×

Habari

Hotuba ya Waziri Mkuu Aliyoitoa Jana Bungeni

UTANGULIZI Mheshimiwa Spika, naomba kutoa Hoja kwamba kutokana na taarifa zilizowasilishwa leo katika Bunge lako Tukufu na Mwenyekiti wa Kamati...

READ MORE

VIDEO: Simu ya Roma Ipo Hewani, Haipokelewi…

ITAZAME video mke wa Roma, mama Ivan afunguka…

READ MORE

Miss Tanzania Azaa na Mbunge…

DAR ES SALAAM: Imevuja! Mbunge wa jimbo moja lililopo katikati ya nchi ya Tanzania akikiwakilisha Chama Cha Mapinduzi (CCM) anadaiwa...

READ MORE

Hapa Nimekuwekea Magazeti Yote ya Tanzania Leo Ijumaa, Aprili 07, 2017

Hapa tumekuanikia kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo, April 07, 2017. Ni yale ya...

READ MORE

VIDEO: ROMA Mkatoliki Kutekwa na Kupelekwa Kusikojulikana, Mkewe Afunguka Mazito

Kufuatia tukio la Rapa ROMA Mkatoliki kuvamiwa studio za Tongwe Records akiwa na wenzake kisha kupelekwa kusikojulikana, Global TV Online...

READ MORE

Kuelekea Pasaka… Mnada wa Ng’ombe Pugu Wafurika

IKIWA imebaki wiki moja kufikia Sikukuu ya kuadhimisha kifo na ufufuko wa Yesu Kristo ‘Pasaka’, baadhi ya wananchi wameonekana kufurika katika...

READ MORE

TANZIA: Kiongozi wa Freemasons Tanzania, Andy Chande Afariki Dunia

Aliyekuwa mfanyabiahsra maarufu wa Tanzania na kiongozi wa ‘Freemason’ Afrika Mashariki, Jayantilal Keshavji “Andy” Chande amefariki dunia leo Nairobi nchini Kenya....

READ MORE

Zitto, Nay wa Mitego Walaani R.O.M.A Kuvamiwa na Kukamatwa na Polisi Usiku

IKIWA ni saa chache baada ya Mbunge wa Mikumi na staa Bongo Fleva Joseph Haule ‘Prof Jay’ kutoa taarifa kupitia account...

READ MORE

Kigwangala Azindua Mkutano wa vijana kujadili Maendeleo Barani Afrika

  NAIBU Waziri wa Afya,Maendeleo,Wazee na Watoto, DK.Hamis Kigwangalah amefungua Mkutano wa vijana barani Afrika unaolenga vijana kujadili namna wanavyoweza...

READ MORE

Diamond Awahusia Watoto Wake Mtandaoni

DAR ES SALAAM: Msanii wa kiwango cha kimataifa, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, amewaasa wanaye kuwa wanatakiwa kuitumia vyema midomo yao....

READ MORE

Kipi Bora Adungwe Mimba, Atoroshwe au Umuozeshe?

Na HARMORAPA| GAZETI LA AMANI| SINDANO ZA MASTAA MPENZI msomaji natumia fursa hii kukukaribisha kwenye safu hii bora kabisa ya...

READ MORE

Vita ya Idadi ya ‘Followers’ Insta na Kiburi cha Watumiaji

“MIMI ni mtu mkubwa, nina wafuasi (followers) wengi sana kwenye mtandao wangu wa  Instagram ‘Insta’, unacheki walivyokuwa wengi, wamefi ka...

READ MORE

Spika Job Ndugai Awaagiza Polisi Wamkamate Mbunge Halima Mdee

DODOMA: Spika wa Bunge la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Job Ndugai amempa saa 24 Mbunge wa Kawe, Halima James...

READ MORE

Mume Wangu Ananuka Mdomo

Na Busara Ziro| GAZETI LA AMANI| BUSARA ZIRO SHIKAMOO babu, mimi naitwa Mwajuma wa Morogoro. Tatizo langu babu, mume wangu...

READ MORE

Nape Kuanika Kila Kitu Jumamosi Hii, Alichokisema Leo Bofya Hapa

ALIYEKUWA Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Nape Moses Nnuye amesema kuwa Jumamosi hii jimboni kwake Mtama mkoani Lindi, ataeleza UKWELI...

READ MORE

Roma Mkatoliki Avamiwa Studio za Tongwe Usiku, Akamatwa!

Taarifa iliyotolewa na Mbunge ambaye pia ni Rapa, Joseph Haule ‘ Prof. Jay’ kupitia ukurasa wake wa facebook imeeleza kuwa Rapa...

READ MORE

Mheshimiwa Spika, kwa Leo Sitasema Saaa…na!

JAMANI wasomaji wangu, mimi kila wiki ikifika Alhamisi msemo wangu ni uleule kwamba, Mungu ni wa kumshukuru sana kwa sababu...

READ MORE

Chid Benz Apelekwa Kuishi Zenji

STORI: ALLY KATALAMBULA | GAZETI LA AMANI | DAR ES SALAAM DAR ES SALAAM: Siku chache baada ya kusemekana amepona kutoka kwenye...

