×

Habari

PSG Kamwe Hawatakisahau Kipigo cha Barcelona UEFA

   KLABU ya Barcelona wametinga nusu fainali kwa kuigonga Klabu ya Paris Saint Germain (PSG) kwa mabao 6-1 katika mchezo...

READ MORE

Nay Asalimu Amri Mtoto wa Sister Fay

MAYASA MARIWATA| GAZETI LA AMANI| HABARI MSANII wa muziki Bongo, Sister Fay ambaye siku chache zilizopita aliingia kwenye mgogoro na...

READ MORE

Uwepo wa Wasafi; Bongo Fleva Inachungulia Kaburi

Na OSCAR NDAUKA| GAZETI LA AMANI| MAKALA Hayo yote nayasema kuhusu nyota wa Bongo Fleva, Nasibu Adul Juma au maarufu...

READ MORE

LIVE: Mjadala Huru Kuhusu Mbinu Zinazotumiwa na Serikali Kutokomeza Viroba

LEO Machi 9, 2017 waandishi na wahariri wa Kampuni ya Global Publishers wakiongozwa na Mkurugenzi Mtendaji, Eric Shigongo, wamefanya mjadala...

READ MORE

Pasha Ateseka na Penzi la Snura

Na GABRIEL NG`OSHA| GAZETI LA AMANI| MAKALA DAR ES SALAAM: Msanii wa Bongo Fleva, Khaji Mtepa ‘Pasha’ aliyewahi kutamba na...

READ MORE

VIDEO: Tajiri Ajiua kwa Risasi Baada ya Polisi Kukamata Shehena Yake ya Viroba

Na Mohammed Masoud, DODOMA KATIKA vita inayoendelea nchi nzima dhidi ya matumizi ya vifungashio vya pombe aina ya Viroba zilizopigwa...

READ MORE

Saida Karoli: Bora Kukaanga Vitumbua au Maandazi Kuliko Kuimba

KUPITIA kipindi cha Take One  cha Clouds TV, msanii maarufu wa nyimbo za asili nchini, Saida Karoli amefunguka jinsi alivyodhurumiwa...

READ MORE

Yasome Hapa Magazeti Yote Ya Tanzania Leo, Alhamisi, Machi 09, 2017

Hapa tumekuanikia kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo, Machi 09, 2017. Ni yale ya...

READ MORE

Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani Yafana Dar es Salaam

Mkuu wa Wilaya ya Temeke, Felix Lyaviva akiungumza kwenye maadhimisho hayo     Wanawake waliohudhuria maadhimisho hayo.      ...

READ MORE

Mvua Yasababisha Mafuriko Makubwa Dar, Mmoja Afariki Dunia (Picha +Video)

Tazama video kujionea hali halisi ilivyokuwa MVUA zinazoendelea kunyesha jijini Dar es Salaam zimesababisha mafuriko makubwa katika Bonde la Mto...

READ MORE

Mwana: Tuungane Kuukabili ‘Unga’

WAKATI Taifa likiwa katika vita dhidi ya matumizi, usambazaji na usafi rishaji wa madawa ya kulevya ‘unga’, muigizaji wa filamu...

READ MORE

Mama Mlezi wa Rais Jakaya Kikwete Azikwa Bagamoyo

Mwili wa Marehemu, Bi. Nuru Khalfan Kikwete ukiwasili nyumbani kwake, mtaa wa Top Life Bagamoyo baada ya kutolewa hospitali ulikokuwa umehifadhiwa....

READ MORE

Kamanda Sirro: Waendesha Bodaboda Mwisho Saa 6 Usiku

RPC wa Kinondoni, Suzan Kaganda akizungumza. Kamanda Sirro akizungumza na wakazi wa Ally Maua, Kata ya Kijitonyama, Dar. Mkazi wa...

READ MORE

#GlobalCelebrities: Itazame Studio Session Ya ‘Pepeta’ Wimbo Mpya Wa Chin Bees – (Video)

Hii ni kwa wale watu wangu wenye mapenzi makubwa na Bongo Fleva na wasanii wake. Umeshawahi kuwaza wasanii wakiwa studio...

READ MORE

Ugonjwa Sugu wa Figo (Chronic Kidney Disease)-2

Dk. MARISE RICHARD| RISASI JUMATANO| AFYA KATIKA makala iliyopita tulieleza visababishi mbalimbali vya maradhi haya. Moja wapo ni kile kiitwacho...

READ MORE

PICAHZ: Wakazi wa Mkuranga Waikomalia Droo ya Pili ya Shinda Nyumba

Mr. Shinda Nyumba akiwasaidia wasomaji kujaza kuponi za Shinda Nyumba. Ofisa Masoko wa Global Publishers, Keffa akimsadia msomaji kujaza kuponi....

READ MORE

Flora Mbasha Adaiwa Kupigwa Mimba

Na MWANDISHI WETU| RISASI MCHANGANYIKO| HABARI DAR ES SALAAM: WAKATI vikao vya harusi yake vikiwa vinaendelea kusubiri kufunga ndoa Aprili...

READ MORE

#GlobalCelebrityUpdates: Wizkid Na Drake Kufanya Collabo Nyingine?

Siku hizi ukitaka kujua msanii gani anafanya nini, wapi, lini na nani isogelee tu Instagram au Twitter, huko utapata majibu...

READ MORE

Wema, Mbunge wa Chadema, Wapanda Miti Moro

MSANII  wa filamu na mlimbwende maarufu nchini, Wema Sepetu, ‘Madam’ ambaye hivi karibuni ameipasua Bongo Muvi kwa kuhamia Chama cha...

