×

Kimataifa

Baraza la Mawaziri la Mnagangwa Ajaza Wajeda Waliomuondoa Mugabe

RAIS mpya wa Zimbabwe, Emmerson Mnangagwa ametangaza Baraza jipya la Mawaziri, ambalo ndani yake amewaweka maofisa wa Jeshi la Ulinzi...

READ MORE

Eto’o Akanusha Kukodi Ndege Kuwarudisha Cameroon ‘Watumwa’ wa Libya

MCHEZAJI wa zamani wa klabu ya Chelsea na timu ya taifa ya Cameroon, Samuel Eto’o, amekanusha ripoti kwamba alikodisha ndege...

READ MORE

AKATA NYETI ZA MWANAYE KWA SHOKA KUONDOA MAPEPO

MTU mmoja huko mwenye umri wa miaka 39 huko Chhattisgarh, India, amemtoa kafara mwanaye mdogo katika kitendo cha ushirikiana kwa...

READ MORE

Korea Kaskazi Yarusha Kombora Linaloweza Kuangamiza Sehemu Yoyote Duniani

KOREA Kaskazini imelifanyia majaribio kombora lake la masafa marefu lililoruka juu zaidi na kudumu angani kwa dakika 53 kabla ya...

READ MORE

Vurugu Zatanda Kenyatta Akiapishwa, Polisi Wafunga Mtaa Kuzuia Mkutano wa NASA

MTAA wa Jacaranda jijini Nairobi, Kenya, leo umefungwa na polisi ili kuzuia mkutano wa umoja wa vyama vya upinzani nchini...

READ MORE

Biblia ya Kenyatta Yatumiwa Kumwapisha Uhuru

KATIKA hafla ya kuapishwa kwa Rais wa Kenya na Makamu wake, imeelezwa kuwa, nakala ya Biblia iliyotumiwa kumwapisha Rais Uhuru...

READ MORE

Mrembo Afrika Kusini Ashinda Taji la Miss Universe 2017

NEL-PETERS (22) mrembo aliyeshika nafasi ya kwanza nchini Afrika Kusini amevishwa taji la Mrembo wa Dunia (Miss Universe 2017) akiwashinda...

READ MORE

Mama Ndikumana Awataja Waliomuua Mwanaye!

DAR ES SALAAM: Wakati muigizaji nyota wa filamu nchini, Irene Uwoya akiwa nchini Rwanda kuhani msiba wa aliyekuwa mumewe, Hamad...

READ MORE

WAZIMBABWE WASUBIRI KIONGOZI MWINGINE BAADA YA MUGABE

WANANCHI wa Zimbabwe hivi sasa wana shauku ya kumjua kiongozi wao mpya baada ya Robert Mugabe kuachia ngazi ya urais...

READ MORE

Sababu 5 Mke wa Mugabe Kuchukiwa Zaanikwa!

Wakati mwisho wa utawala wa miaka 37 wa mume wake Aliyekuwa Rais Robart Mugabe wa Zimbabwe ukiwa wa aibu, sababu...

READ MORE

Mambo 8 Usiyoyajua Kuhusu Mugabe

NOVEMBA 17, mwaka huu, Rais wa Zimbabwe, Robert Gabriel Mugabe alionekana hadharani kwa mara ya kwanza kutoka mikononi mwa jeshi...

READ MORE

Mugabe Kupigiwa Kura na Bunge Ya Kutokuwa Na Imani Nae

Chama cha rais wa Zimbabwe Robert Mugabe kinatarajiwa kuanza mchakato wa kupiga kura ya kutokuwa na imani nae. Afisa wa...

READ MORE

Wanajeshi 44 Bado Hawajulikani Walipo Argentina

NYAMBIZI ya Argentina ambayo ilitoweka na wanajeshi 44 bado inaendelea kutafutwa na Wizara ya Ulinzi ya nchini humo, ili kubaini...

