×

Kimataifa

Huduma ya Kufanya Mapenzi Kwenye Ndege Tsh Mil 2

Kampuni ya ndege binafsi ya nchini Marekani ya Love Cloud imeanza kutoa huduma kwa wapenzi wanaohitaji kushiriki tendo la ndoa...

READ MORE

Mjukuu Amkatakata Bibi Yake kwa Shoka na Kumuua

Kijana mwenye matatizo ya akili, Steve Olumbe amemvamia, kumkatakata kwa mapanga na shoka kisha kumuua bibi yake, Priscilla Were mwenye...

READ MORE

Kaka Ashirikiana na Mama Kumchinja Dada Yake

POLISI katika Jimbo la Maharashtra katika Wilaya ya Aurangabad, Mumbai nchini India wamewakamata kijana mmoja na mama yake kwa madai...

READ MORE

Serikali Kugharamia Mazishi Ya Wanakwaya 33 Waliofariki Mtoni

GAVANA wa Kaunti ya Kitui nchini Kenya Charity Ngilu amesema kuwa serikali ya kitaifa na ile ya kaunti yake zitagharamia...

READ MORE

Watoto 8 wa Familia Mbili Wakutwa Wamekufa Kwenye Gari

JESHI  la Polisi nchini Nigeria wanasema wanaendelea kuchunguza tukio la vifo vya watoto nane wa familia mbili tofauti, waliokutwa wamekufa...

READ MORE

Moto Wateketeza Gereza, Wafungwa Wahofiwa Kufariki

WAFUNGWA kadhaa wanahofiwa kupoteza maisha baada ya Gereza Kuu la Gitega nchini Burundi, kuteketea kwa moto Jumanne ya Desemba 7,...

READ MORE

Polisi Ampiga Risasi Mkewe, Majirani Watano Kisha Naye Kujiua

TUKIO lisilo la kawaida limesababisha huzuni kutanda katika Mji wa Kabete nchini Kenya baada ya askari wa jeshi la polisi,...

READ MORE

Mtoto Auawa Shuleni kwa Kunyweshwa Kemikali

ZAIDI ya watu 180,000 wametia saini maombi ya kudai haki baada ya kifo cha mwanafunzi Sylvester Oromoni wa shule ya...

READ MORE

‘Couple’ tano za Watanzania kujirusha Dubai Bureee! 

Ni fursa ya kipekee kujivinjari katika jiji la Dubai! Ndivyo unavyoweza kutafisiri kile kinachosubiriwa kwa hamu na Watanzania wengi ambapo...

READ MORE

Njemba Auawa Kisa ‘Chenji’ ya Sigara

JESHI la Polisi katika Jimbo la Ogun, Kusini Magharibi mwa Nigeria wanamshikilia mwanaume aliyefahamika kwa jina la Biodun Adebiyi kwa...

READ MORE

Mkuu wa Gereza Afungwa kwa Kuiba Fedha za Mfungwa

MAHAKAMA nchini Rwanda imemhukumu kifungo cha miaka mitano jela aliyekuwa mkuu wa gereza kuu la Kigali kwa kuiba fedha kutoka...

READ MORE

Basi Lililotumbukia Mtoni Latolewa, Waliokufa Waongezeka

Shughuli za uokoaji ziliendelea siku ya Jumapili kufuatia ajali mbaya iliyotokea Jumamosi katika mto wa Enziu, kaunti ya Kitui huku...

READ MORE

Watu 20 Wafariki Baada ya Basi Kusombwa na Mto

Zaidi ya watu 20 wamefariki dunia Jumamosi Desemba 4 wakati basi lao lililokuwa likielekea kwenye harusi liliposombwa na Mto Enziu...

READ MORE

Mtoto wa Gaddafi Aruhusiwa Kuwania Urais

Mahakama ya nchini Libya imeamua kwamba Mtoto wa Gaddafi, Seif al Islam anaruhusiwa kugombea kiti cha Urais nchini humo na...

READ MORE

Kijana Miaka 15 Akabiliwa na Mashtaka ya Ugaidi na Mauaji

WAENDESHA mashtaka katika kitongoji cha Detroit wamemfungulia mashtaka ya ugaidi na mauaji ya kukusudia mvulana wa miaka 15 anayetuhumiwa kuwafyatulia...

READ MORE

Amshtaki Mwanae kwa Kutompa Mahitaji, Ataka Alipwe Mshahara

Mzee Gideon Kisira Cherowo (73) Mkazi wa Birunda nchini Kenya amemfungulia kesi Mtoto wake aitwaye Washington Chepkombe akitaka akatwe asilimia...

READ MORE

Marekani Yaanza Kuishawishi Tanzania Kuruhusu Bangi

Nia ya kampuni ya Kampuni ya Honest Marijuana inayolima bangi kuwekeza nchini Tanzania imeibua mjadala kuhusu iwapo nchi inapaswa kuhalalisha...

READ MORE

Polisi Yanasa Vibaka 12 Wanaopora Simu kwa Bodaboda

Jeshi la Polisi katika Kaunti ya Kiambu nchini Kenya, imefanikiwa kukamata simu zaidi ya 30 na watuhumiwa 12 wa matukio...

READ MORE

Mume Amuua Mkewe, Watoto Wanne Kwa Shoka

Mwanaume mmoja, Paul Murage Njuki (35), mkazi wa Kijiji cha Kathata, Gichugu, Kaunti ya Kirinyaga nchini Kenya, anashikiliwa na jeshi...

READ MORE

Waasi Wateka Vijana Msumbiji

Watu wenye silaha wamewateka nyara zaidi ya vijana 100 kutoka kijiji cha Naulala katika Mkoa wa Niassa kaskazini mwa Msumbiji,...

