×

Kitaifa

Wagonjwa wa Corona Walazimisha Kuondoka Amana Hospital

MKUU wa Wilaya ya Ilala, Sophia Mjema, amethibitisha kuwa kuna baadhi ya wagonjwa walioathirika wa virusi vya Corona waliokuwa kwenye...

READ MORE

Rais Madagascar Adai Kugundua Dawa Tiba ya Corona

WAKATI wanasayansi duniani kote wakihangaika kupata chanjo na tiba ya virusi vya corona, Rais wa Madagascar, Andry Rajoelina amezindua dawa...

READ MORE

#CoronaVirus: Watanzania Wawili Watupwa Baharini

WATANZANIA wawili ambao majina yao ni Amiri Salamu (20) na Hassani Rajabu (30) walitoswa baharini na Wachina wakiwa wamepewa ‘life...

READ MORE

Utajiri wa Mama Rwakatare Ngoma Nzito!

  KIFO cha ghafla cha Mchungaji Kiongozi, Askofu Dk Getrude Rwakatare ‘Mama Rwakatare’ wa Makanisa ya Mlima wa Moto (Assemblies...

READ MORE

NMB MastaBoda Yafika Kileleni, Watano Washinda Pikipiki    

Washindi wakionyesha kadi za pikipiki baada ya kukabidhiwa.   Benki ya NMB imehitimisha kampeni yake ya Mastaboda, kwa kuwazawadia waendesha...

READ MORE

JPM: Dawa Zilizopulizwa Dar ni Upuuzi, Hakuna Lockdown DSM – Video

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli amezungumza na Viongozi wa Vyombo vya Ulinzi na...

READ MORE

Wasomaji Jet Lumo na Machimbo Walikubali Betika

  Ikiwa ni Jumatano ya Aprili 22, 2020, timu ya maofisa masoko ya Global Publishershers imeendelea na kulisambaza gazeti la...

READ MORE

Sukari Ipo ya Kutosha, Atakayepandisha Bei Ashughulikiwe – Video

WAZIRI Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa, amesema hakuna haja ya kupandisha bei ya sukari kutokana na...

READ MORE

Wagonjwa Wapya 30 Wathibitishwa Tanzania, Jumla Wafikia 284

WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa amesema, hadi Aprili 21, 2020 jumla ya wagonjwa 284 wamethibitika kuwa na #COVID19; Wagonjwa 256 wanaendelea...

READ MORE

Rais JPM Afanya Uteuzi Mpya Akiwa Chato

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli amemteua Prof. Mabula Daudi Mchembe kuwa Katibu Mkuu wa...

READ MORE

LIVE: Maombi ya Kitaifa Dhidi ya Janga la Corona

WAZIRI Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa, leo Aprili 22, 2020, anaongoza Taifa zima katika maombi maalum...

READ MORE

Maisha ya Mama Rwakatare, Kuzaliwa Mpaka Kifo – Video

Hii ni makala fupi inayomuelezea Mwanamke Shujaa ambaye alfajiri ya juzi aliaga dunia, Mchungaji Dkt. Getrude Rwakatare, aliyekuwa Askofu wa...

READ MORE

Mbosso: Sioi Leo Wala Kesho!

KWENYE playlist yako ya wakali wa Bongo Fleva, huwezi kuacha jina la dogo anayetumikia Lebo ya Wasafi Classic Baby (WCB)...

READ MORE

Vilio vya Maombi ya Corona Vyatawala

SIKU tatu za maombi maalum kwa ajili ya kudhibiti Virusi vya Corona, zimetimia juzi huku vilio kutoka kwa waumini na...

READ MORE

Corona: Maombi na Sala Zetu Yaambatane na Vitendo – Shigongo

NAOMBA nikiri wazi kwamba mimi ni Mkristo, nimeokoka na ninampenda Yesu ambaye siku zote amekuwa mwanga na kiongozi wa maisha...

READ MORE

Spika: Mchungaji Rwakatare Kuzikwa na Watu 10 – Video

UONGOZI wa Bunge kupitia Spika Job Ndugai umethibitisha maziko ya aliyekuwa Mbunge wa Viti Maalum, Mchungaji Getrude Rwakatare, kusimamiwa na...

READ MORE

Droo ya Pili ya Baba Lao, Washindi 6 Wajazwa Mkwanja

DROO ya pili ya bahati nasibu ya Jishindie Gari na Championi na Spoti Xtra (maarufu kama promosheni ya Baba Lao...

READ MORE

Kinara wa Usafirishaji Wahamiaji Haramu Anaswa Mbeya

IDARA ya Uhamiaji Mkoa wa Mbeya Imefanikiwa Kumkamata mtuhumiwa wa usafirishaji wa wahamiaji haramu Bwana Paul Edward Kawilo, alimaarufu Mwakaniemba...

READ MORE

Takukuru Siha Kuwafikisha Mahakamani Watendaji Waliokwamisha Miradi Ya Serikali

  Taasisi ya kuzuia na kupambana na Rushwa (TAKUKURU) wilayani Siha Mkoani Kilimanjaro imeanza uchunguzi wa manunuzi hewa ya vifaa...

