×

Kitaifa

Magufuli Aanika Siri Nzito Dodoma

MGOMBEA wa Urais kwa tiketi ya CCM, Dkt. John Magufuli amewambia wapiga kura wake kuwa anasiri kubwa na nzito ndani...

READ MORE

Polisi Yakanusha Kuupiga Mabomu Msafara wa Lissu

JESHI la Polisi Mara, limekanusha uvumi kuwa msafara wa mgombea Urais kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu...

READ MORE

Shule Nyingine Yaungua Nyasaka Mwanza

Wanafunzi 22 wanaosoma katika shule ya Sekondari ya Yustas iliyopo Nyasaka wilayani Ilemela mkoani Mwanza, wameunguliwa vifaa vyao yakiwemo magodoro...

READ MORE

Dk.Shein Azindua Rasmi Jengo La Abiria Uwanja Wa Ndege Zanzibar

    Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein amezindua rasmi jengo jipya la...

READ MORE

Dada wa Usafi Anaswa na Dawa za Kulevya – Video

MAMLAKA ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya nchini imemkamata Maria Edson Mtambo (25) Mnyiha na mkazi wa Tegeta...

READ MORE

Bodi ya Ligi Yaufunga Uwanja wa Jamhuri Moro

BODI ya Ligi  nchini imeufungia Uwanja wa Jamhuri wa mjini Morogoro hadi utakapofanyiwa marekebisho katika maeneo matatu ambayo ni: eneo...

READ MORE

Lissu Akana Kupokea Wito NEC

MGOMBEA urais kupitia, Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu, amesema kuwa hajapokea malalamiko yoyote kutoka Tume ya Taifa...

READ MORE

Mauaji Kada wa CCM Njombe, JPM Aagiza…

  RAIS wa Tanzania na mgombea urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM),  John Magufuli,  ametuma salamu za pole na ubani...

READ MORE

NMB Yapongezwa Kwa Kutoa Ahueni Wakati wa COVID-19

  Serikali na wadau mbalimbali wameipogeza Benki ya NMB kwa msaada wake mkubwa wakulisaidia Taifa na wateja wake kukabiliana na...

READ MORE

Kigogo TRA Kizimbani Tuhuma za Rushwa Sh Mil. 1.5

TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) Wilaya ya Nzega mkoani Tabora, imemfikisha mtumishi wa Mamlaka ya Mapato Tanzania...

READ MORE

Benki ya NBC Yaibuka Kinara Maonesho ya Madini Geita.

Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) imeibuka kinara kwenye Maonesho ya Madini na Teknolojia yaliyomalizika mwishoni mwa wiki mkoani Geita...

READ MORE

Benki ya NBC Yawaasa Wazazi Kuwekeza katika Bima ya Elimu

Wazazi nchini wameshauriwa kujenga utamaduni wa kuwakatia watoto wao Bima ya elimu itakayo wahakikishia uhakika wa kupata elimu bora hata...

READ MORE

Jiwe Kubwa la Madini Lapatikana Morogoro

WAZIRI wa Madini, Dotto Biteko, ametangaza habari njema baada ya kupatikana kwa jiwe jingine tena kubwa la madini aina ya...

READ MORE

Tundu Lissu Aitwa NEC Kujieleza

Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imemuandikia barua mgombea urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu ya...

READ MORE

Shule Nyingine ya Kiislam Yaungua Moto Tabora

Shule ya Awali na Msingi ya Taasisi ya Kiislamu ya Istiqaama iliyopo mkoani Tabora imeungua moto usiku wa kuamkia leo...

READ MORE

 Serikali za Majimbo si Suluhisho la Matatizo Ya Watanzania

    KUNA mwanasiasa mmoja ameibuka tena na hoja ya serikali za majimbo. Kwa mtazamo wangu, muundo wa serikali za...

READ MORE

Waliosambaza Video Chafu, za Denti Chuo Kikuu, Jela Miaka 3…

‘CONNECTION’ ndiyo msemo unaotrend (sambaa) kila kona ya jiji la Dar, baada ya video chafu ya mwanadada mmoja anayedaiwa kuwa...

READ MORE

Bibi Miaka 99 Alamba Milioni 99

HAYAWI hayawi sasa yamekuwa! Yule kikongwe Nasi Muruo (99) aliyekuwa akitafuta haki yake kwa zaidi ya miaka 40, sasa amelipwa...

READ MORE

Shigongo: Nimeacha Kila Kitu Niteseke Sababu ya Wana-Buchosa

MBOMBEA ubunge Jimbo la Buchosa kupitia tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Eric Shigongo James, amesema kuwa ameacha kila kitu...

READ MORE

Panya wa TZ Apewa Nishani ya Dhahabu Uingereza

PANYA mkubwa kutoka Afrika amepewa nishani ya dhahabu kutokana na uwezo wake wa kubaini mabomu ya kutegwa ardhini.   Panya...

READ MORE

Salim Kikeke: Wanaosema Naihujumu Tanzania, Mungu Atawalipa

MTANGAZAJI wa Shirika la Habari la Uingereza, BBC, Salim Kikeke, ambaye ni raia wa Tanzania ameonyesha kusikitishwa kwake na baadhi...

