×

Kimataifa

Majambazi Wenye Silaha Wavamia Equity Bank

Polisi mjini Kisumu wanakabiliana na majambazi ambao wamevamia Benki ya Equity iliyo mtaa wa Ang’awa nchini Kenya, wakitaka kupora fedha...

READ MORE

Amdunga Mumewe Kwenye Moyo, Aviacha Visu Viwili Kifuani

MWANAMKE aliyemuua mumewe katika shambulio la kisu nyumbani kwao amefungwa jela kwa kipindi kisichopungua miaka 18.   Lorna Middleton, 36,...

READ MORE

Bila Kuchanjwa Hauingii Baa, Hoteli

SERIKALI ya Kenya imesema kuwa huenda sasa Baa pakawa pagumu kwa wasiochanja na wakaamua kunywea pombe zao majumbani kutokana na...

READ MORE

Wanawake Wapigwa Marufuku Kuigiza Filamu

WANAWAKE wamepigwa marufuku kushiriki katika vipindi vya runinga nchini Afghanistan katika sheria mpya iliowekwa na Serikali ya Taliban.   Waandishi...

READ MORE

Uhaba wa Condom, Wananchi Watakiwa Kutafuta Njia Mbadala Kujilinda

SERIKALI ya Kenya imewataka wakenya kutumia njia mbadala wakati huu ikihangaika kukabiliana na uhaba wa kondomu.   Taifa hilo linadaiwa...

READ MORE

Museveni: Waasi wa ADF Jisalimisheni

Rais wa Uganda Yoweri Museveni anasema kundi la waasi, Allied Democratic Forces linastahili kujisalimisha huku akisisitiza kuwa serikali yake imejitolea...

READ MORE

Askari Polisi Auawa kwa Kuchomwa Mshale Akifuatilia Mwizi wa Mahindi

JESHI la Polisi katika Kaunti ya Elgeyo Marakwet nchini Kenya wameanzisha msako wa kumsaka mwanamume anayedaiwa kumuua askari kwa kumdunga...

READ MORE

Mke Amkata Korodani Mumewe

MWANAUME mmoja mwenye umri wa miaka 56 anauguza majeraha mabaya katika hospitali ya Nyambene kaunti ya Meru nchini kenya baada...

READ MORE

Jeshi Kumrejesha Waziri Mkuu Madarakani

WAZIRI  Mkuu wa Sudan aliyeondolewa madarakani Abdalla Hamdok anatarajiwa kurejeshwa madarakani, baada ya kuwekwa katika kifungo cha nyumbani wakati wa...

READ MORE

Mshukiwa wa Mauaji ya Rais wa Haiti Afariki kwa COVID-19

Dragon, mmoja wa washukiwa wakuu wa mauaji ya kinyama ya Rais wa Haiti, Hayati Jovenel Moise, amefariki kwa ugonjwa wa...

READ MORE

Mbwa Tajiri Anauza Mjengo Wake kwa Bil 73

Ichukue hii, unaambiwa mbwa tajiri zaidi duniani anayefahamika kwa jina la Gunther VI anauza mjengo wake wa kifahari uliopo Miami...

READ MORE

Mtoto wa Siku 5 Aokolewa na Paka Kwenye Shimo

Mtoto wa kike wa siku tano, ambaye aliokolewa kutoka kwenye shimo la maji taka alimokuwa ametupwa jijini Mumbai, India anaendelea...

READ MORE

Serikali Yagoma Kutoa Zawadi ya Bil 1 kwa Waliofichua Magaidi

WAZIRI wa Mambo ya Ndani wa Kenya, Fred Matiang’i amezungumzia kuhusu zawadi ambayo serikali ilikuwa imeahidi kutoa zaidi ya kiasi...

READ MORE

Watuhumiwa Watatu wa Ugaidi Waliotoroka Gerezani Wakamatwa

Msako mkali wa kuwatafuta watuhumiwa watatu wa ugaidi waliotoroka katika Gereza la Kamiti nchini Kenya, umezaa matunda baada ya watuhumiwa...

READ MORE

Mchoro wa “Diego and I” Wauzwa kwa Bilioni 80

Mchoro wa picha ya wanandoa wawili inayojulika kwa jina la “Diego and I” iliyochorwa na mchoraji maarufu kutoka Amerika Kusini,...

READ MORE

Mwanafunzi Ampiga Mwalimu Hadi Kupoteza Fahamu

JESHI la Polisi nchini Nigeria wanamshikilia mwanafunzi mmoja wa Chuo Kikuu cha Ilorin kwa tuhuma za kumpiga mhadhiri wa kike....

READ MORE

Waliofariki kwa Mlipuko Uganda Wafikia Sita – Pichaz

Watu 6 wamethibitika kufariki dunia mpaka sasa huku wawili kati yao wakiwa maafisa polisi, kufuatia milipuko miwili kutokea jijini Kampala...

READ MORE

Ukikamata Wafungwa Hawa Unapewa Zawadi ya Bilioni 1.23

MAMLAKA nchini Kenya imetangaza zawadi kwa atakayetoa taarifa zitakazosaidai kukamatwa kwa wafungwa “hatari” waliotoroka jela walimokuwa wakishikiliwa kwa tuhuma zinazohusiana...

READ MORE

Breaking: Milipuko Miwili Yaua Tena Uganda

BREAKING NEWS: Milipuko miwili imetokea katika Mji mkuu wa Kampala nchini Uganda, mapema leo Jumanne, Novemba 16, 2021 huku watu...

READ MORE

Evans Aishtaki Hospitali kwa Kumshona Hivi

KIJANA Evans Mutugi ameishitaki Hospitali ya Maura nchini Kenya kwa kitendo cha yeye kufanyia ushonaji usio kuwa wa kibinadamu na...

