×

Kitaifa

Mdee Ana Kesi ya Kujibu Kuhusu ‘Kumfunga Breki’ JPM

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu imemkuta na kesi ya kujibu Mbunge wa Kawe (CHADEMA), Halima Mdee, anayedaiwa kutoa lugha chafu...

READ MORE

TANZIA: Mbunge Mollel Afariki Dunia

ALIYEWAHI kuwa mbunge wa Jimbo la Arumeru Magharibi kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Elisa Mollel, ambae hivi karibuni alitaganza nia...

READ MORE

TAKUKURU Yaanika Lilipofikia Jarada la Kangi Lugola

    TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa Tanzania (TAKUKURU) imeeleza lilipofikia Jarada la tuhuma za aliyekuwa Waziri wa...

READ MORE

KIGOGO Amshika Pabaya Mbunge Mlinga – Video

MBUNGE wa Ulanga (CCM), Goodluck Mlinga, amejikuta katika wakati mgumu baada ya mtu anayejiita KIGOGO katika mitandao ya kijamii kutumia...

READ MORE

TAKUKURU Yaanza Kuichunguza CHADEMA

Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa Tanzania (Takukuru), imeanza kuchunguza tuhuma za matumizi mabaya ya fedha, inazokikabili Chama cha...

READ MORE

UDART Yaagizwa Kurejesha Huduma ya Kama Kawaida

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa( TAMISEMI) Selemani Jafo amemuagiza wakala wa mabasi...

READ MORE

Boti ya Zanzibar 1 Yashindwa Kubeba Abiria Dar

UMATI mkubwa wa abiria Bandari ya Dar es Salaam wameonyesha masikitiko makubwa baada ya boti ya Zanzibar 1 ya Kampuni...

READ MORE

Idris Mahakamani Kutosajili Laini ya Simu – Video

  MSANII wa vichekesho, Idris Sultan, na mwenzake, Innocent Maiga wamefikishwa katika Mahakama ya Kisutu leo Mei 27, 2020, na...

READ MORE

Mavunde: Serikali Haiwezi Kuajiri Kila Mtu – Video

  NAIBU Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi, Vijana na Ajira, Anthony Mavunde, amesema wapo vijana wengi wenye sifa za...

READ MORE

Mwanamke CHADEMA Ajitosa Kupambana na JPM

  Dk. Mayrose Majinge, amekuwa mwanachama wa kwanza wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kutangaza nia ya kuomba ridhaa...

READ MORE

MAOMBI CORONA Yatikisa Nchi Nzima

  WAKATI waumini wa Dini ya Kiislam wakisherehekea Sikukuu ya Idd El Fitr, furaha yao imezidi maradufu baada ya maambukizi...

READ MORE

Balozi wa Marekani Nchini Aitwa na Serikali kujieleza

Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki imemwita Kaimu Balozi wa  Ubalozi wa Marekani hapa nchini, Dk....

READ MORE

Polisi Yaaingilia Sakata la Mwanamke Anayeidaiwa Kufumaniwa na Mume wa Mtu

Jeshi la Polisi mkoani Kilimanjaro limeanza kufanya uchunguzi kuhusu tukio la Vena Mushi kupigwa kwa madai ya kufumaniwa na mume...

READ MORE

Uteuzi Mpya Wizara ya Maji

Waziri wa Maji, Profesa Makame Mbarawa amemteua Mhandisi Tamimu Twaha Katakweba kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi...

READ MORE

Serikali Yafafanua Kuondolewa Balozi wa Tanzania – Kenya

Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki imekanusha taarifa kuwa Balozi wa Tanzania nchini Kenya, Dkt. Pindi...

READ MORE

Ally Keissy: Rais Magufuli Aongoze Miaka 20 – Video

  MBUNGE wa Nkasi (CCM), Ally Kessy amesema kwa jinsi ambavyo Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk John...

READ MORE

Rage: TAKUKURU Wamenikuta Msikitini – Video

MBUNGE wa zamani wa Tabora Mjini (CCM), Ismail Aden Rage amesema ameshtushwa na kitendo cha taarifa kusambazwa kuwa amekamatwa na...

READ MORE

Dar: Watu 7 Wanaodhaniwa Kuwa Majambazi Wauawa

Jeshi la polisi kanda maalum ya Dar es Salaam limewauwa kwa kuwapiga risasi watu saba wanaoshukiwa ni majambazo katika eneo...

READ MORE

Makonda Akagua Ujenzi Stendi ya Mbezi Louis, Atoa Maagizo

Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Paul Makonda amemuelekeza Mkandarasi wa Ujenzi wa Stand mpya ya mabasi ya...

READ MORE

Kibali Chatolewa Kusafirisha Makinikia Nje ya Nchi

  MIAKA mitatu tangu ilipoweka zuio, Serikali ya Tanzania imetoa kibali cha kusafirisha kwenda nje ya nchi makontena 277 yenye...

READ MORE

AngloGold Ashanti Marks Africa Day and Efforts to Fight COVID-19

  AngloGold Ashanti joins over 1.2 billion Africans across the continent and in the diaspora in marking Africa Day at...