READ MORE

Sakata la Madawa: Vanessa Mdee Akamatwa na Polisi, Apelekwa kwa Mkemia Mkuu

Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam linamshikilia mwanamuziki Vanessa Mdee maarufu Vee Money kwa tuhuma za kujihusisha...

READ MORE

Steve Amfungukia T.I.D Katika Bifu la Mastaa

SEKESEKE la madawa ya kulevya limeendelea kuibua mengi ambapo muigizaji na mchekeshaji mahiri nchini, Steven Mengere ‘Steve Nyerere’ amemfungukia msanii...

READ MORE

#GlobalCelebrityUpdates: Skales Asimulia Jinsi Alivyolazimika Kumkana Mama Yake Zaidi Ya Mara Moja.

Kwenye celebrity updates za leo machi 8 2017, nakusogezea hii ya staa wa muziki kutoka Nigeria Skales. Hit maker wa...

READ MORE

Vodacom Yawapiga Msasa Mawakala Watakaokusanya Fedha za Hisa

Mawakala wa kuuza hisa za Kampuni ya mawasiliano ya Vodacom Tanzania PLC, wamepatiwa mafunzo elekezi ya siku moja yaliyokuwa na...

READ MORE

EFM Kusepa na Kijiji Sasa Mikoa Tisa Katika Masafa Yake

EFM radio kituo namba moja kwenye ubunifu na utangazaji mwaka 2016 chenye masafa ya 93.7 kwa miko ya Dar es...

READ MORE

Kama Hujapimwa Presha Usiangalie Video Hii ya Polisi Walivyoua Wamasai- Ni Leo Saa 11: Jioni

GLOBAL TV ONLINE inakuletea LIVE makala maalum kuhusiana na tukio la kusikitisha la mauaji ya vijana wawili ambao ni ndugu...

READ MORE

Arsenal Yagongwa 10-2 na Bayern Munich

    Arsenal walibomolewa na Bayern Munich kwa mara nyingine tena na kujikuta wakitolewa katika michuano ya Klabu Bingwa Ulaya...

READ MORE

#GlobalCelebrityUpdates: Jay Z Alimzuia Kabisa Tiwa Savage Kufanya Hili… ( Video)

Kumekuwa na mjadala mkubwa kuwa wasanii wengi wanaosign na label kubwa za Marekani mara nyingi huishia kupotea kwenye game, na...

READ MORE

Mwamuzi Aliyempa Kadi Nyekundu Chirwa Adai Alirogwa

KATIKA hali ya kushangaza, mwamuzi Ahmad Simba, ambaye wiki iliyopita alitoa maamuzi ya utata kwenye mechi ya Yanga dhidi ya...

READ MORE

Pam-D Alia Kutengwa na Wasanii Wenzake

Stori: Mayasa Mariwata | RISASI MCHANGANYIKO |Risasi Vibes SEXY lady anayetamba na Ngoma ya Daffa, Pamela Daffah ‘Pam D’ Amelia...

READ MORE

Nay: Sina Ndoto za Uchungaji

STORI: GLADNESS MALLYA | RISASI MCHANGANYIKO |Risasi Vibes MKALI wa Bongo Fleva, Emmanuel Elibariki ‘Nay wa Mitego’ amefunguka kuwa, kwa...

READ MORE

Seven: Uzinduzi wa Jide Kufanyika Jeshini

STORI: ANDREW CARLOS | RISASI MCHANGANYIKO |Risasi Vibes UZINDUZI wa albamu ya saba ya mkongwe wa Muziki wa Kizazi Kipya,...

READ MORE

Mashabiki Wamtaka Tunda Kuheshimu Ujauzito

Muuza nyago kwenye video za mastaa wa Bongo Fleva, Tunda Sebastian ambaye amekuwa gumzo baada ya jina lake kuwa katika...

READ MORE

Yasome Hapa Magazeti Yote Ya Tanzania Leo, Jumatano, Machi 08, 2017

Hapa tumekuanikia kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo, Machi 08, 2017. Ni yale ya...

READ MORE

Hatimaye Wafugaji Wakubali Kuzika Ndugu Zao Waliopigwa Risasi na Polisi, Bagamoyo

WAZIRI wa Mambo ya Ndani, Mwigulu Nchemba leo Machi 7, 2017 alifanya kikao cha upatanishi na wafugaji wa jamii ya...

READ MORE

NEMC Yatoa Tathmini ya Uhifadhi wa Mazingira

BARAZA la Taifa la Uhifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC), limetoa tathmini yake  katika kusimamia shughuli za utunzaji wa mazingira...

READ MORE

Pichaz: Hasira za Yanga… Yantwanga Kiluvya United 6-1

MABINGWA watetezi wa Kombe la Ligi Kuu Tanzania Bara, Young African Sc (Yanga) wameendeleza hasira zao kwa kuitwanga klabu ya...

READ MORE

Azam FC Yatangaza Viingilio vya Mechi yao na Mbabane

  TIMU ya Azam, imetangaza viingilio vya mchezo wao wa Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya Mbabane Swallows ya Swaziland...

READ MORE

Mama Wema si wa Mchezomchezo

Na MWANDISHI WETU| GAZETI LA UWAZI| HABARI DAR ES SALAAM: Bado sakata la mama wa Miss Tanzania 2006, Wema Sepetu ...

READ MORE