×

Habari

Ray Ashindwa Kuishi na Chuchu

Na SIFAEL PAUL| IJUMAA WIKIENDA| HABARI DAR ES SALAAM: Pamoja na kumzalia mtoto wa kiume aitwaye Jaden, staa wa sinema...

READ MORE

Korea Kaskazini Yarusha Makombora Japan

Jeshi la Korea Kusini limesema Korea Kaskazini imerusha makombora yake kadhaa katika bahari ya Japan, kutoka kwenye eneo la Tongchang-ri...

READ MORE

Juuko Aomba Asicheze Simba SC

Said Ally, | CHAMPIONI|  Dar es Salaam BEKI Mganda, Juuko Murshid, licha ya kurejea kwenye kikosi cha timu hiyo, ameomba...

READ MORE

Kessy Agoma Kutoka First Eleven ya Lwandamina

Wilbert Molandi | CHAMPIONI|  Dar es Salaam BAADA ya Kocha Mkuu wa Yanga, Mzambia, George Lwandamina kumuanzisha kwenye kikosi cha...

READ MORE

Simba waomba ubingwa Azam

Said Ally | CHAMPIONI|  Dar es Salaam BENCHI la ufundi la Simba chini ya kocha wake mkuu, Joseph Omog, raia...

READ MORE

Ney ‘Asanda’ kwa Madee

Na ALLY KATALABULA| IJUMAA WIKIENDA| OVER ZE WEEKEND   RAPA asiyeishiwa vituko kunako Muziki wa Bongo Fleva, Emmanuel Elibariki ‘Nay...

READ MORE

Wema Sepetu Alivyomtembelea Godbless Lema Baada ya Kutoka Gerezani

Msanii wa filamu nchini Wema Sepetu ambaye hivi sasa amehamia Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ametimiza hadi yake kwenda...

READ MORE

Polisi Wadaiwa Kuua Wamasai kwa Kuwatwanga Risasi Kweupe

  RICHARD BUKOS na ISSA MNALLY|RISASA JUMAMOSI| HABARI PWANI: JPM twafa! Ndivyo walivyosikika wafugaji wa jamii ya Kimasai mkoani hapa...

READ MORE

Yanga, Mtibwa Hakuna Mbabe

MCHEZO kati ya Yanga na Mtibwa Sugar uliyochezwa katika Uwanja wa Jamhuri,  Morogoro umemalizika kwa suluhu.  Timu hizo  zimememnayana leo...

READ MORE

Ajali ya Mabasi Yatokea Milima ya Kitonga Iringa

IRINGA: Basi la Abood lililokuwa likitokea Iringa kwenda Dar es Salaam limeligonga kwa nyuma basi la Happy Nation lililokuwa likitokea...

READ MORE

Makamba Atoa Ripoti ya Oparesheni Kusitisha ‘Viroba’

SERIKALI kupitia Waziri  wa Ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano na Mazingira,  January Makamba,  imesema kupitia kikosi-kazi cha kitaifa cha...

READ MORE

Live Update: Yanga Kumenyana na Mtigwa Jamhuri

  HALI ilivyo hivi sasa Uwanja wa Jumhuri Morogoro kuwa nasi kwa taarifa zaidi…   \ Mpira unaanza muda huu...

READ MORE

Waandishi wa Risasi Wauziwa Cocaine

Stori: WAANDISHI WETU| RISASI JUMAMOSI| HABARI DAR ES SALAAM: Vita bado nzito! Hivyo ndivyo unavyoweza kusema kufuatia vitendo vya uuzaji...

READ MORE

Meya Kinondoni Azindua ‘Sitta Cup 2017′

MEYA wa Wilaya ya Kinondoni na Diwani wa Kata ya Msasani jijini Dar es Salaam, Benjamini Sitta amezindua michuano ya...

READ MORE

Makonda: Mafanikio Vita Dhidi ya Madawa ya Kulevya Yaonekana

MKUU  wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda, amesema kelele zinazoendelea dhidi yake ni dalili za mafanikio katika vita...

READ MORE

Yanayojiri Kanisani Kwa Gwajima Leo Jumapili (+Mubashara Video)

AKIONGOZA ibada katika Kanisa lake la Ufufuo na Uzima, Askofu Josephat  Gwajima,  leo Jumapili,  amesema kuwa kilichotokea ni rasharasha  na...

READ MORE

Robert Mugabe Ndiye Kiongozi Mzee Zaidi Duniani, Mzee Mwinyi ni wa 42 Waliostaafu

Na WALUSANGA NDAKI| RISASI JUMAMOSI| NAJUA WAJUA, NAKUJUZA ZAIDI KWA viongozi wazee zaidi duniani walioko madarakani, Rais Robert Gabriel Mugabe...

READ MORE

Uaminifu ni Muhimu Kuliko Mapenzi

UKIFANYA tathimini za kina, utagundua mapenzi ni muhimu sana katika maisha yetu ya kila siku. Mapenzi ni kichocheo cha furaha,...

