×

Kitaifa

Majaliwa: Hakuna Kiongozi Zaidi ya Magufuli

MJUMBE wa Kamati kuu ya Halmashauri kuu ya Taifa ya CCM amesema kati ya wagombea urais waliojitokeza, hakuna kiongozi zaidi...

READ MORE

Wananchi Wataka Kufahamu Atakayowafanyia Shigongo Buchosa

  WAKATI mchakamchaka wa kampeni ukiendelea kupamba moto katika maeneo mbalimbali huku wagombea urais, ubunge na udiwani wakinadi sera zao...

READ MORE

Lissu, Magufuli Kukutana Kigoma

TUNDU Lissu, mgombea urais wa Tanzania kupitia chama kikuu cha upinzani nchini, Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) atakuwa leo,...

READ MORE

Walichozungumza Marais Magufuli, Ndayishimiye Kigoma – Video

MARAIS John Pombe Magufuli wa Tanzania na Evariste Ndayishimiye wa Burundi wamesema ushirikiano baina ya mataifa hayo yanayounda Jumuiya ya...

READ MORE

Shigongo Aifariji Familia Ya Manyaga Nyakaliro-Buchosa

Mgombea Ubunge kupitia tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM),Eric Shigong James jana amefika nyumbani kwa familia ya Nyaga Mirambo kuifariji...

READ MORE

Maalim Seif Akamilisha Awamu ya Kwanza Kampeni Pemba

MGOMBEA Urais wa Zanzibar kupitia ACT-Wazalendo, Maalim Seif Sharif Hamad amekamilisha awamu ya kwanza ya ziara yake ya mikutano ya...

READ MORE

Avaa Nyoka Kama Barakoa Kujikinga na Corona

MSAFIRI mmoja amezua taharuki baada ya kuvaa ‘barakoa’ ya nyoka aliyokuwa amejizungushia katika shingo yake na mdomoni ambapo alionekana katika...

READ MORE

Bonge la Nyau Aanika Alichokiona Kabla ya Ajali

MSANII nchini ajulikanaye kama Bonge la Nyau amesema kitu cha mwisho walichokiona kabla ya kutokea kwa ajali ambayo aliipata na...

READ MORE

Kenya: Wauguzi 16 Wafariki kwa Corona

WIZARA ya afya nchini Kenya imetangaza kuwa wauguzi 16 wamepoteza maisha, wakiwa miongoni mwa wauguzi 945 walioambukizwa ugonjwa wa COVID-19...

READ MORE

Waliomuua Dkt. Mvungi Wahukumiwa Kifo

WATU watano wamehukumiwa kunyongwa hadi kufa baada ya kupatikana na hatia ya kuhusika na mauaji ya aliyekuwa mwanasheria maarufu nchini...

READ MORE

Vilio Kuagwa Wanafunzi Waliokufa kwa Moto Kagera

MIILI ya wanafunzi 10 waliokufa kwa ajali ya moto uliounguza bweni la wavulana katika shule ya msingi Byamungu  wilayani Kyerwa...

READ MORE

UVCCM Songwe Waanza Kusaka Kura Nyumba kwa Nyumba

Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi ( UVCCM) Mkoa wa Songwe wamezindua kampeni ya mkoa mzima ya kutafuta kura...

READ MORE

Singida: Jela Miaka 30 Kumbaka Mtoto Wake wa Kumzaa

Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Singida, imemhukumu kifungo cha miaka 30 jela mkazi wa Mtaa wa Kimpungua, Manispaa ya...

READ MORE

JPM: Kumbe Zitto Naye Anapanda Ndege Zetu! – Video

    MWENYEKITI wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia chama hicho,...

READ MORE

IGP Sirro Aongezewa Mwaka Mmoja

Shirikisho la Wakuu wa Polisi Mashariki Mwa Afrika (EAPCCO) wamemtaka Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Simon Sirro kuendelea...

READ MORE

Rais Belarus Aweka Jeshi Katika Tahadhari, Afunga Mipaka

BELARUS imesema imefunga mipaka yake na nchi za Umoja wa Ulaya. Lakini maafisa wa Poland wameielezea hatua hiyo kuwa ni...

READ MORE

Ujenzi Kituo cha Mabasi Mbezi Wafikia Asilimia 80

UJENZI wa Kituo cha Mabasi cha Kimataifa cha Mbezi Luis jijini Dar es Salaam, umekamilika kwa asilimia 80, hii ikimaanisha...

READ MORE

Ufafanuzi Anayejiita ‘Prof. Mohamed Janabi’ Mitandaoni

  TAASISI  ya Moyo  Jakaya Kikwete imewajulisha wananchi kuwa wazipuuze taarifa zinazotolewa kupitia ukurasa wa Twitter wa mtu anayejiita Prof....

READ MORE

GGML Mdhamini Mkuu wa Maonyesho Teknolojia za Uchimbaji Madini

  KAMPUNI ya Geita Gold Mining Limited (GGML) ndiye mdhamini mkuu wa Maonyesho ya Tatu ya Teknolojia za uchimbaji madini...