READ MORE

Mke wa El Chapo Ahukumiwa Jela

Emma Coronel Aispuro amehukumiwa adhabu ya kutumikia jela miaka mitatu kwa makosa ya ulanguzi wa dawa za kulevya na utakatishaji...

READ MORE

Trump Aiomba Mahakama, Bunge Lisipewe Taarifa Zake

Rais wa zamani wa Marekani, Donald Trump, ameiomba Mahakama ya rufaa kuwazuwia wabunge wanaofanya uchunguzi wa ushiriki wake kwenye ghasia...

READ MORE

Milionea Mdogo wa New Zealand Afia Kenya

MILIONEA mwenye umri mdogo wa miaka 26, Raia wa New Zealand Jake Millar amefariki Duniani akiwa nchini Kenya katika kifo...

READ MORE

Aliyeuza Senene Ndani ya Ndege Akamatwa

Msemaji wa Jeshi la Polisi nchini Uganda Fred Enanga, amesema kwamba jeshi hilo linamshikilia mwanaume mmoja aitwaye Paul Mubiru, ambaye...

READ MORE

Dili la Kuuza Sura kwa Tsh Mil 460, Uko Tayari?

Kampuni ya kutengeneza roboti ya nchini Urusi inatafuta sura ya binadamu atakayekubali kulipwa ili kuitumia kwenye  bidhaa yake mpya ‘Promobot‘....

READ MORE

Aliyetaka Kumuua Eminem Akutwa na Hatia Nyingine

Kijana anayefahamika kama Mathew David Hughes aliyetaka kumuua Rapa Eminem kwa majaribio kadhaa mwaka 2020 aingia tena matatizo baada ya...

READ MORE

Akaunti ya Mwanafunzi Yakutwa na Bil 2.3

MAHAKAMA ya kupambana na rushwa nchini Kenya imeagiza akaunti ya benki ya ya mwanafunzi, Felesta Njoroge (21) ifungwe kwa siku...

READ MORE

G7 Wakutana kwa Dharura

KUNDI la mataifa tajiri duniani ya G7 leo hii limefanya mkutano wa dharura kuhusu aina mpya ya kirusi cha Covid-19...

READ MORE

Tahadhari: Kirusi Kipya cha Corona

Shirika la Afya Duniani (WHO), Novemba 26, 2021 liliripoti uwepo wa aina mpya ya kirusi cha Uviko-19 kiitwacho “Omicron”, kinachosemekana...

READ MORE

Wanne Wauawa kwa Kupigwa Risasi na Majambazi – Video

Watu wanne wameuawa kwa kupigwa risasi na watu wanaodaiwa kuwa ni majambazi, tukio lililotokea huko nchini Kenya. Wakazi wa eneo...

READ MORE

Rais Samia, Museveni Wazundua Shule ya Msingi Museveni, Chato – Video

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan na Rais wa Jamhuri ya Uganda Mhe. Yoweri Kaguta...

READ MORE

Senene Kuongezwa Kwenye Orodha ya Huduma ya Vyakula Kwenye Ndege

Baada ya kusambaa kwa video inayomuonesha mchuuzi wa Senene aliyekuwa akiuza bidhaa zake ndani ya Ndege ya Shirika la Ndege...

READ MORE

Mume, Mke Wakamatwa kwa Kuwauza Watoto Wao

VIKOSI vya usalama vya vya ulinzi wa raia nchini Nigeria vimemkamata mwanaume mmoja kwa jina, Elisha Effiong, kwa madai ya...

READ MORE

Al-Shabaab Yashambulia Somalia, Wanane Wauawa

JESHI la Polisi nchini Somalia limethibitisha vifo vya raia wanane katika shambulio la bomu la kujitoa muhanga katika mji mkuu...

READ MORE

Mtoto wa Gadaffi Aenguliwa Kinyang’anyiro cha Urais Libya

MTOTO wa kiume wa aliyekuwa kiongozi wa Libya hayati Muammar Gaddafi aitwaye Saif al-Islam Gaddafi ameenguliwa katika kinyang’anyiro cha kuwania...

READ MORE

Mwalimu wa Kike Ambaka Mwanafunzi wa Kiume

Loise Martha Musyoka, mwalimu kutoka nchini Kenya Kaunti ya Nairobi wa shule ya Kayole ameshutumiwa kwa kosa la kumbaka mwanafunzi...

READ MORE

Aliyetumikia Kifungo Miaka 42 Gerezani Kimakosa Aachiwa

MMAREKANI mwenye asili ya Afrika, Kevin Strickland mwenye umri wa miaka 62 ameachiliwa huru mara baada ya kutumikia kifungo cha...

READ MORE

Mabegi Yaliyotelekezwa yazua Taharuki Uganda

Polisi nchini Uganda wameondoa mabegi yametelekezwa mtaani katika Mji Mkuu nchi hiyo, Kampala baada ya kusababisha hofu ya mabomu mjini...

READ MORE

UNESCO Yatangaza Julai 7 Siku ya Kiswahili Duniani

Shirika la Umoja wa Mataifa la Elimu, Sayansi na Utamaduni (UNESCO) limeitangaza rasmi tarehe 7 Julai ya kila mwaka kuwa...

READ MORE

Uholanzi Yapeleka Wagonjwa wa Uviko Ujerumani

SERIKALI  ya Uholanzi imeanza kuwapeleka Wagonjwa wa Covid – 19 Nchini Ujerumani kutibiwa ili kupunguza msongamano kubwa unaozizonga Hospitali za...

READ MORE