×

Kimataifa

Forbes Wamtangaza Melinda Gates Kuwa Bilionea Mpya

NI stori iliyowagusa wengi huku wengine wakijiuliza maswali bila kuwa na majibu baada ya ndoa ya tajiri wa Dunia Bill...

READ MORE

Rais Ramaphosa ‘Asimamishwa’ Kazi

Ace Magashule, katibu mkuu wa chama tawala cha ANC nchini Afrika Kusini, ameJIBU hatua ya kutimuliwa kwake chamani kwa kumsimamisha...

READ MORE

Kenyatta: Ushirikiano wa Kenya na TZ Sasa Utakuwa wa Kiwango Kingine

Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta amesema ushirikiano baina ya Tanzania na Kenya utayafanya mataifa hayo kupiga hatua katika maendeleo.  ...

READ MORE

Samia: Huku Mna Kenyatta, Kule Kuna Suluhu, Kazi Kwenu! -Video

Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amewataka wafanyabiashara wa Tanzania na Kenya kushirikiana na si kushindana ili kuhakikisha uchumi wa...

READ MORE

Mjamzito Ajifungua Watoto Tisa

MAAJABU ya Mungu hayana kipimo, hivyo ndivyo unavyoweza kusema baada ya Mwanamke mmoja nchini Mali amejifungua watoto tisa katika hali...

READ MORE

Mexico: 23 Wafariki Baada ya Fly-over Kuporomoka

Takriban watu 24 wamefariki dunia na wengine 79 kujeruhiwa baada ya sehemu ya barabara ya juu (flyover) kuporomoka na kusababisha...

READ MORE

Mabilionea 10 Wanaoshikilia Uchumi wa Dunia

Pengo kati ya watu tajiri na maskini linazidi kuongezeka.Itawachukua miaka kumi watu maskini zaidi kuweza kumudu kuishi vizuri lakini huo...

READ MORE

Hotuba ya Rais Samia Ikulu ya Nairobi Kenya – Video

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, leo Mei 05, ameanza ziara ya siku mbili nchini Kenya...

READ MORE

Kauli ya Rais Kenyatta Mbele ya Rais Samia Kenya – Video

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, leo Mei 05, ameanza ziara ya siku mbili nchini Kenya...

READ MORE

Mrithi wa Mfalme wa Wazulu Pasua Kizungumzkuti

Mzozo kuhusu ni nani atakayemrithi marehemu Mfalme wa Wazulu, Goodwill Zwelithini, sasa unaelekea mahakamani, vyombo vya habari vinaripoti. Hatua hiyo...

READ MORE

Bondia Ashtakiwa kwa Kumuua Mpenzi wake Mjamzito

Bondia wa Puerto Rico aliyepigana katika michezo ya Olimpiki ya London mwaka 2012 ameshtakiwa kwa kumteka na kumuua mpenzi wake...

READ MORE

Wanasayansi Wagundua Maiti ya Kale ya Mjamzito Misri

TIMU ya wanasayansi nchini Poland imesema wamegundua maiti pekee ya kale ya mwanamke mjamzito huko Misri iliyokuwa imehifadhiwa.   Ugunduzi...

READ MORE

Mtoto Aliyefanyiwa Upasuaji wa Uti wa Mgongo Kabla Hajazaliwa

“Kuna hatari zake lakini upasuaji huu utamaanisha kuwa nimejitahidi katika kila namna kumchagulia kilicho bora kwake. Kwangu, ninachojua ni kwamba...

READ MORE

Rais Samia Awasili Ziarani Kenya (Picha +Video)

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan leo Mei 4, 2021 amewasili nchini Kenya ambako anafanya ziara...

READ MORE

Mwizi Alala Usingizi Mzito Baada ya Kumuibia Bibi Kizee

Kumetokea kisa cha aina yake katika kijiji cha Mutomo, kaunti ya Kitui nchini Kenya baada ya mwizi sugu wa mabavu...

READ MORE

Serikali Yapiga Marufuku Wananchi Kufuga Simba

SERIKALI ya Afrika kusini imeweka wazi mpango wa kuzuia watu kuwazalisha simba majumbani kwa lengo la kuwahifadhi kama wanyama wa...

READ MORE

Pasta Ageuza Baa Kuwa Kanisa la Kuabudia

WAKATI makanisa na baa zilifungwa kote nchini Kenya kwa sababu ya COVID-19, Mhubiri Ken Baraza wa Kanisa la Abundant Grace...

READ MORE

Jamaa Anusurika Kifo Akijisaidia

JAMAA mmoja amenusurika kifo kwa tundu la sindano baada ya mti kuangukia choo cha rununu (choo kinachohamishika) alimokuwa akijisaidia. Jamaa...

READ MORE

Bunge Lapiga Kura Kumfutia Rais Muda wa Nyongeza

Wabunge wa Somalia wamepiga kura kwa kauli moja kufuta nyongeza ya miaka miwili kwenye muhula wa rais Mohamed Abdullahi Mohamed...

READ MORE

Rais Kenyatta Aondoa ‘Lockdown’ Kenya

Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta  ametangaza kuondoa zuio la watu kutotoka nje katika kaunti tano nchini humo kwa ajili ya...