READ MORE

Mastaa Wavaa Mlegezo si Heshima Kwenu!

Na GABRIEL NG`OSHA| GAZETI LA AMANI| SHOW BIZ XTRA IMEZOELEKA kuwa wasanii ni kioo cha jamii kwa sababu wana nafasi...

READ MORE

UWT Yawapongeza Wabunge kwa Uchaguzi, Yalaani Kauli za Mhe Mbowe

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI: Jumuiya ya Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) unatoa pongezi kwa Wabunge wa Bunge Tukufu la...

READ MORE

Upungufu wa Nguvu za Kiume; Sababu na Tiba

Na Daktari wa Amani| Gazeti la Amani| Makala WIKI iliyopita tulianza kuangalia tatizo la upungufu wa nguvu za kiume na...

READ MORE

Jinsi ya Kuitafuta Ngozi Nzuri Kwa Kutumia Matunda

Na MWANDISHI WETU| GAZETI LA AMANI| MAKALA LEO nitaongelea suala zima la binadamu kuwa na ngozi nzuri na yenye mvuto...

READ MORE

Tunda Afyatuka Skendo ya Usagaji

Na Mwandishi Wetu/GPL MUUZA nyago kwenye video mbalimbali za wanamuziki wa Bongo Fleva, Tunda Sebastian amefyatuka kuwa, kamwe hawezi kujihusisha...

READ MORE

Yasome Kwenye Tovuti Yetu Magazeti Yote Tanzania Aprili 06, 2017 ya Udaku, Hardnews na michezo

Hapa tumekuanikia kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo, April 06, 2017. Ni yale ya...

READ MORE

Siku Chache Baada ya Kukimbia Bastola kwa Nape, Hamorapa Anusa Kifo!

DAR ES SALAAM: Chuki! Zikiwa zimepita siku chache baada ya msanii chipukizi wa Bongo Fleva lakini mwenye matukio mengi, Athuman...

READ MORE

Sirro: Tumemkamata Aliyemuua Mpenzi Wake na Kumweka Kwenye Jaba la Maji

JESHI la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limesema limemkamata mtuhumiwa Musuguri David (29) anayedaiwa kumuua mpenzi wake Samira...

READ MORE

Wema Amchana Harmorapa Mtandaoni

MSANII wa filamu nchini Wema Sepetu, ‘Madam’,  ambaye hivi karibuni alihamia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) amefunguka baada ya...

READ MORE

Watu Tisa Wanahofiwa Kufa Maji Zanzibar

WATU tisa hawajulikani waliko huku 44 wameokolewa baada ya mashua yao ya uvuvi kuzama pwani mwa kisiwa cha Zanzibar. Kaimu...

READ MORE

PICHAZ: Tecno Yazindua Simu Mpya Aina ya Tecno Camon CX Air

KAMPUNI ya Simu za Mkononi ya Tecno, leo Aprili 5, 2017 imezindua rasmi toleo jipya la simu yake aina ya Tecno...

READ MORE

R.O.M.A, Nature Kulihamisha Jiji Dar Live!

  Mwandishi Wetu | Dar es Salaam WAKALI wasioshikika katika Muziki wa Hip Hop Bongo, Ibrahim Musa ‘R.O.M.A Mka­toliki’ pamoja na...

READ MORE

Thamani ya Mbwana Samatta Yapandishwa Ulaya

  Wilbert Molandi | CHAMPIONI |Dar es Salaam NEEMA imezidi kumuangukia mshambuliaji wa kimataifa wa Tanzania, Mbwana Samatta anayekipiga Klabu...

READ MORE

Kwa Mara ya Kwanza, Dayna Nyange Anyakua Tuzo za Kimataifa

MWANADADA matata kwenye game ya Bongo Fleva, Dayna Nyange amekuwa Mtanzania pekee kuibuka mshindi wa Tuzo mbili za BAE Awards...

READ MORE

Queen Suzy Adai G-Seven ni Mumewe

Na  GLADNESS MALLYA| RISASI MCHANGANYIKO| ZA MOTOMOTO NEWS MWANAMUZIKI wa Kundi la FM Academia, Suzan Chubwa maarufu kama Queen Suzy,...

READ MORE

Haya Yanakuhusu kwa Mwenzio

Na MWANDISHI WETU| RISASI MCHANGANYIKO| MAKALA HALOOOOO mashosti, mnajisikiaje? Mie kidogo sijaamka vizuri leo na ndiyo sijatoka kabisaa, nimepaki zangu...

READ MORE

Kuongeza Matiti Kwa Huddah Munroe

Na MWANDISHI WETU| RISASI MCHANGANYIKO| HABARI MTANDAO : Mrembo Alhuda Njoroge, maarufu kama Huddah Monroe, mwanamitindo na mjasiriamali kutoka Kenya,...

READ MORE

Wema Ahofia Usalama Wake

DAR ES SALAAM: Miss Tanzania 2016, ambaye pia ni muigizaji nyota, Wema Sepetu, amesema amepunguza matembezi na baadhi ya marafiki...

READ MORE