Rais wa zamani wa Afrika Kusini, Jacob Zuma amelazwa katika hospitali nje ya gereza kwa ajili ya kufanyiwa uangalizi wa...
READ MORESamaki asiye kuwa wa kawaida mwenye meno ya binadamu amekamatwa nchini Marekani. Picha ya samaki huyo ilisambazwa katika mtandao wa...
READ MOREShirika la habari nchini Marekani CNN limewafuta kazi wafanyikazi wake watatu kwa kwenda ofisini bila kupewa chanjo dhidi ya Covid,...
READ MORERadi nchini Bangladesh imewapiga na kuwaua wageni 17 waliohudhuria sherehe ya harusi moja nchini humo. Watu 14 wengine ikiwemo bwanaharusi ,...
READ MOREMAOFISA wa kijeshi wa ngazi ya juu na polisi wamekamatwa nchini Madagascar kuhusiana na jaribio la kumuua rais lililotibuka. Waliokamatwa...
READ MOREMkurugenzi Mkuu wa Shirika la Afya Duniani (WHO), Tedros Adhanom Ghebreyesus amesema Maambukizi ya virusi vya Corona yanaongezeka kutokana na...
READ MOREMWANAUME mmoja aliyejulikana kwa jina la Fredrick Opiyo mwenye umri wa miaka 50 amekutwa amefariki dunia katika nyumba ya kulala...
READ MORERais wa Tunisia, Kais Saied amemfuta kazi waziri mkuu wake, Hichem Mechichi na kusitisha shughuli zote za bunge kwa muda...
READ MOREZaidi ya abiria 50 wametekwa nyara na watu waliojihami kwa silaha nzito za kivita katika Jimbo la Sokoto nchini Nigeria. Mamlaka...
READ MOREWATU 3,000 wameandamana nchini Italia kupinga sera za afya za serikali wakati kukianzishwa sheria kali za kudhibiti kuenea kwa virusi...
READ MORETRENI yenye uwezo wa kusafiri kwa kasi ya kilomita 600 kwa saa imezinduliwa katika eneo la Qingdao nchini China. Treni...
READ MOREWANASAYANSI wanasema ni fursa yao bora ya kubaini iwapo sayari Mars iliwahi kuhifadhi maisha viumbe ni kufanyia uchunguzi sehemu ya...
READ MOREIDADI ya watu waliopoteza maisha kutokana na mafuriko yaliyosababishwa na mvua kubwa katika Mkoa wa Hnan nchini China imeongezeka hadi...
READ MOREJaribio la kumuua Rais wa Madagascar, Andry Rajoelina limegonga mwamba ambapo watu kadhaa wanaodaiwa kuhusika na jaribio hilo wamekamatwa, mwendesha...
READ MOREIDADI ya watu waliopoteza maisha kutokana na mafuriko makubwa yaliyoikumba China, inazidi kuongezeka huku vikosi vya uokoaji vikifanya kazi ya...
READ MOREWATU 259 wamefariki dunia nchini Uingereza kutokana na aina mpya ya kirusi cha corona kiitwacho DELTA. Kwa mujibu wa @DW_Kiswahili, watu...
READ MOREWATU 259 wamefariki dunia nchini Uingereza kutokana na aina mpya ya kirusi cha corona kiitwacho DELTA. Kwa mujibu wa @DW_Kiswahili,...
READ MOREKWA mara ya kwanza hukumu ya kifungo cha gerezani imetolewa kwa mtu aliyehusika na uvamizi wa jengo la bunge na...
READ MORERais wa Mali, Kanali Assimi Goïta yuko salama baada ya mshambuliaji aliyekuwa amejihami kwa kisu kumshambulia katika msikiti wa Bamako-Grande...
READ MORERAIS wa zamani wa Afrika Kusini, Jacob Zuma anaweza kutolewa gerezani kwa dharura ili aweze kuhudhuria mazishi ya kaka yake,...
READ MOREWatu wapatao 13 wamefariki dunia baada ya tangi la mafuta ya petroli kulipuka huko magharibi mwa Kenya, usiku wa kuamkia...