READ MORE

Raila Odinga: Hatutambui Ushindi wa Uhuru Kenyatta

Kiongozi wa muungano wa upinzani nchini Kenya Raila Odinga amezungumzia kuhusu uamuzi uliotolewa na mahakama ya juu wa kuidhinisha uchaguzi...

READ MORE

Ruto: Mungu Amelikumbuka Taifa la Kenya

Makamu wa Rais wa Kenya, William Ruto,  ameupokea uamuzi wa mahakama kwa furaha kubwa. Ameandika kwenye Twitter kwamba: “Halleluyah! Atukuzwe...

READ MORE

Usichokijua Kuhusu Vita Ya Marekani VS Korea Kaskazini-12

Katika vita hii inayonukia kati ya Marekani na Korea Kaskazini, wiki iliyopita nilieleza namna ambavyo mjadala ulikuwa umepamba moto. Swali...

READ MORE

Mke wa Mugabe Adaiwa Kukimbilia Namibia

MBUNGE wa upinzani nchini Zimbabwe, Eddie Cross, ameiambia BBC kwamba anaamini mke wa Rais Mugabe, Grace, ametorokea Namibia. Mwanasiasa huyo...

READ MORE

Ndevu za Prince Harry Zashutumiwa Kwenye Hafla Ya Kijeshi

  PRINCE Harry ambaye ni mtoto wa Prince Charles na mjukuu wa Malkia Elizabeth wa Uingereza, yuko katika misukosuko kwa...

READ MORE

Mwalimu Matatani Kumwita Mwanafunzi Msichana Wakati ni Mvulana

  MWALIMU Joshua Sutcliffe wa Oxfordshire, Uingereza, ameingia matatani baada ya kusimamishwa kazi kwa kumwita kwa ‘bahati mbaya’ mwanafunzi wa...

READ MORE

Mwandishi Mmarekani Akamatwa, Adaiwa Kumtusi Rais Mugabe

    MWANDISHI wa Marekani, Martha O’Dovovan, hivi majuzi alikamatwa na kufikishwa mahakamani mwanzoni mwa mwezi huu nchini Zimbabwe kwa...

READ MORE

Siku 1 Kabla ya Uchaguzi, Rais Kenyatta Atakiwa Kutii Haya

RAIS wa Kenya, Uhuru Kenyatta, ameombwa kutia sahihi mara moja Miswada ya (Marekebisho) wa Sheria ya Uchaguzi inayohusu uchaguzi ulipoangwa...

READ MORE

Acacia Wasema Hawawezi Kulipa Dola Mil.300 kwa Serikali ya Tanzania

KAMPUNI ya uchimbaji madini, Acacia (Acacia Mining) imefunguka na kusema kuwa haina uwezo wa kulipa dollar milioni 300 kwa serikali...

READ MORE

Uchaguzi Kenya: Odinga Mbishi, Kenyatta Mbabe

KIONGOZI wa Umoja wa Muungano wa Upinzani nchini Kenya (NASA), Raila Odinga amesema wafuasi wake watafanya maandamano makubwa zaidi siku...

READ MORE

Janeth Museveni: Mabinti Zangu Waliolewa Wakiwa Bikira

MKE wa Rais wa Rwanda, Yoweri Museveni, Janet Museveni amesema kuwa aliwalea na kuwatunza mabinti zake vizuri hadi wanaolewa wakiwa...

READ MORE

San; Kabila la Namibia Lililokuwa Halijui Fedha-3

KATIKA matoleo mawili yaliyopita nilijikita kumsimulia muigizaji maarufu X!xau aliyecheza filamu maarufu za “The Gods Must Be Crazy aliyetoka Kabila...

READ MORE

Walioongoza Harakati za Kujitenga kwa Catalonia Yawakuta

JAJI nchini Uhispania amewazuia rumande viongozi wakuu wawili wa harakati za Uhuru wa Catalonia. Jordi Sánchez, ambaye anaongoza bunge la...

READ MORE

Mwanasoka George Weah Aongoza Matokeo ya Urais Liberia

MWANASOKA wa zamani George Opong Weah wa Chama cha Congress for Democratic Change, (CDC) anaongoza, katika matokeo ya awali ya...

