UHUSIANO kati ya Marekani na China umeendelea kuzorota kwa kasi tangu kuanza kwa jana la Corona lililoua makumi ya raia...
READ MOREBurundi yamtimua toka nchini humo mwakilishi wa Shirika la Afya Duniani (WHO) na wataalamu watatu wa afya wa shirika hilo....
READ MOREVITUO vya kuzuia na kudhibiti magonjwa nchini Marekani (CDC) vimetangaza vifo vipya 1,426 vinavyohusiana na Corona, na kufikisha jumla...
READ MOREMkurugenzi Mtendaji wa Programu za Dharura za Afya kutoka Shirika la Afya Duniani (WHO), Dkt. Mike Ryan amesema Corona Virus...
READ MOREUbalozi wa Marekani nchini Tanzania umedai kuwa hatari ya kupata #COVID19 katika mkoa wa Dar ni kubwa japo hakuna ripoti rasmi...
READ MOREWizara ya Afya nchini Brazil imethibitisha jumla ya vifo 12,400 kutokana na #COVID19 huku idadi ya visa ikifika 178,214...
READ MORESERIKALI ya Kenya imewarudisha Watanzania wawili jana Mei 12, 2020, waliokuwa wanataka kuingia Kenya baada ya Watanzania hao kuthibitika kuwa...
READ MOREMADEREVA wa malori na magari 302 waliokuwa wanasafirisha bidhaa na abiria kwenda nchi jirani ya Kenya, jana walizuiliwa katika mpaka...
READ MOREWATAALAM wa Usalama Mtandaoni nchini Marekani wameishutumu China kuwa inajaribu kudukua taarifa kuhusu tafiti zinazofanya za #COVID-19. Shirika la upelelezi...
READ MOREKULINGANA na takwimu zilizotolewa na shirika la habari la Reuters, idadi ya vifo vinavyotokana na janga la corona imefikia zaidi...
READ MOREIDADI ya wagonjwa wa virusi vya corona nchini Kenya imeongezeka hadi 700 baada ya wagonjwa wapya 28 kuthibitishwa katika...
READ MORERAIS Edgar Lungu wa Zambia ameamuru kufungwa kwa muda kwa mpaka nchi hiyo na Tanzania kuanzia leo Mei 11, 2020....
READ MORERais Mstaafu wa Marekani, Barack Obama amemtuhumu Rais Donald Trump kuwa ameshindwa kuikabili #COVID19 kwani mbinu anazotumia hazijasaidia chochote hivyo...
READ MOREWaziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Prof. Palamagamba John Kabudi (Mb) kwa niaba ya Tanzania...
READ MOREWizara ya Afya Uganda imesema Dereva mwingine wa Lori kutoka Tanzania (32) amebainika kuwa na corona na kufanya maambukizi...
READ MORESHIRIKA la Afya Duniani (WHO) limesema mlipuko wa #CoronaVirus unaweza kusababisha vifo kwa Waafrika wapatao 190,000 ndani ya mwaka mmoja...
READ MORERAIS wa Marekani, Donald Trump na Makamu wake, Mike Pence wamelazimika kupima tena maambukizi ya virusi vya corona baada...
READ MOREKituo cha Kudhibiti na Kuzuia Magonjwa Afrika (CDC) kimesema kwamba vifaa vya kupimia virusi vya corona nchini Tanzania havina shida...
READ MOREMAUAJI ya raia wa China, mtafiti wa masuala ya virusi vya corona kwenye ardhi ya Marekani yamesababisha nadharia mbalimbali duaniani...
READ MOREWAKAZI wa Maeneo ya Eastleigh jijini Nairobi na Old towm mjini Mombasa nchini Kenya hawatoruhusiwa kutoka katika maeneo hayo katika...
READ MOREMVUA kubwa zilizonyesha nchini Kenya zimeua watu 30 hivi karibuni na kufanya idadi ya jumla ya watu 194 kupoteza maisha...
READ MOREMAJASUSI ncini Marekani wanaripoti kuona taasisi za kijasusi za nchi nyengine wakijaribu kupitia mtandao kuchunguza tafiti za chanjo ya virusi...
READ MORESHIRIKA la Afya Duniani limesihi watu kutoweka imani zao kwa dawa za mitishamba zinazotengenezwa na wenyeji kwa misingi ya kudai...
READ MOREWANASAYANSI nchini Kenya wameungana na wenzao wa Kimataifa katika juhudi za kutafuta chanjo ya ugonjwa wa Covid-19, kwa kufanyia majaribio...
READ MOREMPAKA kufikia Desemba mwaka 2019 homa ya kirusi cha corona ilikuwa nchini China tu. Lakini majuma machache baadaye ikaanza kusambaa...
READ MOREWIZARA ya Afya imetangaza visa vipya vinane vya #COVID-19 nchini humo na idadi ya maambukizi imefikia 97. Sita kati ya...
READ MOREJANGA la mlipuko wa maambukizi ya Virusi vya Corona vinavyosababisha Ugonjwa wa COVID-19, limemfanya binadamu kushuhudia mambo ya kutisha mno....
READ MOREWAZIRI wa Usafirishaji, Mohamed Salad amesema ndege iliyokuwa imebeba vifaa vya misaada kwa ajili ya kukabaliana na janga la #CoronaVirus,...
READ MOREGAVANA wa Kajiado, Joseph Lenku, amefunga kabisa uuzaji wa ng’ombe katika kaunti hiyo kutoka Tanzania kutokana na visa vya maambukizi...
READ MOREWIZARA ya Afya nchini Kenya imetangaza ongezeko la visa 25 vya #COVID19 baada ya sampuli 1,012 kufanyiwa vipimo na kufanya...
READ MOREMAAMBUKIZI ya virusi vya Corona duniani yamefikia watu milioni 3.5 leo Jumatatu, Mei 4, 2020, wakati idadi ya vifo vinavyosababishwa...
READ MOREWIZARA ya Afya nchini Uganda imesema kuna ongezeko la mgonjwa mmoja wa corona na kufanya jumla ya maambukizi kufikia 89...
READ MORESERIKALI ya Korea Kusini imesema jana wanajeshi wake wamefyatuliana risasi na wanajeshi wa Korea Kaskazini katika eneo lisilo na shughuli...
READ MOREWIZARA ya afya nchini Kenya imethibitisha maambukizi mapya 30 ya virusi vya corona baada ya sampuli 883 kufanyiwa vipimo katika...
READ MOREMGOMBEA urais nchini Marekani katika tiketi ya chama cha Democratic, Joe Biden, amekanusha vikali madai ya kumdhalilisha kingono Tara Reade...
READ MOREWAZIRI Mkuu wa Russia Mikhail Mishustin amesema amekutwa na maambukizi ya virusi vya Corona. Taarifa iliyotolewa na Makao Makuu ya...
READ MOREKWA mujibu wa vyombo vya habari nchini Korea Kusini, Kim Jong-un, ameonekana hadharani kwa mara ya kwanza baada ya siku...
READ MORERAIS wa Nigeria, Muhammadu Buhari amemteua mtu aliyefariki kushika wadhifa serikalini, jambo ambalo limeibua mjadala nchini humo huku baadhi wakidai...
READ MORERAIS wa Marekani Donald Trump amesema kwamba China inampango wa kutumia kila njia ili kumfanya asichaguliwe tena kwenye uchaguzi mkuu...
READ MORERais wa zamani wa Sudan Omar al-Bashir ametaka kuhamishwa gereza kufuatia habari kwamba mmoja wa wasidizi wake wa zamani ameambukizwa...
READ MORE