READ MORE

Huyu Ndiye Mwanamke wa Kwanza Kugundua Corona 1964

JUNE Almeida ndiye mwanamke aliyegundua kwa mara ya kwanza virusi vya corona kwenye mwili wa binadamu.  Alikuwa binti wa dereva...

READ MORE

Waziri Mkuu Kuongoza Maombi Kitaifa Dhidi ya Corona

WAZIRI Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa,  kesho Aprili 22, 2020,  anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika maombi...

READ MORE

TLS Yatoa Tamko Juu ya Mbinu za Kupambana na Ugonjwa wa Corona

Mnamo tarehe 16 Machi 2020, Serikali ya Jamhuri ya Muungano ya Tanzania, kupitia kwa Waziri wa Afya, Jinsia na Watoto,...

READ MORE

Abood Lagongana na Lori la Mafuta, Lateketea, Mmoja Afariki – Video

Mtu mmoja amefariki dunia usiku wa kuamkia jana leo usiku Aprili 20, 2020,  baada ya Basi la Kampuni ya Abood...

READ MORE

Sanlam Yachangia TZS 172,500,000 Kuunga Mkono Mapambano Dhidi ya Ugonjwa wa COVID-19 

    WAKATI maambukizi ya virusi vya Corona Tanzania yakiongezeka, Sanlam Life Insurance na Sanlam General Insurance ambayo ni makampuni...

READ MORE

BREAKING: Wagonjwa wa Corona Tanzania Wafika 254

Wizara Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto imesema licha ya uwepo wa wagonjwa wapya 84 wa corona na...

READ MORE

Bunge, CCM, ACT Wazalendo Wamlilia Mama Rwakatare

Spika wa Bunge la Tanzania Job Ndugai amesema amepokea kwa mshtuko na masikitiko makubwa taarifa za kifo cha Mbunge wa...

READ MORE

Mwandishi Afungiwa kwa Kusambaza Taarifa za Mgonjwa wa Corona

Idara ya Habari (MAELEZO) Zanzibar imemsimamisha kufanya kazi za uandishi Mwandishi wa Habari wa Gazeti la Tanzania Daima, Talib Ussi...

READ MORE

Mbunge Tanzania Aambukizwa Corona – Video

Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Tulia Ackson amesema kuwa mmoja wa Wabunge wa Bunge hilo,...

READ MORE

Rais JPM Amlilia Mama Rwakatare

Rais Dkt. John Magufuli ametuma salamu za rambirambi kwa Wanafamilia, Wabunge na Waumini wa Kanisa la Mlima wa Moto (Mikocheni...

READ MORE

Pierre Liquid Aambukizwa Corona, Alazwa Amana

MCHEKESHAJI Peter Mollel maarufu kama Pierre Liquid,  amebainika kuwa na maambukizi ya #COVID19 na sasa yupo Hospitali ya Amana akiendelea...

READ MORE

Corona: Miili ya Waafrika Itatapakaa Mitaani – Melinda Gates

MELINDA GATES, mke wa bilionea Bill Gates wa Marekani, ameonya kwamba iwapo dunia haitachukua hatua  za haraka za kukabiliana na...

READ MORE

Kahama: Wawili Wauawa Wakituhumiwa Kuwa ni Wezi

WANAUME wawili ambao hawajafahamika majina wala Makazi wenye umri kati ya 20 – 25 wanaodhaniwa ni wezi wilayani Kahama mkoani...

READ MORE

Tanzia: Mama Rwakatare Afariki Dunia

MCHUNGAJI wa Kanisa la Mlima wa Moto, Askofu Gertrude Rwakatare,  amefariki dunia alfajiri ya leo ya Aprili 20, 2020, akiwa...

READ MORE

Amuua Mkewe Baada ya Kumfumania na Njemba Ndani Kwake

  Peshi la Polisi  mkoa wa Mwanza linamshikilia mwanaume mmoja aliyefahamika kwa jina la Pastory Majura mwenye umri wa miaka...

READ MORE

Watumishi Wawili wa TPA Wafariki kwa Kutumbukia Baharini

Watumishi watatu wa Mamlaka ya Bandari Tanzania wamefariki juzi usiku baada ya gari waliyokuwa wakitumia kwenye doria kuacha njia na...

READ MORE

Muhimbili Yafafanua Muuguzi Anayedaiwa Kufa kwa Corona

  Kuna taarifa inasambaa katika mitandao ya kijamii kuwa Evodia Kapinga amefariki dunia kutokana na ugonjwa wa Corona na kwamba...

READ MORE

Ma-Video Queen Wamechomoa Betri Mapenzi ya Watu!

WIVU ni kidonda na ukiushiriki utakonda, ni msemo wa Waswahili ulio na maana kubwa! Hivi karibuni baadhi ya wapenzi wa...

READ MORE

Serikali Yazindua Muongozo wa Mpango wa Huduma za Afya katika jamii

    Serikali ya awamu ya Tano imesema kuwa itaendelea kutoa kipaumbele katika kuimarisha huduma za kinga, ikiwemo elimu ya...

READ MORE

Corona Tanzania: 127 Wapata Nafuu, Walioambukizwa 147 – Video

WAKATI idadi ya wagonjwa walioambukizwa virusi vya corona imefi kia 147 nchini kote, habari njema ni kwamba 127 kati yao...

READ MORE