Browsing Category
Kimataifa
Trump Aidhinisha Msaada wa Dola Bilioni 20 kwa Argentina
Rais wa Marekani, Donald Trump, amekiri wazi kuwa msaada wa kifedha wa dola bilioni 20 uliotolewa na Marekani kwa Argentina una lengo la kusaidia chama cha Rais Javier Milei kushinda uchaguzi wa bunge unaotarajiwa kufanyika Oktoba 26.…
Aliyekua Waziri Mkuu wa Kenya Raila Odinga Afariki Dunia
Waziri Mkuu wa zamani wa Kenya na kiongozi wa chama cha ODM, Raila Amolo Odinga, amefariki dunia leo Jumatano, Oktoba 15, 2025, akiwa na umri wa miaka 80.
Taarifa zinaeleza kuwa Odinga alipata shambulio la moyo akiwa katika matembezi…
Mwenyekiti wa Umoja wa Afrika Afuatilia Kwa Wasiwasi Mvutano Madagascar
Mwenyekiti wa Kamisheni ya Umoja wa Afrika (AUC) Mahmoud Ali Youssouf jana Jumapili alizitaka pande zinazozozana nchini Madagascar kujizuia na kuvulimiana ili kufungua mlango wa mazungumzo wa kutatuliwa kisiasa mvutano uliozuka nchini…
Mjukuu wa Mandela Afichua Ukatili: Wanaharakati Waafrika Kusini Walivuliwa Nguo na Wanajeshi wa…
Johannesburg — Wanaharakati sita wa Afrika Kusini waliokamatwa na Israel walipokuwa wakijaribu kufika Gaza kupitia msafara wa misaada wamesema walitendewa kwa ukatili zaidi kuliko wengine.
Baada ya kurejea nchini, wanaharakati hao…
Chad Yavunja Ushirikiano wa Miaka 15 na Shirika la Uhifadhi Linalohusishwa na Prince Harry
Serikali ya Chad imeiondoa taasisi ya African Parks mamlaka ya kusimamia hifadhi zake za wanyamapori, ikilishutumu shirika hilo lisilo la kiserikali kwa kushindwa kudhibiti ujangili na kuonyesha “kutoheshimu” mamlaka za serikali.…
Israel Yamkamata Mjukuu Wa Mandela, Ramaphosa Atoa Mwito Wa Kuachiliwa Mara Moja
Rais wa Afrika Kusini, Cyril Ramaphosa, ameitaka Israel kuwaachia mara moja wanaharakati wa Afrika Kusini waliokamatwa na jeshi la majini la Israel baada ya kuizuia "Global Sumud Flotilla", msafara wa meli uliokuwa ukielekea Gaza kwa…
Balozi Akutwa Amefariki Dunia Nje ya Hoteli Paris
Balozi wa Afrika Kusini nchini Ufaransa, Nathi Mthethwa (58), amekutwa akiwa amefariki dunia karibu na Hoteli ya Kifahari ya Hyatt Regency jijini Paris, Ufaransa, maafisa wa Ufaransa wamethibitisha.
Kwa mujibu wa ofisi ya Mwendesha…
Rais wa Zamani wa DR Congo Ahukumiwa Kifo
Rais wa zamani wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo Joseph Kabila amehukumiwa adhabu ya kifo na Mahakama ya Kijeshi ya nchini humo baada ya kupatikana na hatia ya makosa kadhaa ikiwemo 'uchochezi'.
