×

Habari

Watakaoruhusiwa Kujiunga na Vyuo Vikuu Mwakani ni Wenye Sifa Hizi Pekee!

DAR ES SALAAM: Kwa mara nyingine, Waziri wa Elimu nchini Tanzania Profesa Joyce Ndalichako, ametoa tamko linalozua mjadala mkali nchini...

READ MORE

Lwandamina Aanza Kazi Rasmi, Awafagilia Wachezaji Yanga

   KOCHA mkuu wa Yanga SC George Lwandamina aliyeingia mkataba na Yanga SC hivi karibuni akitokea Zesco United nchini Zambia,...

READ MORE

Naibu Meya Shinyanga Ajiuzulu, Awatuhumu Mkuu wa Mkoa na Mkurugenzi kwa Ufisadi!

SHINYANGA: Naibu Naibu Mstahiki Meya wa Manispaa ya Shinyanga, David Mathew Nkulila (CCM) ametangaza kujiuzuru ujumbe wa Kamati ya Fedha...

READ MORE

Malia Obama Agonga Miaka 17, Kujiunga Harvard Hivi Karibuni

FAMILIA ya Rais Obama ilikuwa na furaha kubwa wikiendi iliyopita wakati mtoto wao Malia Obama alikuwa akitimiza umri wa miaka...

READ MORE

Machafuko Yanayoendelea Kwenye Kasri ya Mfalme Uganda, Mwandishi wa KTN Akamatwa

Mwandishi wa habari wa runinga ya KTN ya nchini Kenya, Joy Doreen Biira amekamatwa na kuzuiliwa na maafisa wa usalama...

READ MORE

Prof. Ndalichako: Watumishi Waliosoma Vyuo Vikuu Bila Sifa Kufukuzwa Kazi

DAR ES SALAAM: Baada ya matamko kadhaa kadhaa ya serikali kuhusu Sekta ya Elimu nchini hatimaye leo limeibuka jingine la...

READ MORE

Vodacom Tanzania Yapeleka Maombi ya Kujiunga na Soko la Hisa (DSE)

Kampuni ya Mawasiliano ya Vodacom Tanzania imetangaza dhamira yake ya kuuza hisa kwa umma itakayofuatiwa na   kujiunga kwenye   Soko la...

READ MORE

Shigongo: Hivi Ndivyo Nilivyomalizana na CCM

INAHITAJI mtu jasiri sana kuzungumza ukweli, kwani ukweli umewagharimu watu wengi, ukweli unaweza kugharimu maisha, unaweza kukupeleka gerezani, unaweza kukufukuzisha...

READ MORE

Hatima ya Dhamana ya Godbless Lema Kujulikana Leo

ARUSHA: Mbunge wa Arusha Mjini (Chadema), Godbless Lema, leo, anatarajia kujua hatima ya dhamana ya kesi ya uchochezi inayomkabili. Lema...

READ MORE

Mbeya ni Jiji la Pili kwa Wingi wa Madhehebu Afrika Likiongozwa na Lagos

JIJI la Mbeya ni la pili kwa wingi wa madhehebu barani Afrika likiongozwa na Lagos lililopo Nigeria. Kwa mujibu wa...

READ MORE

JPM Awapokea Marais Wawili, wa Chad na wa Zambia, Ikulu Dar

 RAIS John Magufuli jana aliwapokea marais wawili, Edgar Lungu wa Zambia aliyewasili kwa ziara ya kiserikali na Idriss Deby wa...

READ MORE

Magazeti ya Tanzania Leo Jumatatu Novemba 28, 2016 Yako Hapa

Angalia kilichoandikwa katika magazeti ya Tanzani leo Novemba 28, 2016. Pia usikose kutembelea tovuti hii mara kwa mara kwa habari...

READ MORE

Kiwanda cha Dangote Chasitisha Uzalishaji wa Saruji Mtwara Kutokana na Gharama Kuwa Juu

MTWARA: Kiwanda cha Saruji cha Dangote huko Mtwara kimesitisha uzalishaji kutokana na gharama kuelemewa na gharama za uendeshaji hivyo kuwaacha...

READ MORE

Wasichana 2 Wakutwa Wakipigana Busu Juu ya Paa, Wafikishwa Mahakamani

MARRAKESH, MOROCCO: Wasichana wawili waliokutwa wakipigana busu katika paa la nyumba wamefikishwa mahakamani katika Mji wa Marrakesh nchini Morocco wakishtakiwa...

READ MORE

Cuba Kuomboleza Kifo cha Fidel Castro kwa Siku 9

Nchi ya Cuba itaomboleza kwa siku tisa kifo cha Fidel Castro, anayejulikana kwa siasa zake za kimapinduzi, aliyetawala taifa hilo...

READ MORE

Choki Ang’ara Kutimiza Miaka 30 Katika Muziki

Baadhi ya mashabiki wakigombea CD za nyimbo za Choki alizokuwa akizitoa bure. Ally Choki  (kulia) akiwa na mwanamuziki mkongwe, Tshimanga...

READ MORE

Watu 55 Wauawa Katika Mapigano ya Polisi na Mgambo wa Kikabila Uganda

WATU wasiopungua 55 wameuawa leo katika mapigano makali yaliyotokea magharibi mwa Uganda kati ya majeshi ya usalama na mgambo wa...

READ MORE

Maalim Seif: Prof. Lipumba, Jeshi la Polisi, Msajili wa Vyama Wanaihujumu CUF

KATIBU Mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF), Maalim Seif Sharif Hamad amesema aliyekuwa mwenyekiti wa chama hicho, Prof. Ibrahim Lipumba,...