READ MORE

Muigizaji Maarufu wa Filamu Mzee Msiri Afariki Dunia

Muigizaji maarufu na mkongwe nchini Kenya aliyejizolea umaarufu zaidi katika kipindi cha runinga cha Pete akitumia jina la Mzee Msiri...

READ MORE

Malkia wa Zulu Afariki Baada ya Kuchukua Majukumu ya Kifalme

Familia ya kifalme ya Zulu nchini Afrika Kusini imetangaza kifo cha Malkia wake aliyekuwa anaongoza eneo hilo Shiyiwe Mantfombi Dlamini...

READ MORE

Waliokufa kwa Corona Brazil Wafikia 400,000

IDADI  ya waliokufa kutokana na janga la virusi vya corona nchini Brazil imefikia watu 400,000 hadi jana katika wakati ambapo...

READ MORE

Binadamu wa Kwanza Kutua Mwezini Afariki

Mwanaanga za juu wa Marekani, Michael Collins, ambaye aliongoza Apollo 11 wakati wanaanga wenzake wawili walipokuwa binadamu wa kwanza kutembea...

READ MORE

Biden: Marekani Haitavumilia Chokochoko za China

RAIS wa Marekani Joe Biden, amelihutubia bunge la nchi hiyo kwa mara ya kwanza akiwa rais na kutumia sehemu ya...

READ MORE

Kenya Yasitisha Safari za Ndege India

SERIKALI ya Kenya imesitisha kwa muda safari za ndege za abiria wanaotoka India. Waziri wa afya Mutahi Kagwe amesema hatua...

READ MORE

Wahuni Waiba Kengele ya Kanisa Yenye Kilo 500

WATU wasiojulikana wameripotiwa kuiba kengele ya kanisa la Virgin Mary Orthodox lililoko eneo la Limuru kaunti ya Kiambu nchini Kenya...

READ MORE

Mbunge Akamatwa na Polisi, Wabunge Wacharuka, Spika Aahirisha Kikao

SPIKA wa Bunge la Kenya (Senate), Ken Lusaka amelazimika kuahirisha kikao vya bunge kwa muda, kufuatia kukamatwa kwa Mbunge wa...

READ MORE

Escobar, El Chapo, Madoff Walivyotengeza Mabilioni kwa Uhalifu

Pesa walizotengeza kupitia uhalifu ni nyingi sana na hata wakati mmoja zilizidi kiasi cha fedha katika bajeti ya baadhi ya...

READ MORE

Jamaa Akubali Kumuoa Aliyekuwa Kahaba na Kuzaa Watoto 10 Baba Tofauti

JARIBU kuweka taswira ya picha ya siku ya harusi yako kila kitu kimeandaliwa lakini una wasiwasi kwa sababu haujawahi kukutana...

READ MORE

Martha Koome Jaji Mkuu Mpya wa Kenya

Jopo la Tume ya Huduma za Mahakama (JSC) imempitisha Jaji Martha Koome kuwa Jaji Mkuu mpya wa Kenya na kuweka...

READ MORE

Atupwa Jela kwa Kuwapiga Picha Polisi Wakikata Roho

Mwanaume mmoja nchini Australia amehukumiwa kifungo cha miezi 10 gerezani kwa kosa la kuwadhihaki na kuwapiga picha maafisa wa polisi...

READ MORE

Kirusi Kipya cha Covid 19 ni Hatari Zaidi

SHIRIKA  la Afya duniania WHO limesema aina ya virusi vya corona ambavyo vinahofiwa kuchangia wimbi la visa vya maambukizi nchini...

READ MORE

Akamatwa kwa Kuambukiza Watu Corona

POLISI wamemkamata mwanaume wa miaka 40 aliyeambukiza watu 22 virusi vya corona (Covid-19) kwenye kisiwa cha utalii cha Majorca. Ilibainika...

READ MORE

Marekani Yataka Kuulipua Mwezi

Umbo la mwezi hubadilika na hata rangi yake, lakini tangu jadi binadamu amekuwa akivutiwa na maumbile yake. Kuna Mwezi Mpevu,...

READ MORE

Wagonjwa wa Covid 19 Wafurika Hospitali, Watibiwa Nyumbani

Hospitali nyingi katika jiji la Delhi pamoja na majiji mengine mengi zimezidiwa na wagonjwa wa mlipuko wa corona, hali inayowalazimu...

READ MORE

Kifo cha Rais, Jeshi Lagoma Kufanya Mazungumzo na Waasi

Baraza la utawala wa kijeshi nchini Chad limekataa ombi la mazungumzo ya kusitisha vita na waasi ambao imekuwa ikipigana nao...

READ MORE

Nyambizi ya Indonesia Iliyopotea Yapatikana Vipande

Nyambizi ya jeshi la wanamaji nchini Indonesia iliyotoweka katika pwani ya mji wa Bali siku ya Jumatano imepatikana ikiwa imekatika...

READ MORE

AstraZeneca Zilizotumwa Afrika Zime-Expire

Taarifa imetolewa kwamba chanjo za corona (Covid-19) zilizotumwa kwa nchi 13 barani Afrika zimepita tarehe ya mwisho ya matumizi, lakini...

READ MORE

Wakenya Wavamia IMF Wakilaumu Nchi Yao Kukopeshwa

Kwa mara ya pili wiki hii, mtandao wa kijamii wa shirika la fedha duniani IMF umejipata ukivamiwa na ukosoaji kutoka...

READ MORE