×

Kitaifa

Aliyeiba Watoto Asema “Nilipewa na Kunguru” – Video

Baada ya mwishoni mwa mwaka jana kunaswa kwa wizi wa watoto wawili Jijini Mbeya. Hawa Ally (40) Mkazi wa Tegeta...

READ MORE

Tanzia: Nizar Khafan Afiwa na Mkewe

Mchezaji wa Rhino Rangers ya Tabora Nizar Khalfan amefiwa na mke wake (Pichani) jana Jumapili, Februari 9, 2020, mchana jijini...

READ MORE

Breaking: Hatimaye Sumaye Arejea CCM

WAZIRI Mkuu Mstaafu, Frederick Sumaye,  leo Februari. 10, 2020, ametangaza kurudi katika Chama Cha Mapinduzi (CCM). Desemba 4, 2019, Sumaye...

READ MORE

Tanzania Yalia na Mzigo wa Wakimbizi

TANZANIA imetaka Umoja wa Afrika na Jumuiya za Kimataifa kuongeza jitihada na nguvu katika kuleta amani katika maeneo yenye migogoro...

READ MORE

Serikali Yatoa Tamko Nzige Kuvamia Nchini

WAZIRI wa Kilimo, Japhet N. Hasunga (Mb) jana Jumapili anawafahamisha wakulima na wananchi kwa ujumla kuwa taarifa zinazoenea kwenye baadhi...

READ MORE

Mwamposa Asitisha Mafuta ya Upako

KIONGOZI wa Kanisa la Inuka Uangaze, Nabii na Mtume Boniface Mwamposa amesema kwa sasa amesitisha makongamano yote kutokana na tukio...

READ MORE

NMB Yaahidi Kushirikiana na Serikali za Mitaa Kuleta Maendeleo

    Benki ya NMB inayoongoza kwa faida kubwa nchini, imeahidi kutumia bidhaa na huduma zake kuzisaidia serikali za mitaa...

READ MORE

NBC Yssaidia Waathirika Wa Mafuriko Lindi

  BENKI ya Taifa ya Biashara (NBC) imetoa misaada mbalimbali kwa waathirika wa mafuriko ya yaliyotokea mkoani Lindi Januari 27...

READ MORE

Mkurugenzi Mtendaji TPSF Atangaza Kujiuzulu

Mkurugenzi mtendaji wa Taasisi ya Sekta Binafsi Tanzania (TPSF), Godfrey Simbeye ametangaza kujiuzulu kuanzia Machi 31, 2020 baada ya kuitumikia...

READ MORE

Mr. Championi Awarudishia Wasomaji Pesa Zao Dar

Ikiwa sasa ni Takribani wiki ya tatu tangu Gazeti namba moja Tanzania la Michezo la Championi kuingia na kutoa fursa...

READ MORE

Rais JPM Atunuku Kamisheni Kwa Maafisa Wanafunzi 128 wa JWTZ

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, Dkt. John Pombe Magufuli akitunuku Kamisheni kwa Maafisa Wanafunzi...

READ MORE

Rais JPM Amwapisha Kanali Ibuge Kuwa Katibu Mkuu Mambo ya Nje

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimuapisha Balozi Kanali Wilbert Augustine Ibuge kuwa Katibu Mkuu...

READ MORE

Mama Amzika Mwanaye Porini, Akamatwa

KISA hiki cha mwanamke mmoja aliyefahamika kwa jina la Anna Nguvila (22), mkazi wa Kitongoji cha Isoko Kijiji cha Igundu...

READ MORE

Waziri Mkuu Atoa Tamko Kuhusu Usajili wa Laini za Simu – Video

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema hadi kufikia Februari 2, mwaka huu laini za simu milioni 31.4 kati ya laini za...

READ MORE

Aliyechana Quran Hadharani Anaswa, Jafo Aagiza Asimamishwe Kazi – Video

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tamisemi, Selemani Jafo amemuagiza mkurugenzi mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Kilosa mkoani Morogoro...

READ MORE

Serikali Yatoa Kauli, Usajili wa Samatta na ‘Mbappe’ – Video

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amempongeza nahodha wa timu ya Taifa, Mbwana Samatta kwa kuweka historia ya kuwa Mtanzania wa kwanza...

READ MORE

Marekani Yamuua Kiongozi wa Al-Qaeda kwa Shambulio

Marekani imemuua kiongozi wa Al-Qaeda katika eneo la Rasi ya uarabuni, Rais Donald Trump ameeleza.   Qasim al-Raymi aliyeongoza kikundi...

READ MORE

Basi la Premier Line Lagongana na Lori

Basi la kampuni ya Premier Line linalofanya safari zake kati ya Mwanza na Mbeya limegongana uso kwa na lori lenye...

READ MORE

Jafo Awapiga Marufuku Ma-RC, Ma-DC Kutoka Nje ya Vituo vya Kazi -Video

Waziri wa TAMISEMI, Seleman Jafo  leo Feb 7, 2020 amepiga marufuku wakuu wa mikoa, wilaya, makatibu tawala wa mikoa na...

