Maisha yao yaliendelea vizuri katika jiji la Ottawa nchini Canada! Kwa pesa aliyokuwa nayo Shabir alifungua vituo vya mafuta kumi...
READ MOREILIPOISHIA Ukawa mwanzo, wakaanza hivyo. Theo hakutaka kuacha, alichoamua kilikuwa ni kumpoteza kabisa Fabian moyoni mwa msichana huyo. Hiyo, haikuwa...
READ MOREILIPOISHIA Sikuuona msaada wowote wa mlinzi kwani wakati watu hao wakiingia, yeye alikuwa amelala kitu kilichonifanya kukosa amani, wakati mwingine...
READ MORETUNAENDELEA kuwasimulia habari ya kweli kuhusu makabila ya jamii moja katika nchi ya Papua New Guinea inavyokula watu; endelea. Kabla...
READ MORENa ERIC SHIGONGO| IJUMAA WIKIENDA| KUMBUKUMBU ZA KWELI ZA MAISHA YANGU- 186 SIPENDI kulala ninapokuwa mgonjwa, huzidiwa zaidi ninapofanya...
READ MOREILIPOISHIA “Ni nani anamfanya huyu msichana kunichunia hata nikimsalimi? Au hajui kama mimi ni mtoto wa bilionea? Subiri! Nitamfuata tu...
READ MOREJiwe hilo kubwa lilizidi kushuka na kumkandamiza Neema kifuani, alilia akimwomba Nicholaus msaada lakini alishindwa afanye nini kumsaidia Neema matokeo...
READ MOREILIPOISHIA Watu wale wakanitaka kuteremka, tukafanya hivyo na kuanza kulisogelea jumba lile kubwa lililoandikwa Illumiterant, yaani wenyewe wakiwa na maana...
READ MOREILIPOISHIA Kila kona shuleni huko, alikuwa gumzo kubwa kitu kilichomfanya kupendwa na kila mtu. Ndiyo kwanza alikuwa na miaka sita...
READ MOREELVAN STAMBULI| UWAZI| MAAJABU YA DUNIA TUNAENDELA kuwasimulia habari ya kweli ya kusisimua kuhusu makabila ya jamii moja nchini Papua...
READ MORE“Shabir hebu mwache mimi nitaongea naye!” Alisema Leah alipomwangalia Victoria na kushikwa na huruma ! Aligundua kitu walichokuwa wakikifanya yeye...
READ MOREMtunzi: Kulwa Mwaibale Mpenzi msomaji, wiki iliyopita niliishia pale mama Careen na Cathe alipokuwa mezani akila na mabinti zake hao,...
READ MOREILIPOISHIA Boniface akashtuka, hakutaka kubaki ndani ya ofisi yake, akateremka kwenye ngazi harakaharaka, alipofika chini, akaingia ndani ya gari lake...
READ MOREILIPOISHIA Wakati nikiwa kwenye usingizi mzito, ghafla nikaanza kuota ndoto moja hivi, ndoto iliyousisimua mwili wangu, sikuamini kile nilichokuwa nikikiona...
READ MOREILIPOISHIA “Dada Leah, tafadhali kataa, usiniache peke yangu, nakupenda dada ni wewe pekee niliyekubakiza duniani usiniache tafadhali!” Aliongea Vicky huku...
READ MOREMWANDISHI: NYEMO CHILONGANI ILIPOISHIA “Mungu! Siamini kama nakwenda kuwa baba! Naomba umsaidie Miriam ajifungue salama,” alisema Boniface huku akiwa ameikutanisha...
READ MORESIKUTAKA kuendelea kuwaza zaidi huko kwa kuhofia kujitia wasiwasi na fadhaa. Nilitaka niwaze jinsi ambavyo ningeweza kulimaliza lile tatizo bila kuleta...
READ MOREILIPOISHIA.. Kila niliyemwangalia, alionekana kuwa na hamu ya kufahamu, utajiri mkubwa namna hiyo niliutoa wapi? Kwani hata gari nililokuwa nalo,...
READ MOREERIC SHIGONGO DIMBWI LA DAMU-05 ILIPOISHIA: Dakika kumi tu baada ya kukaa kitini na kufungiwa mkanda ndege ilianza kuiacha ardhi...
READ MOREMWANDISHI: NYEMO CHILONGANI ILIPOISHIA “Bora nimuache huyu malaya Jesca, siwezi kumsaliti Miriam. Bora nimwambie ukweli kwamba kama mapenzi kufa, acha...
