×

Habari

ACT Wazalendo Kukutana na Wanahabari

Chama cha Alliance for Change Tanzania (ACT- Wazalendo), Alhamisi ya Januari 12, 2017, kitafanya mkutano na waandishi wa habari, kuzungumzia...

READ MORE

Alichokizungumza Rais JPM Kwenye Mkutano na Wananchi wa Bariadi, Simiyu (+Pichaz)

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipunga mkono wakati alipowasili Bariadi kwa ajili ya kuifungua...

READ MORE

Rais Obama Adondosha Chozi Akiwaaga Wamarekani Ikulu

Rais wa Marekani, Barack Obama amewaaga Wamarekani na ulimwengu mzima kwa ujumla ikiwa ni mara ya mwisho akiwa kama rais,...

READ MORE

Video: Waziri Nape Amkabidhi Diamond Bendera Kuiwakilisha Tanzania Kwenye AFCON, Gabon

DAR ES SALAAM: Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Nape Nnauye leo January 11, 2017 amemkabidhi nyota wa Afro...

READ MORE

Daktari Asogeza Mbele Kesi Ya ‘Scorpion’

Salum Njwete ‘Scorpion’ akiingia Mahakama ya Mwanzo Ilala, Dar. Mwandishi wa Global Publishers na mtandao huu, Issa Mnally (kulia mwenye...

READ MORE

Chuchu Ajifungua Kidume

  Staa wa filamu Bongo, Chuchu Hans. STAA wa filamu Bongo, Chuchu Hans, hatimaye amejifungua mtoto wa kiume katika Hosptali...

READ MORE

Mbunge Lijualikali Ahukumiwa Jela Miezi Sita

Mbunge wa Kilombero kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Peter Lijualikali. Mbunge wa Kilombero kwa tiketi ya...

READ MORE

Shehe Mpemba wa Meno ya Tembo Kizimbani Tena

DAR ES SALAAM: KESI inayomkabili mtuhumiwa wa makosa ya kukamatwa na nyara za serikali, Yusuf Ali Yusuf maarufu kama Shehe...

READ MORE

Mama Kanumba: Huyu Ndiye Mrithi wa Kanumba, Naamini Atanifuta Machozi!

  Na Mayasa Mariwata, Risasi Mchanganyiko, Toleo la Jumatano, Jan. 11, 2017 DAR ES SALAAM: Wakati ikiwa inakaribia miaka mitano...

READ MORE

Watabiri 650 ‘Wamebugi’ Matokeo Mechi ya Simba na Yanga

KATIKA mchezo wa kubashiri matokeo ya mchezo wa nusu fainali Kombe la Mapinduzi Zanzibar kati ya watani wa jadi, Simba...

READ MORE

Lwandamina Ataka Yondani Awe Mshambuliaji

Beki wa Yanga kisiki, Kelvin Yondani. Omary Mdose na Said Ally KOCHA Mkuu wa Yanga, Mzambia, George Lwandamina, amezidi kuwashangaza...

READ MORE

Wasanii wabwia unga wanaponzwa na ujuaji

Makala: Ojuku Abraham | Gazeti la Risasi Jumatano, Toleo la Jan. 11, 2017 NIMEISHI na wajuaji na nimewaona wanavyofeli. Kile...

READ MORE

Nuh Mziwanda na Shilole Wadaiwa Kurudisha Penzi Lao

MSANII wa kizazi kipya aliyetambulika kupitia wimbo wake wa ‘Msondo Ngoma’ uliotolewa na studio za ‘Mazooh Record’ jijini Dar es...

READ MORE

Talaka Ya Flora Mbasha Yagonga Mwamba Kortini

Na Mwandishi Wetu, Risasi Mchanganyiko, Toleo la Jumatano, Jan. 11, 2017 DAR ES SALAAM: Mwanamuziki nyota wa nyimbo za Injili, Flora...

READ MORE

Rosa Ree: Wasanii wa Hip Hop Wananitaka! (Video)

Mkali  wa Muziki wa Hip Hop Bongo, Rosa Ree akifanya mahojiano na Global TV Online katika Ofisi ya Global Publishers, Bamaga...

READ MORE

Rorya: Polisi Yakamata Watu 10 kwa Kumcharaza Bakola Mwanamke Mbele ya Hadhara

RORYA: Video ya tukio la mwanamke akicharazwa bakora imesaidia kunaswa kwa watu waliokuwa wakimpiga mwanamama huyo. Habari zinasema idadi ya...

READ MORE

Askofu Mokiwa: Mimi ni Askofu Halali wa Jimbo la Dar (Video)

ASKOFU Mkuu wa Dayosisi ya Dar es Salaam Dkt. Valentine Mokiwa amesema kuwa yeye anatambua bado ni ndiye askofu wa...

READ MORE

Magazeti Yote ya Tanzania leo Jumatano, Jan. 11, 2017

  Soma kilichoandikwa katika magazeti ya Tanzani leo Jumatano, Januari 7, 2017. Pia usikose kutembelea tovuti hii mara kwa mara...

READ MORE

Wanasayansi Wagundua Kemikali Inayounda Sehemu ya Ndani ya Dunia

JAPAN: Wanasayansi nchini Japan wanasema wamegundua kemikali ambayo inaunda sehemu ya ndani kabisa ya dunia (Inner Core). Kemikali hiyo imekuwa...