READ MORE

Mgombea wa Mbatia Ajitoa Kwenye Kinyang’anyiro

  MGOMBEA ubunge Jimbo la Madaba mkoani Ruvuma kupitia Chama cha NCCR-Mageuzi, Mkinga Ugin Gidion, amejitoa katika kinyang;anyiro hicho huku mwenyekiti...

READ MORE

CHADEMA Kuwapa Mazingira Bora Wafanyabiashara

MGOMBEA mwenza wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Salum Mwalimu, ameahidi kuwawekea mazingira mazuri wafanyabiashara wote.   Alitoa ahadi...

READ MORE

Wasambazaji wa Mafuta Kaskazini Watakiwa Kununua Mafuta Bandari ya Tanga

EWURA imeagiza wasambazaji wote wa bidhaa za petroli mikoa ya Tanga, Kilimanjaro, Arusha na Manyara kuanza kuchukua bidhaa hizo kutoka...

READ MORE

Dhoruba Kali Yaiweka Gizani Marekani

  DHORUBA ya kitropiki imesababisha zaidi ya watu nusu milioni wa Marekani kukosa umeme wakati mvua kubwa ikinyesha na dhoruba...

READ MORE

NBC, Ofisi ya Mkoa Geita Wawafunda Wajasiriamali, Wachimbaji Geita.

    Wajasiriamali na wachimbaji wadogo wa madini mkoani Geita wameanza mafunzo maalumu yanayolenga  kwa kuwajengea uwezo wa  kuendesha biashara...

READ MORE

Majaliwa: Chagueni Viongozi Wenye Mtazamo Mmoja

MJUMBE wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Kassim Majaliwa amewataka wakazi wa Bariadi...

READ MORE

Wafungwa 7 Kati ya 219 Waliotoroka Gerezani Wakamatwa

WAFUNGWA saba kati ya 219 waliotoroka kutoka katika Gereza la Singila, Moroto, Kaskazini-Mashariki mwa Uganda wamekamatwa. Wafungwa hao walimpiga risasi...

READ MORE

Breaking: Mwanafunzi Afukiwa na Kifusi Chato, Afariki

Mwanafunzi mmoja kati ya wanafunzi sita wa Shule ya Msingi Maweni iliyopo Kata ya Buseresere wilayani Chato mkoani Geita, amepoteza...

READ MORE

Msaidizi wa Membe Anashikiliwa na Polisi – Mambosasa

KAMANDA wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, SACP Lazaro Mambosasa, leo Septemba 17, 2020, amesema msaidizi wa mgomba...

READ MORE

Wafungwa Zaidi ya 200 Watoroka Gerezani

ZAIDI ya wafungwa 200 wa Gereza la Singila, Moroto Kaskazini Mashariki mwa Uganda, wametoroka gerezani baada ya kufanikiwa kumuua askari...

READ MORE

Mbeya City anga moja na Juventus, Leicester City

Mara baada ya pazia la Ligi kuu soka Tanzania Bara msimu wa 2020-21 (VPL), Ligi kuu ya Uingereza (EPL) pamoja...

READ MORE

Tanzia: Baba wa Bill Gates Afariki Dunia

WILLIAM HENRY GATES II ambaye ni baba mzazi wa Bill Gates (mvumbuzi wa Microsoft) amefariki dunia siku ya Jumatatu, Septemba...

READ MORE

Kizimbani Kuisababishia TRA Hasara ya Mil. 48

GEOFFREY KILIMBA amefikishwa mbele ya Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu akikabiliwa na makosa manne likiwemo la uhujumu uchumi kwa kuisababishia ...

READ MORE

Kortini Wakituhumiwa Kuendesha Biashara ya Madawa

WATU wanne wamepandisha kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu wakikabiliwa na kesi ya uhujumu uchumi ikiwemo kosa la kuendesha...

READ MORE

Magufuli Asimulia Bashiru Alivyouza Ndizi

MGOMBA rais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) John Magufuli, amesema kuwa alizunguka nchi nzima kutafuta mtu ambaye anafaa kuwa Katibu...

READ MORE

Mtanzania Akamatwa na Dawa za Kulevya China

Polisi wa Macau China wamemkamata Mtanzania waliemtaja kwa jina moja tu la Dossa mwenye umri wa miaka 39 kwa tuhuma...

READ MORE

Kijana wa Miaka 32 kwa Tuhuma za Mauaji

Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya linamshikilia Bariki Kajuni mwenye miaka 32 ambaye ni mkazi wa Makambako, Mkoa wa Njombe...

READ MORE

Huawei Yatoa Mafunzo ya 5G kwa Watumishi wa Umma

Watumishi 24 na wahandisi kutoka Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (MWTC), Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), Kampuni ya Mawasiliano...

READ MORE

Zimamoto Yatoa Tamko Shule Kuteketea Nchini

JESHI la Zimamoto na Uokoaji nchini limewataka wamiliki wa shule nchini kuhakikisha wanafunga vifaa maalumu vya awali vya kuzimia moto...

READ MORE

Mtwara: Baba, Mtoto Wafariki Ajalini

WATU watano wakiwemo baba na mtoto, wamefariki dunia na wengine sita kujeruhiwa katika ajali ya gari iliyohusisha mabasi mawili ya...

READ MORE