×

Kitaifa

Kipindi Kinachogusa Hisia za Jamii Chazinduliwa Global TV

  TELEVISHENI bora ya mtandaoni, Global TV Online imezindua rasmi Kipindi cha Global Jamii, ambacho ni maalum kwa ajili ya...

READ MORE

Wasiojulikana Watokomea na Mashine za NIDA – Video

IKIWA zimesalia siku 14 tu ili kuzima siku wa wale ambao hawajasajili laini zao za simu kwa mfumo wa alama...

READ MORE

Mzungu Simba Awapa Makavu Nyota Wake

SVEN Vanderbroeck amesema kuwa wachezaji wake walicheza chini ya kiwango kipindi cha pili jambo lililofanya kuruhusu kufungwa mabao mawili kipindi...

READ MORE

Mtoto Miaka 11 Adaiwa Kumuua Baba’ake Kisa Kudokoa Mboga

DAR: Ni simanzi Mwaka Mpya 2020! Baba aliyetamani kuuona Mwaka Mpya ambaye ni mkazi wa Goba- Oysterbay jijini Dar, Durban...

READ MORE

Kijana wa Nyerere, Mbabe wa Idd Amin Atimiza Miaka 100

MKUU wa Majeshi mstaafu nchini Tanzania, Jenerali David Musuguri maarufu ‘Chakaza’ au Mtukula,  ametimiza umri wa karne moja (miaka 100)...

READ MORE

Mama Kabendera Kuzikwa Hapa Jumatatu

MWILI wa marehemu Verdiana Mujwahuzi, mama mzazi wa Erick Kabendera, utawasili Bukoba leo tayari kwa maziko yatakayofanyika kijiji cha Kashenge....

READ MORE

Bavicha Wajilipua, “Hakuna Ajira, Wanachukua Elfu 20” – Video

Baraza la Vijana wa Chadema (BAVICHA) wanazungumza na Umma kupitia waandishi wa habari kuhusu mambo mbalimbali yaliyotokea nchini. Moja ya...

READ MORE

Taarifa Muhimu Kutoka IKULU

Rais Magufuli ametoa wito kwa Watanzania wengi zaidi kujitokeza kufuga wanyamapori kupitia bustani za wanyama (Zoo) ili kuongeza idadi ya...

READ MORE

Inasikitisha! Ujumbe wa Kabendera Uliosomwa Msiba wa Mama Yake

MWANDISHI wa habari nchini, Erick Kabendera,  amewashukuru Watanzania kwa kuuungana na familia yake kuomboleza kifo cha mama yake mzazi Verdiana...

READ MORE

RPC Atangaza Msako wa Wanaotaka Kujinyonga 2020

BAADA ya kupokea taarifa ya Watu wawili kujinyonga mpaka kupoteza maisha Tabora, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tabora, Barnabas Mwakalukwa...

READ MORE

Mtatiro Apiga Marufuku Sherehe za Darasa la Saba

MKUU wa Wilaya ya Tunduru, Julius Mtatiro, amepiga marufuku sherehe za wanafunzi wanaohitimu darasa la saba, zinazofanywa na wazazi nyumbani,...

READ MORE

Atolewa Utumbo kwa Kuhoji Matumizi ya Tsh. 10,000 Aliyoacha

BENEDICTOR Gogogo (48) mkazi wa Kijiji Cha Itabagumba Wilaya ya Sengerema mkoani Mwanza nchini Tanzania amenusurika kifo kwa kuchanwa tumbo...

READ MORE

Swissport Yasisitiza Ushirikiano na ATCL

  KAMPUNI ya kuhudumia mashirika ya ndege, abiria na mizigo katika viwanja vya ndege ya Swissport imesema kuwa kuanza sasa...

READ MORE

Makamanda Walioongoza Vita ya Kagera

MWAKA 1978 jeshi letu lilipigana vita na Nduli Iddi Amini wa Uganda na lilikuwa na mameja jenerali wawili tu, Meja...

READ MORE

Mahakama Yamkatalia Kabendera Kumzika Mama Yake – Video

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam, imekataa ombi la upande wa utetezi la kutaka mtuhumiwa Erick Kabendera,...

READ MORE

Mbeya: Jeneza Latelekezwa Sokoni, Mbele ya Duka – Video

WANANCHI wa eneo la Soko la Soweto wameuanza mwaka kwa taharuki ya aina yake baada ya kuamka asubuhi siku ya...

READ MORE

Askari Polisi Akatwa Nyeti na Mkewe kwa Madai ya Kuchepuka

JESHI la Polisi mkoani Shinyanga linamshikilia mwanamke Frola Adamu (23), mkazi wa Shinyanga mjini, kwa tuhuma za kumkata mume wake...

READ MORE

Serikali Yapiga Marufuku Mawakili Nje ya Ofisi za NIDA

NAIBU Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni,  amepiga marufuku watu wanaojiita mawakili na kuwatoza wananchi kiasi...

READ MORE

Nyumba ya Shehe Yavunjwa, Yazua Balaa – Video

  MZEE Sharif Mohammed (75), mkazi wa Vingunguti-Kwamnyamani jijini Dar, ameibua balaa la aina yake kwenye nyumba inayodaiwa ni ya...

