×

Kitaifa

IGP Camillus Wambura Afungukia Tukio la Mauaji ya Wakulima, Wafugaji

  Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini, Camillus Wambura amezungumzia tukio la mauaji yaliyotokea katika kijiji cha Ikwambi mkoani Morogoro...

READ MORE

Uvccm Sengerema Wavuna Wanachama 50  Vyuo vya Ufundi

Sengerema. Umoja wa Vijana wa chama Cha mapinduzi CCM wilaya ya Sengerema  imevuna wanachama 50 kutoka chuo cha maendeleo ya...

READ MORE

Waziri Mkuu Aenda Korea Kusini Kwa Ziara ya Kikazi

  WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ameondoka nchini leo (Jumapili, Oktoba 23, 2022) kwenda Seoul, Jamhuri ya Korea kwa ziara ya...

READ MORE

Mahafali ya Shule ya Sekondari Brilliant Yafaana Dar!

MBUNGE wa Viti Maalum, (CCM), Dk. Thea Ntara, ameipongeza shule ya Brilliant kwa kutopandisha ada kwa miaka mine mfululizo na...

READ MORE

DCB Yajidhatiti Kutoa Huduma Bora za Kibenki Kwa Njia za Kidigitali

Mkurugenzi wa Uendeshaji wa Benki ya Biashara ya DCB, Nelson Swai ametoa mada kuhusu masuala ya fedha zinazovuka mipaka Kidigitali...

READ MORE

Rais Samia Apokea Ripoti ya Kikosi Kazi Kuhusu Uratibu Maoni ya Wadau Vyama Vya Siasa -Video

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan leo Oktoba 21, 2022 amepokea Ripoti ya Kikosi Kazi cha...

READ MORE

Vyuo Vikuu Nchini Vyatakiwa Kufanya Tafiti Ya Elimu ya Juu Itakidhi Matakwa ya Jamii

  Vyuo Vikuu nchini vimetakiwa kufanya tafiti, zikiwemo tafiti kuhusu namna ambavyo elimu ya juu itakidhi matakwa ya sasa ya...

READ MORE

Aliyemuua Mkatisha Tiketi za Mabasi Ahukumiwa kunyongwa hadi Kufa

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu, imemhukumu kunyongwa hadi kufa mshitakiwa Hemed Ally baada ya kupatikana na hatia ya kumuua, Farhani...

READ MORE

Kampasi ya Chuo Kikuu Cha Afya Muhimbili Kujengwa Kigoma: Waziri Mkenda

Serikali kupitia Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili (MUHAS) ina mpango wa kuanzisha kampasi ya MUHAS mkoani Kigoma....

READ MORE

Wafanyakazi wa NMB Wapeperusha Bendera Mlima Kilimanjaro!

Wafanyakazi wa Benki ya NMB pamoja na wasindikizaji wa wenzao waliopanda Mlima Kilimanjaro, wakiwashangilia wenzao waliopanda na kushuka Mlima huo...

READ MORE

Wanachama 15 NMB Business Club Wapaa Uturuki

Wafanyabiashara 15 Wanachama wa Klabu za Biashara za Benki ya NMB (NMB Business Club), wameagwa jijini Dar es Salaam leo...

READ MORE

Chuo Kikuu Cha UDSM Kujengwa Kagera, Waziri wa Elimu Azungumza

  Katika kuboresha huduma za upatikanaji wa elimu kwa wanafunzi nchini Serikali imepanga kujenga Kampasi ya Chuo Kikuu cha Dar...

READ MORE

Bima ya Afya Kwa Wote Kuboresha Huduma za Afya

Kamishna wa Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Bima (TIRA) Dkt. Baghayo Saqware akielezea namna ambavyo Taasisi hiyo ilivyojipanga katika...

READ MORE

OSHA, Idara ya Usalama na Afya ZNZ Kushirikiana Kulinda Nguvu Kazi Nchini

Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Kazi,Uchumi na Uwekezaji Zanzibar , Dkt Islam Seif Salimu ameipongeza OSHA kwa hatua kubwa inazoendelea...

