×

Habari

Video: Chura Ya Snura Yazinduliwa

Mkali wa Muziki wa Mduara, Snura Antony Mushi ’Snura’ akiongea na Global TV Online leo. Snura akiwa katika pozi. Stori:...

READ MORE

Video: Dvj Ally B Kuwazawadia Mashabiki Wake Mixtape J’pili Hii

DVJ wa Ukumbi wa Maisha Basement, DVJ Ally B. Na Mwandishi Wetu DVJ wa Ukumbi wa Maisha Basement, DVJ Ally...

READ MORE

Kizza Besigye Azuiwa Kutoka Nje Ya Nyumba Yake

Kizza Besigye akizungumza na ofisa wa polisi. KAMPALA: Mwanasiasa wa siku nyingi nchini Uganda, Kizza Besigye leo amezuiliwa na polisi...

READ MORE

Hans Poppe: Tambwe Kazoea, Hata Tanga Alifanya Hivyo

Mwenyekiti wa Kamati ya Usajili ya Simba, Zacharia Hans Poppe. Na Saleh AllyMECHI ya watani wa jadi haiwezi kupita kimyakimya,...

READ MORE

Isha Mashauzi, Leyla Rashid Kupambana Oktoba 22, Dar Live

Isha Mashauzi (kushoto)  na Leyla Rashid.   WAIMBAJI wawili wanaokimbiza kwenye soko la taarab kwa hivi sasa Isha Mashauzi na...

READ MORE

Majeshi 10 Yenye Nguvu Zaidi Duniani

Haya ndiyo majeshi 10 yenye nguvu zaidi duniani. Nguvu ya kiuchumi, vifaa na idadi ya wafanyakazi wake. Haya ndiyo majeshi...

READ MORE

Maswali 10 Tata Kuvamiwa Kwa Kim Kardashian

Kwa nini Kim na rafiki yake kipenzi, Simone Harouche walibaki chumbani wenyewe bila mlinzi wakati wakijua wana vito vyenye thamani...

READ MORE

Tambwe Awaomba Msamaha Simba

Mshambuliaji wa kimataifa wa Yanga, Mrundi Amissi Tambwe. Sweetbert Lukonge, Dar es SalaamMSHAMBULIAJI wa kimataifa wa Yanga, Mrundi Amissi Tambwe amewaomba wapenzi...

READ MORE

Magufuli Amwandalia Dhifa Ya Taifa Kabila

 Rais John Pombe Magufuli akiwa na mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) Joseph Kabila Ikulu jijini...

READ MORE

Watu 21 Wafariki Kwa Ugonjwa Wa Ajabu Arusha

Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mrisho Gumbo (katikati). ARUSHA: Watu zaidi ya 21 wamekufa katika Kata ya Pinyinyi wilayani Ngorongoro...

READ MORE

Hawa Wote Wameshinda 500,000 Wewe Unasubiri Nini?

Mshindi wa Kwanza wa Chemsha Bongo na Amani, Bakari Omary Omuga wa Dar es Salaam. Mshindi wa Pili wa Chemsha...

READ MORE

Irene Mwakalinga Mwanamitindo Mwenye Ndoto Za Kumpiku Jokate

Irene Mwakalinga. DAR ES SAALAM: Mwanamitindo Irene Mwakalinga (22), mkazi wa Manzese Tiptop jijini Dar es Saalam amesema ndoto yake...

READ MORE

Wanamitindo Kuchangia Vita Dhidi Ya Saratani Ya Matiti

…Ni majaji hao wakiwasikiliza kwa makini wanamitindo (hawapo pichani)  wakijibu maswali. Baadhi ya wanamitindo wakijibu maswali. Wanamitindo wakiwa katika picha...

READ MORE

Watanzania Waaswa Kufanya Mazoezi

Mwanzilishi na Mkurugenzi wa taasisi ya Impact Afya, Bhakti Shah (katikati) akizungumza na wanahabari.Mshauri wa Masuala ya Afya Impact Dkt....

READ MORE

Mzee Wa Upako Ataja Siri Ya Mafanikio Yake

Mchungaji wa Kanisa la Maombezi (GRC) lenye makao yake makuu Ubungo Kibangu jijini Dar, Lusekelo Antony (wengi wamezoea kumuita Antony...

READ MORE

Magufuli Akutana Na Kabila Ikulu

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akitambulisha viongozi kwa Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya...

READ MORE

Miezi Sita Jela Kwa Kosa La Kujaribu Kujiua

MAHAKAMA ya wilaya ya Igunga mkoani Tabora imemhukumu kijana aliyetambulika kwa jina la Luhende Manangu kutumikia adhabu ya kifungo cha...

READ MORE

Wanakijiji Wakimbia Makazi Kufuatia Mauaji Ya Watafiti

 Polisi wakiwa eneo la tukio baada ya mauaji. BAADA ya baadhi ya wakazi wa Kijiji cha Iringa Mvumi katika  Wilaya...