READ MORE

Waziri Kairuki Kuwaongoza Watanzania Kwenda Indonesia,Thailand Na Singapore

  Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC) kwa kushirikiana na Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki na...

READ MORE

Zitto Ahofia Kurudi Tanzania Kutokana Na Vitisho Alivyovipata

Zitto Kabwe ahofia kukamatwa, kufunguliwa mashtaka na kufungwa pindi atakaporejea nchini. hiyo inatokana na kile alichokiita mfululizo wa vitisho vilivyotolewa...

READ MORE

Virusi vya Corona Vyamuua Daktari Aliyevibaini

  DAKTARI mmoja nchini China aliyejaribu kutoa taarifa ya kwanza ya kuwapo mlipuko wa virusi vya Corona amekufa kutokana na...

READ MORE

Afariki Akizungumza naSimu Kwenye Chaji

Vumilia Kitang’enyi (19), mkazi wa Serengeti amekufa wakati akizungumza na simu aliyokuwa ameichomeka kwenye chaji, Jumatano Februari 5, 2020.  ...

READ MORE

Meneja Akutwa Amejiua Gesti, Kisa Tsh milioni 889

ALIYEKUWA Meneja wa Ngara Farmers, Humphrey Kachecheba ajiua kutokana na msongo wa mawazo baada ya upotevu wa Tsh milioni 889....

READ MORE

Mstaafu Anyang’anywa Begi Likiwa na Mamilioni ya Mafao Yake

Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) mkoani Katavi imefanikiwa kurejesha kiasi cha shilingi milioni 29 za mafao ya...

READ MORE

Serikali Kuboresha Mradi Wa Umwagiliaji Kijiji Cha Nyinda-Waziri Mgumba

  Naibu Waziri wa Kilimo Mhe Omary Mgumba (Mb) ameyasema hayo Bungeni tarehe 6 Februari 2020 Jijini Dodoma wakati akijibu...

READ MORE

Breaking: Membe Awasili Dodoma Kuhojiwa na CCM – Video

WAZIRI wa zamani wa Mambo ya Nje, Bernard Membe,  leo asubuhi Alhamisi Februari 6, 2020, amewasili katika ofisi za makao...

READ MORE

Baba Anayedaiwa Kuua Mwanaye Auze Viungo… Mazito Yaibuka

SIMULIZI ya kusikitisha inayohusu mauaji ya mtoto Aminata Katunzi (7), aliyekutwa amekufa Januari 24, mwaka huu, eneo la Mpiji Majohe,...

READ MORE

NMB Kuunga Mkono Juhudi za Serikali

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa(TAMISEMI)  Mhe. Selemani Jafo akisalimiana na Mkuu wa...

READ MORE

Breaking: Moto Mkubwa Unateketeza Nyumba Kigamboni – Video

Taarifa zilizotufikia hivi punde ni kwamba moto mkubwa ambao chanzo chake hakijafahamika umezuka ghafla na kuteketeza nyumba maeneo ya Kigamboni...

READ MORE

Kabudi: Uhusiano wa TZ na Benki ya Dunia ni Imara, Puuzeni ya Mitandaoni

Benki ya Dunia imesema mahusiano na baina ya Serikali ya Tanzania na benki hiyo ni imara na kuihakikishia Tanzania ushirikiano...

READ MORE

Rais Magufuli Amwaga Mil 600 kwa Halima Mdee – Video

  Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Paul Makonda leo February 05  amethibitisha kupokea kiasi cha Shilingi Milioni...

READ MORE

Hakimu Ataka Serikali Ikamilishe Upelelezi Kesi ya Magoti

UPANDE wa mashitaka umetakiwa kukamilisha upelelezi wa kesi ya utakatishaji fedha wa zaidi ya Sh. mil.  10 inayowakabili Afisa wa...

READ MORE

Vigogo 6 wa Lugola Wafika TAKUKURU na Laptops Walizopewa Ulaya

WALIOKUWA wajumbe wa kamati ya utekelezaji wa makubaliano yaliyosainiwa Agosti 22, 2019, kati ya Jeshi la Zimamoto na Uokoaji na...

READ MORE

Betika Latua kwa Wafanyabiashara Kinyerezi, Tabata Segerea

MAPEMA leo Jumatano, Februari 5, 2020, timu ya maofisa masoko ya Global Publishers imetembelea maeneo ya Kinyerezi, Tabata Segerea ambapo...

READ MORE

Makocha Wageni Wabanwa Bungeni

SERIKALI imezitaka timu zote za mpira zinazoajiri makocha na wachezaji kutoka nje ya nchi kutoa taarifa kwa Mamlaka ya Mapato...

READ MORE

Mafurikio Hanang, Hali ni Tete!

KAYA 91 katika kijiji cha Bassotu wilayani Hanang mkoa wa Manyara zimezingirwa na maji hali iliyosababisha wayahame makazi yao baada...

READ MORE

Waliomteka Mo Hakimu Aibua Jipya Mahakamani

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu imetaka kesi ya uhujumu uchumi inayomkabili dereva tksi, Mousa Twaleb, kuendelea bila washtakiwa wengine ambao...

READ MORE