SERIKALI ya Kenya imetoa orodha ya nchi 147 ambazo raia wake wataruhusiwa kuingia nchini humo bila kukaa karantini ambapo kwenye...
READ MORESELEMAN ABDUL, Mwalimu Mkuu wa Shule ya Msingi Byamungu Islamic, iliyopo Kyerwa mkoani Kagera, ametetewa na Rais Dkt. John Pombe...
READ MOREBERNARD Membe, mgombea urais wa Tanzania kupitia Chama cha ACT-Wazalendo, amesema mazingira magumu ya siasa kwa sasa, yamesababisha marafiki na...
READ MOREALIYEKUWA Ofisa Mnadhimu wa Chuo cha Polisi Moshi (CCP), Jonathan Shana, amefariki dunia usiku wa kuamkia leo Jumatano, Septemba 16,...
READ MOREHotuba ya Mkurugenzi Uchaguzi Dkt. Wilson Mahera Charles katika ufunguzi wa Kikao cha Tume ya Taifa ya Uchaguzi na watoa...
READ MORENchi 15 kupitia Balozi zao hapa nchini zimeruhusiwa kuleta waangalizi wa Kimataifa katika uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba 28, 2020...
READ MOREWATU watatu wamepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu wakikabiliwa na mashitaka matano ikiwemo kosa la uhujumu uchumi na...
READ MOREUmoja wa Ulaya (EU) umesema uko tayari kutoa Euro 27 milioni (TZS 70 bilioni) kwa serikali ya Tanzania kwa lengo...
READ MOREBodi ya Michezo ya Kubahatisha Tanzania (GBT) imewataka wamiliki wote wa pool tables kuhakikisha zinasajiliwa na kupatiwa leseni. GBT...
READ MOREMGOMBEA urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), John Magufuli, amesema dhamira yake ni kuijenga nchi katika uchumi wa kujitegemea, kwa...
READ MOREMGOMBEA urais kwa tiketi ya Chama cha Union for Multiparty Democracy (UMD), Mohamed Mazrui, amesema iwapo atapata ridhaa ya kuongoza...
READ MOREMGOMBEA urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), John Magufuli, amesema kuwa mkoa wa Kagera...
READ MOREMGOMBEA urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), John Magufuli amewaonya wananchi wa Muleba Kusini...
READ MOREMKUU wa Jeshi la Polisi nchini (IGP) Simon Sirro, amesema kuwa licha ya kwamba chanzo cha moto ulioteketeza bweni la...
READ MOREALIYEKUWA Mbunge wa Jimbo la Mpendae Zanzibar kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) ambaye pia alikuwa anatetea kiti...
READ MOREChama cha Sauti ya Umma (SAU) kimezindua Ilani na kampeni zake kwa ajili uchaguzi unaotarajia kufanyika Oktoba 28, mwaka huu,...
READ MOREWAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa ameongoza maziko ya aliyekuwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Hayati Mark Bomani kwa niaba ya Rais Dkt....
READ MOREKATIBU Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Mnyika, amesema chama hicho kimeiandikia barua Tume ya Uchaguzi ya...
READ MOREMAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam, leo Septemba 14, 2020, imeahirisha kesi inayowakabili Tundu Lissu na wenzake...
READ MOREMGOMBEA urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania (CCM), Dkt. John Magufuli amewaponda baadhi ya viongozi na wagombea wanaotoka vyama...
READ MOREMGOMBEA Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania (CCM), Dkt. John Pombe Magufuli amesema kuwa kazi ya urais si nyepesi,...
READ MOREBWENI la wavulana wa Shule ya Msingi Byamungu Islamic English Medium iliyopo Itera, Kyerwa, mkoani Kagera limeteketea kwa moto usiku...
READ MORERais John Magufuli wa Tanzania na Rais Yoweri Museveni wa Uganda leo Septemba 13, 2020 wamesaini makubaliano ya kuanza...
READ MOREWAZIRI Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa ameziagiza hospitali zote za rufaa ambazo zinatoa matibabu ya ugonjwa wa saratani kwa watoto...
READ MOREUNAJUA bifu la msanii Wema Sepetu na Yobnesh Yusuph Hassan ‘Batuli’, lililoteka mitandao ya kijamii mwishoni mwa wiki iliyopita, limetokana...
READ MOREBenki ya NMB imetangaza kudhamini Michuano ya Gofu – Kombe la Mkuu wa Majeshi ‘CDF Trophy Cup 2020’, inayotarajia...
READ MOREKujiua (Suicide) ni mojawapo ya vyanzo vya kifo kwa watu wenye matatizo ya kisaikolojia au matatizo ya akili. Jaribio la...
READ MOREKATIBU wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Humphrey Polepole, amedai kuwa mmoja wa wagombea urais wa Jamhuri...
READ MOREKATIBU wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Ndg. Humphrey Polepole amesema kwa namna ambavyo mgombea wa nafasi...
READ MOREKATIBU wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Humphrey Polepole amesema kwa tafiti walizofanya kutokana na kampeni za...
READ MOREJaji Mstaafu Mark Bomani ambaye alikuwa Mwanasheria Mkuu wa kwanza wa Tanzania amefariki dunia usiku wa kuamkia leo Septemba 11,...
READ MORETume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imekubali rufaa 13 na imewarejesha katika orodha ya wagombea Ubunge wagombea 13 baada ya...
READ MOREKatika njia nyingine ya kuthibitisha kuwa mapenzi ni upofu, Mchekeshaji maarufu nchini Uganda, Godfrey Baguma almaarufu kama ‘Ssebabi’, ambaye hutambulika...
READ MOREBASI la abiria lenye namba ya usajili T.629 CQC Scania lililokuwa likitokea Mbeya kwenda Mwanza limeacha njia na kupinduka kisha...
READ MOREWATU wanane, kati yao watatu wanaokadiriwa kuwa na umri wa miaka 25 mpaka 40, na watoto watano wanaokadiriwa kuwa na...
READ MOREHujafa hujaumbika! Ndivyo unavyoweza kusema baada ya mtoto Rehema Baraka, mwenye umri wa miezi (11) mkazi wa Kibaha mkoani Pwani,...
READ MOREFAMILIA ya mtayarishaji wa muziki wa Bongo Fleva, Paul Matthysse ‘P Funk Majani’, ambao wamempoteza mama yao, Aunt Sheilah, juzi...
READ MOREFRANK Galimoshi (30), mkazi wa kata ya Chala wilayani Nkasi mkoani Rukwa, amefariki dunia usiku wa kuamkia Septemba 3 mwaka...
READ MOREMkazi wa mji mdogo wa Ngaramtoni, wilayani Arumeru mkoani Arusha, Anna Maliaki (30) anashikiliwa na Jeshi la Polisi kwa tuhuma...
READ MORE