READ MOREKUMILIKI gari zuri, yawezekana ni ndoto ya kila mtu duniani, pamoja na mambo mengine kama nyumba, ardhi, kazi na vitu...
READ MOREMJANE wa rais aliyeuawa Haiti, Jovenel Moise amerudi nyumbani baada ya kutibiwa majeraha aliyoyapata katika shambulio. Waziri wa mawasiliano...
READ MOREIDADI ya waliokufa kutokana na ghasia zinazoendelea nchini Afrika Kusini imepanda na kufikia watu 212 kutoka vifo 117 vilivyoripotiwa siku...
READ MOREWATU wasiojulikana nchini Nigeria wamempiga risasi na kumuua mmoja wa vigogo wa jeshi la nchi hiyo, Meja Jenerali Hassan Ahmed....
READ MOREBalozi wa Tanzania nchini Afrika ya Kusini, Meja Jenerali (Mst) Gaudence Milanzi, amesema kuwa hadi sasa bado hajapokea taarifa rasmi...
READ MOREZAIDI ya watu 120 wamekufa kufuatia mafuriko makubwa katika maeneo ya magharibi mwa Ujerumani na Ubelgiji, operesheni zinaendelea za kuwatafuta...
READ MOREASKARI Polisi wa Kenya Caroline Kagongo ambaye amekuwa akisakwa kwa wiki mbili kwa tuhuma za kuua watu wawili wanaodaiwa kuwa...
READ MOREMIONGONI mwa visa vizito vilivyojiri wiki iliyopita, kipo kisa cha mmoja wa warembo ambao siku hizi wamepewa jina la ‘pisi...
READ MOREPolisi nchini Kenya wanamshikilia Masten Wanjala (20) anayedaiwa kuua watoto kwa nyakati tofauti aliokuwa akiwakuta wakicheza na kuwahadaa kisha kuwaua...
READ MOREMaisha ya binadamu na viumbe wengine waliohai yanategemeana ndiyo maana tunasisitizwa kupanda miti ambayo inatupatia hewa ya oksijeni wakati huohuo...
READ MORETakribani watu 21 wamefariki dunia huku wengine wengi wakiwa hawajulikani walipo, kufuatia mafuriko yaliyosababishwa na mvua kubwa zinazoendelea kunyesha Magharibi...
READ MORESERIKALI ya Afrika Kusini inajiandaa kuwapeleka kwenye sehemu mbalimbali nchini humo wanajeshi wapatao 25,000 kwa ajili ya kudhibiti ghasia zinazoendelea...
READ MOREMamlaka ya Usimamizi wa Maduka ya Madawa Afrika Kusini (SACP), imeelezwa kusikitishwa kwake na vitendo vya waandamanaji nchini Afrika Kusini,...
READ MOREKiongozi wa Kanisa Katoliki Duniani, Papa Francis ameruhusiwa kutoka katika Hospitali ya Gemelli, Roma nchini Italia alikokuwa akitibiwa, zikiwa ni...
READ MOREWATU wapatao 72 wameuawa na zaidi ya watu 800 wamekamatwa katika ghasia hizo zilizoanza kama maandamano alhamisi iliyopita kupinga kwenda...
READ MOREZaidi ya watu 50 wamekufa baada ya moto kuzuka katika wodi ya wagonjwa wa Corona katika hospitali nchini Iraq. Moto katika...
READ MOREMaandamano yenye ghasia yameendelea nchini Afrika Kusini usiku kucha na Jumatatu asubuhi juu ya kufungwa jela kwa rais wa zamani...
READ MOREMKE wa rais wa Ghana anataka kurejesha fedha za marupurupu anayopatiwa tangu rais aingie madarakani mwaka 2017, baada ya wananchi...
READ MOREABIRIA wanaokwenda Uganda kwa kutumia ndege ya Shirika la Uganda Airlines walichelewa kuondoka jana jioni katika uwanja wa ndege wa...
READ MORE