READ MORE

Mzee wa Upako: Wachungaji na Manabii Walionipigia Kunipa Pole ni Wapumbavu!

MCHUNGAJI wa Kanisa la Maombezi (GRC), Anthony Lusekelo maarufu kwa jina la Mzee wa Upako, amewajia juu na kuwaita wapumbavu,...

READ MORE

Nani Aliyepanga Mishahara Hadi Sh. Mil 40 Kwa Mwezi?

MIONGONI mwa mambo ambayo Rais Magufuli anastahili kupongezwa na Watanzania waadilifu – bila kujali ‘kambi’ zao  – ni ujasiri wake...

READ MORE

Sumaye Anyang’anywa Shamba Lake la Hekta 33 na Serikali

Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imemnyang’anya Waziri Mkuu mstaafu, Mhe. Frederick Sumaye shamba lake lenye ukubwa wa hekta...

READ MORE

Magazeti ya Tanzania Leo Jumapili Novemba 27, 2016 Yako Hapa

Angalia kilichoandikwa katika magazeti ya Tanzani leo Novemba 27, 2016. Pia usikose kutembelea tovuti hii mara kwa mara kwa habari...

READ MORE

Abiria Waaswa Kutoa Taarifa Kuhusu Madereva Wanaovunja Sheria

Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani, Mhandisi,  Hamadi Masauni akijiandaa kukata utepe kama ishara ya uzinduzi wa kampeni hiyo. …Akizungumza...

READ MORE

Mkapa Ampongeza JK kwa Ujenzi wa Chuo Cha Udom

RAIS mstaafu katika serikali ya Awamu ya Tatu, Benjamin Mkapa, amempongeza Rais wa Awamu iliyopita, Jakaya Kikwete, kwa kuthubutu na...

READ MORE

Wolper Avuta Ndinga Ya Milioni 20

   Staa wa filamu za Kibongo, Jacqueline Wolper akiwa kapozi na gari hilo aina ya Toyota Alphard . Hamida Hassan...

READ MORE

RC Makonda Awataka Watendaji wa Kata Kuwa na Taarifa Zote za Miradi ya Maendeleo

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda akizungumza na wananchi wa Kata ya Msigani mtaa wa Temboni juu...

READ MORE

Rais wa Zamani wa Cuba, Fidel Castro Afariki Dunia

HAVANA, CUBA: Rais wa zamani wa Cuba, na kiongozi wa Chama cha Kikomunisti cha nchini humo, Fidel Alejandro Castro Ruz...

READ MORE

Rais Magufuli Awatunuku Wahitimu JWTZ

DAR ES SALAAM: Rais wa Jahmuri ya Muungano wa Tanzania na Amri Jeshi Mkuu, Dkt. John Pombe Magufuli amewatunuku Cheo...

READ MORE

Msikilize JPM Akiongea Kwa Simu Na RC Makonda Jana Akiwa Mkutanoni Ubungo

DAR ES SALAAM: LEO Novemba 25, 2016 wakati Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Mhe. Paul Makonda akizungumza kwenye...

READ MORE

Jihan Dimachk Aibuka Mshindi wa Miss Universe Tanzania 2016

DAR ES SALAAM: Mrembo Jihan Dimachk aibuka mshindi wa shindano la Miss Universe Tanzania 2016 lililofanyika Usiku wa Novemba 25,...

READ MORE

Kajala Naye Amjibu Wema, Kamuweka Wazi Mpenzi Wake (Video)

Staa wa Filamu Bongo,Kajala Masanja akiwa na anayedaiwa kuwa mpenzi wake mcheza filamu anayefahamika kwa jina la Mutra. Na Hamida...

READ MORE

Magazeti ya Tanzania Leo Jumamosi Novemba 26, 2016 Yako Hapa

Angalia kilichoandikwa katika magazeti ya Tanzani leo Novemba 26, 2016. Pia usikose kutembelea tovuti hii mara kwa mara kwa habari...

READ MORE

Gavana Prof. Ndulu: Kuweka Fedha Kwenye Akaunti Maalum (Fixed Deposit Account ) Si Kosa Kisheria

Sakata la Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) kuweka fedha katika akaunti maalumu kwenye benki za biashara limechukua sura mpya baada...

READ MORE

Ummy Apokea Vifaa vya Macho Kutoka Standard Chartered

Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Standard Chartered,  Sanjay Rughni (kushoto) akisoma hotuba kwa waziri Mwalimu. DAR ES SALAAM: WAZIRI wa...

READ MORE

Baada ya Kumwacha Pasqualino, Perrie Amdaka Chamberlain wa Arsenal

Perrie katika pozi. MWIMBAJI wa kundi la Little Mix, mrembo Perrie Edwards, anamwinda mcheza soka wa timu ya England na...

READ MORE

Menejimenti ya Shirika la Ndege Tanzania Yavunjwa

DAR ES SALAAM: Bodi ya Shirika la Ndege Tanzania (ATCL) imeivunja Menejimenti ya Shirika hilo ili kukidhi vigezo na haja...

READ MORE

Masauni Kuongoza Kampeni Ya Abiria Paza Sauti Kesho Ubungo

Kamanda wa Kikosi cha Usalama barabarani nchini, DCP Mohamed Mpinga akizungumza jambo wakati alipozungumza na wanahabari leo. Kaimu Mtendaji Mkuu...

READ MORE

Happy Birthday Oscar Ndauka

Oscar Ndauka akiwa katika pozi. LEO ni siku muhimu sana kwa Mhariri Kiongozi wa Global Publishers, Oscar Ndauka ambapo anasherehekea siku...

READ MORE