×

Habari

Asuswa na Wazazi kwa Kuwa na Mahusiano na Kijana Mweusi

Kijana mweusi Michael Swift na mpenzi wake, Allie Dowdl. Mwanafunzi mmoja Allie Dowdl (18) amechangisha zaidi ya dola 10,000 kupitia mchango...

READ MORE

El Salvador Yafurahia Kupitisha Siku Bila Mauaji

Polisi nchini El Salvador wanasema taifa hilo la Amerika ya Kati limemaliza siku moja bila mauaji yoyote kuripotiwa, jambo ambalo...

READ MORE

Rais Magufuli azindua Fresho Investment Co. Ltd na Jambo Food Products Co. Ltd Mkoani Shinyanga 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli leo Ijumaa Januari 13,2017 amefungua rasmi viwanda viwili mkoani...

READ MORE

Mfanyabiashara Alipa Kodi kwa Kutumia Mtoroli 5 Yaliyojaa Sarafu

MAREKANI: Mfanyibiashara mmoja nchini Marekani ambaye amezozana na idara ya magari nchini humo DMV amelipa kodi yake ya dola 3,000...

READ MORE

Mtego Wamkamatisha Mhadhiri wa Chuo Kikuu kwa Rushwa ya Ngono

DAR ES SALAAM: Mhadhiri Msaidizi wa Chuo cha Taifa cha Usifirishaji (NIT) amekamatwa na Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na...

READ MORE

Nec Yavipa Somo Vyama Vya Siasa

Mkurugenzi wa Nec, R.K Kailima akizungumza na waandishi wa habari. Mkutano ukiendelea. TUME ya Taifa ya Uchaguzi (Nec) imevipa somo...

READ MORE

Rais Magufuli Atishia Kuyatumbua Magazeti Mawili Yanayoandika Uchochezi

Rais wa Jamhri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli, leo tarehe 13 Januari, 2017 ameyaonya magazeti mawili yanayoandika...

READ MORE

Edwin ‘Mac’ Temba Aja na Mkombozi Kwa Wenye Magari

Mkurugenzi wa Mac Insurance Agency, Edwin Temba akifanya mahojiano na Global TV Online leo. Akiendelea kutoa ufafanuzi wa kulinda magari....

READ MORE

Polisi Dar Wapiga Marufuku Uuzwaji Holela wa Silaha za Jadi

Kamishna wa Polisi Kanda Maalum Dar es Salaam, Simon Sirro akizungumza jambo. `…akionyesha baadhi ya silaha za jadi walizozikamata. …Akiendelea...

READ MORE

Magari ya Vigogo Wawili Yadaiwa Kugongana Mbeya

Ajali iliyotokea eneo la CCM, Mbeya. Vigogo hao wakifanya majadiliano baada ya ajali hiyo. Hali halisi ya magari hayo baada...

READ MORE

Updates: Prof . Mbarawa Aunda Tume Kuchunguza Chanzo cha Moto Uwanja wa Ndege Dar

  DAR ES SALAAM: Moto mkubwa umezuka kwenye Uwanja wa Ndege wa Julius Nyerere (JNIA) usiku wa leo na kusababisha...

READ MORE

Medali ya Rais Obama Yamtoa Machozi Biden

Rais wa Marekani Barack Obama amemtunuku makamu wake Joe Biden Medali ya Rais ya Uhuru, ambayo ndiyo nishani ya hadhi...

READ MORE

Sabby: Mimi kuolewa tena na Mwarabu nooo!

Na Andrew Carlos HII kali! Baada ya kuolewa na ndoa kudumu kwa siku saba tu, msanii wa Bongo Fleva na...

READ MORE

Anti Lulu akiri bwana wake kubwia unga

DAR ES SALAAM: Msanii wa filamu aliyekuwa akipiga dili la utangazaji, Lulu Semagongo ‘Anti Lulu’ baada ya kudaiwa kuwa anatumia...

READ MORE

Matatizo ya nguvu za kiume!

Matatizo haya ya nguvu za kiume humuathiri mwanaume  na mwanamke  kwa  ujumla. Tatizo  hili   hulalamikiwa  aidha  na  mwanaume  mwenyewe  au ...

READ MORE

Magazeti ya Leo Ijumaa, Januari 13, 2017 Yako Hapa

Soma kilichoandikwa katika magazeti ya Tanzani leo Ijumaa, Januari 13, 2017. Pia usikose kutembelea tovuti hii mara kwa mara kwa...

READ MORE

Hadithi: Insane (Mwendawazimu -5)

Ilipoishia Sehemu ya 4 Hakukuwa na siri tena, kila kitu kilijulikana, mkewe alijua kila kitu kilichotokea hali iliyompa wakati mgumu...

READ MORE

JPM Aagiza Uongozi wa Mkoa wa Shinyanga Kufuta Usajili wa Mradi wa Triple S

Na: Frank Shija – MAELEZO. Rais wa Jmamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli ameuagiza uongozi wa...

READ MORE

Dkt. Shein Awaongoza Wananchi Sherehe za Mapinduzi Zanzibar

Vikundi mbalimbali, Asasi za Kiraia,Vyama vya Siasa,Mikoa,Wizara na Taasisi za Serikali wakipita mbele Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza...

