×

Habari

Watu Watatu Watiwa Mbaroni kwa Kuiba Ng’ombe wa Rais Museveni

Rais Museveni KAMPALA: Watu watatu wanashikiliwa na Jeshi la Polisi jijini Kampala, Uganda kwa tuhuma za kuiba ng’ombe ambao idadi...

READ MORE

Waziri Majaliwa Aongoza Sala ya Idd El Hajj Mwembe Yanga, Dar

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitoa hotuba yake katika swala ya Idd El Hajj iliyoswaliwa kwenye Viwanja vya Mwembe Yanga, Temeke...

READ MORE

Orodha ya Matetemeko ya Adhi Duniani Kote, Leo Septemba 12

Matetemeko ya Ardhi Duniani Leo Sept. 12===>Bofya Hapa

READ MORE

Hillary Clinton Augua Homa ya Mapafu, Aondolewa Kwenye Kumbukumbu ya Septemba 11

Mgombea Urais kutoka Chama cha Democratic, Hillary Clinton amegundulika kuwa na ugonjwa wa homa ya mapafu (pneumonia) baada ya kuugua...

READ MORE

Wakazi wa Bukoba Walala Nje ya Nyumba Baada ya Tetemeko Kutokea Mara ya Pili

BUKOBA: September 10, 2016 lilitokea tetemeko la ardhi Kagera kanda ya ziwa Tanzania lenye kipimo cha ritcha 5.7 na kusababisha...

READ MORE

Waziri Mkuu Aongoza Maelfu Kuaga Miili ya Waliofariki kwa Tetemeko Kagera

Waziri Mkuu, Mhe. Kassim Majaliwa jana ameongoza maelfu ya waombolezaji kuaga miili ya watu waliofariki kutokana na tetemeko la ardhi...

READ MORE

Efm Wasepa na Kijiji, Temeke Dar

  KITUO cha Redio cha Efmkilichopo Kawe-Mikocheni jijini Dar, chini ya Udhamini wa Kampuni ya Mawasiliano ya Vodacom usiku wa...

READ MORE

Kanisa la Victory Christian Centre Lazindua Tamasha la ‘Campus Night’

KANISA la Victory Christian Centre (VCCT) chini ya Mchungaji Kiongozi Dk. Huruma Nkone leo limezindua maandalizi ya kongamano la kihistoria...

READ MORE

Waziri Mkuu Kuongoza Kuagwa Waliokufa kwa Tetemeko Bukoba

Waziri Mkuu, Mhe. Kassim Majaliwa leo anatarajiwa kuongoza waombolezaji kuaga miili ya watu 16 waliopoteza maisha kwenye tetemeko la ardhi...

READ MORE

Polisi Waua Wanawake 3 Magaidi Kenya

WANAWAKE watano waliovalia mabaibui na walioaminika kuvaa mikanda ya kujilipua wamevamia kituo kimoja cha polisi mjini Mombasa katika shambulio linalodaiwa...

READ MORE

Video: Highlights Za Premier League Wikiendi Hii Hizi Hapa…

Premier League iliendelea wikiendi hii, Jumamosi ya Septemba 10, 2016 Manchester United iliambulia kipigo cha mabao 2-1 kutoka kwa Manchester...

READ MORE

DC Same Apiga Marufuku Kufanya Biashara Kwa Kujaza Lumbesa

Mkuu wa Wilaya ya Same, Rosemary Staki Senyamule, akikagua magunia yaliyokutwa yakiwa yamejazwa lumbesa. Mkuu wa Wilaya ya Same, Rosemary...

READ MORE

Tekemeko la Ardhi Laikumba Kanda ya Ziwa, Nyumba Zaporomoka

  Leo Septemba 10, 2016, tetemeko kubwa la ardhi lenye ukubwa wa Ritcha 5.7 limeikumbuka mikoa ya Kanda ya Ziwa...

READ MORE

Kifaa cha Kuchemshia Maji Chateketeza Kiwanda, 15 Wafariki Duniua

WATU 15 wamepoteza maisha nchini Bangladesh baada ya moto mkubwa uliosababishwa na mlipuko wa kifaa cha kuchemsha maji katika kiwanda...

READ MORE

Tanzia: Aliyewahi Kuwa Kocha wa Simba, James Siang’a afariki Dunia

Aliyewahi kuwa kocha wa Simba James Aggrey Siang’a  amefariki leo alfajiri nchini kwake Bungoma nchini Kenya baada ya kuugua kwa...