READ MORE

Nmb Yazindua Kampeni Maalum Kufanikisha Msimu Mpya wa Korosho

  Msimu wa mwaka huu wa korosho unaanza rasmi tarehe 14 Oktoba 2022 ukilenga uzalishaji wa tani 400,000 za zao hilo lengo ambalo Benki ya NMB imesema iko...

READ MORE

Wateja wa Halotel Kujipatia Zawadi Kem kem kupitia Kuongeza Salio

  Kampuni ya Mawasiliano ya Halotel Tanzania yasherehekea miaka 7 ya huduma kwa kuendelea kuwahakikishia wateja ubora na kasi ya...

READ MORE

Waziri Mkenda Akerwa Kusuasua Ujenzi VETA Simiyu, Atoa Maagizo haraka

Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Mhe Prof Adolf Mkenda (Mb) amekerwa na kusuasua kwa ujenzi wa chuo cha ufundi...

READ MORE

Bodi ya Taifa ya Wahasibu, Wakaguzi wa Hesabu Kusherehekea Siku ya Uhasibu Duniani Novemba 10

  BODI ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu (NBAA),  imeandaa maonesho ya huduma za kihasibu ikiwa sehemu ya...

READ MORE

Ujenzi Chuo Cha Ufundi VETA Kugharimu Zaidi ya Bil 5, Waziri wa Elimu Aeleza

Serikali inakamilisha ujenzi wa Chuo cha Ufundi na Mafunzo ya Ufundi Stadi (VET) cha Mkoa wa Simiyu ambacho kinajengwa kwa...

READ MORE

DCB Yaendelea Kung’ara Ikiadhimisha Wiki ya Huduma kwa Wateja

Benki ya Biashara ya DCB imeendelea kung’ara wakati ikiadhimisha Wiki ya Huduma kwa Wateja kwa mwaka huu huku ikianisha baadhi...

READ MORE

Serikali Yatumia Bil 1 Kukarabati Chuo Cha Ualimu Butimba Mwanza

Serikali imetumia Shilingi Bilioni 1 kwa ajili ya kukarabati na kuongeza miundombinu ya elimu ya Chuo cha Ualimu Butimba kilichopo...

READ MORE

Waziri Mkenda Ataka Chuo Cha DIT Kuongeza Mafunzo

    Serikali imeitaka Taasisi ya Teknolojia ya Dar es Saalam (DIT) kuhakikisha kuwa inaongeza ufundishaji kwenye ujuzi wa bidhaa...

READ MORE

Serikali Yaendelea Kurahisisha Utoaji Wa Hati za Viwanja Kwa Njia Ya Kidijitali

  Kamishina wa Ardhi Msaidizi mkoa Dar es salaam Bw. Idrisa Kayera ameshiriki Clinic ya Ardhi Segerea na kutoa hati...

READ MORE

Halotel Yasherehekea Miaka 7 ya Utoaji Huduma za Mawasiliano Kwa Kuchangia Damu

  Kampuni ya simu ya Halotel na wafanyakazi wake leo wameshiriki katika zoezi la kuchangia damu ikiwa ni sehemu ya...

READ MORE

Rombo Kutumia Soko la Kimataifa Kuuza Ndizi: Waziri Mkenda

  Ndizi ni zao kubwa la biashara na chakula hivyo likitumika vizuri litabadili uchumi wa wakulima na nchi kwa ujumla...

READ MORE

Waziri Ummy Mwalimu Awatoa Hofu Watanzania Kuhusu Ebola

Waziri wa Afya Mhe. Ummy Mwalimu amewatoa hofu Watanzania kuhusu Ugonjwa wa Ebola uliopo nchi jirani na kuwataka waendelee kuchukua...

READ MORE

Mwenyekiti UVCCM Sengerema Kuja na Vipaumbele Vitano

Mwenyekiti wa Wa Umoja wa Vijana Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Wilaya ya Sengerema Patric Mundeba amesema anakuja na vipaumbele vitano...