Kabila ambaye ana umri wa miaka 54…
Matapeli 260 wa Kimapenzi Mtandaoni, Wakamatwa Afrika
Mamlaka katika nchi 14 barani Afrika zimewakamata watu 260 katika msako mkubwa dhidi ya uhalifu wa kimtandao unaohusisha utapeli wa kimapenzi. Operesheni hiyo, iliyofahamika kama Operation Contender 3.0, iliongozwa na INTERPOL kati ya…
Msanii D4vd Katika Tuhuma Nzito Za Mahusiano Na Msichana Wa Miaka 15
Msanii chipukizi wa muziki duniani, D4vd, amejikuta katikati ya tuhuma nzito baada ya kuripotiwa kuwa na mahusiano ya kimapenzi na msichana mwenye umri wa miaka 15, Celeste Rivas, ambaye alipatikana amefariki ndani ya gari lililosajiliwa…
Mke wa Rais wa Ufaransa Azua Gumzo Kisa Jinsia
Rais wa Ufaransa, Emmanuel Macron, pamoja na mkewe, Brigitte Macron, wanapanga kuwasilisha ushahidi wa picha na kisayansi mahakamani Marekani ili kuthibitisha kwamba Bi Macron ni mwanamke halali. Hii ni sehemu ya kesi ya kumharibia sifa…
Waandamanaji Wapinga Ziara ya Rais Donald Trump Nchini Uingereza
Maelfu ya raia wa Uingereza wamejitokeza mitaani jijini London na miji mingine kupinga ziara ya Rais wa Marekani, Donald Trump, ambaye amewasili nchini humo kwa ziara rasmi.
Waandamanaji walibeba mabango yenye ujumbe mbalimbali…
Mahakama ya Johannesburg yawahukumu Wachina 7 kifungo cha miaka 20
Mahakama mjini Johannesburg imewahukumu raia saba wa China kifungo cha miaka 20 jela kila mmoja kwa makosa ya usafirishaji haramu wa binadamu na kuwalazimisha raia 91 wa Malawi kufanya kazi katika kiwanda cha nguo bila masharti ya…
Mwanaharakati Charlie Kirk auawa kwa risasi chuoni Marekani
Mwanaharakati Charlie Kirk, mshirika wa karibu wa Rais wa Marekani Donald Trump na mwanzilishi wa Turning Point USA, ameuawa kwa kupigwa risasi katika chuo kikuu nchini Marekani. Gavana Spencer Cox ameuita tukio hilo “uuwaji wa…
Gwiji wa Mitindo Giorgio Armani Afariki Dunia Akiwa na Miaka 91
Giorgio Armani, mbunifu maarufu wa mitindo kutoka Italia ambaye aligeuza dhana ya understated elegance kuwa himaya ya mabilioni ya dola katika tasnia ya mitindo, amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 91.
Kwa mujibu wa taarifa ya kampuni…
Kampuni ya Marekani Yapata Leseni za Kuchimba Lithium Nchini Kongo
Kampuni ya madini ya Marekani, KoBold Metals, inayoungwa mkono na Bill Gates na Jeff Bezos, imepata leseni saba za kuchunguza madini ya lithium katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), maafisa wamethibitisha wiki hii.
Leseni…
Maelfu Washiriki Mazishi ya Viongozi 12 Waliouawa kwa Shambulio
Maelfu ya waombolezaji walikusanyika katika Msikiti mkubwa wa Al Saleh, jijini Sanaa — mji mkuu wa Yemen — siku ya Jumatatu, kuhudhuria mazishi ya viongozi 12 waandamizi wa kundi la Houthi, wakiwemo Waziri Mkuu wao, waliouawa katika…
Maporomoko ya Ardhi Yaua Watu 1,000 Darfur, Sudan
Maporomoko makubwa ya ardhi yamefuta kijiji cha Tarasin kilichopo katika eneo la Darfur, Sudan, na kusababisha vifo vya takribani watu 1,000. Hili limekuwa moja ya majanga mabaya zaidi kuwahi kushuhudiwa katika historia ya karibuni ya…
Jaji Maarufu na Nyota wa Mitandao ya Kijamii, Frank Caprio Afariki Dunia
Dunia imepoteza alama ya haki yenye huruma. Jaji Frank Caprio, ambaye alijipatia umaarufu duniani kupitia kipindi chake cha televisheni Caught in Providence, amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 88 kutokana na saratani ya kongosho.…
Putin agoma kukutanishwa na Zelensicky Ikulu ya Urusi
Putin agoma kukutanishwa na Zelensicky Ikulu ya Urusi imepuuzilia mbali mazungumzo ya kufanyika kwa mkutano kati ya Rais wa Urusi, Vladimir Putin, na Rais wa Ukraine, Volodymyr Zelensky, licha ya wito uliotolewa na Rais wa Marekani,…
Watu 27 wauawa katika shambulio la kigaidi msikitini Nigeria
Watu 27 wauawa katika shambulio la kigaidi msikitini Nigeria
Magaidi waliokuwa na silaha jana Jumanne waliwauwa waumini karibu 27 waliokuwa msikitini katika jimbo la Katsina kaskazini magharibi mwa Nigeria.