READ MORE

Wabunge Babu Owino na Jaguar Watwangana Makonde Bungeni – Video

WABUNGE vijana wawili wa Kenya jana wamepigana bungeni kutokana na tofauti ya vyama vyao na viongozi wanaowaunga mkono. Wabunge hao...

READ MORE

Mugabe Afanya Maamuzi Magumu Kama ya Rais Magufuli

HARARE, ZIMBABWE: Ikiwa ni siku tatu baada Rais John Magufuli kufanya mabadiliko ya Baraza lake la Mawaziri hapa nchini, Rais...

READ MORE

Aliyeua Watu 59, Kujeruhi 527 Las Vegas Alikuwa Bilionea

MTU ambaye Jumapili iliyopita usiku aliua watu 59 na kujeruhi 527 kwa bunduki jijini Las Vegas, Marekani, alikuwa ni tajiri...

READ MORE

MAREKANI: 20 WAUAWA, 100 WAJERUHIWA KWA RISASI

WATU zaidi ya 20 wameuawa na 100 kujeruhiwa wakati mtu mwenye bunduki alipofyatua mamia ya risasi kutoka ghorofa ya 32...

READ MORE

PLO Lumumba Aukacha Ukurugenzi wa Kenya School of Law

MWANASHERIA maarufu nchini Kenya, Patrick Loch Otieno Lumumba, ajulikanaye kama PLO Lumumba, ameamua kutowania kipindi kingine akiwa Mkurugenzi wa Shule...

READ MORE

Mfalme wa Swaziland Aoa Mke wa 14

MFALME Mswati wa Tatu wa Swaziland kwa mara nyingine ameongeza idadi ya wanawake kwa kuoa mwanamke mwingine. Katika kuadhimisha Ngoma...

READ MORE

Seven Days in Hell (Siku Saba Kuzimu)- 38

ILIPOISHIA: “Mara ya mwisho mlizungumza naye lini?” “Kiukweli tangu aondoke hatujawahi kuzungumza naye, wanasema hospitalini hawaruhusu kutumia simu,” alijibu mwanaume...

READ MORE

Dereva Azirai Gari Likiwa Mwendokasi, 21 Wanusurika Kifo

MTALII wa Ufaransa amepongezwa baada ya kunusru vifo vya watu zaidi ya 21 waliotaka kufa ajalini nchini Australia. Mtalii huyo alikuchukua...

READ MORE

ACACIA Yatangaza Matokeo Mazuri Mgodi wa Buzwagi

KAMPUNI ya Uchimbaji wa Madini ya ACACIA yatangaza matokeo chanya kutoka katika mfumo mpya wa kuchakata makinikia Mgodi wa Buzwagi....

READ MORE

Rais Akubali Mwanaye Auawe Kisa Madawa ya Kulevya

RAIS wa Ufilipino, Rodrigo Deterte, amesema yuko tayari mwanawe auawe iwapo madai kwamba anahusika katika biashara ya madawa ya kulevya...

READ MORE

Uchaguzi wa Rais Kenya Wapigwa Kalenda

TUME Huru ya Uchaguzi na Mipaka ya Kenya (IEBC), imebadilisha tarehe ya kufanyika uchaguzi wa marudio wa Urais ambao sasa utafanyika...

READ MORE

Profesa Msomi Zaidi Duniani Mwenye Shahada 145

KAMA unafikiri kupata shahada (digrii) ni kazi ngumu, tangu sasa fahamu kwamba Profesa V.N. Parthiban anayefundisha jijini Chennai, India, ana...

READ MORE

Kupigwa Risasi kwa Lissu, Wanasheria wa Uingereza Watuma Waraka Mzito kwa Rais JPM

KUFUATIA matukio ya kukamatwa mara kadhaa na baadaye kupigwa risasi na watu wasiojulikana kwa Mwanasheria Mkuu wa Chama cha Demokrasia...

READ MORE