READ MORE

Askofu Mdegella Aachia Ngazi Dayosisi Ya Iringa

Askofu  wa kanisa la  kiinjili la  Kilutheri  Tanzania (KKKT)  dayosisi ya  Iringa Dkt  Owdenburg Mdegela katikati  akiwatambulisha  mbele ya waumini...

READ MORE

Hivi Ndivyo Watumishi Waserikali Walivyouawa Kinyama!

Polisi na baadhi ya wanakijiji wakiwa eneo la tukio. Yowe ya kuvamiwa na wanyonya damu, iliyopigwa na wanawake waliokuwa wakichimba...

READ MORE

Kamanda Sirro apokea hundi ya Milioni 50

Mkurugenzi wa shirika hilo kupitia Kitengo cha Idara ya Uhusiano na Masoko NSSF, Godius Kabyara (kushoto) akimkabidhi mfano wa hundi...

READ MORE

Mastaa 10 Wadaiwa Kuanika Miili Yao Kunasa Wanaume!

Gift Stanford ‘Gigy Money’ Hali ngumu na raha ya ubuyu usimung’unye mwenyewe! Ishu inayotrendi kwa sasa kwenye ulimwengu wa ubuyu...

READ MORE

Tpsf Yatoa Mrejesho Warsha Iliyofanyika Septemba 27

  Kutoka kushoto ni Meneja Mawasiliano wa TPPC, Marie Msellemu,Mkurugenzi Mtendaji wa Tpsf, Godfrey Simbeye (anayezungumza katikati) na Mkurugenzi wa...

READ MORE

Vodacom Tanzania Yaadhimisha Wiki Ya Huduma Kwa Wateja Duniani

Afisa Mkuu wa Idara ya huduma kwa wateja wa Vodacom Tanzania,Harriet Lwakatare akiongea na baadhi ya wateja waliofika kupata huduma...

READ MORE

Benki Ya NMB Kupokea Maoni Ya Wateja Wake

Mkurugenzi Mtendaji wa Benki hiyo, Ineke Bussemaker (katikati) akizungumza na wanahabari (hawapo pichani). …Akizungumza jambo na Meneja wa Kanda Mkoa...

READ MORE

(VIDEO) INAUMA SANA: Msikie Anavyosimulia Jinsi Alivyotobolewa Macho Na “Scorpion”

Video, Said Ali akihojiwa. DAR ES SAALAM: Tazama jinsi kijana Saidi Ali akielezea namna alivyovamiwa na kutobolewa macho hadharani, aliyemtendea...

READ MORE

Kichuya: Hakyanani Yanga Wangekula Tatu

Mshambuliaji wa Simba, Shiza Kichuya. Wilbert Molandi, Dar es SalaamBAADA ya kuisawazishia timu yake dakika za lala salama, kiungo mshambuliaji wa...

READ MORE

Mauaji Ya Kutisha Ya Watumishi Watatu Wa Serikali , Dodoma

Askari polisi wakiwa eneo la tukio pamoja na baadhi ya wanakijiji. WATAFITI wawili na dereva mmoja wa Kituo cha Utafiti...

READ MORE

Simba Wamshutumu Waziri Nchemba Sare Ya Yanga

Waziri wa Mambo ya Ndani, Mwigulu Nchemba. Ibrahim Mussa, Dar es Salaam KUFUATIA mwamuzi  wa kati Martin Saanya kushindwa kumudu kuchezesha...

READ MORE

ACT-Wazalendo Waitisha Mkutano Wa Kupigania Upatikanaji Wa Katiba Mpya

Chama cha ACT- Wazalendo kimepanga kuwasha moto mjadala wa Katiba mpya katika mkutano wake kidemokrasia kilioitisha jijini Dar es Salaam...

READ MORE

Barua Ya Baraza Kuu La CUF Kwa Msajili Wa Vyama Vya Siasa Tanzania

  Katibu Mkuu wa Chama CUF – Maalim Seif Sharif Hamad. BARUA YA BARAZA KUU LA CUF KWENDA KWA MSAJILI...

READ MORE

Diamond Akiri Mimba Ya Mobeto Kuharibika

Staa wa Bongo Fleva, Naseeb Abdul ‘Diamond Platnumz’. BAADA ya ukimya wa muda mrefu kutawala kuhusu ujauzito alionao mrembo anayesumbua...

READ MORE

Tazama Video Ya Diamond Akisherehekea Birthday Yake Akiwa Na Nguo Ya Ndani Tu!

Video ya Diamond akiwa kavaa boxer. Oktoba Mosi ya kila mwaka ni siku ya kuzaliwa ya mwamuziki wa Bongo Fleva,...

READ MORE

Brown Mauzo: Wakenya wengi wanajua mi ni Mtanzania

Msanii wa Kenya, Brown Mauzo akiwa katika pozi kabla ya kufanyiwa mahojiano. Brown Mauzo mara baada ya kufanyiwa mahojiano. MKALI...

READ MORE

Mbwana Samatta Anunua Gari Jipya

Nahodha wa timu ya taifa ya Tanzania, Mbwana Samatta ametumia kiasi cha milioni 130 kununua gari yake ya kwanza nchini...

READ MORE