READ MORE

Polepole: Uchaguzi wa 2015 Tulichelewa Kuwakata, Mwaka Huu Mapema – Video

KATIBU wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Humphrey Polepole amesema katika Uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2015, chama...

READ MORE

Ummy: “Mashine Moja ya Kupima Corona Ilikuwa na Tatizo” -Video

Serikali imetoa ripoti ya uchunguzi wa Maabara ya Taifa ya Afya ya Jamii iliyoko ofisi za Taasisi ya Taifa ya...

READ MORE

Makonda Amtaka Mkandarasi Kukamilisha Barabara Ya Sinza -Video

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe. Paul Makonda amemtaka Mkandarasi anayejenga Barabara ya Sinza inayoanzia Bamaga hadi Shekilango...

READ MORE

Mwanza: Moto Wateketeza Kisiwa cha Mchangani, Buchosa

  MOTO mkubwa ambao chanzo chake bado hakijafahamika umeibuka usiku wa kuamkia leo Jumamosi, Mei 23, 2020, katika Kisiwa cha...

READ MORE

Watoto wa Khashoggi ‘Wawasamehe’ Waliyomuua Baba Yao

WATOTO wa mwandishi wa habari wa Saudia Jamal Khashoggi, aliyeuawa mnamo mwezi Oktoba 2018 kwenye ubalozi wa Saudi Arabia katika...

READ MORE

Dar na Mwanza Kutumika kwa Ligi Nne Kuanzia Juni 1

Serikali imeruhusu ligi kuu nne kuanza kuchezwa nchini kuanzia Juni 1, 2020 kwa tahadhari zote ili kumpata bingwa wa ligi...

READ MORE

Breaking: Sokombi, Masele Watimka Chadema

#BREAKINGNEWS: Wabunge wa Viti Maalum (CHADEMA), Joyce Sokombi na Sussane Masele wametangaza kukihama chama hicho na kujiunga na Chama cha...

READ MORE

HESLB Yaanza Kufanyia Kazi Maagizo ya Rais Magufuli

  Tunapenda kuwajulisha wanafunzi wanufaika wa mikopo ya elimu ya juu inayotolewa na Serikali kupitia HESLB kuwa, tumeanza kufanya malipo...

READ MORE

Diwani Mdogo Tanzania Afikishwa Mahakamani, Adaiwa Kuomba Rushwa

    DIWANI wa Kata ya Kijichi halmashauri ya Manispaa wa Temeke kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Elias Mtarawanje (29),...

READ MORE

POLEPOLE AWALIPUA MBOWE, ZITTO – Video

KATIBU wa Itikadi na Uenezi wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Humphrey Polepole, amesema amewashangaa viongozi wa upinzani ambao walikuwa wakikosoa...

READ MORE

Ndalichako: Mitihani Kidato cha Sita na Ualimu Itaanza Juni 29

WAZIRI wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Profesa Joyce Ndalichako, amesema mitihani ya kidato cha sita nchini itaanza Juni, 29 na...

READ MORE

Matiko: Ningekuwa Waziri Tusingehangaika na Madawati – Video

  MBUNGE wa Tarime Mjini kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Esther Matiko,  amesema angekuwa Waziri wa...

READ MORE

Mwenyekiti BAVICHA Kortini kwa Tuhuma za Kusambaza Picha za Ngono

  Mwenyekiti wa Baraza la Vijana wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Bavicha), Mkoa wa Kilimanjaro, Lemrus Mchome (30), amefikishwa...

READ MORE

Simba Yatoa Msaada wa Vituo vya Kunawa Mikono Muhimbili

TAASISI ya Mohammed Dewji (Mo Dewji Foundation) na Timu ya Mpira wa Miguu ya Simba wamekabidhi vituo vya kuosha mikono,...

READ MORE

TPF: Tumuunge Mkono Magufuli Vita Dhidi ya Corona

TAASISI ya Amani Tanzania (TPF) imesema ni vema wanasiasa nchini wakaungana na Rais John Magufuli na serikali kwa ujumla, kupambana...

READ MORE

Mume Amwekea Pilipili, Aziba na Gundi Nyeti za Mkewe – Video

POLISI katika Kaunti ya Taraka Nithi nchini kenya, wanamshikilia mwanaume mmoja aliyejulikana kwa jina la James Muriuki, kwa tuhuma za...

READ MORE

JPM: Msipokee Misaada ya Corona Hovyo, vya Dezo Vinaua – Video

RAIS  John  Magufuli amewataka wadau, taasisi, mashirika na watu wote wanaotoa misaada kwa ajili ya kujikinga na janga la corona...

READ MORE

Mbunge Peneza: Kwani Mume Wangu Anaenda Bungeni? – Video

  MBUNGE wa Viti Maalum, Geita, Upendo Peneza (Chadema) amesema kuwa wanaohoji iwapo ameolewa ama la,  hawana haja ya kufanya...

READ MORE

RC Gambo: Kenya Inatumia Corona Kuua Utalii Tanzania

  MKUU wa Mkoa wa Arusha, Mrisho Gambo amesema kuwa mamlaka nchini Kenya zimekuwa zikitangaza kuwa madereva wa Tanzania wanaotaka...

READ MORE