READ MORE

Simba SC Yaifunga Yanga SC na Kutinga Fainali

ZANZIBAR: Klabu ya Simba imefanikiwa kuifunga Klabu ya Yanga kwa mikwaju ya penati 4-2 wakati wa mchezo wa Nusu Fainali...

READ MORE

Live Updates: Simba Vs Yanga, Nusu Fainali Kombe la Mapinduzi Zanzibar

Kikosi cha Yanga SC. Kikosi cha Simba Sc. Simba wanashinda kwa penati 4-2. Simba anacheza ni Bukungu….. gooooooal. Yanga anacheza...

READ MORE

CUF Wakanusha Wizi wa Fedha, Wadai Taaifa Hizo ni Kelele

THE CIVIC UNITED FRONT CUF – Chama cha Wananchi CUF – Chama cha Wananchi hakina sababu ya kumjibu Mtatiro na...

READ MORE

Azam Fc Wametinga Fainali ya Michuano ya Mapinduzi Kwa Kuichapa Taifa Jang’ombe bao 1-0

Azam Fc wametinga fainali ya michuano ya Kombe la  Mapinduzi kwa kuichapa Taifa Jang’ombe bao 1-0. Mfungaji wa bao hilo...

READ MORE

Rais Magufuli Akutana na Mjumbe Maalum wa Rais wa Nigeria, Chato mkoani Geita

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli (kulia) akisalimiana na kumkaribisha Profesa Ibrahim Gambari ambaye ni...

READ MORE

Rais Museveni Amteua Mwanaye Kuwa Mshauri Wake

RAIS Yoweri Museveni wa Uganda amemteua mwanaye, Meja Jenerali David Muhoozi Kainerugaba, kuwa  mshauri mkuu wake kuhusu operesheni maalum.  Rais...

READ MORE

Meya Kinondoni: Tutaondoa makazi yote holela (Video)

Makala: Elvan Stambuli na Sifael Paul | Gazeti la Uwazi, Toleo la Jumanne Januari 10, 2017 Dar es Salaam: Meya...

READ MORE

Betting…Betting….Betting…..

Watani wa Jadi, Simba na Yanga wanatarajia kukupiga katika Uwanja wa Amaan huko visiwani Zanzibar. Wewe kama shabiki unaweza kushiriki...

READ MORE

Ndoa ya Masele Yampa Wakati Mgumu MC Pilipili

Mc Pilipili. Mchekeshaji na mshereheshaji  (MC) bora wa mwaka 2017 aliyeshinda tuzo ya Instagram Party, Emmanuel Mathias ‘MC Pilipili’, ameshindwa...

READ MORE

Mwanamke Achapwa Viboko Hadharani Mbele ya Rundo la Wanaume

Kupitia mitandao ya kijamii imesambaa video ikionyesha kundi la wanaume wakishirikiana kumchapa viboko mwanamke mmoja ambaye hakufahamika mara moja alikosa...

READ MORE

Yanga Vs Simba Nusu Fainali Mapinduzi Cup, Bashiri Mshindi Uibuke na Zawadi

HISTORIA nyingine kwenye mchezo wa soka inatarajiwa kuandikwa leo kwenye mchezo wa nusu fainali inayosubiriwa kwa hamu kubwa katika Kombe...

READ MORE

Video: Usiku wa Masele cha Pombe na Specioza

Masele  na mkewe wakicheza muziki laini. Mke wa Masele akimlisha keki mumewe. Masele akimlisha mkewe. …wakigonga chears. Mchekeshaji Erick Kisauti...

READ MORE

Mwingine Kortini kwa Kudaiwa Kumtukana Rais Magufuli na Samia Suluhu

DAR ES SALAAM: Mtunza bustani Maganga Masele, amefikishwa kwenye Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Jijini Dar es salaam kwa tuhuma...

READ MORE

Trump Amteua Mkwe Wake Kuwa Mshauri Mkuu Ikulu

Rais mteule wa Marekani Donald Trump anayetarajiwa kuapishwa wiki ijayo Januari 20, amemteua mkwe wake Jared Kushner, kuwa mshauri mwandamizi...

READ MORE

Diamond, Drake, Wizkid, Tiwa Sawage Wanyakuwa Net People’s Choice Awards

STAA wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz, Drake, Wizkid, Tiwa Sawage na wengine wamesinda Tuzo za Net People’s Choice ambazo hutolewa...

READ MORE

Magazeti ya Leo Jumanne Januari 10, 2017 Yako Hapa

Soma kilichoandikwa katika magazeti ya Tanzani leo Jumanne, Januari 10, 2017. Pia usikose kutembelea tovuti hii mara kwa mara kwa...

READ MORE

Mbowe, Besigya Wakaribishwa Ikulu Ghana

  Rais wa Ghana Akufo- Addo, Kiongozi mwenye umri wa miaka 72, na ambaye ni wakili wa zamani wa kutetea...

READ MORE

Pwani: Jamii ya Wafugaji na Wakulima Yakumbwa na Baa la Njaa

PWANI: Jamii ya wafugaji na wamkulima wa vijiji vya Gumba, Chaua na Gwata mkoani Pwani imekumbwa na baa la njaa...

READ MORE

Nyoka Asababisha Emirates Kuahirisha Safari ya Ndege

Safari ya ndege ya Shirika la Emirates ya kutoka Oman kwenda Dubai imesitishwa baada ya wahudumu wa ndege hiyo kukuta...

READ MORE