READ MORE

Picha: Makomando Noma, Cheki Shughuli Yao Mapinduzi Day, Zanzibar

Vikosi mablimbali vya Jeshi la Polisi vikipita mbele Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed...

READ MORE

Yaliyojiri Kwenye Mkutano wa Rais Magufuli na Wananchi wa Shinyanga

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipunga mkono kuwasalimia wananchi wa Shinyanga waliofika katika uwanja...

READ MORE

Mkemia Mkuu Aanika Mazito Kipimo cha DNA

Stori: RICHARD BUKOS NA ISSA MNALLY, GAZETI LA AMANI, TOLEO LA JANUARI 12, 2017 DAR ES SALAAM: Mkemia wa serikali...

READ MORE

Simulizi Ya Muuza Madawa Maarufu Pablo Escobar

Sehemu ya kwanza PABLO NI NANI? Katika milima inayotazamana na mji wa Medellín nchini Colombia, yapo majengo ya kifahari kabisa...

READ MORE

Bofya Hapa Ujishindie Vocha ya Bure!

 Tovuti ya Global Publishers inaendelea kutoa vocha kwa wasomaji wake mwezi huu Januari, zawadi ya vocha kila siku kwa ajili...

READ MORE

Video: Tundu Lissu Afungukia Hukumu ya Lijualikali, Aahidi Kumtetea

Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu (pichani mwenye kofia) ambaye pia ni Mwanasheria Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo...

READ MORE

Video: ACT Waitaka Serikali Ieleze Ukweli Nchi Imekumbwa na Njaa, Walalamika Kuchezewa Faulo Uchaguzi Mdogo

Ado Shaibu, Katibu wa Itikadi, Mawasiliano na Uenezi ACT (katikati), akizungumza na waandishi wa habari.  Kulia ni Ester Kyamba, katibu...

READ MORE

Mama Kanumba: Huyu Ndiye Mrithi wa Kanumba, Naamini Atanifuta Machozi! (Video)

Mama Kanumba: Huyu Ndiye Mrithi wa Kanumba, Naamini Atanifuta Machozi!

READ MORE

NEC: Mbunge Peter Lijualikali Kuendelea Kuwa Mbunge

Mbunge Wa jimbo la Kilombero Mhe. Peter Lijualikali (30). Mjadala umeshika kasi mitaani, mitandaoni na kila mahali baada ya Mahakama...

READ MORE

Alichokizungumza Prof. Jay Baada ya Waziri Nape Kumkabidhi Diamond Bendera ya Taifa

IKIWA ni saa chache tangu baada ya Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Nape Nnauye kumkabidhi Bendera ya Taifa,...

READ MORE

India Imegoma Kutuma Madaktari Wake Kenya

New Delhi: SERIKALI ya India imelikataa ombi la Serikali ya Rais Uhurua Kenyatta wa Kenya la kutuma madaktari wake ili...

READ MORE

Tovuti ya Man Utd Yaongoza Kutembelewa Duniani

Tovuti ya  Klabu ya Manchester United imeongoza kwa kutembelewa na watembeleaji wengi kwa mwezi  kwa mujibu wa ripoti ya UEFA....

READ MORE

Shein: Sina Ugomvi na Maalim Seif

Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Dk Ali Mohammed Shein. WAKATI Wazanzibari leo wakiadhimisha miaka 53 ya Mapinduzi Zanzibar, Rais...

READ MORE

Video Review: Moyo sukuma damu, bonge la video lakini kuna dosari chache

Katika Gazeti la Amani, kuna kolamu inayoitwa Video Review na wiki hii, video inayochambuliwa ni ngoma mpya ya Ditto aliyoipa...

READ MORE

Ukiona anang’ang’ania mapenzi ya siri, ujue ana lake jambo

Uhali gani mpenzi msomaji, leo utakuwa nami, Lulu Diva, wengi wananifahamu kwa sababu ya kazi yangu ya uanamitindo, na msanii...

READ MORE

Shehe Mkuu Dar: Diamond acha utani na Mungu

Stori: MWANDISHI WETU, Gazeti la Amani  Toleo la Januari 12, 2017 DAR ES SALAAM: Kufuatia kauli ya msanii mahiri wa...

READ MORE

Magazeti ya Leo Alhamisi, Januari 12, 2017 Yako Hapa

Soma kilichoandikwa katika magazeti ya Tanzani leo Alhamisi, Januari 12, 2017. Pia usikose kutembelea tovuti hii mara kwa mara kwa...

READ MORE

Hivi ndivyo Yanga walivyowasili kutoka Zanzibar baada ya kipigo cha Simba

KIKOSI cha klabu ya Yanga, jana mchana kiliwasali katika Bandari ya Dar es Salaam kikitokea Visiwani Zanzibar katika michuano ya...

READ MORE

Kesi ya Mke wa Bilonea Msuya Yaahirishwa Tena

DAR ES SALAAM: MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu inatarajiwa kutoa uamuzi wa kumwachia  ama kutomwachia huru mke wa marehemu bilionea...

READ MORE

Tumia juisi ya limao kuondoa madoa ya chunusi

Watu wengi hulalamikia tatizo la kutokwa na chunusi usoni ambazo huharibu kabisa mwonekano wao. Hata hivyo, baada ya mara kadhaa...

READ MORE