READ MOREILIPOISHIA: WIKI iliyopita mpenzi msomaji tuliishia pale kijana machachari Frank akiwa ameshafika safari baada ya kumruhusu Selina atangulie kufika. Frank...
READ MOREILIPOISHIA… Kila niliyemwangalia, alionekana kuwa na hamu ya kufahamu, utajiri mkubwa namna hiyo niliutoa wapi? Kwani hata gari nililokuwa nalo,...
READ MOREILIPOISHIA GAZETI LA IJUMAA WIKIENDA: Alichokifanya Dan ni kumpa dakika mbili tu akiamini kama ni wa kuaga, atashuka na kuondoka,...
READ MOREIlipoishia Sehemu ya 5 “Ndiyo bosi!” “Basi sawa! Ngoja tusubiri mpaka saa tano usiku tukamchukue,” alisema Boniface. Hilo halikuwa na...
READ MOREDUME SURUALI KAA MBALI NAMII!-4 Mpenzi msomaji, wiki iliyopita niliishia pale mama Careen alipomsikia binti yake huyo akimkaribisha mgeni ndani,...
READ MOREERIC SHIGONGO DIMBWI LA DAMU-05 GLOBAL PUBLISHERS Roho mkononi Tehran: Katika nchi zilizopiga vita madawa ya kulevya kwa nguvu zote...
READ MOREILIPOISHIA… “Ichome taswira hiyo kwa hicho kisu,” iliniambia. “Unasemaje?” niliuliza huku jasho likinitiririka, hakika niliogopa kwani nilijua kwamba endapo ningeichoma...
READ MOREIlipoishia Sehemu ya 4 Hakukuwa na siri tena, kila kitu kilijulikana, mkewe alijua kila kitu kilichotokea hali iliyompa wakati mgumu...
READ MORESehemu ya kwanza PABLO NI NANI? Katika milima inayotazamana na mji wa Medellín nchini Colombia, yapo majengo ya kifahari kabisa...
READ MOREERIC SHIGONGO: DIMBWI LA DAMU-04 GLOBAL PUBLISHERS Wodini: “Mama maputo yangu! Nipeni maputo yangu twende nyumbani kwenye pati yetu Nicky...
READ MOREIlipoishia Sehemu ya 3 “Ni lazima nizae na Miriam, haiwezekani hata kidogo nimuache,” alisema Boniface huku akionekana kumaanisha. Hakutaka kutoa...
READ MOREILIPOISHIA Kiukweli alinichanganya sana, hapohapo nikamuona akitoka katika sura ya Mudi na kurudi katika sura ya moja ya maiti niliyowahi...
READ MOREAgosti 12, 2004 Posta, Dar es Salaam. Kishindo kikubwa na kizito kilisikika eneo lote na kusababisha mpaka majengo yatingishike utafikiri...
READ MOREERIC SHIGONGO: DIMBWI LA DAMU-03 GLOBAL PUBLISHERS Nyumbani kwake sherehe iliendelea kama kawaida na Nicholaus aliendelea kuwamiminia rafiki zake juisi kama...
READ MOREIlipoishia Sehemu ya 2 Moyo wake ulimuuma mno, muda mwingi alionekana kuwa na mawazo, hakuamini kama Mungu aliruhusu yeye kupitia...
READ MOREILIPOISHIA Ulipoingia mwezi wa tano tangu nifanye biashara hizo, nikajikuta nikiwa na milioni tano. Nikashtuka, utajiri ukaanza kuninyemelea pasipo kukumbuka...
READ MOREIlipoishia sehemu ya 1 Kila mtu alibaki akimwangalia, alimuonea huruma kwani kwa jinsi alivyokuwa akilia, alionekana kuwa mtu mwenye maumivu...
READ MOREILIPOISHIA “Mkimaliza, utatoka nje, hili sanduku usiwe na hofu nalo, litarudi tu lilipokuwa,’ aliniambia yule mganga. yule na kisha yeye...
READ MORENdege British Airways kutoka London ilitua katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Dar es Salaam saa kumi na moja...
READ MOREAlly Katalambula +255 653428197 Ilipoishia wiki iliyopita. Saa 48 baadaye, mimi na Mariamu tulikuwa kwenye teksi tukielekea sehemu moja iitwayo...
READ MORE