READ MORE

CMSA Kuadhimisha Wiki ya Wawekezaji Katika Masoko ya Mitaji

  Mamlaka ya Masoko Ya Mitaji na Dhamana (CMSA) imeanzishwa chini ya Sheria ya Masoko ya Mitaji na Dhamana sura...

READ MORE

Joshua Achaguliwa Kuwa Mjumbe wa Mkutano Mkuu CCM Taifa

Aliyewahi kuwania kiti cha Ubunge jimbo la Sengerema kupita CCM Joshua Shimiyu nimiongoni mwa wajumbe watatu waliochaguliwa na mkutano mkuu...

READ MORE

Waziri Mkenda Aongoza Harambee Ununuzi Kiwanja Cha Kanisa, Mil 82.8 Zapatikana

Mbunge wa Jimbo la Rombo Mkoani Kilimanjaro ambaye pia ni Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Mhe Prof Adolf Mkenda...

READ MORE

Waziri Mkemda Aanza Ziara ya Siku Tatu Rombo

Mbunge wa Jimbo la Rombo ambaye pia ni Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Mhe Prof Adolf Mkenda leo tarehe...

READ MORE

PM Majaliwa Akabidhi Mil 600 za Nmb Kusaidia Wanawake Wenye Tatizo la Fistula

  WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ameiagiza Wizara ya Afya iendelee kuhamasisha taasisi, na wadau kuchangia maeneo muhimu kama ya afya...

READ MORE

Wananchi Sengerema Wapendekeza Bwawa La Nhwiga Kutumika kuwa Kivutio Cha Utalii

Bwawa la ‘Nhwiga’ ( kiswahili  lango la Twiga) lililopo kijiji cha Kizungwangoma kata ya Misheni wilayani Sengerema Mkoa wa Mwanza...

READ MORE

Ofisi ya Zamani ya CCM Sengerema Kugeuzwa Kuwa Kitegauchumi

  Baada ya kumalizika kwa ofisi mpya ya CCM wilayani Sengerema imeleezwa kuwa ofisi ya zamani itakarabatiwa na kuwa kitegauchumi...

READ MORE

Sh 63 Milioni Zakamilisha Ujenzi wa Ofisi Mpya ya CCM Sengerema

  Ofisi mpya ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Sengerema iliyokuwa imekwama kumalizika kwa zaidi ya miaka 15 iliyopita...

READ MORE

Dr Sukari Ajitosa Kuwania Ujumbe Mkutano Mkuu CCM Taifa

  Miongoni mwa wanachama wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Wilayani Sengerema waliojitosa kuwania nafasi ya ujumbe mkutano mkuu CCM Taifa...

READ MORE

Mkurugenzi Benki ya Dunia Aridhishwa Uboreshwaji Huduma za Mahakama

Mtendaji Mkuu wa Mahakama ya Tanzania, Prof. Elisante Ole Gabriel (kulia) akisalimiana na Mkurugenzi wa Kanda ya Afrika anayeshughulikia Ukuzaji wa...

READ MORE

Wadhibiti Ubora ni Mboni ya Serikali Kwenye Ubora wa Elimu-Waziri Mkenda

Serikali imesema kuwa wathibiti ubora wa elimu ni mboni ya serikali katika kusimamia na kuimarisha ubora wa elimu nchini. Waziri...

READ MORE

CBE Yawashukuru Waliochangia Harambee, Yakusanya Milioni 56

  CHUO cha Elimu ya Biashara (CBE), kimefanikiwa kukusanya shilingi milioni 56 kwaajili ya ujenzi wa mabweni ya wasichana kwenye...

READ MORE

NMB Yashinda Tena Tuzo Ya Benki Bora Wateja Binafsi

  Kwa mwaka wa pili mfululizo, Benki ya NMB imeshinda tuzo ya benki kiongozi wa kuwahudumia wateja binafsi nchini kutokana...

READ MORE