READ MORE

Hatimaye Mtoto wa Gadaffi Ajitosa Urais wa Libya

Mtoto wa kiume wa kiongozi wa zamani wa Libya Muammar Gaddafi, Seif al- Islam ametangaza rasmi nia yake ya kuwania...

READ MORE

Austria Yaanzisha ‘Lockdown’ kwa Wasiochanjwa

  TAKRIBAN watu milioni mbili ambao hawajachanjwa kikamilifu dhidi ya Covid-19 wamewekwa chini ya zuio la kutotoka nje nchini Austria...

READ MORE

Wafungwa 68 Wauawa

Takriban wafungwa 68 wameuawa kwenye mapigano mapya katika gereza la Ecuador. Ghasia katika gereza la Litoral katika mji wa Guayaquil...

READ MORE

Wafungwa 68 Wauawa Ecuador

MAMLAKA nchini Ecuador imesema kuwa wafungwa 68 wameuawa na wengine 25 kujeruhiwa wakati wa makabiliano kati ya magenge ya uhalifu...

READ MORE

Wazee wa ‘Tuma kwa Namba Hii’, Wamtapeli Kikongwe Bilioni 1

WAKATI wale jamaa wa ‘tuma kwa namba hii’ wakiwa wamepungua Bongo, nakuletea hii kali kutoka Florida, nchini Marekani ambapo kikongwe...

READ MORE

Kichanga Aliyezaliwa Wiki ya 21 Avunja Rekodi Ya Dunia

Nakuletea hii kutoka pande za Joe Biden, Marekani ambapo kichanga aliyezaliwa katika wiki ya 21 huku akiwa na uzito wa...

READ MORE

Nguli wa YouTube Atupwa Jela kwa Kuikashfu Serikali

Nyota wa YouTube nchini Rwanda, Dieudonné Niyonsenga amehukumiwa kifungo cha miaka saba jela kwa kuikosoa serikali. Niyonsenga anayejulikana kama Cyuma...

READ MORE

Mwanzilishi wa Wikileaks Aruhusiwa Kufunga Ndoa Jela

Mwanzilishi wa mtandao maarufu wa Wikileaks, Julian Assange ameruhusiwa kumuoa mpenzi wake Stella Moris katika gereza la Belmarsh nchini Uingereza....

READ MORE

Mwanamke wa Kwanza Ateuliwa Waziri wa Mambo ya Ndani

RAIS wa Msumbiji Filipe Nyusi amemteua Arsenia Felicidade Felix Massinge kuwa waziri wa kwanza mwanamke wa Mambo ya Ndani nchini...

READ MORE

Tanzia: Rais FW de Klerk Afariki Dunia

    Rais wa zamani wa Afrika Kusini na mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Amani, F.W de Klerk amefariki...

READ MORE

Wawili Watupwa Jela kwa Kufanya Ngono Barabarani

WAPENZI wawili Hafashimana Paskari (29) mkazi wa Kijiji cha Migeshi, Rwaramba nchini Unganda na mwanadada Muhawenimana Colodine Mukamurenzi (24) mkazi...

READ MORE

Wanandoa Waliosambaza ‘Picha za Utupu za Rais’ Waachiwa

WANANDOA wa Zimbabwe wameachiliwa huru kutoka kizuizini baada ya hakimu kufutilia mbali kesi dhidi yao kwa madai ya kusambaza picha...

READ MORE

Watanzania 725 Wafariki kwa Corona – Video

WATANZANIA 725 wamefariki dunia kutokana na ugonjwa wa Uviko-19 tangu ulipoingia nchini mapema mwaka jana. Idadi hiyo ni kati ya...

READ MORE

#Breaking: Ghorofa Lawaka Moto Kenya – Video

MOTO mkubwa umelipuka na kusababisha taharuki miongoni mwa wakazi wa eneo la Matopeni Kayole baada ya jengo refu la ghorofa...

READ MORE

 Watu 115 Wazikwa Pamoja

WATU 115 walifariki katika mlipuko wa tenki la mafuta siku ya Ijumaa, nchini Sierra Leone wanazikwa kwa pamoja katika mji...

READ MORE

Mjamzito Afariki kwa Ajali Akienda Kujifungua

MWANAMKE mmoja mjamzito amefariki dunia katika ajali ya kuogofya karibu na Hospitali ya Virgin kwenye barabara ya Kenol-Murang’a kaunti ya...

READ MORE

ECOWAS Yawawekea Vikwazo Viongozi wa Mali

JUMUIYA ya kiuchumi ya nchi za magharibi mwa Afrika, Ecowas imeweka vikwazo dhidi ya viongozi wa mpito wa Mali na...

READ MORE

Korea Kaskazini Yafyatua Makombora Tena

KASKAZINI Kaskazini imefanya zoezi la kufyetua mizinga ili kuimarisha uwezo wake wa ulinzi. Haya yameripotiwa jana na shirika la habari...

READ MORE

Waliokufa Kwa Mlipuko wa Lori la Mafuta Sierra Leone Wafikia 99 -Video

Idadi ya watu waliokufa nchini Sierra Leone baada ya lori la kubeba mafuta kulipuka imefikia watu 99. Ajali hiyo ilitokea...

READ MORE

Waziri Mkuu wa Iraq Anusurika Kuuawa

Waziri Mkuu wa Iraq, Mustafa al-Khadhimi, amenusurika jaribio la mauaji lililofanywa kwa kutumia ndege zisizo rubani zenye silaha zilizoyalenga makaazi...

READ MORE