Taarifa iliyotolewa na…
Watu Watatu Wajeruhiwa Katika Shambulio la “Drone” Urusi
Belgorod, Urusi — Watu watatu wamejeruhiwa baada ya shambulio la ndege isiyo na rubani (Drone) kulipua gari lililokuwa likisafiri katikati ya mji wa Belgorod, gavana wa mkoa huo Vyacheslav Gladkov amesema Alhamisi. Gari hilo liliwaka moto…
Bwawa la Ethiopia Latishia Usalama wa Maji Misri
Cairo, Misri – Rais wa Misri Abdel Fattah El-Sisi amefanya mazungumzo na Rais wa Uganda, Yoweri Museveni, mjini Cairo Jumanne, ambapo suala nyeti la Mto Nile lilitawala ajenda.
Katika mkutano wa pamoja na wanahabari, Sisi alisisitiza…
PSG vs Spurs: Frank Anapanga Kuandika Historia Mpya kwa Spurs
Kocha mpya wa Tottenham Hotspur, Thomas Frank, amesisitiza kuwa kikosi chake kiko tayari kwa mtanange wa UEFA Super Cup Jumatano dhidi ya mabingwa wa Ligi ya Mabingwa Ulaya, Paris Saint-Germain. Spurs, wanaoshiriki kwa mara ya kwanza…
Ruto Aahidi TSh 48 Milioni kwa Kila Mchezaji Harambee Stars Wakishinda Zambia
Rais wa Kenya, William Ruto, leo amekutana na kikosi cha Harambee Stars na kutoa ahadi nono kuelekea mechi ya mwisho ya Kundi A ya michuano ya CHAN 2024 dhidi ya Zambia, itakayopigwa Jumapili katika Uwanja wa Kasarani.
Ruto…
M23 Yapinga Tuhuma za Mauaji ya Raia na Kuajiri Askari Watoto Mashariki mwa DRC
Kundi la waasi wa M23 linalodhibiti maeneo ya mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) limepinga tuhuma za kuhusika katika mauaji ya raia jimboni Kivu Kusini na madai ya kuajiri askari watoto.
Kwa mujibu wa Shirika la…
Mahakama Yaamuru Mwili wa Edgar Lungu urudishwe Zambia
Mahakama nchini Afrika Kusini imeiruhusu serikali ya Zambia kuurejesha mwili wa Rais wa zamani Edgar Lungu kwa ajili ya mazishi ya kitaifa, licha ya upinzani kutoka kwa familia yake.
Lungu, aliyefariki Juni akiwa na miaka 68 katika…
Ajali ya Ndege Kenya Yauwa Watu 6, Wawili Wajeruhiwa
Watu sita wamefariki dunia na wengine wawili kujeruhiwa vibaya baada ya ndege ndogo ya shirika la misaada ya matibabu, Amref Flying Doctors, kuanguka katika eneo la makazi la Githurai, Kaunti ya Kiambu, karibu na Jiji la Nairobi, nchini…
Urusi Yamjibu Trump Kuhusu Suala la Nyuklia
Urusi yamjibu Trump kuhusu siala za nyuklia Urusi ilisema Jumatatu kwamba kila mtu anapaswa kuwa "muangalifu sana" kuhusu matamshi ya nyuklia, ikijibu taarifa ya Rais wa Marekani Donald Trump kwamba alikuwa ameamuru kuwekwa upya kwa…
Mchezaji wa Man City Gvardiol Aingia Kambini na Maafisa wa Vikosi Maalum
Wakati wachezaji wengi duniani wakirudi kwa mazoezi mepesi ya uwanjani, beki wa Manchester City, Joško Gvardiol, ameanza msimu mpya kwa njia ya kipekee kabisa. Akiwa nyumbani Croatia, Gvardiol alishiriki mazoezi ya Kikosi maalum…
Damu Yamwagika Dargo: JNIM Yadaiwa Kuua Kikatili Wanajeshi wa Burkina Faso