READ MORE

Rosa Robert wa Navy Kenzo: Nyimbo Zangu Natungia Toilet

       KAMA kawa, kama dawa leo Mpaka Home imemleta kwenu mrembo anayefanya Muziki wa Hip Hop ambaye ni zao...

READ MORE

Gondwe akamata malori saba yakisafirisha madini usiku!

Mkuu wa Wilaya ya Handeni mkoani Tanga, Godwin Gondwe amekamata malori saba yakisafirisha madini ya chuma aina  dolomite yanayotumika kutengeneza...

READ MORE

Ummy Mwalimu: Marufuku Kuozesha Waliomaliza La 7

SERIKALI imewaonya wazazi, walezi na jamii kwa ujumla kutowaozesha watoto wote wa kike waliohitimu darasa la saba mwaka huu wakati...

READ MORE

Simulizi ya Msamaha wa Mama – 09

Mwandishi: SEID BIN SALIMWakati wao wanaingia ndani upande wa pili Hamad na Ticha wakiwa njiani wanarudi mjini ghafla walikutana na...

READ MORE

Samsung Galaxy Note7 Zapigwa Marufuku Kwenye Ndege

Maafisa wa uchukuzi wa ndege nchini Marekani wamewatahadharisha abiria wanaosafiri kwa ndege kutofungulia au kuchaji simu za Samsung Galaxy Note...

READ MORE

Rais Magufuli Ateua Makatibu Tawala wa Mkoa wa Rukwa na Mara

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe 09 Septemba, 2016 amemteua Bw. Ado Steven...

READ MORE

Masanja Wali Nyama Yawa Gumzo UDSM (Video+Picha)

KAMPUNI  ya mchekeshaji wa kundi la Orijino Komedi, Emmanuel Mgaya ‘Masanja Mkandamizaji’ wikiendi iliyopita iligeuka gumzo baada ya Masanja kuonekana akiwa...

READ MORE

Tundu Lissu : Prof. Lipumba Hana Hoja, Anawavuruga CUF

MBUNGE wa Singida Mashariki ambaye pia ni Mnadhimu wa Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni,Tundu Lissu, amesema aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama...

READ MORE

Mwanamke Mdogo Mwenye Ndevu Ndefu Zaidi Duniani

Harnaam Kaur (24) ameshinda Guinness World Records kwa kuwa mwanamke mdogo mwenye ndevu ndefu zaidi duniani ambapo ndevu zake zina...

READ MORE

Ajali ya Treni Yaua 4 na Kujeruhi 49

Watu wanne wamefariki dunia na wengine 49 wamejeruhiwa baada ya treni kuacha njia na kugonga mnara karinu na eneo la ...

READ MORE

Mwanzilishi wa Facebook Achangia Mamilioni Kusaidia Kumbwaga Trump

Mmoja ya waanzilishi wa Facebook, Dustin Moskovitz amechangia $ 20m kwa Democrats, kusaidia kumbwaga mgombea urais wa Marekani kwa tiketi...

READ MORE

Makamu wa Rais Atembelea Kituo cha Kuchakata Gesi

Makamu wa Rais Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan amewataka wafanyakazi wa kiwanda cha kuchakata gesi asilia kilichopo Madimba mkoani Mtwara wawe...

READ MORE

Viongozi wa EAC Wagoma Kusaini Mkataba wa Ulaya

JUMUIYA ya Afrika Mashariki (EAC), imeiomba Jumuiya ya Ulaya (EU), iipe muda wa miezi mitatu kujua hatima ya wao kusaini...

READ MORE

Korea Kaskazini Yalipua Bomu Kama la Hiroshima

Shirika la habari la serikali ya Korea Kaskazini limesema taifa hilo limefanya majaribio ya bomu kupima uwezo wa bomu lake...

READ MORE

Makongo Juu, Goba waligombea Ijumaa likiwa katika muonekano mpya

BAADHI ya wasomaji  magazeti wamelichangamkia gazeti bora la Ijumaa ambalo linaongoza kwa kuandika habari za mastaa wa Kibongo na Mamtoni...

READ MORE

Msafara wa Makamu wa Rais Wapata Ajali Mtwara

Msafara wa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzani, Mama Samia Suluhu Hassan ambao ulikuwa unaelekea Wilayani Tandahimba...

READ MORE

Mchungaji Lwakatare Awatoa Wafungwa 78 Gerezani (Picha + Video)

Mchungaji Kiongozi, Dk. Getrude Lwakatare,  kupitia kanisa lake la Assemblies  of God (Mlima wa Moto) aliwalipia wafungwa 78 katika magereza...

READ MORE