husababisha ugumba kwa mwanaume....

READ MORE

Manji Arejesha Majeshi Yanga

Stori: Musa Mateja na Wilbert Molandi | CHAMPIONI| Dar es Salaam BAADA ya muda mrefu Yanga kuwa mbali na mwenyekiti...

READ MORE

Yanga Kutangaza Ubingwa Leo

Na: Omary Mdose | CHAMPIONI| Dar es Salaam HATIMAYE Simba wamekubali kwamba kama wakifungwa leo, basi Yanga bingwa. Kocha Msaidizi...

READ MORE

Mtoto Atibua Fungate ya Koleta

NA HAMIDA HASSAN | IJUMAA | STAR MIX FUNGATE ya mwigizaji wa kitambo Bongo, Coletha Raymond ‘Koleta’ aliyokwenda kuifanyia Bagamoyo...

READ MORE

Jokate: Jokate: Sasa Nawaza Noti Tu

NA BRIGHTON MASALU, IJUMAA, STAR MIX MWANAMITINDO Jokate Urban Mwegelo ‘Kidoti’ amefunguka kuwa, misukosuko aliyokumbana nayo kwenye maisha ya kimapenzi...

READ MORE

Habari Zilizopo Katika Magazeti ya Leo Ijumaa ya Mei 12, 2017

Hapa tumekuanikia kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo, Mei 12, 2017. Ni yale ya...

READ MORE

VIDEO: Hashim Rungwe Aomba Kukutana na Rais Magufuli Amshauri

Mwenyekiti wa Chama Cha Umma (Chauma), Hashim Rungwe amesema ingefaa Rais Dk. John Magufuli akawaalika viongozi wa siasa ili waweze...

READ MORE

IYF Yatoa Elimu ya Maadili ya Wanafunzi kwa Walimu

Mkurugenzi wa IYF hapa nchini, Jeon Hee Yong akizungumza na wanahabari. Mkurugenzi Msaidizi wa IYF, Levin Ndengerio naye akifafanua jambo....

READ MORE

Pichaz: Maafa Ya Mvua Mkoani Tanga

Mawe yakiwa  yameserereka na kuangukia magari Lushoto, Tanga. …Wakiwa wamepigwa butwaa. Wananchi wakiweka sawa barabara baada ya kuangukiwa miti na...

READ MORE

Kampuni za Jumia, Tecno Kuuza Bidhaa Kwa Mtandao

KAMPUNI ya Jumia Tanzania inayouza bidhaa kwa njia ya mtandao, itashirikiana na kampuni za simu za Tigo na Tecno kuuza...

READ MORE

VIDEO: Mkemi Akiri ubingwa Bado Mgumu Yanga

LICHA ya kubakiwa na mechi tatu, Mjumbe wa Kamati ya Utendaji wa Yanga, Salum Mkemi amefunguka bado wapo katika wakati...

READ MORE

Toeni Taarifa Kwenye Tatizo Kipindi cha Mvua-TANESCO

  SHIRIKA la Umeme Tanzania(TANESCO) limetoa taadhari kwa Wananchi wote kutoa taarifa kipindi hiki cha mvua mara inapotokea hitilafu yoyote...

READ MORE

Kauli ya Rais Zuma kwa JPM Kuhusu Ujenzi wa Reli ya Kisasa

Rais wa Jamhuri ya Afrika ya Kusini Mhe. Jacob Gedleyihlekisa Zuma amempongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na...

READ MORE

Mambo 9 kurudisha Soko la ya Kuzingatia Filamu Bongo

 MAYASA MARIWATA | AMANI | MAKALA KUTOKANA na wasanii wa fi lamu za Kibongo kuwa kwenye mikakati mizito ya kuhakikisha...

READ MORE

Wako Wapi Wenzetu?

STORI: MWANDISHI WETU | GAZETI LA AMANI | ARUSHA Mungu mkubwa! Hali za wanafunzi manusura watatu wa ajali iliyosababisha vifo...

READ MORE

Wolper Nimekoma Mambo ya Mapenzi

NA BONIPHACE NGUMIJE | GAZETI LA AMANI | SHOWBIZ EXTRA MWIGIZAJI wa sinema za Kibongo, Jacqueline Wolper amefunguka kuwa, kwa...

READ MORE

Mama Lulu Aitolea Povu Zito Ndoa Ya Mwanae

STORI: BRIGHTON MASALU | AMANI | HABARI DAR ES SALAAM: Wakati kukiwa na madai ya kufanyika kwa vikao vya mwishomwisho...

READ MORE

Matatizo ya moyo ya kuzaliwa nayo (Congenital Heart Diseases)

IDADI ya watoto wanaozaliwa wakiwa na matatizo ya moyo inazidi kuongezeka. Kwa bahati mbaya, ni wazazi wachache ambao huwa wanagundua...

READ MORE

Fuatilia LIVE Yanayojiri Bungeni – Dodoma

BUNGE la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, linaendelea na vikao vyake vya Bunge mjini Dodoma asubuhi hii kujadili bajeti za...

READ MORE

Steve Nyerere Majanga Tena

NA GLADNESS MALLYA | GAZETI LA AMANI | DAR ES SALAAM Baada ya hivi karibuni nyumba yake kuvamiwa na kunyofolewa...

READ MORE