READ MORE

Shigongo: Dkt. Tizeba Umefanya Jambo la Kishujaa – Video

ERIC SHIGONGO, mgombea ubunge wa Jimbo la Buchosa kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM),jana Ijumaa, Septemba 25, 2020, amezindua rasmi kampeni...

READ MORE

Tabasamu Amuombea Kura Shigongo: Kwa Timu Hii, Wamekwisha! – Video

MGOMBEA ubunge wa Jimbo la Buchosa kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Eric Shigongo, jana Ijumaa, Septemba 25, 2020, amezindua rasmi...

READ MORE

Dkt. Abbas Aichambua SGR

Ujenzi wa Reli ya ya Kisasa (SGR) nchini unalenga kuleta maendeleo ya watu kwa kurahisisha muda wa usafiri wa abiria...

READ MORE

Musukuma: Shigongo Njoo Nikufundishe – Video

MGOMBEA Ubunge wa Ji8mbo la Geita Vijijini, Mhe. Joseph Kasheku kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) amemtaka Mgombea Ubunge wa Jimbo...

READ MORE

Amber Rutty, Mumewe, James Delicious Jela Miaka 5

MSANII Rutyfiya Abubakary maarufu kama ‘Amber Rutty’ na mpenzi wake, Said Bakary, pamoja na mtuhumiwa mwenzao, James Charles ‘James Delicious’,...

READ MORE

Shigongo Azindua Kampeni, Aahidi Buchosa Mpya

MGOMBEA Ubunge wa jimbo la Buchosa wilayani Sengerema mkoani Mwanza kupitia tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Eric Shigongo leo...

READ MORE

Balaa! Mapokezi ya Shigongo Uzinduzi wa Kampeni Buchosa – Video

MGOMBEA ubunge wa Jimbo la Buchosa kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Eric Shigongo, leo Ijumaa, Septemba 25, 2020, anazindua rasmi...

READ MORE

Mwanafunzi Amkata Mapanga Mwalimu Wake

MWANAFUNZI wa kidato cha tatu katika Shule ya Sekondari Kiaga wilayani Butiama, mkoani Mara, anashikiliwa na Jeshi la Polisi kwa...

READ MORE

CECIL MWAMBE: Safari yangu kisiasa haikuwa rahisi

Mgombea Ubunge jimbo la Ndanda mkoani Mtwara, Cecil Mwambe amesema safari yake kisiasa katika kipindi cha miaka mitano iliyopita haikuwa...

READ MORE

Mwalimu Mbaroni Tuhuma Rushwa ya Ngono kwa Denti Wake

TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa nchini (TAKUKURU) Mkoa wa Mbeya, inamshikilia Mwalimu Mkuu wa Shule ya Msingi Nyeregete...

READ MORE

Boniface, Prof. Kitila Wakutana Global Radio; Watifuana – Video

WAGOMBEA ubunge wa Jimbo la Ubungo, Boniface Jacob (Chadema) na Prof. Kitila Mkumbo (CCM) ambao wanachuana vikali katika kinyang’anyiro hicho...

READ MORE

Alichofanyiwa Mama Huyu Utamwaga Machozi

CELINE NJOKI (34), ni mama wa watoto watatu nchini Kenya. Ni vigumu sana kwa mtu kuweka akilini mwake mahangaiko na uchungu...

READ MORE

Jacob: Kama Maji ni Kero Ubungo, Wananchi Waninyime Kura – Video

MGOMBEA ubunge wa Jimbo la Ubungo kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Boniface Jacob, amesema kuwa uongozi wa chama...

READ MORE

Mussa Sima Apania Kuigeuza Singida Kuwa Jiji

Mgombea Ubunge jimbo la Singida mjini kupitia CCM, Mussa Sima amewaahidi wananchi wa jimbo hilo kumalizia kutatua changamoto zilizopo katika...

READ MORE

Boniface Jacob Asimamishwa Kufanya Kampeni kwa Siku 7 – Video

MGOMBEA ubunge Jimbo la Ubungo kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema),  Boniface Jacob, amesimamishwa kuendelea na kampeni, akidaiwa kukiuka...

READ MORE

Msajili, Upinzani Lugha Gongana; Mgombea Urais Asitisha Kampeni – Video

MVUTANO unaendelea kati ya Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa na vyama viwili vya siasa; Chama cha Demokrasiana Maendeleo...

READ MORE

Amuua Mkewe Kinyama Akidai Penzi!

VILIO na simanzi, imetanda katika kitongoji cha Kwihuri kilichopo Kijiji cha Buturu, kata ya Butiama, Wilaya ya Butiama mkoani Mara,...

READ MORE

Lowassa: Magufuli, Tundu Lissu Asikutishe, Dunia Inajua

KITENDO cha mgombea urais wa Tanzania, kupitia Chadema, Tundu Lissu kuonekana kwenye televisheni na kuzunguka majimboni wakati wa kampeni zake,...

READ MORE