READ MORE

Dc wa Kinondoni Ampa Shavu Mkewe Mtandaoni

KWA maneno yaliyo jaa mahaba Mkuu wa Wilaya ya Kinondini Mkoani Dar es salaam Ali Hapi, amemsifia mkewe kwa kumvumilia...

READ MORE

Gigy Money Atapeliwa Mtandaoni

BAADA ya kuhakiwa akaunti yake Instagram, Msanii wa kuuza nyago kwenye Video Queen wa Bongo, Gift Stanford ‘Gigy Money’, ameendelea...

READ MORE

VIDEO: Hii Ndiyo Safari ya Muziki ya Producer King Lufa Aliyetengeneza ‘Bilima’ ya Nuh Mziwanda

UMEWAHI kuinyaka hii mtu wangu wa dhahabu? Kama wewe ni mfuatiliaji wa tasnia ya muziki wa Bongo Fleva, lazima utakuwa...

READ MORE

Simba Washikwa Sharubu na Mbeya City… Sasa Kazi Kwenu Yanga

KLABU ya Simba imeng’ang’aniwa na Mbeya City huku ikilazimishwa sare kutoka sare ya bao 2-2, katika mchezo uliopigwa leo kwenye...

READ MORE

Live Kutoka Taifa: Simba 2 Vs 2 Mbeya City

MPIRA UMEKWISHAA -Agyei anaokoa vizuri mpira wa kona na kuwa kona tena.Ungeweza kujaa moja kwa moja, inachongwa tena, anaokoa tena...

READ MORE

Johari, Chuchu Kimenuka Tena!

Na Mwandishi Wetu | RISASI JUMAMOSI  | DAR ES SALAAM Warembo wa Bongo Movies, Blandina Chagula ‘Johari’ na Chuchu Hans...

READ MORE

Hiki Hapa Kikosi cha Simba Vs Mbeya City Leo, Juuko Benchi

1. Daniel Agyei 2. Hamadi Juma 3. Mohamed Zimbwe 4. Abdi Banda 5. James Kotei 6. Jonas Mkude (nahodha) 7....

READ MORE

Sentensi 5 za Rais Magufuli Akiwa Mtwara Leo

RAIS wa Jamhuriya Muungano wa Tanzania, DKt. John Pombe Magufuli ameweka jiwe la msingi ujenzi wa gati bandari ya Mtwara,...

READ MORE

Serengeti Boys Waitembelea Sober House ya Bagamoyo

NA MUSSA IBRAHIM BAGAMOYO: Wachezaji wa Timu ya Soka ya Taifa ya Vijana Chini ya Miaka 17 (Serengeti Boys) wamefanya...

READ MORE

Jamani… Mama Wema Mikononi Mwa Polisi?

Stori: MWANDISHI WETU | RISASI JUMAMOSI DAR ES SALAAM: Msala tena! Baada ya mwanaye kukamatwa na kushtakiwa kwa tuhuma za...

READ MORE

#GlobalMusic: Kwenye Rotation Yako Weekend Hii, Iweke Na Hii ‘Sweet Love’ Ya Heri Muziki – (Audio)

Bado nazidi kuzisogeza kwako kali za kuwa nazo weekend hii kwenye rotation ya playlist yako. Its Saturday ya March 04...

READ MORE

Simba: Mbeya City mmekuja wakati mbaya

Said Ally na Omary Mdose | CHAMPIONI| DAR ES SALAAM SIMBA leo Jumamosi inacheza na Mbeya City mechi ya Ligi...

READ MORE

#GlobalCelebrityUpdates: Vera Sidika Achoshwa Na Maisha Ya Kuishi Peke Yake, Adai Bora Kufanya Haya…

Baada ya kuweka wazi mahusiano yake na tajiri mmoja wa Nigeria aishie Dubai, socialite maarufu East Africa Vera Sidika anaendelea...

READ MORE

Jacqueline Wolper Akerwa na Harmorapa

NA IMELDA MTEMA | RISASI JUMAMOSI | MIKITO NUSUNUSU STAA wa fi lamu za Kibongo, Jacqueline Wolper ameeleza  kukerwa na...

READ MORE

JIKE SHUPA: Najilipua Pombe Kali Kimtindo!

NA IMELDA MTEMA | RISASI JUMAMOSI | MPAKA HOME NIAJE mtu wangu wa dhahabu? Mimi na wewe sehemu yetu ya...

READ MORE

Baada ya Wema Sepetu Kuhamia Chadema… Hii ni Kauli ya Lulu Kujiunga na Siasa

Stori: IMELDA MTEMA | RISASI JUMAMOSI| DAR ES SALAAM ELIZABETH Michael ‘Lulu’ amefunguka kuwa anajivunia uamuzi wake wa kutojihusisha na...

READ MORE

Jitihada za RC Makonda Zimeuleta Uwanja Huu wa Soka wa Bandari, Dar

  RC Makondana Balozi wa China nchini Tanzania, Dr. Lu Youqing wakizindua mradi huo. Bila shaka kila mmoja wetu anakumbuka ahadi...

READ MORE