READ MORE

Afariki kwa Kupigwa na Radi Akichuma Maembe

  MWANAMKE mmoja mkazi wa Kata ya Ng’ambo Manispaa ya Tabora, Rehema Simende amefariki dunia kwa kupigwa na radi wakati...

READ MORE

Betika Lafungua Mwaka Mpya 2020 Buguruni

MAPEMA leo Jumatano, Januari Mosi, 2020 (siku ya mwaka mpya) timu ya maofisa masoko ya Global Publishers imetembelea maeneo ya...

READ MORE

Rais Magufuli Awatakia Watanzania Heri ya Mwaka Mpya 2020

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli amewatakia Watanzania wote heri ya Mwaka mpya wa...

READ MORE

Sherehe ya Ndoa: Bw., Bi Harusi Watua na Helikopta Ukumbini

JAMAA mmoja aliyefahamika kwa jina la William Moye mkazi wa Moshi mkoani Kilimanjaro ameweka rekodi ya aina yake baada ya...

READ MORE

Mjamzito Feki Aiba Kichanga, Anusa Kifo

HIKI ni kisa na mkasa! Mama mmoja, mkazi wa Kitongoji cha Mwanzugi wilayani Igunga Mkoa wa Tabora aliyejifanya mjamzito, Shija...

READ MORE

Wamevipiga Vita na Mwendo Wameumaliza 2019

KIFO ni haki yetu licha ya kwamba hakizoeleki, kisikie tu kwa mwenzako, siku kikifika kwako hupati picha kutokana na kwamba...

READ MORE

Kampuni ya Azania Yaendelea Kumwaga Zawadi za Sikukuu

RAHA ya sikukuu upate zawadi! Hiyo ndiyo sababu iliyofanya Kampuni ya Azania, watengenezaji wa sabuni za King Limau na Marhaba...

READ MORE

Kigwangalla: ‘Mind Your Own Business’

Baada ya Rais John Magufuli kuagiza Waziri wa Maliasili na Utalii, Dkt. Hamisi Kigwangalla pamoja na Katibu Mkuu wa Wizara...

READ MORE

Mbaroni kwa Kumuua Mfanyabiashara na Kumtupa Chooni

Polisi Mkoani Singida wanawashikilia Bashiri Hamisi, Hamisi Salumu na Hamida Hamisi wakazi wa Kijiji cha Irisya Wilayani Ikungi, Singida kwa...

READ MORE

JPM Atishia Kuwatumbua Kigwangalla na Katibu Mkuu Wake

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt John Pombe Magufuli ametoa siku tano kwa Waziri wa Maliasili na Utalii...

READ MORE

Dkt. Mpango Aanika Hali ya Uchumi, Utekelezaji wa Bajeti – Video

WAZIRI wa Fedha na Mipango Dkt. Philip Mpango amesema ongezeko la deni limetokana na mambo mawili,  kwanza ni riba ya...

READ MORE

Video: Zitto Aibua Mazito ‘Wametekwa, Wamepigwa, Wamepata Ulemavu’

  KIONGOZI wa chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe,  amelaani vitendo vya utekaji na kuwatesa baadhi wananchi akidai kuwa ni...

READ MORE

Mkesha Maalum na wa Kipekee wa Kufunga Mwaka 2019

  Shalom Tanzania! Kwa mara nyingine tena, Kanisa la Christ Mandate and Power Ministries International linawaletea ibada ya mkesha wa...

READ MORE

Mbaroni kwa Kunaswa na Sare za Jeshi, Bangi na Gongo

Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya linawashikilia watuhumiwa kumi na mbili [12] kutokana na tuhuma za kupatikana na dawa za...

READ MORE

Boti Yazama, 50 Wanusurika Kifo

ABIRIA zaidi ya 50 wamenusurika kufa baada ya boti yao iliyokuwa ikisafiri kutoka Kilindoni – Mafia kwenda Nyamisati – Kibiti...

READ MORE

Ofisa Habari, Dereva wa Mnyika Wakamatwa Mwanza – Video

KAMANDA wa Polisi Mkoa wa Mwanza ACP.Muliro Jumanne amekanusha taarifa zilizokuwa zinasambaa katika mitandao ya kijamii zikieleza kuwa kuna wanachama...

READ MORE

Bashiru Asema ‘Kazi na Bata’ ni Kudhalilisha Wanawake

  KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Bashiru Ally, amewataka wananchi kupuuza kauli ya kufanya kazi na kula bata...

READ MORE

Anaswa na Dawa za Ukimwi Akisema Alitaka Kuwapa Ng’ombe

  POLISI wilayani Igunga mkoani Tabora wanamshikilia mfamasia wa Hospitali ya Wilaya hiyo, Francis Mlesa (33), kwa tuhuma za kuiba...

READ MORE

Faru Vicky Atangazwa Kuwa Mrithi wa faru Fausta

KUFUATIA kifo cha Faru Fausta ambaye alikuwa Faru mwenye umri mkubwa zaidi Duniani wa miaka 57, Mamlaka ya Hifadhi ya...

READ MORE

6 Wafariki Lori na Basi Yakigongana Dodoma – Video

WATU sita wamefariki dunia na wengine 12 kujeruhiwa baada ya lori na basi dogo la abiria kugongana jana Jumapili, majira...

READ MORE