Inasemekana shambulio baya la kigaidi katika kambi ya jeshi huko Dargo, kaskazini mwa Burkina Faso, limewaua takriban askari 50. Kwa mujibu wa vyanzo vya eneo hilo vilivyoongea na shirika la habari la Associated Press, zaidi ya magaidi…
Trump Amkosoa Netanyahu Kuhusu Njaa Gaza, “Watoto Wanaonekana Wenye Njaa”
Rais wa Marekani, Donald Trump, amesema hakubaliani na kauli ya Waziri Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu, kwamba hakuna njaa huko Gaza. Akiwa kwenye uwanja wake wa gofu nchini Scotland, Trump alisema, "Kwa kuangalia kwenye televisheni,…
Njaa Yazidi Kuikumba Afrika: UN Wataka Hatua za Haraka Kuhifadhi Maisha
Licha ya kushuka kwa viwango vya njaa duniani, ripoti mpya ya Umoja wa Mataifa imeonyesha ongezeko la njaa barani Afrika. Takriban watu milioni 512 duniani wanatarajiwa kubaki bila chakula cha kutosha ifikapo mwisho wa muongo…
Wachezaji wa Liverpool Wafanya Maandalizi ya Kiroho Kabla ya Msimu Mpya Nchini Tokyo
Tokyo, Japan – Katika tukio lisilo la kawaida kwenye kalenda ya maandalizi ya timu, wachezaji wa Liverpool wameanza siku yao leo asubuhi kwa kufanya zoezi la meditasheni katika hekalu la Ekōin jijini Tokyo. Zoezi hilo ni sehemu ya…
13 Wafariki Dunia katika Ajali ya Boti Kaskazini mwa Nigeria
Niger State, Nigeria – Takriban watu 13 wamethibitishwa kufariki dunia baada ya boti iliyokuwa imebeba abiria na mizigo kuzama Jumapili katika mto ulioko karibu na soko maarufu la Zumba, Kaskazini mwa Nigeria.
Kwa mujibu wa taarifa…
Rais wa Ufaransa na Mkewe Wafungua Kesi ya Uchafuzi wa Jina Dhidi ya Candace Owens
Rais wa Ufaransa, Emmanuel Macron, na mkewe Brigitte Macron, wamefungua kesi ya madai ya uchafuzi wa jina dhidi ya mtangazaji maarufu wa Marekani, Candace Owens. Kesi hiyo iliwasilishwa rasmi katika Mahakama ya Delaware, Marekani, tarehe…
Trump Afikia Makubaliano Ya Kibiashara Na Japan
Habari hii imeandikwa na Glory Sisty.
Rais wa Marekani, Donald Trump, ametangaza kukamilika kwa makubaliano ya kibiashara kati ya Marekani na Japan, yakihusisha sekta za kilimo, viwanda, na huduma za kidijitali.
Makubaliano hayo,…
Washington: Venus Williams Aandika Historia Ashinda WTA Tour Akiwa na Miaka 45
Habari hii imeandikwa na Momburi Dionisia
Mchezaji mkongwe wa tenisi, Venus Williams (45), ameandika historia kwa kuibuka mshindi katika mashindano ya WTA Tour yaliyofanyika jijini Washington, Marekani, baada ya kumshinda kwa…
Raia wa Kenya Aliyehukumiwa Kukatwa kichwa Saudi Arabia Aachiwa Huru
Stephen Abdulkareem Munyakho, raia wa Kenya aliyekuwa akikabiliwa na adhabu ya kifo nchini Saudi Arabia, hatimaye ameachiliwa huru baada ya juhudi za muda mrefu kuzaa matunda. Munyakho alikuwa amehukumiwa kunyongwa kwa upanga kufuatia…
Afrika Kusini: Rais Ramaphosa Amfuta Waziri Kwa Uongo Bungeni
Johannesburg, Afrika Kusini —
Rais wa Afrika Kusini, Cyril Ramaphosa, amemfuta kazi Waziri wa Elimu ya Juu, Sayansi na Teknolojia, Nobuhle Nkabane, kufuatia tuhuma za kusema uongo bungeni kuhusu uteuzi tata wa wajumbe wa bodi katika…