×

Kitaifa

Mtoto Aliyebambikiwa Kesi ya Mauaji, Akanyongwa Hadi Kufa Kimakosa

Yapo matukio ambayo ukiyasikia, lazima moyo wako uumie kupita kiasi! Miongoni mwa matukio hayo, ni hili linalomhusu mtoto George Stinney,...

READ MORE

Mshtakiwa Kesi ya Kutumikisha Walemavu Afariki

SADIKIELY META (71) mshtakiwa wa kwanza katika kesi ya kufanya biashara haramu ya kusafirisha binadamu, (kutumikisha walemavu) kukwepa kodi na...

READ MORE

Polepole: JPM Hana Mpango Kuongeza Muda Madarakani

MBUNGE wa kuteuliwa, Humphrey Polepole,  leo Jumanne Februari 9, 2021 amelieleza Bunge kuwa Rais wa Tanzania, John Magufuli hana mpango...

READ MORE

Mahakama Yaamuru Mali za Mmiliki wa Impala Hotel Ziuzwe

Mahakama kuu Kanda ya Arusha imeridhia kuuzwa kwa mali za Mmiliki wa hotel za Impala na Naura Spring ikiwemo viwanja...

READ MORE

Babu Miaka 72 Ajiua Kisa Kushtakiwa Polisi na Mkewe

Mkazi wa Kijiji cha Lyamungo Sinde, Zephania Lyimo (72) anadaiwa kujinyonga kwa kutumia kamba ya manila kwa madai ya kukasirishwa...

READ MORE

Patrick Kanumba Akazia Sakata la Mama Kanumba

Ni ‘headlines’ za msanii wa filamu Othman Njaidi maarufu kama Patrick Kanumba ambaye ametoa ‘comment’ yake kuhusu kinachoendelea mitandaoni kati...

READ MORE

Bulaya: Mimi Ndo Kipenzi cha Wana Bunda

  Mbunge wa Viti Maalum Ester Bulaya, amesema kuwa yeye ni mbunge wa muda mrefu na mbunge kipenzi cha wananchi...

READ MORE

Taratibu Mazishi ya Mtangazaji Mukhsin Mambo

MWANDISHI wa habari, Mukhsin Mambo, aliyefariki dunia jana Februari 8, 2021,  akiwa nyumbani kwake nchini Marekani, anategemewa kuzikwa jijini Mwanza...

READ MORE

Roma Mkatoliki Awachana Wasanii wa Zamani

KUTOKA kwenye ukurasa wa Instagram anaoutumia msanii Roma Mkatoliki ame-post video akiwachana baadhi ya wasanii wa zamani kwa kusema wanawaangusha...

READ MORE

Mrisho Gambo: “Sijaridhika na Majibu” Spika Amtuliza – Video

  Spika wa Bunge Job Ndugai, amefurahishwa na swali lililoulizwa na mbunge wa Arusha Mjini Mrisho Gambo, kwamba Wizara ya...

READ MORE

Jaji TZ Achaguliwa Kuwa Jaji Mahakama ya Afrika

Jaji Imani Daud Aboud ambaye ni jaji wa Mahakama Kuu ya Tanzania amechaguliwa kuwa Jaji wa Mahakama ya Afrika ya...

READ MORE

Polisi Yakamata Silaha Haramu 160 Ruvuma

POLISI mkoani Ruvuma imefanikiwa kukamata silaha mbalimbali 160 zinazodaiwa kuwa ni haramu katika kipindi cha Januari hadi Desemba 2020 pamoja...

READ MORE

Utapeli Unavyofanyika Kwenye Usajili Laini za Simu

KUMEKUWA na kasumba ya mawakala wanapofanya usajili wa laini za simu kumtaka mteja kurudia mara kadhaa kuweka alama ya kidole...

READ MORE

Mkuu wa Uchunguzi TAKUKURU Atoa Ushahidi Dhidi ya Kesi ya Gugai

  SHAHIDI ambaye ni Mkuu wa Uchunguzi na Usalama Katika Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru), Leonard Mtalai...

READ MORE

Msukuma: Miradi ya Mabilioni ya Pesa, Haina Impact kwa Taifa – Video

MBUNGE  wa Geita kupitia CCM, Joseph Kasheku maarufu kama Msukuma, ameshauri mabilioniya fedha  yanayowekezwa na serikali kwenye miradi ambayo haizalishi,...

READ MORE

Tanzia: Mukhsin Mambo Afariki Dunia

  MWANDISHI wa habari, Mukhsin Mambo, amefariki dunia hii leo Jumatatu, Februari 8, 2021, akiwa nyumbani kwake nchini Marekani. Mambo,...

READ MORE

Wanaougua Ugonjwa Usiojulikana Chunya Kusafirishwa Bure

  Mkuu wa mkoa Mbeya, Albert Chalamila amemuagiza Mganga Mkuu wa Mkoa huo kuwasafirisha bure wananchi wote wa kijiji cha...

READ MORE

Mtendaji Aliyetoweka na Milioni 10 Asakwa

MADIWANI wa Halmashauri ya wilaya ya Uyui Mkoani Tabora wamemwagiza Mkurugenzi Mtendaji wa halmashauri hiyo, Hemed Magalu kumsaka Mtendaji wa...

READ MORE

Asimulia Alivyopewa Adhabu kwa Saa 2 Ujauzito Ukaharibika

ASHA RAJABU (28) mkazi wa kijiji cha Samanga Marangu wilaya ya Moshi mkoani Kilimanjaro, amesimulia namna alivyorukishwa kichurachura na mwenyekiti...

