×

Kitaifa

GARI LA MAFUNDI UMEME LAPATA AJALI, WATATU WAFARIKI

WATU watatu wanasadikiwa kupoteza maisha na wengine 30 kujeruhiwa katika ajali ya basi dogo lililokuwa limebeba mafundi wa mradi wa...

READ MORE

GOODBLESS LEMA, HALIMA MDEE, YAWAKUTA BUNGENI

Kamati ya Bunge ya Haki, Maadili na Madaraka ya Bunge pia imemtia hatiani Mbunge wa Kawe, Halima Mdee kwa kulidharau...

READ MORE

Watu 28 Wakamatwa kwa Kupiga Askari

WATU 28 wamekamatwa na polisi wilayani Nyang’hwale, Geita kwa tuhuma za kuwajeruhi askari polisi watatu kwa silaha za jadi wakati...

READ MORE

Barclays yaitikia wito wa BoT, yafungua duka la kubadilishia fedha za kigeni

  KATIKA  kuunga mkono juhudi za Benki Kuu ya Tanzania ya kuhakikisha huduma ya kubadilishia fedha za kigeni inafanyika kwa...

READ MORE

JPM Aaga Mwili wa Dada wa Mbunge Peter Msigwa

Rais Magufuli akiwa na Mkewe Mama Janeth Magufuli wametoa heshima za mwisho kwa mwili wa Marehemu na kutoa mkono wa...

READ MORE

Shughuli Imeanza Uchaguzi wa Serikaliza Mitaa – Video

Wakati uchaguzi wa serikali za mitaa 2019, ukitarajiwa kufanyika Novemba mwaka huu, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali...

READ MORE

SERIKALI YAKUTA SIRI NZITO KWENYE MADUKA YA FEDHA – VIDEO

KATIKA kutekeleza majukumu yake ya kuhakikisha kuwa Sekta ya Fedha inachangia ipasavyo utulivu na ukuaji wa uchumi nchini, Benki Kuu...

READ MORE

JPM, LEMA WAKUTANA USO KWA USO MSIBANI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza jambo na Mbunge wa Arusha Mjini (CHADEMA), Godbless...

READ MORE

NDALICHAKO Akizindua Ukumbi wa Mihadhara Chuo cha Mwl Nyerere – VIDEO

Waziri wa Elimu Sayansi na Teknolojia, Prof. Joyce Ndalichako amezindua ukumbi wa mihadhara wa kisasa katika Chuo Cha Kumbukumbu ya...

READ MORE

MAMA AMLILIA MUNGU, “NIMEVIMBA TUMBO, SIONI, MOYO UNANITESA” – VIDEO

Bi. Selina Izack, mkazi wa Bunju A, Mtaa wa Baharia, mama anaesumbuliwa na tatizo la moyo, kisukari na vidonda vya...

READ MORE

EXCLUSIVE: Baada ya Kifo cha Kapteni Komba, Shuhudia Hiki! – Video

Ikiwa ni miaka minne imepita tangu kufariki kwa Aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Mbinga Magharibi Mkoani Ruvuma kwa tiketi ya...

READ MORE

Kigoma: Polisi Yaua Majambazi Watatu

WATU watatu wanaodhaniwa kuwa ni majambazi wameuawa huku askari polisi mmoja akijeruhiwa baada ya kutokea kwa majibizano ya risasi katika...

READ MORE

Ndege ya Magufuli Yakabidhiwa Kwa ATCL

SERIKALi imekabidhi ndege yake aina ya Fokker 50 kwa Shirika la Ndege la Tanzania (ATCL) kwa ajili ya kubeba abiria...

READ MORE

KUHUSU MFEREJI WA MAJI HAYA…. MBAGALA WAIANGUKIA SERIKALI

WANANCHI wa Mbagala Kiuzuiani Mtaa wa Juhudi wameiomba Halmashauri ya Wilaya  Temeke katika Mkoa wa Dar es Salaam kuwawekea mifereji...

READ MORE

DUDU BAYA AIANGUKIA FAMILIA YA RUGE MUTAHABA- VIDEO

MSANII wa Bongo Fleva, Dudu Baya ameipigia magoti familia ya aliyekuwa Mkurugenzi wa Vipindi na Uzalishaji, Ruge Mutahaba akiomba radhi...

READ MORE

NMB YACHANGIA MABATI 802, MADAWATI 50 NA VITANDA 8 VYA HOSPITALINI

      BENKI ya NMB imechangia jumla ya mabati  802 kwa ajili ya kuezeka madarasa ya Chuo cha Veta Kalambo,...

READ MORE

CAG Akabidhi Ripoti 17 za Ukaguzi kwa JPM

RIPOTI 17 za Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Profesa Mussa Assad, kwa mwaka wa fedha unaoishia...

READ MORE

KABLA HATA YA MWAKA MMOJA MADARAKANI… JOKATE SI YULE

UKIAMBIWA mambo aliyoyafanya Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe mkoani Pwani, Jokate Urban Mwegelo tangu ateuliwe kushika nafasi hiyo, miezi minane...