READ MORE

Wanachama 100 ACT Wazalendo Wahama, Agizo la JPM Latekelezwa Ubungo

KARIBU Utazame ‘255 FRONT PAGE’ Kipindi bora cha Asubuhi kutoka Global Radio, ujipatie uchambuzi wa masuala mbalimbali ya kisiasa pamoja...

READ MORE

Sakata Ugonjwa Usiojulikana, Mganga Mkuu Chunya Yamkuta

WAZIRI wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dkt Dorothy Gwajima, ameagiza kusimamishwa kazi Mganga Mkuu wa Halmashauri...

READ MORE

Mume, Mke Wafariki Pamoja Katika Mazingira Tofauti

GIZA  nene limetanda katika kijiji cha Wari, Wilaya ya Siha mkoani Kilimanjaro, baada ya mme na mke kufariki siku moja...

READ MORE

Tanzania Yapaa Nafasi 23 Mapambano ya Rushwa Duniani

TANZANIA imeendelea kufanya vizuri katika mapambano dhidi ya rushwa ambapo kwa mujibu wa taarifa ya taasisi ya utafiti ya kimataifa,...

READ MORE

Chunya: Wananchi Wakumbwa na Ugonjwa wa Kutapika Damu – Video

Diwani wa Ifumbo wilayani Chunya Mkoa wa Mbeya, Weston Mpyila ameiomba Serikali kuwasaidia kupata ufumbuzi kutokana na kuzuka kwa ugonjwa...

READ MORE

Serikali: Hakuna Mgonjwa wa Corona Bugando, Sekou-Toure

SERIKALI imesema hakuna wagonjwa wa corona katika hospitali ya Kanda ya Bugando na ile ya rufaa ya Sekou-Toure za jijini...

READ MORE

Biden Awaondoa Wahouthi Kwenye Orodha ya Magaidi

SERIKALI ya Marekani inadhamiria kuliondoa kundi la waasi wa Kihouthi nchini Yemen kutoka kwenye orodha ya makundi ya kigaidi.  ...

READ MORE

Serikali: Si Kila Tatizo la Kupumua ni Corona

KATIBU Mkuu8 Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Prof. Mabula Mchembe, amewatoa hofu wananchi kwamba matatizo...

READ MORE

Simanzi: Mwili wa RAS Kwitega Waagwa Arusha – Video

MWILI wa aliyekuwa Katibu Tawala wa Mkoa (RAS) wa Arusha, marehemu Richard Kwitega, umeagwa jana Feb 5, 2021, katika viwanja...

READ MORE

Shigongo: Tufanye Maamuzi Kutekeleza Ndoto za Rais – Video

MBUNGE wa Buchosa, Mhe. Eric Shigongo, amewasihi wabunge wote kumsaidia Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Magufuli, ...

READ MORE

Swali la Kwanza la Shigongo Bungeni – Video

MBUNGE wa Buchosa, Mhe. Eric Shigongo, leo Februari 5, 2021, ameuliza swali kwa mara ya kwanza bungeni jijini Dodoma kwa...

READ MORE

Breaking: Joyce Kiria Akamatwa na Polisi

MAMLAKA ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) kwa kushirikiana na jeshi la Polisi wanamshikilia mwanaharakati Joyce Kiria kwa kosa la kuendesha mtandao...

READ MORE

Familia Inayoamini Kusomesha Watoto, Kumiliki Simu, TV ni Dhambi

FAMILIA ya Merchades Buberwa, mkazi wa Kasarani, Bukoba mkoani Kagera, imeeleza haina mpango wa kuwapeleka watoto wao shule, lakini pia...

READ MORE

Dereva Aliyekimbia Ajali Iliyomuua RAS Kwitega Asakwa na Polisi

  DEREVA wa basi la kampuni ya Makara lililogongana uso kwa uso na gari la aliyekuwa Katibu Tawala Mkoa wa...

READ MORE

Tanzia: Aliyepiga Picha ya Muungano wa Tanganyika na Zaznibar Afariki

  MWANDISHI wa habari mkongwe, William Mbunga, aliyepiga picha tukio maarufu la Baba Wa Taifa, Hayati Mwl. JK Nyerere akichanganya...

READ MORE

Tanzia: Profesa Mpangala Afariki Dunia

PROFESA wa Chuo Kikuu Katoliki Ruaha (RUCU) mkoani Iringa, Gaudence Mpangala, amefariki dunia jijini Dodoma leo asubuhi Alhamisi, Februari 4,...

READ MORE

Sakata la Baba Diamond Laibuka Upya, Familia ya Nyange Yafunguka – Video

  MDOGO wake marehemu Salum Idd Nyange, Abdul Kambaya, ameibuka na kuanika mapya kuhusu familia hiyo ya marehemu ambayo imekuwa...

READ MORE

Majaliwa: Halmashauri Zikamilishe Madarasa kwa Mapato Yao

  WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa, ameagiza halmashauri zote nchini kutenga bajeti kwa kutumia mapato yao ya ndani kwa ajili ya...

READ MORE

WHO Yainyima Tanzania, Burundi Chanjo ya Corona

Shirika la afya duniani WHO limetangaza mpango wa muda kuhusu jinsi nchi zitakavyopewa chanjo za corona mwaka huu, huku Tanzania...

READ MORE

Wasafi TV Yalegezewa Kitanzi

MAMLAKA ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imekiruhusu kituo cha televisheni, Wasafi TV, kuanza tena kurusha matangazo kuanzia Machi Mosi 2021, baada...

READ MORE

Watu 32 Wafariki Katika Ajali ya Magari Matano

WATU 32 wamepoteza maisha na wengine watano kujeruhiwa vibaya, baada ya ajali kutokea usiku wa kuamkia leo ikihusisha magari matano...

READ MORE