READ MORE

NAIBU WAZIRI FEDHA NA MIPANGO ATEMBELEA CHUO KIKUU MZUMBE

  Naibu Waziri Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji (MB) ametembelea Chuo Kikuu Mzumbe na kukagua ujenzi wa Mabweni...

READ MORE

Alliance wanunua mabao ya Yanga

KATIKA kuhakikisha wanapata ushindi, Uongozi wa Alliance FC umeweka wazi kwamba hawataki utani kwenye mechi yao dhidi ya Yanga ndiyo...

READ MORE

Magufuli Atunuku Kamisheni Maofisa 146 JWTZ – Video

AMIRI Jeshi Mkuu Majeshi ya Ulinzi na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, John Magufuli, akikagua gwaride la heshima...

READ MORE

Kituo cha Umeme Mlandizi Chaungua Moto – Pichaz

Kituo cha Kuzalisha na Kusambaza Umeme cha Mlandizi mkoani Pwani kimungua kwa moto. Chanzo cha moto huo bado hakijafahamika na...

READ MORE

MAGAZETI YA TANZANIA LEO JUMAMOSI, MACHI 30, 2019

Hapa tumekuanikia kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo MACHI 30, 2019. Ni yale ya...

READ MORE

KAMATI YA BUNGE YARIDHISHWA NA UTENDAJI KAZI WA OFISI YA MAKAMU WA RAIS

  SERIKALI imesema itaendelea na juhudi za kushawishi wadau wa maendeleo na Jumuiya za Kimataifa ili kupata fedha za kusimamia...

READ MORE

Mvuvi wa dagaa Kagera ashinda milioni 84 za M-Bet

MVUVI wa dagaa kutoka katika Mkoa wa Kagera, Semistocles Mkiza, ameshinda Sh 84,814,160 kupitia Kampuni ya Michezo ya Kubashiri ya...

READ MORE

KIGOGO TAKUKURU ALIYETAJWA NA JPM KWA KUTAPELI YAMKUTA KISUTU

TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) imemfikisha mahakamani, aliyekuwa Mkurugenzi wa Mipango, Ufuatiliaji na Tathmini wa taasisi hiyo,...

READ MORE

Breaking: Kigogo Takukuru aliyetajwa na JPM kudhulumu viwanja anaswa

MKURUGENZI wa Mipango wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru), Kulthum Mansoor, aliyetajwa jana, Machi 28, 2019 na...

READ MORE

UNYAMA: BABA wa SAID Auawa KIKATILI, Kisa Chake Kitakutoa Machozi – Video

NI mfululizo wa ukatili wa kutisha kati ya wakulima na wafugaji! Siku ya tarehe 26.03.2019 ambapo mtu mmoja afahamikaye kwa...

READ MORE

DENTI CHUO KIKUU ANYONGWA DAR!

INAUMA sana! Mrembo Happyness Fredric ‘Happy’, mkazi wa Yombo-Kanisani jijini Dar ambaye alikuwa ni denti wa mwaka wa kwanza wa...

READ MORE

RAIS MAGUFULI ASHTUKIZA KUKAGUA NDEGE INAYOPAKWA RANGI – PICHAZ

Rais Dkt. John Magufuli leo amefanya ziara ya kushtukiza kukagua kazi ya upakaji wa rangi ndege ya Foker 50 iliyokuwa...

READ MORE

Membe Atinga Mahakama Kuu, Ataka Musiba Amlipe Bilioni 10

WAZIRI wa zamani wa Mambo ya Nje, Bernad Membe, leo ametinga Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam, kusikiliza kesi...

READ MORE

JPM Awataja Waliotaka Kupiga Dili Ndege Yake, Amwonya Balozi ‘Anayepiga Misele’

RAIS  John Magufuli ameeleza kushangazwa kwake na baadhi ya watumishi wa serikali  ambao bado wana ‘damu’ ya rushwa kwenye mioyo...

READ MORE

JPM Amtaja Aliyeingiza Magari 194 Akagoma Kulipa Kodi, Ataja Siri Nzito! – Video

RAIS John Magufuli ameanika madudu yanayofanywa na baadhi ya viongozi kwa kushindwa kutimiza wajibu wao vizuri huku wakiwakumbatia wala rushwa...

READ MORE

NMB yawa karibu na wakazi wa Lindi kwa huduma bora

    BENKI ya NMB imewahakikishia wajasiriamali, wafanyabiashara na wakulima mkoani Lindi kuwa itaendelea kuwahudumia kupitia huduma zake za kutunza...

READ MORE

JPM Apokea Taarifa ya Utendaji wa Takukuru – Video

Kamishna wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru),Diwani Athmani amesema taasisi hiyo imefanikiwa kuokoa kiasi cha Sh70.3 bilioni...

READ MORE

Kisa Mfanyabiashara Kutekwa, Wakenya Wazuia Magari ya Tanzania

WAKAZI wa mpaka wa Kenya na Tanzania wa Namanga upande wa Kenya wamezuia magari kutoka Tanzania kuingia nchini mwao, kwa...

READ MORE

JPM Ampangia Ubalozi Aliyekuwa Bosi wa TAKUKURU

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli amemteua Dkt. Richard Faustine Sambaiga kuwa Mwenyekiti wa Bodi...

READ MORE